SAKATA LA NAPE&MAKONDA: HEKIMA ZA PROFESA KITILA MKUMBO

  Рет қаралды 108,180

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 71
@mohamedsasma7664
@mohamedsasma7664 7 жыл бұрын
Professor mkumbo uko vizuri ktk Hilo na wanaotoa hukumu ni sisi wananchi fanyeni mnavyotaka kwa sasa ila msisahau yote mnayotukwaza nayo tutajua LA kufanya. Semeni mnavyotaka kwa sasa ila dawa yenu inachemka..
@gracestambuli2358
@gracestambuli2358 7 жыл бұрын
Hapo ukabila unahusika tukiacha uchapakazi wa makonda. Aliyoyafanya yalitosha kutumbuliwa lakini hili kabila washazoea kubebana sasa makonda anabebwa hadi kwenye uovu uliodhahiri hivi,
@nagmahmohamed3985
@nagmahmohamed3985 7 жыл бұрын
kazi kweli kweli
@nicojonas9375
@nicojonas9375 7 жыл бұрын
kuna kitu hapo kati ya magufuri na makonda
@mottofoundationinc.3492
@mottofoundationinc.3492 7 жыл бұрын
SMART BRAIN
@vonkale8565
@vonkale8565 7 жыл бұрын
well said
@musalubacha7537
@musalubacha7537 7 жыл бұрын
kumbuka watu hawa wananguvu niwasimo,wanawatu,wanaushawi,wanapesa,wanafasi,wanaweza kununuavyobo vya kuzohofisha mapambano,zidi yao.naendea
@kalongaalex8262
@kalongaalex8262 7 жыл бұрын
mi sijawahi kuona MTU anatumwa kutibiwa, hadi siku za kutibiwa zinajulikana
@zuuniece6635
@zuuniece6635 7 жыл бұрын
baba nimekuelewa sana
@Mkrist
@Mkrist 7 жыл бұрын
Nia yenu ilishajulikana ninyi. Mh rais ameshawajuwa vizuri sana. Unga hamuuzi tena.
@mlugerobert298
@mlugerobert298 7 жыл бұрын
ROSHAN WILSON Huyo rais si mungu wa kujua yote, kauli ya hapa kazi tu iende na haki.Hapa kazi bila haki ni UTUMWA!
@musalubacha7537
@musalubacha7537 7 жыл бұрын
kwa mf unazani,Mungu alipo mtu yesu kuja kuokowa ulmwengu,Mungu hakumuacha yesu mwenyewe poja na dhihaka alizofanyiwa,
@annacarlos7925
@annacarlos7925 7 жыл бұрын
nyie mnaomuona makonda hajakosea kuvamia clouds mnazo akili kweli au baba ako ndo katajwa na madawa ungefurahi nahatumii
@gervasasenga834
@gervasasenga834 7 жыл бұрын
2020 tupo naye hata yeye aweka Cv zake hadharani.
@daybrelimite7039
@daybrelimite7039 7 жыл бұрын
Picha lilianza kwa Shari tunakula kwa jasho na vyeti vyetu viko ndani but Makonda{Bashite}mayai anakula bata na masifuri yake
@kareenamuraty5845
@kareenamuraty5845 7 жыл бұрын
huyo makonda kabla hajataja wauza madawa angejitaja yeye mbebaji.kwani vita dhidi ya madawa nani kaipinga?vita dhidi ya madawa inaungwa mkono n.a. kila mtu.lakini asiwataje watu wengine kuwachafua n.a. wenye kuuza kweli akawaacha kwa rushwa za magari n.a. pesa.
@alphaignas6826
@alphaignas6826 7 жыл бұрын
Kareena Muraty
@singanosingano6120
@singanosingano6120 7 жыл бұрын
there is something behind
@aloycekiwia8613
@aloycekiwia8613 7 жыл бұрын
Kuna Siri Kubwa sana kati ya MAKONDA na MAGUFULI.Time will tell..Watanzania mtagundua muda si mrefu, I promise..!
@zanzibarsmzenji
@zanzibarsmzenji 7 жыл бұрын
Sheria ifuatwe lazima,sio upendeleo tu hamtoendelea kamwe
@misanathomas9766
@misanathomas9766 7 жыл бұрын
kitala mkumbo nmekuelewa
@renaldakamugishazeramulake940
@renaldakamugishazeramulake940 7 жыл бұрын
MH. RAISI ANGESHATENGUA UTEUZI WA MAKONDA . ILA MNAONYESHA KUMLAZIMISHA NA KUMPANGIA KILE MNACHOKITAKA. MNAPOZIDI KUMLAZIMISHA NDIO NAYEYE ANAWATIA ADABU KWA KUTOMTENGUA MAKONDA. MKIKAA KIMYA MIEZI 2 WA 3 MAKONDA TUNAE MITAANI. NYAMAZENI MUONE.
