Allah akuhifadhi sheikh wg Mwaipopo una ongea ukweli Allah akuhifadhi Allah akupe shifaa na Umri MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah
@khambhai36022 күн бұрын
Allah akuongoze shehe Mwaipopo.
@MasimbuMgaya22 күн бұрын
Hata uichane yote ipo vifuani mwa watu mwaipopo usirudi nyuma Fanya kazi ya allah kaka
@josephmuchiri318022 күн бұрын
Mwaipopo njo Mbezi kwenye chaka lako la kula kitimoto na casto BARIDIIII
@Kachuba-w9p22 күн бұрын
Jazakalakher Akhi mwaipopo
@feizalmas22 күн бұрын
Waislamu wameisoma quraan na wanaielewa huyo timotheo Hana anachokijua anakurupuka mwambie I ajiandae waislamu tupo tayari kuwasomesha. Sheikh mwaipopo inshaallah mungu akulipe Kila jema.
@harrisoncharo-qz3vz22 күн бұрын
Hayo nimaoni yako laki timotheo humufiki kwa elimu kabisa nyinyi mumekaririshwa tu timotkeo 100/ nimwalim nawewe nahuyo mwaipopo hajui hata kusoma kuruani yakiarabu😂😂
@Ummunajma-i2c21 күн бұрын
Mwapopo Allah s.w . Akulinde na akulipe,kwa kuutetea UISLAM . In shaa llah Allah atazidi kuwadhalilisha.makufari hao
@DavidIssa-l9w12 күн бұрын
Wewe ndiye kafiri,
@KhamisHaji-pw4jo22 күн бұрын
Wakiristo humuna lolote tupo pamoja na sheikh Mwaipopo kihali na mali lnsha Allah,,,,,❤❤❤tupo tayari kwa lolote ,,,,,,hatuwaogopi hao makafiri
@DavidIssa-l9w12 күн бұрын
Kafiri wa kwanza ni wewe
@hassanmpemba574722 күн бұрын
sema kweli sheikh mwaipopo
@NuhuM-s1x22 күн бұрын
Mwaipopo mungu atakusimamia
@ZayyanaBamuni22 күн бұрын
Jazaka Allah alkhair shekh
@HanifaOman-oo4pl22 күн бұрын
Anae ungana na wakilisto nae siyo muislam huyo. Mwampipo Allah atakulipakuwana msimamo huwohuwo
@chiefmkalikibz150322 күн бұрын
Enyi wakarimu, matarajio yao yamefeli. Amerika kwa nguvu zake zote haikuweza kuvunja nguvu za watu wa Sham kwa zaidi ya muongo mmoja uliopita. Na karibuni mtawala wao atasema, "Kwaheri ewe Damascus," bila kurudi tena. Na karibuni Sham itakuwa jinamizi kwa Mmagharibi. Je, mnadhani watafanikiwa sasa katika kile walichoshindwa kwa miaka mingi? Hawana tena uamuzi wowote juu ya Sham sasa. Wallahi, hatukudhani vibaya kuhusu Allah, Mwenye kunusuru Jeshi lake na kuinua Dini Yake. Na Mwenye kuwashinda maadui peke Yake. Enyi mnaofanya kazi ya kutabikisha Uislamu, simameni imara! Wallahi, ni uvumilivu wa muda mfupi, na alfajiri itang'ara, dhiki itaondoka, na giza la madhalimu litatoweka. Abu Mazin
@MohamedMatata-iu9mm22 күн бұрын
Hakika Allah akulipe.
