No video

MWANAFUNZI ALIYECHUKULIWA MSUKULE, ARUDISHWA BAADA YA MAOMBI!!!

  Рет қаралды 1,022,792

UKOMBOZI TV

UKOMBOZI TV

5 жыл бұрын

Пікірлер: 672
@evancechangae
@evancechangae 5 жыл бұрын
Kama hujawahi kupata shida na Mungu akakuponya, basi unaweza usiamini. Ila kwa sisi ambao tulisha ona Nguvu Ya Mungu kwa njia ya YESU KRISTO, TUNAAMINI 100%
@mofatupa3773
@mofatupa3773 4 жыл бұрын
Evance Don daa sawa kabisa kaka yangu
@yonakipe4917
@yonakipe4917 4 жыл бұрын
kaka ulitatua shida yako wapi
@japhethgeriad4519
@japhethgeriad4519 4 жыл бұрын
Sasa anampulizia hiyo ili iweje?
@evancechangae
@evancechangae 4 жыл бұрын
@@yonakipe4917 Kama unataka kujua kwa nia ya mm kukusaidia upate kusaidiwa, nipe namba zako, nitakuelekeza ndugu.
@evancechangae
@evancechangae 4 жыл бұрын
@@japhethgeriad4519 jina lako ni la ki kristo, hivyo naamini wewe pia ni mkristo. Ukisoma kitabu cha 2Wafalme 2:19 utaona namna Elisha alivyotumia maji kwa kumuomba Mungu ayabariki na yakaponywa magonjwa na mapooza mbalimbali.
@speciozalucas8721
@speciozalucas8721 5 жыл бұрын
YESU anaweza sanaaa Nguvu ya Mungu wa madhabahu ya Ukombozi na Mimi anitoe kwenye utumwa wowote ninaotumikishwa na maadui zangu wote anitoe kwenye mashimo ya wachawi kwa jina la YESU
@christinayona339
@christinayona339 5 жыл бұрын
Mungu mwema
@hekimakihaliye3455
@hekimakihaliye3455 4 жыл бұрын
Shida kubwa iko kwa hao manabii wa kisasa tukisoma mwanzo hadi ufunuo hakuna nabii hata mmoja aliye wahi kutumia shida za watu kama matangazo bali walinena neno la mungu na kutabili
@celinamgundoi5601
@celinamgundoi5601 4 жыл бұрын
Nimejikuta nalia kwa mapito ninayo yapitia naamini Mungu aliye mpinya neema ndio atakae iponya familia yangu Amina
@bgproduction8212
@bgproduction8212 4 жыл бұрын
amina
@peterbundala7846
@peterbundala7846 4 жыл бұрын
My My
@tumaurassa7225
@tumaurassa7225 4 жыл бұрын
Amen hakika Mungu ni muweza wa yote
@nancyshamba2441
@nancyshamba2441 4 жыл бұрын
Amen Sana pastor wang. Nimelia Sana Kwan kuna watu wengi kama hao. Yesu Yupo yupo Amen Sana pastor wang. Mungu akubariki Sana Amen
@lydearkadigiri6523
@lydearkadigiri6523 4 жыл бұрын
Hakuna asichoweza yesuu utukufu kwako Mungu wangu
@verygoodjeremia4184
@verygoodjeremia4184 3 жыл бұрын
Vp
@benjaminsijaona2975
@benjaminsijaona2975 4 жыл бұрын
Mungu yupo kwa wamtumikiae na anaponyaaa haleluyaa ndan ya ukomboziii
@raphaelkiyeyeu4869
@raphaelkiyeyeu4869 3 жыл бұрын
Mungu mwema kila wakati
@paulofesto7812
@paulofesto7812 4 жыл бұрын
Amina san mungu ww ndiwe pekee ndiye mfaliji wa maisha yetu kuwa nami nasi bwan aaaaaameeeeeeeee
@janerosakubai4233
@janerosakubai4233 4 жыл бұрын
Praise God namshukuru mungu kwa uponyaji . Nami pia niko kenya county ya meru naomba unisaidie na maombi kwa ajili ya familia yangu adui wametuinukia kuturudisha nyuma I need ur pray pastor & u pray will help me a lot.
