Erick barikiwa sana. Kama una mahubiri ya mchg Moses akiwa tunduma yarushe kaka.
@samwellucas9976 жыл бұрын
ubarikiwe brother for uploading this video
@mackfasonmoshi4629 Жыл бұрын
Dr. M Magembe wazungumza UKWELI mtupu Baba. Wapo wanaoIGIZA kabisaaa.."rabosika, raboshanda??? Kii kiki ki ki.nk" Hili limetoa mwanya kwa ibilisi kupinga kunena kwa lugha..kumbe kama Wakorintho walivyosahihishwa na Paulo, ndivyo hata sasa mafundisho na maekekezo sahihi yanahitajikaaa...Barikuwa Mtumishi wa Bwana..
@haningtonkabuta93876 жыл бұрын
Asante sana Erick kwa kupost mafundisho mazuri
@erickmutungi87926 жыл бұрын
Amina mpendwa...... Nashukuru kwa kuiona kazi hii....... MUNGU WA MBINGUNI AKUBARIKI.......