Baba analiandaa kanisa litakalo nyakuliwa. Thank you Lord for giving us this servant in this confusing season.
@jamiinaafyanjema29669 ай бұрын
Mafundisho muhimu sana katika nyakati tulizonazo, Mungu azidi kukutumia na kukutia nguvu mchungaji. Tunabarikiwa sana sana
@nephatkihara4 ай бұрын
Very powerful and touching teachings. Mch Magembe Mungu Akubariki Sana. Neema Neema Zaidi juu yako. You are an inspiration to many. I am really humbled and blessed by your teachings.🙏🙏🙏
@stellariwa27238 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu baba NAKUPENDA
@MberwaEnockinnocentАй бұрын
❤ mchungaji twakupenda sana kupitia neno la Mungu unalo lihubiri ubarikiwe sana
@PastorMsigala9 ай бұрын
ubarikiwe Baba ninapenda sana mahubiri yako
@antoinetteirankunda7397 ай бұрын
Amina saana MUNGU apewe sifa kwa ku kutumia baba 👌
@MandelaMobutu5 күн бұрын
Muheshimiwa muchungaji nakupenda saana neno lenye unahubiri Kila mara linanijengaka saana ninaitaji Namba ya simu yako ninaitaji kujiunga nanyi kikanisa
@reubenlusanya354610 ай бұрын
Baba yani unafunua kweli najua wewe si wa Dini bali wa Yesu.
@EstonMlembe-mn7td9 ай бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji ujumbe umefika
@agnesspaul18666 ай бұрын
❤❤❤❤ Aminaaaa
@reubenlusanya354610 ай бұрын
Mutumishi nakufatilia nikiwa Kenya Yesu akulinde na akutunze kwa kazi unayo fanya.
@ChanilaKitwima-zc6ko10 ай бұрын
Bwana Yesu akutie nguvu Daima na akubariki sana wewee na uzao wako umalize mwendo salama Nakupenda sana Mch Moses Magembe kwa Mafundisho ya Injili ya Marekebisho Amina
@samwelmartine82096 ай бұрын
Hallelujah ....for the glory of God
@Larvina-r6t10 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe baba. Mungu akubarik kwa kufundisha ukweli,,,,.
@fidemikaeli814510 ай бұрын
Amina baba yangu, Mungu wetu akulinde sanaaaaa
@CHUBAHIROFRANK-bt7hx6 ай бұрын
Mungu mwenye ngufu akubariki na akuongeze myaka yakuishi ili usaidia watuwamungu
@StephenButotoMbarato10 ай бұрын
Amen Baba. tunashukuru kwa somo hili. Kristo asifiwe.
@YonaMwalongo-w7v10 ай бұрын
Amen
@amoss.tz110 ай бұрын
Yaani Tanzania ingekuwa Na Wachungaji Kumi tu kama wewe kabisa lingepona Mungu akubariki babu
@toshamulendalalune39310 ай бұрын
FunnyDarypink umeongea ukweli kabisa. Yaani huyu Mchungaji wangu jamani nampenda sana mana yeye bado anaibiri Mungu wa kweli
@patriceshukuruheri63239 ай бұрын
Mungu azidi kukubariki na kukutiya nguvu Baba maana sisi tuliyo inje ya inchi tunakufuata Sana na kubarikiwa Sana maana upo na tusaidiya sana
@VivianShao-p1y6 ай бұрын
MUNGU akutunze sana baba yangu na barikiwa sana na wewe
@alexanderkapinga7002 ай бұрын
Mungu anipe nguvu za ziada!!
@mkomayonah69995 ай бұрын
Baba Mch Magembe wewe nikipawa cha kanisa la Mungu lote na si TAG Pekee nakupenda Mzee napeta fact unazo zifunua.
@Nasibumwandambo-dx1mo10 ай бұрын
Amen baba barikiwa sana
@SaimonTweve8 ай бұрын
Ooo Mungu na akubariki sana ujumbe mzuri
@MalobaKaweme6 ай бұрын
Mungu akubariki baba mchungaji Niko Congo RDC
@johnmweji934510 ай бұрын
AMINA,AMINA MILELE AMINA
@IsayaSchone-kt7uq10 ай бұрын
Mungu akutunze Baba
@hemedshalua20027 ай бұрын
Injili ya Yesu hii.
@injilinjeyakutazakanisa8 ай бұрын
Naomba kukuona
@MalobaKaweme6 ай бұрын
Mungu wambinguni akubariki baba mchungaji Niko Congo RDC
@LawrenceNdauka-in7cr10 ай бұрын
Injili ya kweli.
@JOHNKKULULINDA-pc6gy10 ай бұрын
MIMI, NAKUOMBA, UNIOMBEE ROBO YA IMANNI YAKO WALAU. AMEN.
@TeomarryHaule10 ай бұрын
Ninakupenda kwamsimamo wako wa imani na mafundisho yako harisi
@kigongomasalu74029 ай бұрын
Baba wa mbinguni akutunze Dunia isikie injili hii siku zaleo
@shillahmbogo555610 ай бұрын
Amina
@davidmembedalamethepsalmis288510 ай бұрын
Ameen baba
@IsayaSchone-kt7uq10 ай бұрын
Aminaa
@HURUMAJACKOB8 ай бұрын
Baba tunataman kukualika uje utufundishe habar za uamsho lakin tunashindwa tunakupataje Ukwel wewe ni mchungaj uliyetumwa na Mungu
@emmanuelmwalembe-yd1cz8 ай бұрын
MUNGU azidi kukutunza baba tuko vijana tunajifunza saanaaa na kufurahia uwepo wako
@jesusnetworkministry10 ай бұрын
❤
@samsonmwangwego68928 ай бұрын
Naomba namba ya mchungaji aliye nayo
@WinifledyMbugi-ur1hq9 ай бұрын
Mzee umebaki pekeyako unayehubili kweli,
@BrDavidMasao10 ай бұрын
Wahubiri wengine wwnangoja nini wasihubiri injili ya kweli sema watumishi wengi hawajui nini maana ya injili
@JofreyMtewa9 ай бұрын
Ameren
@reubenlusanya354610 ай бұрын
Baba hayo mambo unayo yafunua sio ya kila mutu bali ni yawale walio wa Yesu sababu ni mambo mazito.
@Commentsplus3 күн бұрын
Sasa mbona kanisa na Islamic (Dini) Ndo mmeua Tamaduni ,Mira na Desturi --kiufupi dini hamjui mnacho kitaka yani ujuaji mwingi tu
@Patience.675 ай бұрын
Ameeen
@DeboraBenard-b5f10 ай бұрын
Amen
@emmanuelmwalembe-yd1cz8 ай бұрын
MUNGU azidi kukutunza baba tuko vijana tunajifunza saanaaa na kufurahia uwepo wako