LISSU AMVAA NYALANDU, WATU WAKE WANACHOMEW NYUMBA MOTO, ANAENDA UINGEREZA? SIJUI TULIMUITAJE CHADEMA

  Рет қаралды 29,161

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

Ай бұрын

#TANZANIA: SIJUI TULIMLETAJE LAZARO CHADEMA, WATU WAKE WANACHOMEWA MOTO YEYE ANAENDA UINGEREZA? - LISSU
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amvaa Lazaro Nyalandu kwa kushindwa kushughulikia mgogoro wa ardhi, Lissu adai alimpigia simu akasema yuko uwanja wa ndege anaenda Uingereza, "watu wake wanachomewa nyumba yeye anaenda Uingereza?, sijui tulimletaje letaje, mmeletewa vita na Serikali, si kwasababu halali iko upande wao, walishindwa kesi"
Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE KZbin Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram

Пікірлер: 88
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn Ай бұрын
Viva Lissu❤
@madenge731
@madenge731 Ай бұрын
Huyu jamaa anajua anajua anajua hadi anakeraaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣 TZ hii sijawahi kuona kama kuna Raia mwenye akili zilizopevuka kama za huyu kiumbe. Hakupaswa kuzaliwa wala kuishi nchi hizi za Kiafrika. Huyu mtu alipaswa kuwa nembo za nchi fulani huko mambele 😍😍🥰🥰
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
Kweli kabisa
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 Ай бұрын
Aya mambo yapo nihaki wananchi kuyajua lkn CCM huficha ukweli huu😢😢miaka mingi.,..
@YahayaKishakwi
@YahayaKishakwi Ай бұрын
Anajua sana
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Ай бұрын
Mungu amtunze na kumlinda
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 Ай бұрын
Welldone mh Lissu.
@ibrahimkibira9943
@ibrahimkibira9943 Ай бұрын
Tuungane kwa pamoja kuindoa ccm
@jumashimba9620
@jumashimba9620 Ай бұрын
Big up tundu
@adrianoadriano-ys6bm
@adrianoadriano-ys6bm Ай бұрын
Sisi watanzania ni waajabu tunawapenda watu wanaotudaganya. Watu wakweli wanapigwa vita, kwa nini hatutaki kumuelewa Huyu Lissu!
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 Ай бұрын
Lissu ni Tapeli tu hawezi kusaidia chochote kile Ameshindwa kusaidia akiwa mbunge atasaidiaje sasa hivi Waeleze sera za chama chako
@ibrahshifta1595
@ibrahshifta1595 Ай бұрын
We mzee hujitambui ,hivi ww unamuweza Lissu ? Mavi ww
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 Ай бұрын
​@@adamlubawa1281auna akili ww mkubwa mzima lakini akili kisoda hiv ccm tangu wamechukua nchi miaka mingapi Kero zile zile tangu nimepata akili hadi leo Umeme Barabara mbovu Afya
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku Ай бұрын
Lissu ww niwakipekeee sana
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu Ай бұрын
Tanzania wapo 7 watano lisu1 mpina 2 aidani kenani3 esta bulaya4 mwabukusi5 mbarikiwa mwakipesile6 na kishimba7 MUNGU walinde uwasaidie
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 Ай бұрын
Esta mtoe bhna weeee
@prospermalala6636
@prospermalala6636 Ай бұрын
Elimisha jamiii ielewe haki zao, zilizofichwa na haramu CCM
@rogersiddy
@rogersiddy Ай бұрын
Wamewaficha alafu wanawafanya wajinga wanawadanganya tu wao wanatajirika kwa mali za nchi yetu kikundi kidogo tu
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Ай бұрын
Elimu Elimu Elimu
@user-hj3ky9zy6y
@user-hj3ky9zy6y 24 күн бұрын
Lisu unafaa sana mungu akupe miaka 100000
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 Ай бұрын
Akili.kubwa.mungu.akulinde.ccm.hawataki.watu.wenye.akili.ndio.maana.walitaka.ufe
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq Ай бұрын
Awamu hii wakimwaga ugari tutamwaga mboga sote tuwe na njaa
@rogersiddy
@rogersiddy Ай бұрын
Aaah sana Mungu yupo atupe njia tumechoka kwakweli🙏🤲