@jabirrashid-o7g22 күн бұрын
Nakuelewa sana
@harrisoncharo-qz3vz22 күн бұрын
Kunawedzako walienda kuakikisha kwamba timotheo alikua imamu sanaa nairombi wewe vp wewe ndiwe muongo mwaipopo😂😂
@feizalmas22 күн бұрын
Leo nimepata bahati ya kumuona mmoja wa wahadhiri wa kikristo dukani akinunua vitabu vya kiislamu kariakoo. Inshaallah namuomba ALLAH amjaalie siku Moja awe muislamu
@richardsalala914722 күн бұрын
Hivyo vitabu tunanunua sana na wala hakuna jipya.. tunasoma kujua uongo wa bwana mudi
@chazgunda582322 күн бұрын
Ila Morrison bwana 😂😂😂😂😂
@HanifaOman-oo4pl22 күн бұрын
Wakiristo hawanaga hakili mtume muhaamadi. Swalalahu alayhi wasalam amekufa kashakamilisha uislam na haya ipo hawa. Wanataka kiki kupoteza watu wasiyojielewatu
@robertphilip38522 күн бұрын
Sasa unamwaminije maiti? Yesu Yuko hai ndoo tunamwamini
@HanifaOman-oo4pl22 күн бұрын
@robertphilip385 Nyie machizi mamamseme yesu kauliwa malamseme kafufuka hivi Mungukweli anaweza kuuliwa na binaadam. ?ss ndiyo tunaamini nabii lnsa ajafa. Yupo naajauliwa ila si.Mungu ni nabii yupo Mungu ndiye
@robertphilip38522 күн бұрын
@@HanifaOman-oo4pl utamwona siku ya mwisho akimhukumu mtume wenu pamoja na Allah wenu Ambae sisi tunamjua Allah ni shetani pamoja na wafuasi wa muhamad wote jehanam abadan
@HanifaOman-oo4pl22 күн бұрын
@robertphilip385 tytaona sikuhiyo akiludi kumalizia miaka yake. Akiwakana mtajuta motoni milele mnampa mti hani nabi lssa,ya kumjibu Allah binaadam mnamsingizia Mungu wenu mwenyewe anasema kwenye bibilia. Mnataka kuniuwa mm mtu
@robertphilip38522 күн бұрын
@@HanifaOman-oo4pl isa siyo Nabii achakumshusha hazi
@paulmushi242822 күн бұрын
Maamuma Katonta Mwaipopo MZEE WA MKUTANO MKUBWA, Unatuita sisi WAKRISTO mazuzu!! wewe ndiyo zuzu na Bubusa, Masheikh waliosoma wameshamwelewa Mwalimu Ismael (ximamu) kuwa kasema kweli wamekaa kimya wewe usiye na Elimu ya vitabu Unapiga porojo zisizo na mashiko!!🇮🇱✝️💪
@JoeZeno-q1b22 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@Anonymous-w9v-i1p22 күн бұрын
@@JoeZeno-q1b Huyu ni kilaza wa darasa la pili C, na awe makini sn. Anatuita mazuzu watu tumesoma vzr elimu ya dini na vyuo vikuu tumemaliza...tuko na common sense ya kutosha tu. Hapo alipo kakaa kwenye uislamu zaidi ya miaka ishirini hata alif hajui...😂 miaka ishirini mtu anashindwa kujifunza lugha na kukariri quran ambayo ni fupi kuliko hata zaburi. Kama sio ukilaza ni nini?. Huyu shida yake ilianzia shule..kafeli shule kwanza af elimu ya dini nayo ikapita kushoto...hata akiongea tu unajua huyu ni juha. Masheikh wenzie wengi tu wana Proffesion zao mbali na maswala ya kidini ila yeye kanyimwa kote 😂...ili ale inabidi aje abweke mitandaoni kuuza mafuta na kukejeli wakristo...wakati wenzake wanaenda shule yeye alkua anawinda ndege huko uyole..😂. Kula chuma hiko ewe Juha Mwaipopo📌..."Mwaipopo ni kama nzi" - Sheikh Mansour wa Mwanza.
@Daudimakaza-s1v22 күн бұрын
Utajua ujui uislamu n majin
@qulasulle-hp1ni22 күн бұрын
Mwaipopo, hakuna mwanadamu atakayeingia Mbinguni au peponi kwa usomi au Elimu ya hapa duniani, ILA mtu aliyetubu na kusamehewa DHAMBI zake na Yesu Kristo anayetuombea kwa Mungu Baba wa Mbinguni! Kusoma kwako hakutakuondolea dhambi zako na Wala kuijua sana dini kama walivyofanya mafarisayo na Masadukayo lakini bado hawakumjua Mungu wa kweli.1Yohana 2:2 , Msamaha wa dhambi:1Yohana 1;7.Hayo mabishano YOTE hayatawazuia msamehewe dhambi zenu, bali ghadhabu ya Mungu tu, Yohana 3:35-36.
