Mung akubariki mchungji Sanaa nimependa mafundisho Yako ya kweli yameendelea kuninua kiroho
@upendoeliudi51962 жыл бұрын
Aminaa Mungu atukuzwe kwaajiri yako mtumishi kutoka Oman
@YovinaNyabwinyo-wz5sv Жыл бұрын
Ubarikiweee sana Baba nakupendaa sana maisha yangu ya kiroho yanasapotiwa na wewe namshukuru Mungu kwaajili yako
@upendosfamily72102 жыл бұрын
Amen Amen Amen Mtumishi nakupata nkiwa Qatar
@joackimmbonde41252 жыл бұрын
Nime nena kwa lugha leo kwa mara ya pili kwa mda mrefu,, sifa na utukufu kwa Bwana Yesu ,, nimependa sana Mara ya kwanza nilikua nasali kwa kuugua lakini leo ndio kwa mara ya kwanza nime nena kwa lugha ambayo si ijuhi hata Nimebarikiwa sana Amina
@chrismassawe3262 жыл бұрын
Umenena kwa luga?ikawaje baada yakunena kwa luga
@joackimmbonde41252 жыл бұрын
@@chrismassawe326 umeangalia ibada hiyo
@joackimmbonde41252 жыл бұрын
Mwishoni mchungaji alituombea tujazwe nguvu za roho mtakatifu na mimi nikapokea,, hasa habari za kuloga zinatokewa wapi ndugu?
@chrismassawe3262 жыл бұрын
@@joackimmbonde4125 unasomaga NENO?
@joackimmbonde41252 жыл бұрын
@@chrismassawe326 chakula changu
@ezekielpandisha Жыл бұрын
Barikiwa sana BABA.Tupo pamoja!
@gladysfatma48222 жыл бұрын
Gladys fatuma nikiwa Saudi Arabia 🇸🇦 napokea kwa jina la yesu
@AmosKapinga-jg4ve Жыл бұрын
BWANA Yesu apewe sifa mtumishi
@sayunikasimiri5092 жыл бұрын
Asante mchungaji nilikuwa sijui maana ya dhiraa nimejua ss
@husseinjohn5322 жыл бұрын
Amen mchungaji
@Amosbenard632124 күн бұрын
Ubarikiwe sanaa babaangu
@YusuKisingile-fs4hv Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi wa MUNGU
@luambanotv77962 жыл бұрын
I appreciate your preaching then I feel so much better may the almighty father bless you all days of your life
@janenonge83202 жыл бұрын
Asante mtumishi Bwana azidi kukutia nguvu 🙏
@davidbirorero5285 Жыл бұрын
Papa moses unarikiweesanaa
@juliusmollel8597 Жыл бұрын
Be blessed man of God
@HidayaFaustine7 ай бұрын
Nimeupokea nguvu uuu ubarikiweeee
@kornelioaloyce46712 жыл бұрын
Pastor kornelio aloyce mbulu manyara hakika baba umenigusa sana tupo pamoja
@josephlukumay48252 жыл бұрын
Ubarikiwe mwinjilisiti wetu Mungu anipe uwezo wa kuelewa jambo kubwa namna hii nakupata hapa nikiwa Nairobi Kenya
@chanzoninini68182 жыл бұрын
Amen mchungaji ubarikiwe saana baba
@luambanotv77962 жыл бұрын
Nani awahurumiaye wanadamu, Tena NI Nani awaliliaye wanadamu waangamiao kwa dhambi, Nani atakaye waokoa wanna watch Yakobo Mch Usiache kusema ukweli pengine Mungu atauona ulimwengu na kuusamehe
Amin muchungaji nakusikiriza nikiwa Burundi tunakutamani kukukwenye kanisala Burundi assemblées of god
@PascalGwasa Жыл бұрын
Kwamaana tunabarikia namafundisho Yako namahubiriyako mungu akuongezee afya ili uenderee kiishi nakumtumikiamungu
@EmmanuelNdalahwa-m6t Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉 long live my daddy. Let almighty God keep on using you to higher standards .amen
@beatriceamissi57652 жыл бұрын
Amena amena mtumishi tunashukuru kwa mafundisho mazuri sana
@mrdirpboi7093 Жыл бұрын
Amen amen baba Mungu akubariki nabariki ya ko
@ayoubmwalewela30622 жыл бұрын
Ameeeeeen pastor
@peterkyagila41 Жыл бұрын
Tuombe sana sana wa miaka ya 1980 na kuendelea huyu mzee anamalizia nani atasimama tena kama yeye? Tumejitahidi sana roho ili atufikishe kiwango cha kumjua MUNGU sana na kumtii,,,walikuwa babu magembe nakuombea uwepotu tu,,,duniani
@ErckNtabugumanabalenzi-zm4cw Жыл бұрын
Amen amena ubarikiwe mtumishi wamungu
@luambanotv77962 жыл бұрын
Your too few whom you tell us what God want us to do, when the church is nowadays lacking power to change the world, Please pastor retell the people don't give up, I miss you so much I feel if I could be your church member but I am distant away, God bless you,
@youtob9034 Жыл бұрын
Utajuaje kama ROHO mtakatifu Yuko ndani yako
@davidbirorero5285 Жыл бұрын
Ubalikiweesanaa
@samwelisiza8437 Жыл бұрын
Was so amazing gospel... Powerfully message
@mashughulikaguo-di5mu Жыл бұрын
Asante baba
@annsophyombasa30199 ай бұрын
Glory be to GOD
@pastorjosephtibangayuka52022 жыл бұрын
Baba tuko pamoja nakupata nikiwa bunju Mlango Mzuri