@amosmadaha6428
@amosmadaha6428 5 жыл бұрын
Mungu wewe nimwema endelea kutenda miujiza kupitia kwa watumishi wako na iwe hivo!! Amen
@jenniferlopezy7708
@jenniferlopezy7708 3 жыл бұрын
Mungu hashindwi kitu
@honesttz
@honesttz 3 жыл бұрын
Shukran sana mtumishi wa mungu hiki kitu kimenigusa mungu amtetee, MUNGU Mwema sana.🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@everinnyambo2750
@everinnyambo2750 4 жыл бұрын
Oooh Mungu ni mkuu hakuna linaloshindikana kwake nimeguswa sana jaman Mungu u mwema 😭😭🙏🙏
@hadijaswalehe4804
@hadijaswalehe4804 Жыл бұрын
Ameen mungu abariki masom yang kila tareh mby ifunikwe wa dam ya yes krist
@paulsambula941
@paulsambula941 2 жыл бұрын
Mungu ni kwema atatatua shida zetu sote Amen 🙏
@brettahnyivamusic514
@brettahnyivamusic514 4 жыл бұрын
Watched from kenya almost cried.. I Love JESUS.
@cathetarimo5841
@cathetarimo5841 4 жыл бұрын
Yesu ni mambo yote nda n ya roh ukimpata yye umepata vyootee ameen mtumish mungu azidi kukupa nguvu Ila kuna mdgo wng Wang alikufa kimuhigiza Kenya mungu sijui tutampat jamn
@mfakikombo7204
@mfakikombo7204 2 жыл бұрын
@@cathetarimo5841 x x axx
@mfakikombo7204
@mfakikombo7204 2 жыл бұрын
Ax v. ideo
@richardkigeso5788
@richardkigeso5788 3 жыл бұрын
Nabii Marisa nakumkubali Sana mungu azidi kukupatia maono na upako wa ajabu ,..
@ruthmwangi3199
@ruthmwangi3199 3 жыл бұрын
🤚🤚🤚🤚🤚AMEN and AMEN from.saudia. aribia
@priscahnyawera2569
@priscahnyawera2569 3 жыл бұрын
Naomba mungu atupe ama n subra yake siku zote za maisha yetu n atushushie baraka zake mpka madui washagae wajue kuna mungu yu hai Amen
@julynavy2
@julynavy2 4 жыл бұрын
I love what the power of God can do. Amen amen. Glory to Jesus
@speciozalucas8721
@speciozalucas8721 5 жыл бұрын
Amen 🙏 baba yangu Mungu akupe maisha marefu
@winnyshayo8812
@winnyshayo8812 5 жыл бұрын
GLORY TO GLORY.. MUNGU WA UKOMBOZI NI FIREEEEEEE.
@rosesilas5793
@rosesilas5793 4 жыл бұрын
Riko wapi hili kanisa
@edingtonkiwas7050
@edingtonkiwas7050 4 жыл бұрын
Amen MUNGU akubariki sana mchungaji nafuraha sanaa ninapoona uponyaji asante YESU MUNGU akubariki sanaa mchungaji
@VeronicaVeronica-mn2gi
@VeronicaVeronica-mn2gi 18 күн бұрын
God is good, na mm naomba uponyaji,na kibali katika kazi
@dorcassmarco3425
@dorcassmarco3425 Ай бұрын
Amine 🙏🙏
@kileshsolomon
@kileshsolomon 3 жыл бұрын
Glory to Lord. Mungu n mwema. Watching from Nairobi Kenya almost crying
@fatmahmosa5224
@fatmahmosa5224 2 жыл бұрын
Watching from saudi Arabia
@benjaminsijaona2975
@benjaminsijaona2975 4 жыл бұрын
Yesu nisaidie nipate kazi mwaka huu nguvu ya ukombozi inisaidie nipate kaziii nisaidieeee
@reganykasisi1386
@reganykasisi1386 4 жыл бұрын
Polen sana watumishi wa mungu mnaolitangaza neno lake na me kweny familia yetu mdg ang amenitoka af sielewi mpaka leo eee mungu tunusulu kondoo wako amenii
@dianashaban7358
@dianashaban7358 4 жыл бұрын
Mungu ndo muweza wa yote
@dianashaban7358
@dianashaban7358 4 жыл бұрын
Ubarikiwe mchungaj
@zulfasilverstar548
@zulfasilverstar548 4 жыл бұрын
Huyo dada kajitahid kufanya filamu mmulipe hela yake. Akimaliza hapo
@zawadigaston8995
@zawadigaston8995 3 жыл бұрын
Acha kushindana na mungu we dada rohh
@pgstudios1693
@pgstudios1693 2 жыл бұрын
Mungu aendelee nabii wa bwana napenda kufuatilia sana ibaada zako baba mimi niko sumbawanga kalambo
@mzboynubie6550
@mzboynubie6550 3 жыл бұрын
Amina sana mchungaji umenifanya niamini sana japo nilikua siamin kwa hilo
@tonywhite9057
@tonywhite9057 2 жыл бұрын
mchungaji Hongera kwa kazi ya mungu ukovizur ila kunatatizo nmeliona kwako unawapelekesh san mpak wanashndwa kkuelewesh vzr chunguz hilo na lifnyie kaz Ameen
@abelmasinde4847
@abelmasinde4847 3 жыл бұрын
Naamini huu ushuhuda , Mungu ni mwema
@mwaminiamanda2133
@mwaminiamanda2133 5 жыл бұрын
YESU nitendeye ulivyo mtendeya binti huuuu amina
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 5 жыл бұрын
Mchungaji niguse nami.Amina
@annakiswaga4559
@annakiswaga4559 5 жыл бұрын
Asante kwa uponyaji Mungu wa ukombozi
@joyfavourmusanga958
@joyfavourmusanga958 4 жыл бұрын
Amen!! Mchungaji naomba maombi kwa ndugu yangu,
@reganlenard5533
@reganlenard5533 3 жыл бұрын
God is great,thank your
@reganlenard5533
@reganlenard5533 3 жыл бұрын
Amen mchungaji naomba maombi kweny familia yetu
@yusraibrahim9021
@yusraibrahim9021 3 жыл бұрын
Mim ni msilam lkn napenda Sana kukufatilia mtumishi WA Mungu natamani nami nipokee uponyaji kila nikiingia kwenye mahusiano sidumu kila nikipata pesa sifanikiwiii maisha yang nimagu sana niponye Baba
@claudemuhire1327
@claudemuhire1327 Ай бұрын
Kwanza mpokee Yesu Kristo kama mwokoze na mfalme wa maisha yako
@japhethgeriad4519
@japhethgeriad4519 4 жыл бұрын
Yaani kizazi hiki kinapenda miujiza sana yaani ibada nzima ni miujiza tu neno la Mungu kwa uchache
@braxedeswafula5838
@braxedeswafula5838 4 жыл бұрын
Hakika yesu yupo na anaweza na anatenda. Yesu nitendeeeeeeee
@chrizostomchrisant6793
@chrizostomchrisant6793 4 жыл бұрын
Ukombozi tivii
@dorothybanchiri6613
@dorothybanchiri6613 4 жыл бұрын
Glory to God with God everything is possible
@dorothybanchiri6613
@dorothybanchiri6613 4 жыл бұрын
sijui haki nimewatch youtube haki
@evflorasoledad1437
@evflorasoledad1437 4 жыл бұрын
Amen and Amen so powerful, Glory to the most high God.
@rodahgesareonsarigo8857
@rodahgesareonsarigo8857 4 жыл бұрын
Amen
@leonardanzurunipombi2499
@leonardanzurunipombi2499 3 жыл бұрын
Hallelujah utukufu apewe YESU
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 4 жыл бұрын
Amina
@blesskulengya5579
@blesskulengya5579 4 жыл бұрын
Anakula wali aleluya anakunywa na sodaa 😂😂😂😂😂😂 kuokoka Raha sanaaaaa
@rahmashabani6483
@rahmashabani6483 5 жыл бұрын
Misukule mnene kweli alukua sehemu nzuri naona
@mediabdallah2414
@mediabdallah2414 4 жыл бұрын
rahma shabani alikuwa anakula nyama
@hamzamajiyachai2079
@hamzamajiyachai2079 4 жыл бұрын
rahma shabani 😂😂
@neemajosephati8403
@neemajosephati8403 4 жыл бұрын
Akili huna Mpumbavu mkubwa
@officialjohanesmkandara4301
@officialjohanesmkandara4301 4 жыл бұрын
Sometimes unaweza usiamini kama kinachotokea ni kweli au sio kweli ila kikubwa imani yako ndo inakuponya🙏🙏
@fatmahmosa5224
@fatmahmosa5224 2 жыл бұрын
With God everything is possible
@saidimiraji1903
@saidimiraji1903 4 жыл бұрын
jamani pole hospitali ya muhimbili na mwananyamala kuna wagonjwa wengi sana wengine hupoteza maisha kama kweli nendeni mkawaponye
@seifsharrif4461
@seifsharrif4461 4 жыл бұрын
Walio wengi hawana imani wenye imani wanaifuata tena kama hao
@nuruhemedy7242
@nuruhemedy7242 4 жыл бұрын
Seif exactly
@highzacknnko4002
@highzacknnko4002 4 жыл бұрын
Kwani mtumishi ndio anaponya au Mungu wagonjwa hata wakati wa yesu walikuwepo
@vivianmwenda9729
@vivianmwenda9729 2 жыл бұрын
Hakuna kama mungu, watching from Dubai
@melkzedeckpeter8538
@melkzedeckpeter8538 4 жыл бұрын
Mungu mkubwa asante yesu umeonekana kwa neema
@deborahemanuel4867
@deborahemanuel4867 4 жыл бұрын
Mungu akuxaidie mpendwa daaa
@asmajumaa955
@asmajumaa955 4 жыл бұрын
Uwongo mtupu mbona kuna watu kibao wana umwa hamuendi kuwaombea waka pona muna taka waisilamu wafate dini yetu poleni mungu atawandinda na moto unawasubir wapumbavu wakubwa hamuna kazi za kufanya tu
@rusidangajagu9160
@rusidangajagu9160 2 жыл бұрын
Mungu mkubwa nimejikuta machozi mungu anisaidie kweri mungu yupo Asante baba yetu
@neemaisaya5426
@neemaisaya5426 3 жыл бұрын
Mungu anayenda kwa jina la yesu
@samuelnduati9792
@samuelnduati9792 5 жыл бұрын
Ameen daddy, ubarikiwe sana.
@yahayaally3145
@yahayaally3145 2 жыл бұрын
Mungu akuongoze mtumishi wa Mungu uokoe watu wengi zaid
@princessluzalia2687
@princessluzalia2687 4 жыл бұрын
kweli mungu ni waajabu pia mm aliniponya baada yakugojeka kwa miaka kimi na kutupa pesa migi hospital
@festoelias7884
@festoelias7884 3 жыл бұрын
Hakika Mungu yupo, Mungu akutie nguvu mtumishi wa Mungu azidi kukuinua katika huduma yako
@winifridakasibu2900
@winifridakasibu2900 2 жыл бұрын
Ameniiii mungu
@ezekielbagayumwe5998
@ezekielbagayumwe5998 3 жыл бұрын
Jamn ndugu zangu tumwamin yesu anaweza
@alla1325
@alla1325 3 жыл бұрын
Amen man of God
@RabiaIsmail-r2f
@RabiaIsmail-r2f Ай бұрын
Hakuna lisilowezekana Kwa Yesu ni kuamini tuu
@mozzaliuleiza9288
@mozzaliuleiza9288 4 жыл бұрын
Nyie muogopeni mungu unasemaje "nabii wa mungu" nyinyi
@sarahmaganga7073
@sarahmaganga7073 3 жыл бұрын
Unapatika nawpi nimurete mama yangu
@maryhamis1619
@maryhamis1619 4 жыл бұрын
hakika matendo ya mungu ni ya ajabu
@lydiamcharo5148
@lydiamcharo5148 4 жыл бұрын
kweli mungu anatenda
@jaquellinebahufite6026
@jaquellinebahufite6026 4 жыл бұрын
Nikweri mungu anaweza yani mimi nafurahi kuriko kwakuna kwako dada mungu adifiwe
@teklajustus2574
@teklajustus2574 2 жыл бұрын
Anayesema ni kuigiza naye yampate makubwa kwa jina la Yesu atuachie ukombozi wetu uliojaa upako
@marychris1457
@marychris1457 3 жыл бұрын
Amen ....kwa kweli mungu anaweza
@mushagalusakulimushivincen3809
@mushagalusakulimushivincen3809 2 жыл бұрын
Amen j'abite à Au Congo presisment à Bukavu 🇨🇩
@rajabumoshi9357
@rajabumoshi9357 4 жыл бұрын
yani nilipata uponyaji wamwanangu Nashukulu madhabau ya ukombozi
@frolamahendeka16
@frolamahendeka16 5 жыл бұрын
Mungu.wa ukombozi anaponya zaidi
@sabinachreanch7744
@sabinachreanch7744 5 жыл бұрын
Amina kubwaa mtumishi wa Mungu, Yesu mtenda miujiza ni mkubwa mnoo
@kefulinmathias2738
@kefulinmathias2738 4 жыл бұрын
Yesu anaweza
@AliMassude-qk7zl
@AliMassude-qk7zl Ай бұрын
Shuguri hii gharama ni kiasi gani ndugu mtumishi wa mungu
@merrysaloni955
@merrysaloni955 3 жыл бұрын
Mungu ni mwema ,kumcha mungu ni chanzo.cha maarifa
@marynyasuguta7934
@marynyasuguta7934 2 жыл бұрын
mkono w mungu n mrefu kwa kuponya atukuzwe mungu
@fadhilipeter4864
@fadhilipeter4864 2 жыл бұрын
Kazi nzuri sana ubarkiwe na mungu
@vivianmwenda9729
@vivianmwenda9729 2 жыл бұрын
Ameen! Glory to God
@evancechangae
@evancechangae 5 жыл бұрын
Kuna kauli ameitamka NABII hapo mwishoni kuwa, "Umepokea muujiza, ina bidi uutunze!" Kwa wasio elewa, tambua kuwa NI LAZIMA KUTUNZA MUUJIZA WAKO maana umeponywa kwa mkono wa Yesu. Ina bidi uishi kadri ya maandiko matakatifu. Kinyume na hapo, shetani hurudisha ugonjwa!
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 4 жыл бұрын
Ni kweli Evanci sie tunaamini kozi yashatukuta mengi mungu Akasaidia na Sasa unaamini ndio wakionaga wengi utasikia hivyo ekt eti jaman
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 4 жыл бұрын
Hayo mambo yapo ya nilihisi mama yake
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 4 жыл бұрын
Da poleni
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 4 жыл бұрын
Maskin da anaonyesha kweli alikuwa hajiwezi tulikuwa tu naonaga jangwani makombezi kama hayo viwete wanatembea
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 4 жыл бұрын
Mzazi hapo haamin anafurahi
@yasmineyasmine5489
@yasmineyasmine5489 5 жыл бұрын
Mungu wa ukombozi hakika ni mkombozi
@fransciscahndakala1571
@fransciscahndakala1571 4 жыл бұрын
Glory be to God forever 🙏🙏
@jeniphernassary8492
@jeniphernassary8492 3 жыл бұрын
God be with you
@clementinebredah4225
@clementinebredah4225 2 жыл бұрын
May GOD bless you
@suphianathuman7381
@suphianathuman7381 3 жыл бұрын
Jina LA Bwana ni kuu na lina nguvu kama kweli mnatenda kwa jina LA Bwana wetu mkuu jina lake limidiwe
@hekimakihaliye3455
@hekimakihaliye3455 4 жыл бұрын
Mimi naamini ktk mungu ila njia hizo watumiazo hao kimaandiko sio sawa ni nguvu nyingine niombe mungu atuhurumie
@mundelejudith3940
@mundelejudith3940 2 жыл бұрын
Garry to God mungu asifiwe
@gracekadiva6659
@gracekadiva6659 3 жыл бұрын
Jina la Bwana yesu kristo wa nazareth Libarikiwe
@jamesnangachi1411
@jamesnangachi1411 4 жыл бұрын
Unamuombea mtu apate tatizo kweeli wewe nabiii, ningetemea ungesema watu kama hao wanaozihaki miujiza ya mungu kupitia nyie mungu awasaheme tu maana hawajui wayanenayo kutoka kwenye vinywa vyao, Ila wewe unaomba mtu ampate tatizo duuhh, mdomo wangu mie wapendwa mnisamehe kama nimekurupuka kwenye Hilo😂😂🙏🙏
@emmakulathaemmanuel2432
@emmakulathaemmanuel2432 4 жыл бұрын
Hy nikwer hujakurupuka
@amourbrown999
@amourbrown999 2 жыл бұрын
wiz mtupu
@rosemoraa8850
@rosemoraa8850 4 жыл бұрын
Amen sifa kwa mwenyezi mungu
@gireeshbhaskar9205
@gireeshbhaskar9205 3 жыл бұрын
Asante yesu
@lastqueendouglos9798
@lastqueendouglos9798 3 жыл бұрын
Mungu ni mwema 🙏🙏🙏🙏
@mercymbuanyamainyamai3012
@mercymbuanyamainyamai3012 3 жыл бұрын
God is good all the day the time
@speciozalucas8721
@speciozalucas8721 5 жыл бұрын
Huyu Mungu ni wa maajabu
@magomaloyce7430
@magomaloyce7430 5 жыл бұрын
Mungu ni mwenza wa yote
@peterjiyumba3065
@peterjiyumba3065 3 жыл бұрын
Hema la kijani la ukombozi ni fire
@ndimyakejacob8004
@ndimyakejacob8004 3 жыл бұрын
Napokea uponyaji katik familia yangu mungu mponye baba angu
@jovitangailo281
@jovitangailo281 3 жыл бұрын
Mung tuxaidie
@susanandolo6659
@susanandolo6659 4 жыл бұрын
Naomba MUNGU uniponye nami jinsi ulivyo mponya huyu binti asante mungu kwa uponyaji
@magrethabel416
@magrethabel416 3 жыл бұрын
Ameen 🙏
@zalikaknangobi3390
@zalikaknangobi3390 4 жыл бұрын
Thank you so God
@vailetandrew7044
@vailetandrew7044 4 жыл бұрын
mungu anatenda miujiza yakee amin
@rachelkenya4858
@rachelkenya4858 2 жыл бұрын
Ooh lord your is fire
@user-op9wo7yu7q
@user-op9wo7yu7q 5 ай бұрын
Amina baba
@stellathomas4818
@stellathomas4818 3 жыл бұрын
Amen barikwa
@vquicktv
@vquicktv 4 жыл бұрын
sasa mchungaji , watu mbona tunazidi kuteseka na corona jamani si utusaidie?
@rahemaramadhan1234
@rahemaramadhan1234 3 жыл бұрын
Yaani we kweeli umeneena
@iddyjumanne2624
@iddyjumanne2624 3 жыл бұрын
Corona ipokwenye mpango wawakuu wao hawawezi fanya chochote yesu alisema jitahazarini na manabii waongo ndiohawa sasa
@roseindekhwa5167
@roseindekhwa5167 5 жыл бұрын
Amen dady
MTOTO WA MRISHO MPOTO AWALIZA VIONGOZI KWA UCHUNGU
17:36
MrishoMpoto
Рет қаралды 142 М.
MALIKIA WA KUZIMU ANAETEKA WANAUME AKAMATWA LIVE.
17:32
UKOMBOZI TV
Рет қаралды 1,1 МЛН
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 45 МЛН
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 47 МЛН
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 32 МЛН
Mchawi muuwaji aanguka na kujisalimisha mbele za Yesu Kristo
27:38
UKOMBOZI TV
Рет қаралды 1,3 МЛН
MAMA MCHUNGAJI AWEKA WAZI UCHAWI WAKE
37:02
Robert Tv Tanzania
Рет қаралды 106 М.
AFUNGULIWA NA KUTENGWA NA NDOA YA KIROHO (FULL VIDEO HD)
24:00
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 72 М.
MBINU ZA KUOMBEA MAJARIBU || Mwl Christopher Mwakasege
1:23:21
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 146 М.
UKIOTA NDOTO NYOKA KAINGIA KATIKA CHUMBA AU OFSINI........ || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE
4:26
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 62 М.
mchawi muuaji ajisalimisha madhabahuni
11:35
UKOMBOZI TV
Рет қаралды 2,8 МЛН
ITAKUTOA MACHOZI: MFANYA KAZI WA NDANI AMNYONGA MTOTO WA MIEZI 6/UCHAWI
25:46
MUDA WA KUFANYA  MAOMBI YA SHABAHA - KUHANI MUSA
24:28
NGOME YA YESU KRISTO
Рет қаралды 24 М.
Nyota Yako Ina Thamani | Maombi Ya Kuombea Taifa | Pastor Tony Osborn
21:11
Pastor Tony Kapola
Рет қаралды 132 М.
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 45 МЛН