Taqbir Allah akbar... Mungu akuzidishie iman ktk dini ya haki ya kiislam...
@donaldmpagaze98032 жыл бұрын
Mungu ni mwema na akuongoze uwe na amani kwa maamuzi yako ukweli utabaki kuwa ukweli na naamini Mungu anakuona na anakusikia nakutakia safari njema
@peternjelutv12732 жыл бұрын
Neema bado ipo kijana rudi kwa YESU, Kwahiyo kilicho kurudisha ni kwa sababu ndugu walikutenga ulikuwa bado auja okoka wewe, Wokovu au kumfwata Yesu nikukubali kutengwa na ndugu jamaa au marafiki ambao watainuka kinyume na Imani yako.
@monicajohn96722 жыл бұрын
Tumsamehe hajui atendalo, nina imani kuna ck atarudi kwa Yesu. Yesu aliwaambia akina Simon waache vyote walivyonavyo na wamfuate yy, ss yy anazungumzia ndg ck ya hukumu atakwenda nao?
@thekingdragon83582 жыл бұрын
@@monicajohn9672 musome bibilia muelewe na nyinyi mwenzenu kashaelewa bibilia na ndo mana akasilimu alijua yesu ni mtume sio mungu yesu alitangaza aabudiwe mungu mmoja watu waswali na kumsujudia mungu mmoja nyie munaabudu yeye kwani mandiko hamyaoni na mkiyaona mutaslimu tu inshallah mungu awaongoze
@jamalkishangu3 ай бұрын
Ametafakari ameona Ukristo hakuna kitu. Amefikiria juu ya Mungu akiyetahiriwa na watu aliowaumba. Amefikiria juu ya Mungu aliye nyonya maziwa ya mama yake. Amefikiri juu ya Mungu aliye sikia njaa, Mungu aliye pigwa na watu wake aliowaumba. Mungu aliyezikwa na kwenda kuzimu. Mungu aliyekaa na kujadili mambo na shetani juu ya mlima. Mungu asiyejua kusoma wala kuandika. Mungu asiyejua siku ya kiama kitakuwa lini. Akagundua hapo hakuna dini. Akarudi katika dini ya asili, dini ya Adamu na Hawa pamoja na manabii wote waliotumwa duniani.
@beduikubwa1892 жыл бұрын
Alhamdu lillha walaa haula walaa quwwata illa billha allha authibitishe moyo wako katika uwisilim na akuongoze na akupe elimu na faham na yaqini aamin
@hassandinhoosmail63782 жыл бұрын
Allahu Akbar. May Allmighty Allah SW. Protect you Brother Ashraf.🙏❤️
@mdoekibai39912 жыл бұрын
Shekhe muhamed nilikuwa nakuona muumini wa kawaida kumbe unavyombo vya maana Allah akuzidishie inshallah
@imanimaseta81722 жыл бұрын
Huyo hakuwa Mchungaji muulizen vizur ,azijikweze.
@ezekielleonidas57982 жыл бұрын
Hajawahi kuwa hata mkristo
@AtukuzweCharlesMwinyi Жыл бұрын
Kabisa ndomaana nimemwambia anakumbuka alichonifanyia huyo
Ukimsikiliza vzr huyu jamaa UNAPATA kitu Fulani kwamba alipobatizwa aliambiwa amekua kiumbe kipya, lkn Leo amesema anarudi kwenye Imani yake ya zamani maana ndugu zake wazazi wake wote wanaimani ileile, akasema dini ina lugha moja.kitabu kimoja,na namna moja ya ibada, lkn akasema ukristo unakua Sana kwaajili ya umoja wao, nadhani hakua na Neno la KUTOSHA kujazia maelezo kwamba YESU amesema waliomwamini wanatembea nuruni ,na kwamba aendae nuruni aiona njia kwahio umoja upo maana wako nuruni.pia hajasema alikua Mchungaji kanisa lipi mkoa upi wilaya gani Kijiji kipi. Pia wachungaji huwa wanamhubiri YESU lkn huyu asema alikua akihubiri ukristo kwenye MAKANISA Yote Tanzania ,Yani Roma,KKKT Anglikan,movovian,Assemblies of God ,pentecoste ,AIC.Menonite ,Ephatha,Ufufuo na uzima, kanisa la Kristo Nk nk nk