@KwendaKwenda-e9z22 күн бұрын
Hiyo saut hiyo kwel jaman
@leilaomary634922 күн бұрын
Acha wongo. Wewe mwenyewe ulisema utamleta Kishki mwishowe ukasema Kishki amegoma ila ataleta mwanafunzi,Chaka akasema yeye atakuja badili ya Eximmam.
@kennah03m22 күн бұрын
Ukiwa muisilamu ukose kazi tukana makafiri hela hizoo😂😂😂
@DavidIssa-l9w12 күн бұрын
😂 Wamepanga domic naye, Ila cha mhimu dominic amesha rudi katika dini yake ya kweli na uzima,
@SamoraTabaga22 күн бұрын
Jamani kran ninani alie wambia nimaneno ya MUNGU? Yupi mungu. Ila jamani ingekua nimaneno ya MUNGU kweli mashekhe mgekua waganga na kuishi kwakutibu suna. Sasa hao mnabishana nao niakina nani kiimani uslam na hao wakristo mnao jadili akili nimoja, hakuna mtu wa MUNGU ane kaa kwenye mdahalo na mwisilam et kujadili vitu vya MUNGU, uislam na hao mimi nahisi akina chaka na ndacha niwasanato na watu wadini. Mpokeeni yesu huo ujinga wakubishana mtaacha.
@Daudimakaza-s1v22 күн бұрын
Hkn ch mjadala zaid y kumwamin yesu kuw n mungu
@MK-mz8bz22 күн бұрын
Mwaipopo punguza pombe na sigara hapo tuu umelewa muogope Mungu
@MK-mz8bz22 күн бұрын
Hujui kiarabu
@stanslausmteme845522 күн бұрын
Unakua hueleweki yule kijana wew mwenyewe ndio uliyesema yule kijana yupo mwanza na ni msomi
@DAVIDMAGHANGA18 күн бұрын
Namuunga mkono Timothy kbsaaaa anasoma vtabu vya mashehe walioelimika ila watu wasio na elimu hupiga kelele mm kama mm niliposoma qrn 2:97 nilijiuliza MUNGU anaweza wacha kitabu chake nilete na adui shetani??
@hassanmpemba574722 күн бұрын
wakristo wakiambiwa kila kitu na wachungaji wao wanaitikia bila kuwaza au kumuuliza pia wanaogopa
@Daudimakaza-s1v22 күн бұрын
Km mlivomtengenez Dominic muhun yl😊
@DavidIssa-l9w12 күн бұрын
Dominic amesha rudi kwa Bwana, umetubu
@DavidIssa-l9w12 күн бұрын
Dominic ametubu ni mkristo kwa Sasa alitubu
@AliAli-u7t4p22 күн бұрын
Kwani wakristo wakipigana huko nchini kwao hutaja Mungu yupi? Congo mwaka zaid ya 15 watu million 6. Mbona Yesu hajawasaidia
@ZakariaJackson21 күн бұрын
Na ndio mjue wana roho mbaya kama wana pesa nyingi si ndo wawajengee izo shule nyingi za kiislamu na ospital na fyuo vya ufundi ili kuongeza wataalamu hakuna dini apo unataka kuwapoteza wenzako acha ujinga mwaipopo mjue mungu wa baba wa mababu zako uyo ndio bora kwako
@Kachuba-w9p22 күн бұрын
Nakumbuka ilikua ni tononoka
@stanslausmteme845522 күн бұрын
Shida ni waumini wenu na usiwadanganye watu mungu hataki watu wapate shida eti kua maskini ndio kumcha MUNGU? Unafeli hapo viongozi wa dini kaz Yao ni dini waumini ndio wanawajibu kuwahudumia shida waislamu hamheshimu viongozi wenu na hata wew mwenyewe ulishawahi kuyasema hayo kwenye Moja ya clip zako.wew kigeugeu sana ndio maana wameshakustukia
@paulmushi242822 күн бұрын
Maamuma Katonta Mwaipopo MZEE WA MKUTANO MKUBWA!! Hivi umaskini wa masheikh na Waislamu ndiyo kipimo Cha ucha Mungu??? Wewe unachuki sana na Wivu kwa Wakristo !! UKRISTO unasonga mbele!! ✝️✝️✝️✝️✝️✝️🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱💪🙏🙏
@JumaHeri-v5g22 күн бұрын