@magynzioka1122
@magynzioka1122 7 жыл бұрын
kweli
@furahah9437
@furahah9437 7 жыл бұрын
mmmmh
@musalubacha7537
@musalubacha7537 7 жыл бұрын
Anna carlos,fahamu kuwa rafiki wakaribu akiamu kukusariti anaweza,cloud niwasariti wakumbwa,kwamakonda, niulize usariti wao nikuonyeshe
@climaxmtaki630
@climaxmtaki630 7 жыл бұрын
Kiaje mpaka unasema hivyo
@sultanmm7722
@sultanmm7722 7 жыл бұрын
Musa Lubacha hata mm nakubaliana na ww wamemchezea mchezo makonda ili atumbuliwe ila kila mwenye akili amelijua hilo
@gitu4me
@gitu4me 7 жыл бұрын
usiseme wana dar hawampendi sema ,vibaraka wa kwenye mtandao
@imoryaugustino3444
@imoryaugustino3444 7 жыл бұрын
saiz toka mwaka 2015 baada ya jamaa kuingia Ikulu, nyeus ni nyeupe, na nyeupe ni nyeusi. maana mkuu wa mkoa kuwa kama ndo kila nchin, hii ni hatari kwa watanzania jamani. na kwa mazingira kama haya, tanzania ya viwanda ndoto za abunwasi, na kamwe haiwez tokea. tanzania bado sana, na ni pale kila mtu anapokuwa na maamuzi yake pindi awepo madarakani haswaaa kipind hiki toka 2015. hivyo tuwe tu na mioyo migumu ndugu zanguni.
@theresias5289
@theresias5289 7 жыл бұрын
Naona nyie hamjaelewa kinachofanyika ,mnaona kwamba Makonda anafanya kazi kinyume cha maadili lakini si kweli na wale wanao tumbuliwa ni kwamba wako kinyume na Rais,Mtoto mwenye maadili mema hafanyi kitu bila kumshirikisha baba yake na huyo ndiye kipenzi cha Watanzania ndugu yetu Makonda.wasio mpenda waendelee tu kuisoma namba,CCM mi mbele kwa mbele,,naami mwalimu Nyerere yuko kwa baba na anatuombea,,,,alles gute
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 7 жыл бұрын
Theresia S baeleze wa Tz mindset zao ziko ktk chuki binafsi,hata upeo wa fikra umekua mfupi 😏
@shuwehaharunaomariikwena233
@shuwehaharunaomariikwena233 7 жыл бұрын
Ana ishebeb umeandika ukrasa mrefu upumbavu sijui unatoka kolomije
@kareenamuraty5845
@kareenamuraty5845 7 жыл бұрын
mbona vita ya kupambana na wasenge imepotea ghafla.hamjiulizi kwanini?wabongo hatujielewi tutaburuzwa milele kwa kushabikia ujinga.
@rajabuabdallah3840
@rajabuabdallah3840 7 жыл бұрын
Fnya kz mzee
@musalubacha7537
@musalubacha7537 7 жыл бұрын
mbinu ngani itumike kukwamisha,kupambana nadawa,yakwaza nikumukwamisha,makonda,je tumukwamisheje, vyeti raisi kawaguduwa,wakaona haitoshi tufanyeje, tutafute rafiki wakaribu atusaidie katafutwa,nimuseme?
@kasimuyusuph8227
@kasimuyusuph8227 6 жыл бұрын
Kwasasa UNAWEZA kuongea hiyooooo?
@neemamrehy3490
@neemamrehy3490 7 жыл бұрын
HABARIZAMICHEZO
@muhidinzangira9086
@muhidinzangira9086 7 жыл бұрын
Raisi katengua wacha maisha yaendelee
@neemamrehy3490
@neemamrehy3490 7 жыл бұрын
AFRICATANZANIA
@bilalkilinga
@bilalkilinga 7 жыл бұрын
msukuma mwenzake huyo
@musalubacha7537
@musalubacha7537 7 жыл бұрын
kiukweli,nasikitika sana,swala la madawa siyo dogo kiasi kwamba uwataje wewe mkuu wa mukoa bila kuhusisha mamulaka ya juu, naendea
@mamaleah9675
@mamaleah9675 7 жыл бұрын
mungu msaidie makonda
@tonnychibwete8903
@tonnychibwete8903 7 жыл бұрын
ukabilaaaaaaaaaaaa tuuu
@hamiduchilumba2352
@hamiduchilumba2352 7 жыл бұрын
huna lolote...!
@omarchuo2178
@omarchuo2178 7 жыл бұрын
mtangazaji hajielewi anaiyogopa maiki
@musalubacha7537
@musalubacha7537 7 жыл бұрын
Anna kumbuka makosa ya makonda niya pi?ukiaacha chukiza pastor gwajima
@muhidinzangira9086
@muhidinzangira9086 7 жыл бұрын
Sisi wananchi wa dsm hatujamuhukumu makonda
@mlugerobert298
@mlugerobert298 7 жыл бұрын
muhidin zangira haki ndo inamhukumu lakini haki hiyo inakingwa na sheria kandamizi za ubinafsi
@ibrahimjohnstone8268
@ibrahimjohnstone8268 7 жыл бұрын
SIRI KUBWA MAGUFUR NA MAKONDA
@shininisoipano4973
@shininisoipano4973 7 жыл бұрын
magufuli ni dikiteta kabisa ashe udikiteta
@nzomukundafatuma5364
@nzomukundafatuma5364 7 жыл бұрын
amejiroga pekeyake daudi bashite munze wa ma 000000000000000000000000000000000000000000000000000000
@adambago
@adambago 7 жыл бұрын
Kosa Lako Kitila unatumia 'ad numerum au Argumentum ad populum' (Appeal to masses, appeal to majority, appeal to authority of many) Because the majority say so and so is true therefore, it is true... Suala la makonda ni paradox ( Nataka mtoto wangu wa kike awe mvulana), ni kazi ngumu ya uamuzi, kwa nini? 1. Kuna nguvu za watu wauza madawa wanaoombea makonda aachishwe au afe, na akiachia makonda kuna hatari ya biashara kuanza kushamiri, itakuwa ni ushindi wa biashara ya dawa. 2. Makonda na Askofu gwajima. Gwajima anaamini kuwa uaskofu wake utamfanya magufuri amwachishe makonda, na hivyo kutaleta udhaifu fulani kwa raisi anayejiamini. 3. Si kweli kuwa watanzania wote hawampendi makonda, wapo wanaomuunga mkono kwa wingi ingawa amefanya madudu mengi. 4. Profesa angalia duniani kote wapambanaji wa vita ya kulevya huwa hawana marafiki wengi (Duterte wa ufilipino, Mexico, Trumph, Indonesia...) So si suluhisho kumlaumu rais..tuache upepo wende wenyewe. AU?
@musalubacha7537
@musalubacha7537 7 жыл бұрын
kwahivyo nilazima mamulaka ya juu yalijuwa kwamba makonda akitaja wahusika wadawa zakulevya kunachangamto atazipata,ikajiandaa kupambana nazo.naendea
@edsonsign9441
@edsonsign9441 7 жыл бұрын
hakika tz tuna maprofessor feki wengi. hata ww ni feki. kabla ya madawa ya kulevya mlikuwa wapi? sema wananchi wa dar wanampenda makonda, vyombo vya habari ni nn bwana! acha porojo.
@athonyfrancis8889
@athonyfrancis8889 7 жыл бұрын
hahahhaa haya mliokimbia shule speech ya kiprof kwenu ni sheeda,prof hakung'ata wala kumeza ameongea ukweli wa mambo yalivyo sasa ulozoea kuukataa ukweli lazima mkuki moyoniiii.haya twende just kupita
@athonyfrancis8889
@athonyfrancis8889 7 жыл бұрын
hahahhaa haya mliokimbia shule speech ya kiprof kwenu ni sheeda,prof hakung'ata wala kumeza ameongea ukweli wa mambo yalivyo sasa ulozoea kuukataa ukweli lazima mkuki moyoniiii.haya twende just kupita
@athonyfrancis8889
@athonyfrancis8889 7 жыл бұрын
hahahhaa haya mliokimbia shule speech ya kiprof kwenu ni sheeda,prof hakung'ata wala kumeza ameongea ukweli wa mambo yalivyo sasa ulozoea kuukataa ukweli lazima mkuki moyoniiii.haya twende just kupita
@alexngao9176
@alexngao9176 7 жыл бұрын
hata busara inahitajika ili kuepusha shari mbona Obama ali2miwa kutokuwa na uraia wa USA lkn baada ya ck mbili alionesha ndipo rai wa usa wakamwamini zaidi
@alexngao9176
@alexngao9176 7 жыл бұрын
hata busara inahitajika ili kuepusha shari mbona Obama ali2miwa kutokuwa na uraia wa USA lkn baada ya ck mbili alionesha ndipo rai wa usa wakamwamini zaidi
@rachelward4973
@rachelward4973 7 жыл бұрын
Wana Habari. kumbe mambo ya Makonda bado..? si mmezema mwaacha naye? shikamooni wana Habari wote
ЗНАЛИ? ТОЛЬКО ОАЭ 🤫
00:13
Сам себе сушист
Рет қаралды 3,7 МЛН
Kitila Mkumbo: Wanaopinga Uraia Pacha Hawana Hoja za Msingi
20:25
PART 1 "Nilifukuzwa darasani kwa kukosa elfu 2" Prof Kitila Mkumbo
4:49
Mwananchi Digital
Рет қаралды 1,2 М.
Profesa Kitila: Mfumo wa elimu ufumuliwe, umepitwa na wakati
41:06
Mwananchi Digital
Рет қаралды 2 М.
Hiki ndicho kinachomfanya Marekani na Israel wamuogope Iran
35:23
Mtume Boniface Mwamposa aelezea story yake ya lockup .
15:56
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 65 М.
ЗНАЛИ? ТОЛЬКО ОАЭ 🤫
00:13
Сам себе сушист
Рет қаралды 3,7 МЛН