@ashuhunamohamed7997 Жыл бұрын
😂😂😂
@godphreypriest97142 жыл бұрын
Luuka 22:48 Yesu akamwambia Yuda,wamsaliti Mwana wa Adamu kwa kumbusu? Ulivyomkana leo mbele ya wanadamu uwe na hakika Mwana wa Adamu takukana mbele ya malaika zake siku ya Hukumu ile kuu Dini(al-mustaqim)..ndiyo inakufanya uache WOKOVU(Uzima wa milele)? Ayubu 4:6Je!Dini yako siyo mataraja yako,Na matumaini yako sio huo uelekevu wa njia zako? 1Yohana 2:19 Walitoka kwetu,lakini hawakuwa wa kwetu,Maana kama wangalikuwa wa kwetu,wangalikaa pamoja nasi.Lakini walitoka kwetu ili wafunuliwe kwamba si wote walio wa kwetu. 1Petro 2:20-22 Kwa maana wale waliokwisha kuyakimbia machafu ya dunia kwa kumjua BWANA NA MWOKOZI YESU KRISTO,kama wakinaswa tena na kushindwa,hali yao ya mwisho imekuwa mbaya kuliko ile ya kwanza.Maana ingekuwa heri kwao kama wasingalijua njia ya haki,kuliko kuijua,kisha kuicha ile amri takatifu walitopewa.Lakini imetukia kwao sawasawa na ile mithali ya kweli.MBWA AMEYARUDIA MATAPIKO YAKE MWENYEWE,NA NGURUWE ALIYEOSHWA AMERUDIA KUGAA-AA MATOPENI. Sahihi Muslim vol 4,Hadith no 2267 Allah ndiye atiaye tamaa mbaya mbaya,uongo,uasherati katika nafsi za watu kila mmoja humkadiria kwa kipimo chake Qrn 3:54 Wamakaruu wamakaraa ailah,walah kaitor makiriina
@asiakheir86842 жыл бұрын
Allah awarudishe wote walio potea
@Abla_habiba022 жыл бұрын
Amiyn
@mohammedsaleh72412 жыл бұрын
Alhamdulillah mungu awafanyie wepes na wengine wapate kuijuwa dini ya haki
@maryammdoe58012 жыл бұрын
MashaAllah tabarakallah welcome back brother to the our dinil hakki Allah akuhifadhi na akusamehe ulipoteleza
@alhamdulillah57962 жыл бұрын
Waisilamu tusomeni tusikurupuke tukafanya uisilam km vyama vya siasa au imani nyenginezo. Leo upo huku kesho upo kule....Tunajua hukmu ya ritadi anaporudi kwenye uisilam, Allah amkubalie toba yake, amuhuishe, amfishe na amfufue hali ya kua muisilam, amiin.
@samxx4112 жыл бұрын
Wallahi baadhi ya watu wanamtania Mungu, wanadhani Mungu ni kiumbe cha kutaniwataniwa. Mtu anamuhofu Simba, Kiongozi hata shetani wakati ukubwa wa Mungu hakuna chochote chenye uwezo wa kuufikia. Mungu atuongoe
@saidgana30472 жыл бұрын
Inshaallah
@rukiasubeti40556 ай бұрын
@@samxx411omo ombi
@marympochela79034 ай бұрын
BWANA YESU KRISTO alisema ampendaye baba au mama huyo hanistahili
@hamisimkima1172 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭☝🏿🤲🏿🙏🏿 Allah Akupe Mwisho mwema
@umfahad26092 жыл бұрын
ALLAH kasema "thumma kafaru thumma tabu" ulikufu na umetubu. Tunamuomba ALLAH akusamehe madhambi yako.
@ucjvvjcjjvih99342 жыл бұрын
🇹🇿Maashallah karib waislamu sote ndg wala usihofu🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@siamuchunguzi2 жыл бұрын
Kimsingi wewe hujawahi kuwa mkristo maana hata katika mazungumzo yako hufanani na Kristo,,,, naona umeamua kurudi upande ulioona kwako ni sahihi nenda mwana kwenda tuachie Yesu Kristo wetu maana YEYE NI NJIA KWELI NA UZIMA,, NA MTU HAWEZI KUFIKA MBINGUNI BILA YESU KRISTO.....
