MTOTO WA MFANYABIASHARA MAARUFU AUAWA NA WATU WASIOJULIKANA

  Рет қаралды 30,704

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 93
@ElizabethDaudi-b6v
@ElizabethDaudi-b6v 15 сағат бұрын
Mtoto mdogo kawakosea Nini jamani😭😭
@SimbaJumanne
@SimbaJumanne 22 сағат бұрын
Umalayaa wa uyoo mama ndio shidaaa mbwa uyoooo
@JeniAlex-e4v
@JeniAlex-e4v 18 сағат бұрын
Jaman uyo mama awajibishwe kwa uzembe wake
@Jmapunda
@Jmapunda 15 сағат бұрын
Pia tujifunze nassi wazazi tuache kupos sana wattowetu sio wote wanatupenda jamn atakama wanaishi vizili
@IssaKaminyoge
@IssaKaminyoge 8 сағат бұрын
Imeniuma sana mungu tuepushie na mabay A ya dunia hii kwani mungu wetu haurari wara hauchoki
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 20 сағат бұрын
Apo kuna kitu uchunguzi ufanyike uyo dada ana makosa makubwa anenda kwenye mambo ya kihuni anashindwa kuacha mtoto kwenye sehemu salam
@Leodimk-n5c
@Leodimk-n5c 14 сағат бұрын
Haya tena ukigeuka huku mauaji .... mara kule utekaji jamani 😢😢😢😢 Poleni sana
@HadiaAme-x5f
@HadiaAme-x5f 19 сағат бұрын
Sasa kila siku tunaambiwa boda kumpeleka mtt shule tu wanawabaka hv unamuachia boda ulitegemea nini si ambake sasa ona ndo kamuuwa kabisa utapata kutoka vzr sasa maana huna mtt wa kukukera si km nimefurahi ila nasema haya kwa uchungu wa uzazi
@salmamussa8355
@salmamussa8355 18 сағат бұрын
Wanawake bhna hiv kwel nimuache mwanangu na boda kabisa siyo ndugu yang namfaham juu juu tu kwel unatoka kabisa hizo nyege zinatoka wap ukishazaa kuna vitu unaviacha jaman tubadilike wanawake dunia ya sas siyo yakumwamin kila mtu jamn ndo baba mtoto wangu lazima nimfate mtoto ataniuwa wallah
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 17 сағат бұрын
Nashangaa
@jonaycemoshi7261
@jonaycemoshi7261 17 сағат бұрын
Poleni sana ndugu zetu.Mungu awape nguvu na faraja kuu katika kipindi kigumu kama hicho.
@obadiamtawa1279
@obadiamtawa1279 17 сағат бұрын
pole sana dada
@bestforever-q2w
@bestforever-q2w 13 сағат бұрын
Kwahyo na hela alizonazo amekosa msichana wa kukaa na mwanae akienda kudanga anamuacha na bodboda😢daaaah inauma ila ni funzo kubwa pumzika kwa aman mtoto mzur 😭😭
@RemiShirima-g7k
@RemiShirima-g7k 10 сағат бұрын
Pumzika Kwa amani
@ISACKITINDE
@ISACKITINDE 12 сағат бұрын
Aise mauwaji yamekuwa tishio nchini watu tumurudie Mungu
@ZawadiMumba-xw3uf
@ZawadiMumba-xw3uf 15 сағат бұрын
Hawa wandishi wananiudhi mm aah watu wako na huzuni maswali ya nn aah nachoka mm😢
@hemedisalim5522
@hemedisalim5522 12 сағат бұрын
Asa kukosa hao waandishi habari ungeipata wapi Na wewe acha ujuaje
@ezebiakayingi6576
@ezebiakayingi6576 22 сағат бұрын
sasa huyu mwanamke kinachomliza nini!! umezaa... bado una mitoko ya usiku unarudi asubuhi pumbavu zake
@IsiahMosl
@IsiahMosl 21 сағат бұрын
Pole sana
@Ummysaidy-py9rm
@Ummysaidy-py9rm 19 сағат бұрын
inauma sana jamani watu wamechafukwa mungu amrehemu
@MikelSitoe
@MikelSitoe 17 сағат бұрын
Pole Sana 😢😢😢😢😢
@Rm2024-x3d
@Rm2024-x3d 20 сағат бұрын
Dah nimeumia sana
@Rm2024-x3d
@Rm2024-x3d 20 сағат бұрын
Rest well 💜 baby G
@IssaJuma-rk5qb
@IssaJuma-rk5qb 16 сағат бұрын
Poleni sana
@SwalehSelemani
@SwalehSelemani 14 сағат бұрын
Yaani ukamuache mtoto wako usiku na dereva wa bodaboda uyo mama Hana akili
@gibbs1320
@gibbs1320 21 сағат бұрын
Tupunguze starehe jamani una kuta mtu kila kitu una taka, kuwa mzazi una taka, kula starehe usiku wa manane una taka, kudanga una taka.... vingine tuache kutokana na umri au majukumu. Umri fulani ukifika baadhi ya vitu tuachane navyo.
