Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
Пікірлер: 88
@patrickmlowe974810 ай бұрын
Jama anajua kumsema mtu kwa ustaa sana makongoro safi
@ibrahimdotto52345 ай бұрын
I am so happy to hear your voice mh mkuu wa Mkoa ,nilikuwa na hasira Leo ila zimetoka ,maneno yako kwa Jakaya yamekuwa faraja kwangu
@touches4lifeonlinetv465 ай бұрын
Uko so talented ujumbe umefika🎉
@allydilunga156311 ай бұрын
Jamaa yupo vyema🎉
@jamesjoseph682510 ай бұрын
Kama ubongo wako haupo vizuri unaweza kuona anachekesha lkn ameshammaliza mtu hapo
@storyzatowntz10 ай бұрын
😅😅😅😅
@officialentertainment19955 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-gr7tb7jv2m11 ай бұрын
Hongera mazungumzo yako yanakuwa na historiia we Makongoro Kama wanasheria wangekuwa na historiia ya Uhuru wa Zanzibar wesingetetea mkataba wa uwekezaji kutoka Uarabuni
@iddiabdallah73524 ай бұрын
Son like father makongoro hana vijembe vya chini chini
@didasseveline901311 ай бұрын
Makongoro kumbe kweli unajua! Umeeleweka vyema! Umetumia fumbo kutumia sms!
@mropeamadeus5411 ай бұрын
Akili nyingi
@mosesjnr843611 ай бұрын
😃😃 kasema amestaafu lakini hajastaafu
@EzzyK43811 ай бұрын
I love this guy... Mcheshi sana huyu mwana 😂
@priscillandekere88468 ай бұрын
Ukweli umejitoboa wenzangu , sabalkheri
@LeylatVlogs10 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥Nyerere namkubali saana huyu mwamba
@fatmasalim829310 ай бұрын
Makongoro mcheshi sana kama kikwete ❤❤❤❤nawapenda sana
@jeffhard577310 ай бұрын
Ni kweli ajastafu ndio maana anaendelea kutuingiza chaka
@awadhally10525 ай бұрын
Kwel
@brother_majesty11 ай бұрын
Anajua anachokisema...lakini ndio hivyo tena.
@sarahsteven31625 ай бұрын
😊
@jumanneenos248111 ай бұрын
Huyu jamaa anaongea vitu sana, lkn kwa wale walioenda shule za Cuba
@dostovan514210 ай бұрын
🤣🤣🤣
@yusuphchankwa475911 ай бұрын
Nikweri kabisa nchi bado inaongozwa na kikwete duuuh
@KassimSalumu-fk6yk10 ай бұрын
Kivipi
@rosemkude48045 ай бұрын
Senti hamsini... 😅😅😅😊
@zefamange728111 ай бұрын
WANAACHA KUPAMBANA NA MATATIZO YA NCHI WANAVUNJANA MBAVU
@gigoyrn439411 ай бұрын
😊😊😊hotuba za makongoro dk 10 pumba 1 anatoa asante
@KassimSalumu-fk6yk10 ай бұрын
Kivipi
@yusuphmsigiti87311 ай бұрын
Iko poa hiyo.
@robertmwangomale11 ай бұрын
Chawa
@KassimSalumu-fk6yk10 ай бұрын
Kivipi
@sifamanyori-kf9vq10 ай бұрын
Makongoro wewe jinaeako diyo hunyayo was baba watahifa husifimoyo yesu yupo pamoja naqewe kikumbwa nihimani tuu
@kainimlowe964611 ай бұрын
Ndo mana mnaishia kuwa masikini wenzenu wanapiga hela endeleaa kuwa mchekeshaji wa taifa
@patrickmukundichalamila303811 ай бұрын
Kwahio unajidanganya kua akina Nyerere hawana hela? Hao sio maskini wako vizuri sana na sio maskin
@KassimSalumu-fk6yk10 ай бұрын
Kivipi
@jumakatanje95524 күн бұрын
Hela wanazo sema hawana ukorofi kama wengine wametulia sana
@abdallahkihanza48211 ай бұрын
Wanacheka kwa raha jinsi wanavoitafuna nchi
@user-ok4kn8tu4m11 ай бұрын
Acheni njaa za kijingajinga
@andrewkilulu11 ай бұрын
1/Mnajua msipo msifia shughuli hamna 2/Asilimia kubwa ya viongozi wetu 😢 3/magufuli Amka
@bakariamour102411 ай бұрын
Nenda kamuamshe ataamka mbona, mwehu wewe
@yusufismail311610 ай бұрын
Ulikosa shule, unasoma kwenye face book na nyimbo za bongo flavor ndio unafikiri kama Kuku.
@KassimSalumu-fk6yk10 ай бұрын
Kivipi
@jumakapilima729511 ай бұрын
Kumbe kustaafu ni shida na nyie mnajua, sasa kile kikokotoo Kwa wale wengine cha nini?
@davidmfune106310 ай бұрын
Huyu mwamba
@rosemarymwakitwange625711 ай бұрын
Makongoro is an embarrassment Kwa family ya baba wa taifa, very sad wanamtumia kama kituko mbele za watu Kwa kweli ni aibu sana.
@hassansalum257211 ай бұрын
Sasa aibu ipi apoo mbona yuko sawa tuu
@jumakapilima729511 ай бұрын
Mbona hapo hajafanya Jambo Baya?
@bonifacejames3411 ай бұрын
Sasa hapo nini cha ajabu?
@user-ok4kn8tu4m11 ай бұрын
Haters wa kikwete mna tabu dunia hii si mchezo!
@ladislausngoyinde438411 ай бұрын
Kabisa dada angu, hao mafisadi anaowahutubia wanamchora tu
@sifamanyori-kf9vq10 ай бұрын
Huyo diye sheshi rabakwata bangamoyo
@ramadhanimtetu365611 ай бұрын
😂😂😂😂
@petermkumbo509410 ай бұрын
Wanafunzi wa Cuba tu ndo tumekuelewa.Japo watu wanaishia kucheka ila umepiga msumari mzito mwanzoni mwanzoni mwa speech yako.
@user-or8ow5vr7m11 ай бұрын
Ndoujinga huo yeye mstaafu anazurura no Nini mbona mwinyi hajawahi kuzurura kama hayo mazee
@hijazhija31611 ай бұрын
Wivu.chuki.
@babalao91011 ай бұрын
Una wivu wa kijing a sn kenge WW, ulitaka ajifungie ndani au?.
@hemedrashid292111 ай бұрын
wewe ni mpumbavuu tu ng'ombee tu etiii anazururaa roho mbayaa ya chukii mmechelewaaa sanaa hatudanganyikii tenaaaa
@TheAlman11 ай бұрын
Imekuumaaaa eehhh
@hamadsuleiman517711 ай бұрын
Unaumia ukiwa wapi
@user-hm9oi1vl4e5 ай бұрын
Huyo ndo mmiliki tz kwa .....😭
@bonabonala555911 ай бұрын
huyu sio mtoto wa nyerere kwasababu mtu wa kujipendekeza hana msimamo hata sekunde moja anacheka kama mgonjwa wa tibi baba wa taifa huaga acheki hivyo
@user-ok4kn8tu4m11 ай бұрын
Kwahiyo watu wasifurahi kwakuwa nyie mna chuki na njaa zenu!
@detlantamarooned180910 ай бұрын
Njaa zako zisikufanye umchukie kila mtu.
@KassimSalumu-fk6yk10 ай бұрын
Chuki hazifai
@rolencevedasto10095 ай бұрын
Mtu anakuwa na makasiriko kuona manzake anaongea ni jambo gan baya kakosea labda au kumtaja Rais mstaafu
@thejordanband151611 ай бұрын
Ukifanya kazi zote zinavyo takiwa kwenye Taifa nchi kustaafu sio jambo simple linakuwa jambo jipya kabisaa na linaitaji mahesabu..
@makongoronyerere156411 ай бұрын
Ww utakuw Mtt wannje yandoa, Nyerere hakuw mjinga kiss hch
@hajihassan543311 ай бұрын
Nyerere mwenyewe alikuwa mtoto wa nje ya ndoa kwa sababu alikuwa mtoto wa mke 8 wa Mzee Kambarage Borito Nyerere.
@makongoronyerere156411 ай бұрын
@@hajihassan5433 hhhhhhha, kwaiyo bila bila
@ahz690710 ай бұрын
Watoto wa mjini tunasema ngoma drooo
@yusufismail311610 ай бұрын
Roho yako ina KUTU
@KassimSalumu-fk6yk10 ай бұрын
Angalia maneno yako
@gabrielpott33255 ай бұрын
Makongoro njaa zinakusumbua Sana ndgu yangu
@nelsonnyamle11 ай бұрын
Wewe umekuwa comedian wenzako wameiba matilioni ya watanzania
@fridageorge280910 ай бұрын
Kumuelewa mpaka uwe na akili nyingi sana kama za kwakwe!
@KassimSalumu-fk6yk10 ай бұрын
Kivipi
@officialentertainment19955 ай бұрын
@@KassimSalumu-fk6ykamini hivyo
@barakajoseph22348 ай бұрын
Huyu jamaa kinachombeba ni nyerere yuko kama kawaya kamechomoka vile speech zake tata
@officialentertainment19955 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@johannmaloda60274 ай бұрын
😂😂😂
@bonabonala55595 ай бұрын
makongro chawa wa ccm vllakilaki vinamzuzua mrevi huyu