@hawaamohammed66872 жыл бұрын
Mwenyezimungu akuongoze njia sahihi
@sonnyr18992 жыл бұрын
Sijakuelewa vizuri Teddy maana yake huwezi kufika mbinguni bila kupitiya kwa Yesu ili ufike kwa Yesu? Nifafanuliye vizuri
@mussamsanu1544 Жыл бұрын
Ni sawa Yesu ni njia huwezi kwenda mbinguni mpaka upitie kwake. Lakini ni wanani hao ambao hawawezi kwenda mbinguni mpaka apitie kwa Yesu. Yesu anatoa jibu anasema "Sikutumwa ila kwa kondoo wa nyumba ya Israel waliopotea." MATHAYO 15 : 24. Kwa hiyo ndugu usijifarague bure. Ni kawaida yenu kukataa pale anapotokea mkristo àkasilimu, ila mnapowarita waislamu wa kupanga. Huyo alikuwa mkristo hilo halinashaka hata kidogo.Hao akina Mwaipopo hawakuwa wakristo mnona hamkanushi? Acheni porojo mtaangamia bila ya sababu.
@Nily-kz3db7 ай бұрын
Yesu N Njia Mt2 Haend Kw Baba Ilaa Kuptia Mm Yesu ,mbn Unanfcha hapa, Ndugu Yet2,Yesu Mtume Ana Mungu wake,tunashngaa mnatangaza Kua Yesu Mungu,Sasa Kuna Mungu wawil nyie wakrsto
@Sandra398232 жыл бұрын
Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunitoa katika ukafir
@hassanhhh86512 жыл бұрын
Mwanzo kwani ulikuwa huko
@mrok2842 жыл бұрын
Allah atuongoze sote . Atuepushe na ubabaifu wa Imani. Tumekuwa waislamu na Allah atufeshe tukiwa waislamu. Amin
@alhamdulillah57962 жыл бұрын
Na atufufue tukiwa waisilam, amiin Yaa Rabb
@oman77102 жыл бұрын
@@alhamdulillah5796 Allahumma amiiin Yarabb
@umfahad26092 жыл бұрын
Allahuma amiiin.🤲
@othmaniselemani6322 жыл бұрын
Atufishe tukiwa waislaam na atupe mwisho mwema amiin
@shadrackwilfred26062 жыл бұрын
Yesu ni Mungu wenu wote
@HijaSalimuАй бұрын
Makafiri msichukie Karibuni kwenye haki
@ezekielleonidas57982 жыл бұрын
Siamini kama mtu aliyepokea Roho mtakatifu anaweza akawa mwisilam maana ametiwa muhuri hata ameshapita kutoka mautini kuingia uzimani na ametiwa muhuri hawezi kurudi dhambini waefeso 4:30
@odingamalambilo90702 жыл бұрын
Yohana 3:17, Huwezi kumpokea Yesu ukarudi nyuma , maana Yesu mfuatilie hajawahi kishindana
Alhamdulilahi Allah Karim naomba na mimi na sisi wote waja wa Allah atuongoze kwenye uislamu njia ya haki na ya kweli naomba na kizazi changu pia kielekee kwenye haki inshaallaah
@soudshanani58472 жыл бұрын
"utawaona watu wana ingia dini ya mwenyezimungu makundi kwa makundi"Quran ilishamaliz yote hya Allah azid kuwapa sahal waja wake walio poteaaa
@shadrackwilfred26062 жыл бұрын
Uislam mwisho wake hapa hapa duniani
@shamzone3882 жыл бұрын
@@shadrackwilfred2606 ndio unavyojidanganya
@shadrackwilfred26062 жыл бұрын
@@shamzone388 kinachokudhibitishia kuwa ninadanganyika ni nini
@Ukhtyzuhura2 жыл бұрын
Amiin
@Ukhtyzuhura2 жыл бұрын
@@shadrackwilfred2606 Inna Lilahi Wa Inna ilayhi rajiuun
@charlesmapunda59052 жыл бұрын
Majini yamekuzidi na njaa zimekuzidi umeshindwa kuyadhibiti Majini na Familia ukaona urudi kutumikia Majini pole sana
@salimmalaka2562 жыл бұрын
MAPUNDA WEWE NI KONDOO WA VATICAN.
@maryamabdallah31402 жыл бұрын
Njaa itokee wapi wakati alikuwa kanisani mahali penye pesa....huku kwetu hakunaga pesa bali kaijua HAKI na ndiyo aliyoirudia baada ya kuijua KWELI @ Charles
@Motheking-ps2tl7 ай бұрын
Yesu aliongea na majini uso kwa uso. Marko 5:9
@hassanjonas14912 ай бұрын
Wewe Kaka wislamu nidini yahaki haina vitu vya hovyo kama madhehebu mengine kaka
HUYU JAMAA NIMSANII SIYO MCHUNGAJI WALA ALIKUWA MIINJILISTI KEKEI TI AKAFUKUZWA ASI DANGANYE KUWA ALIKUWA MCHUNGAJI KAFILISIKA HUYO
@AbdalaRamadhani-by6bt5 ай бұрын
Polesaanaa kwa upotevu uliopitia Allah akuongoze katika haki iindio dini ya haki
@januarynicholas80882 жыл бұрын
Mbona nikawaida mimi nampenda Yesu wangu nasitamwasha
@husseinkiruta17122 жыл бұрын
Sasa inatuhusu Nini
@salumsodangu1372 Жыл бұрын
Hata waislam wanampenda yesu Sana Tena Sana Zaid ya nyinyi ambao mnamzushia kua mungu, mwanawa mungu,kafa msalaban,mala kafufuka na mengine mengi mfano wa hayo .
@christinambwilo81012 жыл бұрын
Mungu akusamehe
@selemanimartin10812 жыл бұрын
Jiombee nafsi yako, yeye amesharudi ktk njia iliyo nyooka: utajuta siku hiyo usipo badilika kuwa Muislam
@husseinmohamedjama63162 жыл бұрын
Ma sha allah tabarakallah Karibu ktk Uislamu tena Allah akudumishe ktk Uislamu wewe na sisi sote atufishe hali ya kuwa ni Waislamu. Kama kuna namba ya M pesa tunaomba tuchangie sadaka ya Msikiti Barakallahu fii kum
@BABDEOMILADU2 жыл бұрын
Namba yake ipo hapo kwenye video inapita, au mwsho huko kaitaja
@alhamdulillah57962 жыл бұрын
Na amfufue muisilam, amiin.
@AbdallahSaidi-wk5yhАй бұрын
Hata Mimi nilikuwa mkiristo Nikasilim Nashukulu mungu kuniongoza
@Antipasmsabaha1232 жыл бұрын
Huyo ni njaa ndo inampeleka huko na kuona , we muna mujua ayubu alipataka mateso gani? Hata mu badirishe majina sio moyo, na huko Kija na muna munulia gari mbili imoja inagonga moter ingine ajali kisha hapo ataenda kwa dini gani? Ndo wale doctor mwaka alisema hivyo munaona mpya kabisa.