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 21 сағат бұрын
Umeongea ukweli
@JeniAlex-e4v
@JeniAlex-e4v 18 сағат бұрын
Kweli broo umr fulan ukifika unaacha bsadh ya mambo uyo mama kaendekeza starehe kampoteza mwanae
@annamathias1382
@annamathias1382 17 сағат бұрын
Mnaolaumu msipende. Kulaumu moja kwa moja ukute siku zingine huwa anamuacha mikono salama basi shetani nae kamzid nguvu akamuacha kwa huyo boda ndo yamemkuta hayo 😢
@Rose-ue2ho
@Rose-ue2ho 15 сағат бұрын
shetani kila kitu anazuliwa yeye..
@bestforever-q2w
@bestforever-q2w 13 сағат бұрын
Ww nae ndy wale wale
@JosephJackson-f1s
@JosephJackson-f1s 21 сағат бұрын
Usiku unaenda kwenye starehe na umalaya ndo nin saaa
@twix1404
@twix1404 8 сағат бұрын
Jamani mue mnawaacha kwanza mpaka wazike huyo dada hata kuongea hawezi
@Rm2024-x3d
@Rm2024-x3d 20 сағат бұрын
God ni nini hiki sasa? Poleni sana Mungu usinyamaze kwenye hili tafadhali
@Deloveally-o8g
@Deloveally-o8g 9 сағат бұрын
Yan mtu anae itwa boda boda cmwamin ata kidogo ata kunipakiza t eti nd nimuachie mwanang boda wenyewe bange tupu daah inauma xana pumzika kwa amani mtt mzur😢😢
@mussaelias3535
@mussaelias3535 22 сағат бұрын
Hapo kuna tatizo ukweli utafahamika tu
@CyprianTraiphon
@CyprianTraiphon 10 сағат бұрын
Waandishi wa mwananchi mnafeli...Tupeni intro ya habari kwa sauti ili tuelewe ..Ndioo maana millard inazidi kusongo...sio lwa ubaya lakini
@lydiamajula5083
@lydiamajula5083 21 сағат бұрын
dda pole sana mwaya
@RachelVenance
@RachelVenance 22 сағат бұрын
Dunia imeisha imefika mwisho tusimuamin mtu jiamin wewe mwenyew hivo tu
@fatumahapesamohamedfatumah4633
@fatumahapesamohamedfatumah4633 18 сағат бұрын
Hapo wampate huyo boda aloachiwa mtoto na huyo Hamisi mpz wa huyo mama wapate simu zao zichunguzwe mawasiliano yao please.
