Asante mchungaji wangu tunakusubiri kahama tubarikiwe Sana siku hiyo
@catherinenestory95149 ай бұрын
Baba,Mimi sina la kusema lakini Mungu tu anajua navyokupenda na kukuombea ratiba yote uliyoitoa ya kuikanyaga Kanda ya ziwa naomba sana Mungu awaokoe ndugu zetu
@MunyamahoroDieudonne-pt4ic9 ай бұрын
Mungu akubariki révérend Magembe mimi sina lakusema venye nime barikiwa rohoni mwangu Siku hizi umekua Mwalimu wangu baba wa kiroho Moses Magembe
@IsayaSchone-kt7uq9 ай бұрын
ameeni san
@SudaNyalupagi9 ай бұрын
Amen
@aproniamasatu58109 ай бұрын
Nashukuru MUNGU kwa kua sehemu ya watu wanao pata chakula cha kiroho kupitia Magembe TV