@yakobomkristo8722 жыл бұрын
Ukimaliza Kurudi Nyumbani 👉 Rudi Mjini Kama Mzee Taarabu 😂😂😂🤸🤸🤸
@godwinkileo77022 жыл бұрын
Yesu kasema ukinikana na mimi nitakukana siku ya kiama
@bauchatv50082 жыл бұрын
Mashallah mashallah mashallah Allah amuongoze KATIKA inami Inshallah
@wilfredlukowo94762 жыл бұрын
Pole kwa yaliyo kukuta nafasi ipo kwa YESU
@selemanimartin10812 жыл бұрын
Yesu hakutumwa kwako, unajikomba, tu
@georgenkaya9052 жыл бұрын
Msidanganyike huyu hajawahi kuwa mchungaji alikiwa mwinjilisti na ameondolewa kazini kutokana na tabia zake zisizoridhisha asiwadanganye kupata umaarufu akumbuke Mungu hadhihakiwi
@محمدالقايد-د6ب2 жыл бұрын
Umenena😄
@charlesmapunda59052 жыл бұрын
Hakuna mchungaji hapo huyu uzinzi ndio umemtoa huko tabia za Waislam ni kuoa Wanawake wenye umri kama Mama zao na Vitoto vidogo ambavyo havijitambui na ukute bado kinatakiwa kusoma lakini wanawakatisha masomo na Kuoa wanawake wengiwengi yote hayo Mtume wao kafanya eti na wao wanaiga huo upuuzi sijui akili za hawa watu zikoje
@shamzone3882 жыл бұрын
@@charlesmapunda5905 wewe una dini yako na yeye ana dini yake... Kwa hiyo tulia tu
@charlesmapunda59052 жыл бұрын
@@shamzone388 Tutulie ili azidi kuongea uzushi huyo muongo alikwenda kujifunza Biblia ili aje kutumika kwa upotoshaji na wasio.jua kabisa Biblia basi kila atakalo sema waislam lazima wamkubalie maana hawana upeo wa kuyajua maandiko kiroho
@amijeyjeymiwani74662 жыл бұрын
hujui ulisemalo bora ukaekimya
@Yesunimwokozi1 Жыл бұрын
Umeijua kwel..na sasa umepotea tena... YESU ATAKURUDISHA KWAKE TU
@ndikumanainnnocent77962 жыл бұрын
Asalam alykum www karibu tena kwenye dini yahaki nakutoka kwenye giza
@benedictntilla69432 жыл бұрын
Kumbe ameondolewa kwa sababu ya maovu yake sasa kwa akili yake anadhani anawakomoa wakristo kumbe waumini ambao alikuwa nao wanamuona pole sana.
@abdulrahmansalim977328 күн бұрын
MA SHAA ALLAH
@zahraalbaloochi28416 ай бұрын
You are well come brother may Allah bless you Ameen🤲
@rahabnkya82762 жыл бұрын
Yesu asifiweeeeee
@salimmalaka2562 жыл бұрын
YESU ASIFIWE KAMA MITUME WENGINE.
@RashidAli-lt6qb8 ай бұрын
Asifiwe na baba mama au watoto
@BenjaminHenry2 жыл бұрын
Pole sana ndugu yangu.
@tumajunior60802 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭Allah akutangulie kuyarekebisha yote na kuwarudisha dini ya haki na sote tuwe na mwisho mwema allahumma ameen 🤲🤲🤲🤲☝💪
@AliMahmoud-tj2jb Жыл бұрын
Ww nafsi yako naona haijatulia inaelekea una tamaa ya kimaisha,lakini m.mungu atakuongoza njia iliyo nyooka
@basilisamsaka84692 жыл бұрын
Bwana Yesu bado ni mwokozi tuuuuu Kwa wt watakao mwamin.i
@hamzakimaro37642 жыл бұрын
ALLAH AKUSAMEHE NA AKUPE ELM YENYE MANUFAA
@HijaSalimuАй бұрын
🎉Shukran
@macrinajoseph14222 жыл бұрын
Neno la mungu linasema.mwenye dhambi mmoja atubupo maraika.wote.mbinguni wanashangilia. . mshangilieni huyo kondoo.aliyepotea amerudi zizini. Injili ya yesu.iko wazi kabisa.kwenu wote. Ukweli ukowazi .dhamani ya yesu.juu ya ulimwengu ni.kubwa mno. Kilamtu anatakiwa kuijua dhamani.hiyo awesalama. Yohana 14:6. Yohana 17;1.. 4. Manenohaya. Yananguvu sana anayesoma atafakari. Yesu.akimbiliki pole. Mchungaji bora ungerudi na kunyamaza.kimya. Sasa umekuwa sauri. Numa yako yuko yesu ukotayari kuficha ukweli
@mathayomwashambwa12382 жыл бұрын
HAINA SHIDA ULIKUWA DINI AWALI NA UMERUDI DINI, HONGERA SANA KWA KURUDI KWENYE DINI...SISI YESU KRISTO MWANA WA MUNGU NDIYE KILA KITU KWA MAISHA YETU HAPA DUNIANI NA BAADAYE, HUKUFSNIKIWA KUMUONA HIVYO HUJAWAHI KUMJUA, RUDI GIZANI KWENU NA USIRUDI TENA....