Waislam sio maskini, maskini wengi ni wakristo,matajiri wengi ni waislam, simama barabarani utaona magari makubwa ,matruck, matank yameandika , inalah maswabirin, Takbir , Mashaalah, Allah Kareem n.k njoo Tanzania, Mo dewj, Rostam Aziz , Gsm mpaka wa sanii , Naseeb Abdul, Diamond, Alikiba, Hermonize n.k Afrika Kuna alhaji aliko Dangote , Mpaka hapo uko? Au niongeze list
@qwerqasd859722 күн бұрын
Muongeze huyo kafiri paulomwehu
@paulmushi242822 күн бұрын
@@qwerqasd8597 Waislamu wengi masikini tembea ijumaa Kariakoo na Posta Uone makundi ya wakina mama wa Kiislamu wakiomba omba madukani😢😢😢
@paulmushi242822 күн бұрын
@@JumaHeri-v5g Hao matajiri hao wachache utawalinganisha na makundi ya kina mama wakiislamu wanaomba omba madukani Posta na kariakoo siku ya ijumaa??😢😢😢😢
@robertphilip38522 күн бұрын
Na wanaovuruga Sudan ni nani? Mbona niwenyewe Kwa wenyewe wanauana huku Kila Moja akisema Allah wakbar
@AliAli-u7t4p22 күн бұрын
Kwani south Sudan ni waislam, mbona wanauwana na wote wanasema Yesu ni Mungu. Congo 6 million wamekufa still fighting wote wakristo. Ethiopia wanapigana wote Wanamwita Yesu. Nenda south America. Au Latin America mfano, Equedor, Honduras, Mexico na nyengine nyingi uona wakristo wanavyouwana, Na wote Yesu Yesu. What is your point?
@robertphilip38522 күн бұрын
@AliAli-u7t4p south Sudan ni makabila na Ethiopia na makabila lkn wakati Wanapigana hawasemi Allah wakbar lkn ninyi Kila kukicha Allah wakbar hukumkiuana wenyewe lkn huyo Allah hajawahi kuwasaidia asee
@AliAli-u7t4p22 күн бұрын
@@robertphilip385 Kwani hao wasudan na wacongo wakiuwana au christian Salvation Amy la Uganda ambalo Joseph konya analiongoza wanamwita Mungu Yupi. Au wanasema Allahu Akbar.
@robertphilip38522 күн бұрын
@AliAli-u7t4p congo Kuna ADF ni kikundi Cha kislamu naniya magaidi kwanini mnaitwaga magaidi Al kaida Abu sayaf Al shabab Boko Haram Islamic jihad jesh muhamad Al nusra IAS kilakona nyee niwauaji huku mkisema Allah wakbar lkn Allah hajawahi kuwasaidia akika Alaah ni shetani naalaniwe aliyeleta dini hi ya shetani duniani
@AliAli-u7t4p22 күн бұрын
@@robertphilip385 Ama kwa kuuwa soma bibilia utaona amri za kuuwa, Na history ya Ukristo hivi sasa. Ukraine vs Russia. Kumbe ulitaka wakristo na wajiite Al Russia au wasema Halleluya. Ebu msikilize Mungu wenu Deuteronomy. kwa siri ndugu yako, mwana wa mamaako, au mwana wako, au binti yako, au mke wa kifuani mwako, au rafiki yako aliye kama moyo wako, akikuambia, Twende tukaabudu miungu mingine usiyoijua wewe wala baba zako; 7 katika miungu ya mataifa yaliyo kando-kando yenu karibu nawe au mbali nawe, tokea ncha moja ya dunia hata ncha ya pili ya dunia; 8 usimkubalie wala usimsikize; wala jicho lako lisimwonee huruma, wala usimwache, wala usimfiche; 9 mwue kweli; mkono wako na uwe wa kwanza juu yake katika kumwua, na baadaye mikono ya watu wote. 10 Nawe mtupie mawe hata afe; kwa kuwa alitaka kukupotoa na Bwana, Mungu wako aliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa Wewe unadhani ukristo ulikufikaje, ukoloni, wizi, na utumwa yote hawakuwa wakijiita Al British. Lakini bible ndio muongozo na Jesus Mungu. Hao wslikuleteeni dini same-sex couples wanafunga ndoa kwenye almost all western countries. Anglican na catholic wote wakristo wamewafiki ndoa ya jinsia moja. Yesu anahusikaje? Na ukristo is beyond me.
@NuhuM-s1x22 күн бұрын
Nikwel unavyo sema masheh wengi maisha yao ya kawaida wanaogopa kula Haram awatak zulma wao walikua wakiangalia ahera
@stanslausmteme845522 күн бұрын
Kama waislamu ndio matajiri,wasomi n.k Leo mnaingiziwa fitna na wakristo ambao ni maskini na hawajasoma!!! Wew hauko sawa
@eliyampesa435221 күн бұрын
Kujadiliana dini na mwaipopo yataka moyo sana Kwa kuwa Hana ufahamu mzuri hata kidogo😂😂😂
@feizalmas22 күн бұрын
Wakiristo kabla hamjaizungumzia quraan kaeni chini msome msiokote okote maneno. Karibuni kwenye mjadala tuwafundishe tumewafundisha biblia mme elewa sasa tulieni tuwafundishe na quraan ambayo ndio kitabu chetu.
@MK-mz8bz22 күн бұрын
Ww mwenyewe sema nani alikuambia kolowani ni neno MUngu
Jela za kabulu Watu wanavuta bangi kwa kutumia karatas za bibilia 😂😂😂
@HanifaOman-oo4pl22 күн бұрын
😂😂😂 sawasawa
@MathayoCharles-z2u22 күн бұрын
Itakuwa na wewe ulifugwa? Maana unayajua sana lete ushaid na mim nikupe ushaid wanajeshi wa America wanakokonea mavi quruan
@Anonymous-w9v-i1p22 күн бұрын
Si bora kuvutia bangi ...na yule dogo aliekojolea msahafu kule dar?..kisa mwenzie alimwambia ati akikojolea msahafu atakua nguruwe.😂😂😂
@babazungu318022 күн бұрын
@@MathayoCharles-z2una wewe chukuwa quran itumie kuvuta bangi 😂😂😂 uone utakachokipata.
@babazungu318022 күн бұрын
@@Anonymous-w9v-i1pna wewe tumia quran kuvuta bangi uone nin kitakupata😂😂😂
@paulmushi242822 күн бұрын
Maamuma Katonta Mwaipopo, naona leo Povuuu na Mori na Jazba zimekupanda au ndiyo majin yamepnda?😂😂😂 Weka mkutano Online kwenye You tube, ACHA kuhangaika na michango ya ukumbi kwa Waislamu!! AU UNAMPANGO WA KUTAKA KUWAPIGA PESA ZA WAISLAMU? Dunia iko kiganjani njoo na Sheikh Kishk mkutane na Waalimu wa Kikristo YOU TUBE LIVE!!
@MK-mz8bz22 күн бұрын
Acha uongo ww mwenyewe hujui kiarabu
@peterenos262722 күн бұрын
Mbona unazungumza peke yako? Weka ushahidi. La sivyo ni propaganda na suna za uongo za uislamu
@maymunamakungu626522 күн бұрын
Huyu Daniel ni muongo tena ni mjinga. Mbona humleti yule pastor aliyesilimu?
@Daudimakaza-s1v22 күн бұрын
Tumebatiza weng tuu ila atutangaz din ya uislam n majin
@paschalvenance183319 күн бұрын
😂😂😂😂 vipi mwaipopo hivi unamiliki majini mangapi maana kwenye mambo ya logic na uelewa nyie ndo mna iq fupi kuliko wote.
@NgasaMalimi-up9ik22 күн бұрын
Yan ww utajibu nn siku ya mwisho lishike neno hili naamini utakumbuka
@Mjeda-q1m22 күн бұрын
Povu la bure majini yenu yakichukia itakkuwa shida":;* hivi kama dini yenu ni ya mungu mbona mbona waarabu wenu wanauana kule siria iraki irani libia na somaria???? Acha ujinga mwaipopo akuna anayeogopa mabomu mnayovaa israel wako macho hawalali
@tonyclaud696322 күн бұрын
wewe mjinga pua kama za nguruwe
@POVELSPORTS22 күн бұрын
Mzeee MKUTANO rudi shule 😮😮 alaf siku hizi utandawaziii you tube zipo weka bando au tukachangieh uje on line mdahalo ww na waadhilizh wa wakristo acha kulalamikah na kutak kuchangisha watu na kutak kupigah hela#
@SirikwaMollel-y3k22 күн бұрын
Mwaipopo nikipima akili yako vile unaongea ni kma umechanganyikiwa alafu una chuki sana wakiristo sisi tusoma kuliko wewe unabisha nini wakti vitabu vyenu ndo vimeandikwa ivo Qurani ni maneno Mohammed anajipigia debe
@jeanmusamba844822 күн бұрын
hahahahha Mwaipopo wakristo sio wajinga hata kama hiyo hadithi ya huyo bwana ni ukweli.Me nawashauri wewe na Mwankemwa cheni kuumia mtu anapokuwa mkristo au anapokuwa muislamu.Dini hizi ni zenye watu wengi duniani na ni mpango wa Mungu ziwepo.Mungu hafikilii kama wewe ufikiriavyo hahhah.Wewe hubiri dini yako na Dani ahubiri dini yake
@thamani584222 күн бұрын
Ilo kristo linasema uongi mpk linaona haya.mxiii
@POVELSPORTS22 күн бұрын
Mzee MKUTANO MKUBWA kaja na malamiko TU!!! Na kudai MICHANGO kutak kupiga hela tu!!!!!!! You Tube zipo mchawi bando njooo online utufundishe acha story😮😮😮😮
@ZakariaJackson21 күн бұрын
Muongo mwaipopo uyo mwarabu sisi tulifanya makosa kwasababu uyo mwarabu mwenyewe ana akili ya kutengeneza ayo magali yenyewe unayo yasema kwanza wametuletea ujinga wanakwenda kununua mavitu yalioza uko alafu wanatuletea sisi wewe jiulize tumeshirikiana nao siku zote izo akuna chochote cha maana tulicho ambulia zaidi ya ujinga tu
@abdillahiabdallah43820 күн бұрын
MWAIPOPO ANAEKUPINGA KWA HILI NI KAFIRI, PIGA KAZI SHEKH TUNATAKA MJADALA
@MK-mz8bz22 күн бұрын
Unatoa povu kwaajiri ya mtu ww mlevi na mvuta bangi
@MK-mz8bz22 күн бұрын
Hakuna muislam wa tz anayejiita msomi ambaye hakunasoma shule za kikristo
@fredyunga213822 күн бұрын
Hivi wewe mwaipopo kwa akili yako timotheo anaweza kuwakimbia waisam? Alafu waulize akina yusuph wambungu wanamjua timotheo kuwa alikuwa imamu.
@seifseif554922 күн бұрын
Laana tullah wewe
@MK-mz8bz22 күн бұрын
Acha pombe ww?
@MathayoCharles-z2u22 күн бұрын
Usiwe mjinga wewe mngaga kwa kuwa nyinyi amumleti kishik na kuwaleta vijana wake na sisi atakuja x imam vijana wake acha pofu kua mkwer wewe mganga
@KwendaKwenda-e9z15 күн бұрын
Acha pombe na sigala uwe na saut nakunua sana wewe kuliko unavyojijua wewe mjinqa
@MathayoCharles-z2u22 күн бұрын
Zuzu wewe atasauti aitoki rahana iyo umeambiwa meters kishik amanike na anzalaulike ndiyo maana anaogopa
@qwerqasd859722 күн бұрын
Matusi hayana mana sijui huenda hicho kitabu cenu kinawafundisha matusi
@KabatoniBoraa22 күн бұрын
Sikiliza mpotevu,kishki sio kwamba anaogopa ,apana atawaogopeni kwani nyinyi ni WA mungu? Swali ni kwamba hawezi kuleta vijana wake apo yeye kubishana na nyiye msiyekuwa na elim atapoteza mdaa mana hata ashinde anawaelimisha,hamuelewi.