Siku moja kabla ya dereva bodaboda na mpenzi wake kuuwawa

  Рет қаралды 13,199

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Mwananchi Digital Imefika eneo ambalo limechimbwa kaburi la kumpumzisha Dereva Bodaboda aliyefahamika kwa jina la Dominick Kigula aliyeuawa akiwa pamoja na Mpenzi wake Ester Shiago na kuzungumza na Mwenyekiti wa Bodaboda wa kijiwe alichokuwa akipaki Dominick wakati walipokuwa wakichimba Kaburi la Kumpumzisha Mwenzao ambaye hapa anatueleza namana ambavyo Dominick aliondoka Kijiweni hapo Mara ya Mwisho kabla ya Mauti Kumfika

Пікірлер: 5
@kazikazini1042
@kazikazini1042 2 жыл бұрын
Diji sema diji Mwananchi diji..
@dianaabdallah4696
@dianaabdallah4696 2 жыл бұрын
Iyo ndio faida ya usalit
@winnesakara6957
@winnesakara6957 2 жыл бұрын
Hata kuvurugukika kwa hiyo ndoa ni huyo binti
@fidelismwakanyamale6787
@fidelismwakanyamale6787 2 жыл бұрын
Nimeelewa
@atupokileenock2245
@atupokileenock2245 2 жыл бұрын
Mungu awapunguzie adhab ya kabur
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 45 МЛН
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 129 МЛН
iPhone or Chocolate??
00:16
Hungry FAM
Рет қаралды 55 МЛН
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI,  OKTOBA 09, 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 212
Ni Tundu Lissu na Joseph Mbilinyi tena Bungeni leo May 5 2017
11:11
Millard Ayo
Рет қаралды 1,4 МЛН
Anayedaiwa kuchukuliwa na Polisi kwa mahojiano akutwa ameuawa Zanzibar
6:55