@prophetislael52652 жыл бұрын
Usichukie mtumish kumbukumbu 30=19 Mungu katupa kuchagua muache achague mwenyewe
@mathayomwashambwa12382 жыл бұрын
@@prophetislael5265 UNAJUA KUINGIA DHEHEBU AU DINI YA KIKRISTO WATU HUDHANI WAMEKUTANA NA KRISTO, HUYU KIU YAKE HAIJAWAHI KUONANA NA KRISTO NA KUFUNULIWA ILE MITO MIKUU YA MAJI...WALA SIJAKASIRIKA, ILA UNAJUA TU KUWA KUNA SIRI KUBWA KATI YA MTU KUKUTANA NA BW. NA KUPATA TOFAUTI YA KULE ALIKUWA NA UPYA AUPATAO...HII NI CHANGAMOTO KWETU...
@ezekielleonidas57982 жыл бұрын
Hakika
@janemujuni7642 жыл бұрын
Hakuna kilichoharibika,huyo hakumfuata YESU KRISTO alifuata dini na ameirudia dini,
Mmoja akimkataa yesu maelfu ya watu wahitaji wanakimbilia kwake maana yeye uwarehem wote wamtafutao pasipo kuchungulia dini zao . Maana yesu hana dini maana ahitaji mioyo ya watu itakasike na kuacha maovu.
@Motheking-ps2tl7 ай бұрын
Kiukweli kama ni kuabudu mungu ni kuwa mwislam. Kama ni utajiri waaraka na kuabudiwa asiekuwa mungu ni kuwa mkristo.
@MaryamMaryam-n1v2eАй бұрын
ALLAH AKBAR MASHA ALLAH
@AtukuzweCharlesMwinyi Жыл бұрын
Unakumbuka ulichonifanyia Mungu anakuona kwakwel
@hanifadarwesh48512 жыл бұрын
Assalam alaykum karibu akhy.Kila mwanaadamu nimkosa nambora wamakosa nimwenyekutubia tunamuomba Allah akupeistiqama yakumuamini yeye na atupe mwisho mwema. Simama kwenye haki hutojuta.
@D-Man.B-Free2 жыл бұрын
Takbir!!!!
@shekhamuhham9044 Жыл бұрын
Mashallah Barakallah fiika
@nikodemmwahangila33342 жыл бұрын
Sula tu inaonekana ulikua mzinzi na umeasilika sula inaonesha huwezi kuwa mchungaji kabisa wewe ni mzinzi unaonekana umehalibu mabinti wengi sana na malipo yapo hapahapa na usije ukawamaliza mabinti wakiislam huko wawe macho
@DAVIDMAGHANGA6 күн бұрын
Uko gizani rudi kwa YESU ambae yuko hai na dunia yote inamtazamia kurudi kwake
@mbuerecarlos13962 жыл бұрын
Kweri Mungu ni mkubwa ,unachokitafuta utakipata wewe mdhalilishe YESU . Tuna kuomba husimdhalilishe YESU wewe Rudi na endelea na mambo yako hatujui ulikwenda Ukiristo kupeleleza au .Tunakutakia mema na husimdhalilishe YESU.Guts
@yohana12422 жыл бұрын
Atamzalilishaje yesu sas🤣kweli wakristo mumepotea kweli na mioyo yenu ilivo migumu yesu ni nabii wa mungu waslam sote tunamkubal yesu ni mtume wa mungu kma alivo mtume wetu Mohamad na ndo mtume wa mwisho yesu alitangulia tu kabla yake na mitume wengine walokuj mwanzo
@yohana12422 жыл бұрын
Hamtaki kuisom tatizo Quran nyinyi wakristo ndo mana mnapotea
@abdallahmbunda87892 жыл бұрын
Uelewa kitu muhimu sana unamwambia mtu njaa imemkimbiza ukristo kuna njaa pia unaandika kamkimbia yesu kivipi wakati waislamu wanamfuata kwa haki matendo hata sala zote alizokua anasali yesu ndio waislam pamoja na matendo ya yesu yote changia unachokijua kama hujui uliza linj yesu aliingia kanisani?•
@deusaron79512 жыл бұрын
Msichukie ndugu zetu siku zote haki inashinda uislam ni dini ya haki .hakika kauli ya Allah cku zote inashinda sasa watu wanaingia ktka dini yake makund kwa makundi
@humphreymsengi66862 жыл бұрын
Ni andiko lipi katika dini yoyote ile inayosema dini ya Mungu ni dini fulani?