@kazkaz1943
@kazkaz1943 20 сағат бұрын
Unapata wap usingiz jmn huyu dada akili hana achapwe viboko mpk aache kudanga
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 19 сағат бұрын
Ukisikia upelelezi unafanywa ndo kama hivi Mimi simwamini huyo rafiki Wa mama wala boda mama yeye no mzembe house girl tu aaminiki itakua boda jamani ,kuna mchezo umechezwe sio kidogo
@ilakozasembumende1975
@ilakozasembumende1975 20 сағат бұрын
Kwani boda hakuwa na kazi hadi amuachie mtoto . Hapa polisi wafanye uchunguzi wa kutosha kuna harufu ya sito fahamu yaaan mama na huyo bwana wahojiwe vizuri😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@IdarousPossy
@IdarousPossy 20 сағат бұрын
Kabisa yani kabisa hv kwel mama uliemueka mtto tumboni miezi 9 unakosa kua na uchungu kwel
@homeandaway2811
@homeandaway2811 20 сағат бұрын
​@@IdarousPossyvijana wanazaa kabla hawajaamua kuwa wazazi
@ilakozasembumende1975
@ilakozasembumende1975 19 сағат бұрын
Sasa mwanaume akikuta na mtoto nae anataka muwe mnajiachia kwa uhuru anaona hako katoto kanamzibia muda wa kuwa na mama weeeee anaweza fanya lolote na hiv mama mtu mchakalikaji weee😭😭😭😭 huyo boda anaweza kuwa hata hajahusika labda hatujui mengi acha polis wafanye kazi yao tuu ila ni huzuni😭😭😭😭
@JeniAlex-e4v
@JeniAlex-e4v 18 сағат бұрын
Huyo mama Ana akili
@JeniAlex-e4v
@JeniAlex-e4v 18 сағат бұрын
​@@ilakozasembumende1975wewe acha kutetea ujinga
@maryamsuleiman6340
@maryamsuleiman6340 20 сағат бұрын
Kwanini mumalizie mambo yenu kwawasiohusu lazima kuna namna ,tumekosa khofu ya Mungu ,natumekosa Imani afadhali ya wanyama ,mana hata simba huuwa kwaajili yanjaatu ,sasa huyu aliuwa mtoto kamkoseanini
@odhiambojames8578
@odhiambojames8578 9 сағат бұрын
Kwenda uko sasa mfanyabiashara kashndwa kutafta mdada wa Kaz had ampeleke kwa watu
@SAFIAFOMAR
@SAFIAFOMAR 7 сағат бұрын
Wadada punguzeni starehe mlee watoto wenu
@Zuuh107
@Zuuh107 16 сағат бұрын
🥲🥲🥲😭😭jaman mtoto anakosa gani sasa
@PromieJosam
@PromieJosam 12 сағат бұрын
Hivi naota au? Yaani kamuacha na bodaboda?😭😭😭
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata 17 сағат бұрын
Nch yangu ooooe
@JeniAlex-e4v
@JeniAlex-e4v 18 сағат бұрын
😊
@lumuliasibwene886
@lumuliasibwene886 11 сағат бұрын
Mtoto ukamuache na dreva Wa bodaboda? Kweli???
@fatumahapesamohamedfatumah4633
@fatumahapesamohamedfatumah4633 18 сағат бұрын
Hii Dunia c yakuwaamini mtu.Bora mngetoka nae.Huyo ulomuachia mtoto anadaishaije?
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v 21 сағат бұрын
Kwa hiyo mama alikesha huko
@shakilaAqram
@shakilaAqram 11 сағат бұрын
Huyu dada jojo akamatwe
@praisesteven7774
@praisesteven7774 21 сағат бұрын
watu gan nyie achen zetu sema mtu yaan mtto mdogo uyo kua watu gan yaaan kuna mtu mmoja tu kamfanyiaaa unymaaa uyo mtto tena mshtumiwaa no 1 mama mtto PERIOD
@adelinaamosi9437
@adelinaamosi9437 21 сағат бұрын
Kivipi??
@praisesteven7774
@praisesteven7774 21 сағат бұрын
@@adelinaamosi9437wew unahisiii uyo mtto anawzaaa uliwaaa na watu zaid ya mmoja uyo mtoto mdogo saan hawz hata jiteteaaa alafu pia uyo dada apo sio kwake ina maan katoka kwake ad kwa bwnaa ndio kamuacha uyo mtto yye katoka na bwana yaan yye na bwnaa wote ndan wasaidieee police
@ElizabethDaudi-b6v
@ElizabethDaudi-b6v 15 сағат бұрын
Kafala hizo,ila inaumiza sana katoto kazuri jamani
@mwitasteven8759
@mwitasteven8759 15 сағат бұрын
Uko sawa polisi najua wanambinu nyingi wakiamua ni sekunde mwisho wa mwaka huu ni muda wa kafara.
