Shuhudia jinsi Msafara wa Makonda ulivyopata ajali Mtwara

  Рет қаралды 30,217

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Sehemu ya magari ya msafara Katibu wa Itikadi,Uenezi na Mafunzo wa CCM Paul Makonda yakiwa yameegeshwa eneo kata ya Sululu wilayani Masasi mkoani Mtwara baada ya kupata ajali yakitokea mkoani Ruvuma

Пікірлер: 59
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 7 ай бұрын
Poleni sana msafara wote,,Enendeni mkawaambie binadam wenye imani potofu! Hiyo ni ajali kama zingine,ushauri wangu! Muenende kwa mwendo wa tahadhar hasa maeneo hatarishi kama vile UKUNGU,VUMBI,MVUA,UTELEZI,KONA, NA MENGINE KAMA HAYO🙏 UDEREVA WA KUJIHAMI👍
@JuliusObed
@JuliusObed 7 ай бұрын
Polee xana makonda mungu akuweke mbali na roho za ajali Mimi nakutazama kama raisi wetu wa hawamu wa saba mbele kwa mambo unayofanya
@WistonPhilipo
@WistonPhilipo 7 ай бұрын
Pole sanaaa ni jambo la kumshukuru sana mungu kuona wametoka wakiwa salama ndugu p makonda mungu azidi kukulinda katk ziara Yako
@adolpheaoci5706
@adolpheaoci5706 7 ай бұрын
Poleni sana ndugu zangu. Mungu awaponye wote
@rehemadaudi-r4p
@rehemadaudi-r4p 7 ай бұрын
Allah awanusur majeruh wote ishala😊
@NicholausAlois
@NicholausAlois 7 ай бұрын
Pole kaka japokuwa siipendi ccm lakini upande washida tuoneane huruma
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi 7 ай бұрын
Udereva wa kujihami hakuna hapo, barabara za vumbi lazima mpeane distance kwajili ya vumbi sasa hapo ni uzembe na msisingizie wachawi. Kikubwa watu km wamepona vyuma vina tengenezeka hivyo
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 7 ай бұрын
Ndiooo mzee
@Zubaiba
@Zubaiba 7 ай бұрын
Poleni sana,mungu kakunusuru makonda, inshaallah waloumia mungu awafanyie wepesi wapone haraka
@edinahmaganga2722
@edinahmaganga2722 7 ай бұрын
Poleni sana wote mliopatwa na hizo changamoto za ajari Mungu azidi kuwapa Neema zake poleni sana wapendwa wetu
@deodartngaiza6664
@deodartngaiza6664 7 ай бұрын
Pole sana Mh Makonda na msafara wetu wote.
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q 7 ай бұрын
Duh. Anasakwa makonda na ushirikina. Hawawezi. Mungu anamlinda
@pastorhermantv5420
@pastorhermantv5420 7 ай бұрын
Makonda unasakwa na washilikina omba sana watu hawapendi ziara zako unawaumbua wanakusaka kwa ndumba usimwache Yesu
@JonasMbuyah
@JonasMbuyah 7 ай бұрын
Wewe ni zero kabisa! Accident zina husiana nini na ushirikina? Watu kama nyie ndio matatizo
@vincentmushi1247
@vincentmushi1247 7 ай бұрын
Hapa inaonyesha kabisa ni uzembe wa madereva kutokuachiana nafasi ya kutosha...na inaonekana walikuwa wako kasi sana.. hapa hakuna uchawi...wachawi ni hao madereva...mungu akulinde makonda
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 7 ай бұрын
Kama ni mungu basi ashukuriwe kaepusha,kama nguvu za giza ,basi mungu awalaani awaangamize awateketeze wote wenye nia mbaya na viongozi wetu,waangamizwe wote mungu hana mchezo,poleni na makonda mtolee sadaka Mungu,aendelee kukuepusha
@helencyprian8745
@helencyprian8745 7 ай бұрын
Kodi zetu zinatukika vibaya sana, hizo gari zote za kifahari jilikuwa na ulazima gani wakwenda huko zote hizo? Kwann isiwe gari moja au mbili tu? Kha! Kutuumiza wananchi bila sababu, haya endeleeni tu.
@stephansabas215
@stephansabas215 7 ай бұрын
Ni ujinga tuu
@aronmtui597
@aronmtui597 7 ай бұрын
Mungu anawaona
@AndrewNdabigeze-ir9pj
@AndrewNdabigeze-ir9pj 7 ай бұрын
Makonda wetu mungu anampnda
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui 7 ай бұрын
WATANZANIA GARI HIZI NI BEI MBAYA SANAAA ZIMEALIBIWA KODI ZETU ZINAPOTEA
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 7 ай бұрын
JINGA SANA KO WE UMEONA GAR NDO YA THAMAN KULIKO MAISHA
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui 7 ай бұрын
HICHI KILIKUWA KIFO CHA MAKONDA SEMA DAMU YAKE KALI
@rodasanga1312
@rodasanga1312 7 ай бұрын
Mgesubiri kwanza tumzike mzee lowasa
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui 7 ай бұрын
WANACHEKA PESSA ZA WANANCHI WANAFANYA SILAA ZA KUMUULIA MAKONDA
@makibadatela7865
@makibadatela7865 7 ай бұрын
Magari ya serekali kwenye misafara ya Chama yanafuata nini huko?! Makonda sio mtendaji wa Serekali kama ilivyo Rais au Waziri Mkuu , Na chama kina Ruzuku yake , Mwazidi kututia umasikini, Poleni kwa ajali.
@sadikhussein3158
@sadikhussein3158 7 ай бұрын
Jamani poleni sana mungu awalinde
@KassamaliKassam
@KassamaliKassam 7 ай бұрын
Driver's are not professional Very painfull
@azizali5759
@azizali5759 7 ай бұрын
Kweli haukuwa na lazima wa magari yote hayo, ufisadi ndio huo
@JonasMbuyah
@JonasMbuyah 7 ай бұрын
Kwanini ana hitaji magari yote hayo kwenye msafara? This is a waste of money, and stupid!
@eliangikundimlay3084
@eliangikundimlay3084 7 ай бұрын
Mwendo kasi
@DianaMafuru
@DianaMafuru 7 ай бұрын
Poleni jamani
@ShalafiTitto
@ShalafiTitto 7 ай бұрын
Mtwara matukio
7 ай бұрын
Yaan hii nchi basi makonda analipwa posho kubwa saana na hayo magari kuna mafuta yanatumika na yatanyooshwa kwa garama kubwa je hasara hio serikali haioni ? Huku watu hatuna sukari ,umeme nk
@SelijusiMalambo-q2u
@SelijusiMalambo-q2u 7 ай бұрын
Hawataweza. waendelee TU lakini hawataweza
@justinealistides5146
@justinealistides5146 7 ай бұрын
Mbona kama movie 😨
@issaalfani1030
@issaalfani1030 7 ай бұрын
Pesa zetu zinateketea wachache wakisha zikamata sisi walipa kodi tunakua maadui M/mungu nae kwakua anaona anafanya yake
@richardjuma2363
@richardjuma2363 7 ай бұрын
Hakuna madereva hapo udereva wa kujiham ukowapi hapo??
@lilhydon452
@lilhydon452 7 ай бұрын
Hizi gari ni za nani?🤔
@naturelle1097
@naturelle1097 7 ай бұрын
Over speeding
@nichoojr.6747
@nichoojr.6747 7 ай бұрын
Kodi ZETU ndo zinatumika hivi kweli....
@AbdallahHamisi-s4h
@AbdallahHamisi-s4h 7 ай бұрын
Duh magar yot hayo kam movie
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 7 ай бұрын
@jumaramundi kinywa hicho ipo siku utakuja kupata ajali ndipo utajua km ajali ni mipango ya Mungu.
@ShabanJinga
@ShabanJinga 7 ай бұрын
mhuuu...haya ..bc 2kupepole...maaana wewe si ndio c c m? una2kilisha pole saaaaaaaaaaana
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui 7 ай бұрын
AWA MADEREVA C WATU WAZURI HUU NI MCHEZO WA MAUAJI MAKONDA MUAMINI MUNGU C BINADAM
@PaulEnos-pn6vc
@PaulEnos-pn6vc 7 ай бұрын
Pole
@AndreaMasengo
@AndreaMasengo 7 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢
@exprodigitaltechtv5571
@exprodigitaltechtv5571 7 ай бұрын
mlikua mnaenda wapi na umeme hakuna
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 7 ай бұрын
HUMU KUNAWAPUUZ WANAANGALIA MAGAR BADALA YA KUSHUKURU MUNGU HAKUNA VIFO HAYO MAGAR SI YAPO TU KIKUBWA N UHAI EE MUNGU ENDELEA KUMLINDA MAKONDA WETU
@eliasmedutieki7578
@eliasmedutieki7578 7 ай бұрын
Kpdi zetu kwisha ila bora watu wamebaki
@HusenNdwata-yb6nw
@HusenNdwata-yb6nw 7 ай бұрын
Izi ni laan zinawatafun na bado
@SamwelKuray
@SamwelKuray 7 ай бұрын
Bahati yenu wengine wanaomboleza nyie wasambasa ombea .
@gmmatelephone3597
@gmmatelephone3597 7 ай бұрын
Mfee
@CHRISTOPHERKIMARO-d2w
@CHRISTOPHERKIMARO-d2w 7 ай бұрын
Ela zawalipa kod zinateketea awana asara hao asara ni roho tu mali amna shida walipakodi tutanunua nyingine
@anangisyemapunda7686
@anangisyemapunda7686 7 ай бұрын
Duhhh
@shamslukumay2627
@shamslukumay2627 7 ай бұрын
Duuuuuhhhh
@jumaraimundi7540
@jumaraimundi7540 7 ай бұрын
Laana ya watu wa namtumbo
@maniamba.tz_
@maniamba.tz_ 7 ай бұрын
😂😂😂😂
@goodluckswai7496
@goodluckswai7496 7 ай бұрын
Mbona kuna mengi kama harusi kodi zetu zinaliwa
Anayedaiwa kuchukuliwa na Polisi kwa mahojiano akutwa ameuawa Zanzibar
6:55
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 105 МЛН
Players vs Corner Flags 🤯
00:28
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 80 МЛН
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 12 МЛН
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Cinewatch
Рет қаралды 8 МЛН
SPEECH YA ABAKOBWA
7:39
KYANKWANZI TV ACROSS BORDERS (K.M.TV)
Рет қаралды 252 М.
Light up!! PUPR fills up completely. Jalan Batu Jomba has turned into a toll road
37:24
Who Wants to be a Millionaire US: First Million Dollar Winner with John Carpenter
19:07
Motherland Darren's Sessions
Рет қаралды 3,9 МЛН