@hiarijuma26842 жыл бұрын
KAMA KWELI. TUMIA JINA ULIOPEWA NA MZEE WAKO
@jimjam41482 жыл бұрын
MASHA ALLAH
@joank79292 жыл бұрын
Cha giza ni cha giza, cha nuru ni cha nuru. Hivi kwanini watu wanatumia nguvu nyingi kuongelea imani za wengine vibaya?🙄🙄 Nafikiri kama una uhakika wa kile unachoamini, basi tumia muda wako na nguvu zako kumkaribia Mungu wako. PERIOD.
@mariamsindano19532 жыл бұрын
Ni kweli kabisa unachosema,
@daniellaiser4672 Жыл бұрын
Hawana cha kuhubiri kwenye dini yao.huyu ni agent wa shetani na alipoenda ukristo kama ni kweli alienda kudadisi na kama ni kweli Yesu atamkana mchana kweupe
@TatuRashid-d6t Жыл бұрын
Takbiiiiiiiiir,Allahu Akbaru
@salimalaquimane30772 жыл бұрын
Mashaallah
@ahmadsayyeed79102 жыл бұрын
Hizi ni dalili za Qiyama Allah amesema katika Qur-an tukufu Utawaona wakiingia katika dini ya hakki makundi kwa makundi ALLAAHU AKBAR
@wardw30222 жыл бұрын
Allah Akbar
@salummussa98712 жыл бұрын
Waislamu tunapigwa Sana tunadanganywa huyu ni mchungaji wa kanisa Gani ,,? Tunapigwa hapa huu ujanja unja ni shida
@fardoshnassor78472 жыл бұрын
Mashallah Allah ❤❤
@isaacvtv5472 жыл бұрын
Huyo hajaokoka
@godwinkileo77022 жыл бұрын
Yesu amesema uki nikana na mimi nakukana siku ya mwisho.
@zulfahussein67842 жыл бұрын
Wewe sisi kwaza ndio tunampenda Issa bin maryam ni mtume wetu pia
@seifsaid99052 жыл бұрын
Wee ndie unmkana yes s hyu shkh Alie jisalimisha kwa Allah
@Sandra398232 жыл бұрын
Jesus is our prophet, and we love him,
@seifsaid99052 жыл бұрын
@@Sandra39823 we yes ni muyahud wa islair c kwa wote
@hassanhhh86512 жыл бұрын
Huyo huyo yesu atakuja kumiambia falaa talumun walumun anfusahumu wala musinilaumuni mimi bali zilaumuni nafsi zenu
@رسكيعبده2 жыл бұрын
Makafiri wanacukiya karibu dini yahaki niwislamu
@alexambrose47222 жыл бұрын
Imani bila matendo ni Bure kabisa
@yukundapeter82002 жыл бұрын
Njaa ni mbaya jamani.
@selemanimartin10812 жыл бұрын
Shiba wewe huo moto.
@samwelingasa16387 ай бұрын
Wakristo tuendelee kuamini makka yenyewe wamevamiwa na manzige laana ya mwenyezi Mungu inawapata kwa kuabudu mwezi lkn bado hawaamini ipo siku
@ashamohamed7315 Жыл бұрын
Allah akbar bora umerudi kwenye dini ya kweli ungekufa ukiwa kafiri
@bonifacemlinda71962 жыл бұрын
Wewe ndugu kwa yesu hakuna ubabaishaji wala unafiki madam umetoka mwenyewe. Yesu yeye ni yule yule hageuzwi na maneno yako kuwa mengi
@abdulbonomali65482 жыл бұрын
Takibiiiiiiiiiiiiiir anlahu akbaru
@islamsadiki47472 жыл бұрын
Mashalah
@DerickNdasalama-s9n2 жыл бұрын
Mnajua sana kuigizaaaa
@wardw30222 жыл бұрын
Allah Akbar
@josephmanyambania54042 жыл бұрын
Afadhali amerudi alikotoka. Hao wapo wengi jihadharini sana nao.
@basilisamsaka84692 жыл бұрын
Mmmh!.....