@agriparose3942
@agriparose3942 20 сағат бұрын
Mtoto wangu ana miaka 11 sijawahi kumwamini mtu kumuachia mwanangu..hivi nimpe nafasi mwanaume tena si baba wa mtoto niende kwenye starehe niache nyuma mwanangu😢shoga angu ww ni mdangaji uwe mtuhumiwa no 1 na iwe funzo kwa sisi wengine
@zaytunhijja6771
@zaytunhijja6771 20 сағат бұрын
Obama mungu t yasikufike
@roseafrael75
@roseafrael75 20 сағат бұрын
Exactly wanawake tunathamini starehe kuliko familia,,upuuzi kabisa
@pricemlay
@pricemlay 20 сағат бұрын
Acha akiba ya maneno
@JeniAlex-e4v
@JeniAlex-e4v 18 сағат бұрын
Kweli unachosema😢😢
@annamathias1382
@annamathias1382 17 сағат бұрын
​@@pricemlaykabisa yan watu wanalaumu tu hayajawakuta
@marthageorge5043
@marthageorge5043 18 сағат бұрын
😭😭😭😭
@deobenedictakyoo3140
@deobenedictakyoo3140 22 сағат бұрын
Yn hili jinga likamkabidhi mtoto bodaboda, 🤔 aisee
@josephineokama2200
@josephineokama2200 22 сағат бұрын
duh kumbe kamkabizi boda si angemwacha hata kwa jirani jamani
@bibitogo7789
@bibitogo7789 22 сағат бұрын
Kwa dunia hii unamuachia boda boda mwanao au kijana mwanao, watoto wanafanyiwa vitendo vibaya wanabakwa huyu dada sijui alimuamini vipi huyo kijana kupita kiasi😢
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 20 сағат бұрын
Khaaaa nachindwa ku COMMET 😢😢khaaaa naogopa mimi 😢😢😢
@JeniAlex-e4v
@JeniAlex-e4v 18 сағат бұрын
Ajitambui kaendekeza starehe
@TunauzaSimu-fn2ff
@TunauzaSimu-fn2ff 17 сағат бұрын
@@JeniAlex-e4v mm ni mzee 66 yrs. Lkn vijana wa sasa ni dada wa kz. Boda peleka shule boda peleka wapi nk. Mm.wtt wangu juu ya wajukuu zangu huwa c kubali kuwaachia achia 2. Mpaka husema nimezidi niko OVER PROTECTION. Pia maliza raha zako. Ukiingia ktk ndoa utakuwa na aclimia ndogo ya starehe ukianza kuleta mtt kwisha! Wenye wtt wakae walee wtt wao
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 21 сағат бұрын
Yote 9 lakini huyo mtoto amekosea nini? Angeumwa au antenatal ajali tungemshukuru Mungu. Lakini kweli unampiga mtoto kwa rungs kichwani kweli jamani! Hiyo damu itawaandama wajinga hao!😢😢😢😢
@FatmaHamad-g6s
@FatmaHamad-g6s 20 сағат бұрын
Ulimuacha vp mtoto jmn na mtu kisa rafiki
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v 21 сағат бұрын
Sasa huyo aloenda naye ni mume wake wa ndoa au?
@IdarousPossy
@IdarousPossy 20 сағат бұрын
Sidhan kama mume wake wa ndoa kwasbbu Mwanaume wake wandoa asingekubali kbs
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa 20 сағат бұрын
Hawalaaa ndo kataftaa mtu wakubakiiii na mtoto waooo wakatolaaaa kwend kulewa
@JeniAlex-e4v
@JeniAlex-e4v 18 сағат бұрын
Danga lake
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 19 сағат бұрын
Mama mzembe,kaweka nyege mbele kasahau mtoto
@verobecamfipa8655
@verobecamfipa8655 15 сағат бұрын
Yaaani hiyo atajijutia maishani mwake yote walai😭😭
@TunauzaSimu-fn2ff
@TunauzaSimu-fn2ff 18 сағат бұрын
O9
@jescathomas1539
@jescathomas1539 21 сағат бұрын
Waandishi wajinga nyiee
@JeniAlex-e4v
@JeniAlex-e4v 18 сағат бұрын
Ujinga wao uko wAp nawe n mjinga
@shariffsagaf2305
@shariffsagaf2305 14 сағат бұрын
Unalia nini?
@clemintineuwamahoro9652
@clemintineuwamahoro9652 17 сағат бұрын
Pumuzika pa Mani mutoto muzuli
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
MTOTO ALIYEUAWA KIKATILI DODOMA MJOMBA AFUNGUKA MAZITO
4:19
Uhondo TV
Рет қаралды 23 М.
HUZUNI!!!! MTOTO ANAYEDAIWA KUUAWA NA WATU WASIOJULIKANA AZIKWA
1:14
Mwananchi Digital
Рет қаралды 7 М.
Ответы на вопросы журналистов
20:49
WANNE MBARONI WAKIDAIWA KUJARIBU KUWAUWA MAOFISA RUSSIA
4:38
Mwananchi Digital
Рет қаралды 5 М.
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН