Mkuu kwani hujasoma maandiko ya kwambwa wapo watatu washuhudioa mbinguni...Baba,neno na Roho mtakatifu na hao ni wamoja...1 Yohana 5:8?? Mbona unapingana na maandiko mkuu .. unasema Kuna Mungu na Yesu tu...😢 Nakushukuru maana umenisaidia sana katika kujifunza mengi ila kwa hili la kukataa roho mtakatifu Mungu anipe ufunuo...nitakua tofauti kidogo na wewe..
@chaco14665 ай бұрын
AMEN
@MohamedMohamed-u3t1n5 ай бұрын
Nyie acheni kukufuru kwa hiyo yule mcheza sinema ndio mnasema kafanana na nani ?