JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV. KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.
Пікірлер: 36
@MazuriMakame13 күн бұрын
Kak hongera nmekufuatilia xna jembe unajua
@emanuelkamaghe264711 күн бұрын
Huyu fala ni mshabiki wa yanga Wala SI simba huyu wakati chama yupo simba alikuwa anamponda saizi anasema chama mkubwa huyu ni mnafiki sana acha aendelee kutuungisha jezi,mwenye hakili utaelewa.
@WilfredMwakatenda-it7oq13 күн бұрын
Mchome big up.waambie ukweli uko siku watakuelewa.wakiwa wenyewe.wanakubali wakitoka public wanadanganyana
@MamboMbuli13 күн бұрын
Wewe mchome,ndiyo umeumia sana,hatuwezi kubwa na shabiki kama wewe mwenye mtizamo finyu ,huyo chama tumeshamtumia sana,,kama wewe unampenda hamia nae yanga,🎉chawa wewe huku kwetu mtu kama wewe tunakufananisha na dodoki
@user-md7sd3hk6l13 күн бұрын
naona mchome ina kuuma sana aucho pancha pacome mwezi mmoja atuja muona uwanjani kaonge zeka mzee chama ana mikimbio kazi unayo na kuumia una umia wewe kuusu chama mukwala ndiyo abali ya mjini
@faharindanzi372412 күн бұрын
Aucho pancha na pakome mwezi mmoja walikuwepo wakati mnalambwa tano
@UmarRachideMussa9 күн бұрын
Muacheni liyenasi mana munabowa babu pasuwatu usijali pamoja sana
@WilfredMwakatenda-it7oq13 күн бұрын
Mchome anajua boll wengine mnapelekwa na ushabiki.yan hamtaki kuambiwa ukweli.ukweli inauma lakini ni dawa.ukwaju
@EllyMollel13 күн бұрын
Muonee unatepela Simba wew wewaa
@SerafiniAxweso13 күн бұрын
Mpumbavu sana mchome njaa inakusumbua
@silasjacob-j2l13 күн бұрын
we mchome mwanamke umezaa nae watoto kumi ko yeye unadhani hakuchoki
@user-li6zg6tg7o13 күн бұрын
Sema huyu jmaa sometimes ni mnafiki saaan Bora uwe mkweli na muwazi
@UmarRachideMussa9 күн бұрын
Kwele viongoni wanazinguwa wapasuwe nzee ama wape vidonge
@christopherngereri7613 күн бұрын
Wewe ni chizi sana aisee
@user-xl5sv7lz4g13 күн бұрын
Kwa mimi sijaumia choko wew Alafu wew ni munafik ikwezkana vua iyo jezi iyo bonasi gani
@user-rv3ml6cf7e13 күн бұрын
Mchoooomeeee
@salehechumu848413 күн бұрын
Mimi shabiki wako mchome wachome wachome wachome mpaka wakome hao
@christinahrute782612 күн бұрын
Umebaki wewe madhabiki wenzangu tumpe thank you
@abdallahakida790813 күн бұрын
Sasa shida iko wapi siwafanye yao na uongee na wao na ujiunge ma wao msaliti
@abdallahakida790813 күн бұрын
Huyu ni mnafiki na nimtu wa kuiharibu simba kisaikologia sasa ulitaka asajiliwe mamako mjinga wewe si unyamaze ufurahie ya yanga
@abdallahakida790813 күн бұрын
Kwani chama alikua anacheza peke yake
@christopherngereri7613 күн бұрын
Huyu jamaa choko
@silasjacob-j2l13 күн бұрын
unatafta chai kwa gsm mchome nenda wakupe
@reonardchatanda637113 күн бұрын
Kweli Mungu katutofautisha sana kwenye uelewa Sasa apo mchome kakosea Nini? Mbona anaongea ukweli mtupu?
@yusuphwaziri12 күн бұрын
Uyu dogo Kuna siku atava jezi ya kijani
@user-qw9zu3ly8m13 күн бұрын
Wewe msenge Mfuate uko uko tena Koma kuichafua timu yetu vua jezi iyo umumizwa wewe peke yako
@abujumanne757012 күн бұрын
Wewe ni umbwa wa yanga bana acha kujichoresha
@christopherngereri7613 күн бұрын
Unataka wasajili ninini
@christopherngereri7613 күн бұрын
Duuu
@user-qw9zu3ly8m13 күн бұрын
Chizi wewe
@abdallahakida790813 күн бұрын
Uchambuzi wako feki kwani chama akicheza na hana wachezaji wakumchezesha na atafunga kweli hiyo sio hoja mjinga .mchezaji anaweza kua mzuri but wenzake wakawa wabovu
@reonardchatanda637113 күн бұрын
Jamaa anaongea ukweli na uhalisia wa Simba ya msimu uliopita. Kwaiyo mnapenda kudanganywa na Ahmed Ally? Mnampenda mtu anaesifia hata vitu vibovu. Jamaa yupo sahihi. Na uwo ndio ukweli.
@NyasanaTv-ol4ix13 күн бұрын
Wewe shoga wa juma mwiko vp unaongea nini utapakuliwa sana
@user-uh7to2kw2z13 күн бұрын
Matusi 2 kuoga aah😏
@MusaMsangi-vz7eq13 күн бұрын
inster ya chama imeshabadilika
@WilfredMwakatenda-it7oq13 күн бұрын
Mchome anajua boll wengine mnapelekwa na ushabiki.yan hamtaki kuambiwa ukweli.ukweli inauma lakini ni dawa.ukwaju