@claudiabakisa80522 жыл бұрын
Kafanana na Maalim Shaban Hija
@wilfredlukowo94762 жыл бұрын
Kutengwa na ndugu ndio kumesababisha umuache YESU? Ninachoona hukupata mafundisho sahihi
@hadharaalli52012 жыл бұрын
Ma shàa Allah Mungu akuongoze in shàa Allah
@angelnyinge41392 жыл бұрын
MWANZONI NILIPOSOMA KICHWA NILICHANGANYIKIWA SIO UTANI. ILA NILIPOSIKIA TENA KUWA ALIKUWA MUISLAM aii! hainipi shida ameona kuwa kwa YESU wetu hakuna mchezo kwa hiyo kumemshinda kaona bora arudi kwao. UKIJA KWA YESU KWA KUJARIBU LAZIMA URUDI RIVASI ULIKOTOKA. Chezea JESUS wewe
@hamzakimaro37642 жыл бұрын
ASHRAF NAKUNASIHI KUSOMA,UISILAM NI DINI YA ILM
@bonifacemlinda71962 жыл бұрын
Ukirsto ni imani iliyo sahihi na kweli na haulazimishi watu wamfate yesu kwa nguvu bali kwa hiari na kumwamini yeye.
@ashuhunamohamed7997 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@mudiali4506 Жыл бұрын
Hamna Dini ukristo wew bado una njaakichungaji
@abdallahmilaba54072 жыл бұрын
Sasa kwani ulilogwa had ukaritad, au ni kwa ajili ya njaa.
@danielerio56152 жыл бұрын
Kawaida mtu anakua na majina matatu mbona umesema mawili tu wewe niwa mchongo humpati mtu apa
@adaboychibu16592 жыл бұрын
Alisema kama unabisha mtafute youtube
@barutiabuu94922 жыл бұрын
Kaka nakuomba unitumie namba zako
@aaSs-yf8oq2 жыл бұрын
Yesu ni Mungu na ni njia kweli na uzma ya kufika mbinguni.
@sulemanisaidi99752 жыл бұрын
Hujielewi wewe tokalini binadam akawa mungu
@selemanimartin10812 жыл бұрын
Mental retardation.
@mudiali4506 Жыл бұрын
Yesu awe Mungu awe mtoto. Vip wee Inakuaje. Hlaf huyo yesu Mungu atahiriwe sjui hapo elewa wako una matatizo
@julianamwamgogwa8 ай бұрын
Alishindwa kuacha uchawi na ushilikina ataweza wapi kwayesu nikujikana yesu alisema mtu akija kwangu afu akageuka nyuma huyo mtu anifai. Na acha ande hatufai
@lukasezekiel76922 жыл бұрын
Huwez kuwa shekh Wala imam,,bila kuwa mchawi,,,,
@selemanimartin10812 жыл бұрын
Mjaa janaba wewe, huna uelewalo
@lawimichaelwerewere76192 жыл бұрын
Tapeli tu akuna kitu apo endelea na utapeli Yesu atakujibu
@shamsaelbeity82502 жыл бұрын
Ah wapi mipango ya mjini hiyo
@samxx4112 жыл бұрын
Sisi waislam hatuyumbishwi Wala hatumpapatikii mtu kwasababu Mungu haitaji kitu kwako na ukiwa muislam kwa faida Yako na ukiwa kafiri ni hasara kwako. Kwahivyo hata wewe ukibaki huko sisi hatuumii ila tutakuonya na kukeambia ukweli tu
@herielparesso74932 жыл бұрын
Aha ulikuwa hujaokoka ulikuwa hujajazwa hata roho mtakatifu so ukristo wako ulikuwa jina tuuuuuuuu poleeeeee sana
@kamalmukaddam15212 жыл бұрын
SubhanAllah
@issaidi2 жыл бұрын
Masha’Allah
@yusuphomary7410Ай бұрын
Msione kama Kuna ugumu mtu kusilimi huyu amesilimu kweli na ameona Kuna ukweli wa kufanya hivyo. Sheria haimzuii hata siku Moja.
@janengaga29282 жыл бұрын
Siku ya hukumu tutajionea maajabu mengi.Mungu tusamehe .mahangaiko ni mengi mno.Binadamu sisi looh😳