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 Ай бұрын
Usiku umeendelea Sana asubuhi imekaribia sana
@user-hj3ky9zy6y
@user-hj3ky9zy6y 24 күн бұрын
Lisu umetishaa ashukuliwe mama mzazi wa lisu
@emmanuelmasele9585
@emmanuelmasele9585 Ай бұрын
Sema baba
@SalambaPeter
@SalambaPeter Ай бұрын
Huyu mwalim tumepewa na mungu tusimwache aende
@MwakaSchone-gt7xc
@MwakaSchone-gt7xc Ай бұрын
Ccm wanajifanyaga watekelezaji Na watu wakujari watu kwenye kero dogodogo kipind cha kampenitu . Ndo wanajifanyaga wema Tanzania amkaa
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz Ай бұрын
Lissu mnyampaa uko saw katbak KWANZA
@jonathansam4159
@jonathansam4159 Ай бұрын
Huyu jamaa anajua, huihitaji akili kubwa kumuelewa...suala la ubunge ni bajeti pia yy hutembea jimbo kwa jimbo. Hazungumzii ya jimbo moja...
@michaelmabula7444
@michaelmabula7444 Ай бұрын
Upo viziri
@Mkorajr
@Mkorajr Ай бұрын
Akili km hizi zitunzwe
@SalambaPeter
@SalambaPeter Ай бұрын
Kama huna akili kubwa huwezi kumwelewa lisu , tunahitaji wapatikane akina lisu watano wengine
@SalambaPeter
@SalambaPeter Ай бұрын
Wa tz tunahitaji viongozi ka lisu ,heche,mbowe, wasio ogopa kusema kweli nawaombea kwa mungu wasipate janga lolote mungu awalinde ili wazidi kuturolea blanket zito walilotufunika ccm tusiijue kweli maana kwa sasa naamini wa tz tumeanza kuelewa nini kinasababisha tunakua masikini
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u Ай бұрын
BRAVO KOMREDI LISSU.....KWA HAKIKA NCHI 'INAUZWA'....WATANZANIA WOTE BILA KUJALI TOFAUTI ZETU TUING'OE CCM MADARAKANI....MIKATABA YOTE IPITIWE UPYA NA VIONGOZI WOTE WALIOHUSIKA HATUTAWAACHA SALAMA!
@SalambaPeter
@SalambaPeter Ай бұрын
Ukweli unawauma wanaomtukana lisu maana kwenye ccm hawana kama lisu ,nakama yupo tuwapambanishe wabishane kwa hoja
@SalambaPeter
@SalambaPeter Ай бұрын
Akili ya lisu ni sawa na maccm million 10
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 Ай бұрын
KICHWA KIMOJA NI SAWA NA MAFISIEMU WOOOTE TANZANIA DAH JAMAA KICHWA SANA ILA UKIWA TAHILA UWEZI ELEWA😅
@ChristerKoku
@ChristerKoku Ай бұрын
Umemsahau Halima Mdee.
@isayagilson5710
@isayagilson5710 Ай бұрын
Huo ndo upinzani wa kweli.
@LuckmanMiraji
@LuckmanMiraji Ай бұрын
Wewe unae muita risu tapeli kuma amamaako
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Ай бұрын
Now the res no ccm the res police ccm and military that all nyarandu went ccm because of leadership saif benefits not leadership for tanzanian population nyarandu is not a capable leader
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha Ай бұрын
Mnyampaa, mkali
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 Ай бұрын
Big AP
@nicholauskilosa5336
@nicholauskilosa5336 Ай бұрын
CCM hawana huruma
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 Ай бұрын
😂😂😂
@happyjeremiahmhuli4043
@happyjeremiahmhuli4043 Ай бұрын
Í📗🇹🇿💪💯👁️👁️👁️👁️👁️👁️👁️👫👫😃👨🏿‍🤝‍👨🏻👬😢😢😢😢😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@NDEWARA
@NDEWARA Ай бұрын
CHADOMOOOO😂😂 yaani yeye ni kukosoa tu. Aseme amewafanyia nini wananchi alipokuwa mbunge na aache porojo
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 Ай бұрын
Subilia upigwe mnada basi upewe tishet mwakan utulie kimya
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 Ай бұрын
Hiil kitu wenye akili Timamu tuu na siyo matahila ukiwa tahila basi utakosoa
@benswai8099
@benswai8099 22 күн бұрын
Stupid kweli wee hewa
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 Ай бұрын
Na ulipokuwa mbunge uliwasaidiaje LISSU WACHA UTAPELI HUWEZI KUSAIDIA CHOCHOTE
@kakak1245
@kakak1245 Ай бұрын
Jimbo tofauti
@YahayaKishakwi
@YahayaKishakwi Ай бұрын
Anae weza nani
@ibrahshifta1595
@ibrahshifta1595 Ай бұрын
Nenda zako na U CCM wako ,sura bayaaaa
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 Ай бұрын
Ww taila
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 Ай бұрын
Yani hata mwanao huko nyumban anakuona ww ni mbwa baba mbwa takataka
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 Ай бұрын
Sema basi ukiwa wewe utafanya nini?? Mbona kuutwa unalalama tu! Mikutano unafanya mwenyewe wenzako wako wapi? Au utaongoza nchi peke yako? Akili za kuambiwa changanya na za kwako!😂😂😂😂😂😂
@user-ti8fn1wn1w
@user-ti8fn1wn1w Ай бұрын
Akr huna sahz ni dampen?
@albinusmkono5887
@albinusmkono5887 Ай бұрын
Wewe dorodh msuya unaonge pumba.kama huna Cha kuongea SI ukae kimya.wenzake wanakuhusu nn.?? Kuelemishwa wananchi wajue haki zao ni kosa wewe bumumba sana.
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 Ай бұрын
@@albinusmkono5887 wewe ni nani mpaka unifundishe cha kuongea! Hebu pita kule na hao waganga njaa wenzako! Wewe unajielewa unanisaidia nini!
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 Ай бұрын
@@albinusmkono5887 sisi tunataka sera! Anatuelimisha kwani yeye ni nani! Njaa tu hizo akiingia atakua zaidi ya hawa waliopo!
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw Ай бұрын
Toa sera za chama chako acha upimbi
@richardnganya2311
@richardnganya2311 Ай бұрын
Kuna tatizo mahali fulani.
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 Ай бұрын
Hana Sera yeye kazi yake ni kuwadanganya na kuwaongopea tu Sijui hao anaoongea nao wanahitaji historia
@albinusmkono5887
@albinusmkono5887 Ай бұрын
Wewe said kwakua hujitambui na huna la kusema Bora ukae kimya.unaongea utumbo sasa unataka Sela ipi ya kwako.? Toa wewe yakwako mnafiki sana😢😢😢
@ShamteMohmed-ed2kk
@ShamteMohmed-ed2kk Ай бұрын
Porojo tu
@ibrahshifta1595
@ibrahshifta1595 Ай бұрын
Haya manyumbu ya CCM majinga sana na yanaroho mbaya sana ,alafu yanajua hayakubariki ndo maana mnalazimisha watu wasimuelewe Lissu, ww huoni anazungumzia matatizo ya wananchi au? We unataka sera Gani? Ina maana wananchi hawaelewi wajibu wao, unatakiwa kwanza uguse matatzoo ya watu ndo watakuelewa ,nyie wehu kweli
@janiafaomaa5120
@janiafaomaa5120 Ай бұрын
SIJUWI CHADEMA WALIMKUBALI VIPI HUYU MWEDAWAZIMU TUDU LISSU
@levissanga8867
@levissanga8867 Ай бұрын
Mwendawazimu ni wewe usiyejali haki za watu
@petermasanilo732
@petermasanilo732 Ай бұрын
Mwendawazimu ni wewe kama ulikuwa hujui
@user-mf7xy3sf6q
@user-mf7xy3sf6q Ай бұрын
Mwenda wazma ni wew usiye jitabua
@richardnganya2311
@richardnganya2311 Ай бұрын
Kabla hujaoondoa kibanzi jichoni pako hangaikia boriti jichoni kwako.
@albinusmkono5887
@albinusmkono5887 Ай бұрын
Wewe. Ndio tunakushangaa uwenda wazimu wako umepitiriza kikomo
@SalumChema
@SalumChema Ай бұрын
Shida.kubwa.tanzania.kila.Rais.anaekuja.anakujanamamboyake.mwenyewendiomaanahatuendelei.haswa.vijijikunashida.nyingisana.kama.kwetu.korogwe.watutupo.toka.74.leotunaambiwa.wavamizi.tunatakiwatuondoke.wakati.Nyerere.alituwekapale.vijiji..6.mgobe.kalekwa.lewa.god.sheni.kwa.mbaazi.msambiazi.watuwotehao.twende.wap.mamasamia.angalia.masikin.kamawamekwambia.ni.msitu.sio.msitu.ni.vijijtena.vinahati.sasahatiimetoa.nchigani.kama.sio.Tz
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 Ай бұрын
Wanakula nchi kila uchao
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 39 МЛН
Nutella bro sis family Challenge 😋
00:31
Mr. Clabik
Рет қаралды 13 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 140 МЛН
Dakika 47 za moto hoja ya Mdee bungeni,  mnyukano mkali watokea
47:32
Mwananchi Digital
Рет қаралды 75 М.
Sikiliza! Mtaalam aongelea mkataba wa bandari!
27:08
Mwanzo TV Plus
Рет қаралды 2,6 М.
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 39 МЛН