Yohana usikubali kufeli kenric anataka ufeli lkn usikubali huo ni mtihani kakuletea uyo bwege
@pammymoraamoraa67026 ай бұрын
Mchungaji umeogea kama watu milioni ukweli mtupu , mungu awalageze warudiane , means habari kazi is ya kutafuta ushauri kwa wote
@marryngaiza20616 ай бұрын
Jamani napendaga maneno ya busara ya huyu mchungaji Hananji, heri yao wapatanishi.
@RizikiMakayaShabani5 ай бұрын
Mungu akulinda sana baba yangu nakuhelewa sana kbs
@NassorKhamis-l6r6 ай бұрын
Nampenda sana mchungaji Ananja huongea busara na hekma sana
@عايشهعمان6 ай бұрын
Kabisa umeongea vizuri
@benardwankoka34474 ай бұрын
Ujawai kukosea Hanaja wa Yesu
@DominicaLucas6 ай бұрын
Mrudie tuu kwasababu ilikuwa nje ya ndoa
@avelinabaluhya28045 ай бұрын
Heri wapatanishi maana hao wataitwa waana wa Mungu
@loner_wolf5 ай бұрын
Mzee hujui mafundisho ya Yesu ktk hiyo alipoletewa mwanamke mzinifu , nikwamba alikuwa anadhihakiwa tu ili atiwe hatiani , walikuwa wanamjaribu ainekane kavunja sheria , Mussa alisema MWANAUME NA MWANAMKE WAZINIFU WAPIGWE MAWE MPAKA WAFE ... lkn hawa waliokuwa wanamjaribu Yesu walimletea MWANAMKE MZINIFU .... akajua hila yao ni kumtia hatiani ndio akawajibu asiye na dhambi awe wa kwanza kumrushia jiwe KWASABABU MWANAMKE HAWEZI KUZINI PEKE YAKE . WANGELETA MWANAMKE NA MWANAUME HAPO WANGEPIGWA MAWE MPK WAFE KAMA SHERIA INAVYOSEMA . hata uhalali wa kulipa kodi ilikuwa kumtega tu aingie hatiani lkn akawapangua😂😂😂😂😂 . HIZI MISTARI ZINAMAANA SANA ILA WACHUNGAJI WANAPOTOSHA SANA
@glorykulley43386 ай бұрын
Yohana mrudie mkeo huyo kashajifunza atakuwa bora kuliko yeyote yule tena.
@RajabuHayyan6 ай бұрын
Unavunja ndoa kwa picha za x wangetafakari sna waja.wana visa sana
@JacqueJoseph6 ай бұрын
Naitaji namba yamshungaji anandja
@JudicaShoo-x9n5 ай бұрын
Yohana mrudie mke wako ,huyo jamaa alieleta zawadi yapicha aliamua tu kuaribu, Wala huyo mke awezi kuku salit tena
@Happiness-j7q6 ай бұрын
Kweli jaman miniliwahi kuona mtu anatoa zawadi ya mkuki watu walishanga ems alimrudisha hakutoa
@mwanamkeshujaabongoflavama71806 ай бұрын
Kaongea uzuri sana
@PaskaliaTuji5 ай бұрын
Kweli watu wanawtakia mabaya kuwa. Makin yohana
@YorandaBonephas5 ай бұрын
Ila bibi harusi alivaa sale nabwana wazamani pia wakapiga picha nasiku yandowa alikuwepo kwenye harusi je hapo kuna kuachana hatakama ameolewa?.
@JacqueJoseph6 ай бұрын
Mnisaaidie namba yake
@ShukurMkan6 ай бұрын
Inaumiza baba unakuta mtu ana kazi unapambana mpk mtu anapata arafu anakuacha
@RajabuHayyan6 ай бұрын
Yaan
@obednyagani5066 ай бұрын
Hakuna ndoa hapo
@SaidHamad-d3n6 ай бұрын
Mbona hapo hakuna ndoa use ulikuwa mchezo wa kuigiza tu jamani