Mwnyekiti wa CHADEMA jimbo la Iringa Mjini amesema mchango wa Peter Msigwa bado upo huku akiwataka wananchama wa CHADEMA KUWA wastahimilivu ili kujenga chama pamoja na kuachana na malumbano yasiyojnga chama
Пікірлер: 15
@deogratiusdonald5123Ай бұрын
Umeongea vizuri sana kamandaa
@dennisungonella205Ай бұрын
Kwa mahojiano haya inaonyesha msigwa kahongwa wallahi...😂
@user-vz4xv7lg3xАй бұрын
Huyu hamna kitu....soon atapita hv...hb tuone kama mikutano haitafanyika hapo Iringa kisa huyo hayupo
@etufaniakahemela5879Ай бұрын
Na usafi unatakiwa ufanyike ndani ya chama mkoa wa iringa
@neemanziku5403Ай бұрын
Yan msigwa hakika Ni msalit siamin kabisa ,amekubali kuwa mtumwa
@HamisiSamweliАй бұрын
Umeongea ukweli kama mwana chama wa chadema
@beinafuu6219Ай бұрын
Bila chadema wasingemjua ccm tusidanganyane .muda utasema pia
@juliuszakayo6771Ай бұрын
Mfuate CCM akakudekeze bc hele za mama abduli
@dennisungonella205Ай бұрын
Kutegemea mtu kwenye taasisi ni mbaya Sana, chadema jengeni taasisi
@SarahShao-jw1upАй бұрын
Chadema ni taasisi sio MTU. CHADEMA NI TAASISI YA KISIASA NA IJENGWE HIVYO SI VINGINEVYO. MSIGWA ALIKUWA JANGA KWA CHADEMA. BORA AMEONDOKA
@ANGELUSLIJUJAАй бұрын
MTAKUMBUKA MAGARI YAKE VYAKULA VYAKE KUWWKA MAWAKALA VYAMA 4 KUUNGANA KWENDA POLISI KUTENGENEZA VIJANA JASILI MTAJUTA NYALUSU UNAKUJA SO MDA CCM IRINGA AMNA UPINZANI TENA BWANA TUSIDANGANYANE MSIGWA SASA NI MBUNGE BILA UBISHI
@user-nf1tg3kt3yАй бұрын
Yaani vyombo vya habari vya Tanzania vya ovyo sana unaenda kumhoji mtu anaekula Bazoka ni mshenzi moja tu wewe