POLISI wamuandikia TUNDU LISSU barua hii, Awajibu jukwaani

  Рет қаралды 72,466

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 90
@w4058
@w4058 Жыл бұрын
Sema Baba sema msema kweli always msema kweli hapendwi na wote mpenda haki hawi CCM hata siku moja
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 Жыл бұрын
Good job my brother lissu Salam zangu kutoka USA
@w4058
@w4058 Жыл бұрын
Wazanzibar tumeshayazoweya sasa zamu yenu wenzetu wa Tanganyika pole zetu sote
@denisrukangula2227
@denisrukangula2227 Жыл бұрын
Mnaosema lisu Anafanya siasa za uchochezi n 1-mtakuwa ccm 2-hamjui maana ya siasa 3-mathayo 10:34-39 kasome 4-sio uchochezi anaongea ukweli 5- kama hamjui Ni kwamba siasa uwa zinaangalia pale penye udhaifu wa mwenzio ndo wanakuchapia Kama kipindi kile magufuri anapiga push up hiyo ilikuwa ni challenge kwa Lowasa. 6-usije tegemea hata siku moja kusikia mwana siasa anamsifia mwenzake , maana yangu ni kwamba siasa uwa haipo kwenye kusifiana. Ni unapigwa vitu vikali unaweza kulia 😂😂😂😂
@rosemichael4765
@rosemichael4765 Жыл бұрын
Kabisa mkuu
@danielkanso
@danielkanso Жыл бұрын
Naam imeeleweka mr
@paschalndimu7725
@paschalndimu7725 Жыл бұрын
Usiwe wa nduhu tabu wewe .tundu anasema kweli tu
@RomaMichael-ei6di
@RomaMichael-ei6di Жыл бұрын
Lissu Mungu akutangulie 🙏🙏🙏🙏
@daudisalum9574
@daudisalum9574 Жыл бұрын
Lisuuu tupo pamoja kamanda
@fredrickjoseph6545
@fredrickjoseph6545 Жыл бұрын
Kwa wale mliokuja Kwa ajili ya barua ya polisi...peleka mbele hadi dkk ya 10...ili usipoteze mda
@denisrukangula2227
@denisrukangula2227 Жыл бұрын
Una akili sana
@IsayaLinyama
@IsayaLinyama Жыл бұрын
Risu unakidhi vigezo kua rais wa jamhuri ya muungano wa tz
@renatusmtinangi5208
@renatusmtinangi5208 Жыл бұрын
Mungu atakupa maisha marefu monyampaaa kusoma ni raha Sana.
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 Жыл бұрын
Kwa dhuluma hii lisu tuko pamoja
@stephensengo6877
@stephensengo6877 Жыл бұрын
we jamaa Mungu akupe maisha marefu kwani unatufumbua macho tuliowengi
@JuliusMsabaha-gh1fi
@JuliusMsabaha-gh1fi Жыл бұрын
Kamanda sema
@honestmsigwa920
@honestmsigwa920 Жыл бұрын
Tanapa ni washenzi sana hawana huruma na binadamu Hilo tunalijuwa Mzee,wanathamini wanyama kuliko binadamu huu ni upumbavu kabisa.
@saimonisichimata8559
@saimonisichimata8559 Жыл бұрын
Rais wa Tz
@aishabakari9229
@aishabakari9229 Жыл бұрын
Unachokisema marazote ni kutetea mtanzania pia hukomi pamoja na kupigwa Marisasi
@wilsonmkumbo
@wilsonmkumbo Жыл бұрын
Wewe Ng,ombe Hina lolote kbsa,usicheze na serikali,wewe sema unachotaka mtanzania aishije
@aishabakari9229
@aishabakari9229 Жыл бұрын
@@wilsonmkumbo alietahiriwa hatahiriwi tena lisu kama kuacha angeachakuikosoa serikali baada ya marisasi
@georgemaganga3804
@georgemaganga3804 Жыл бұрын
Uzuri wa kusoma.Nchi isomeshe wananchi wake
@Ishengoma1
@Ishengoma1 Жыл бұрын
Yuko na hoja, ajibiwe na serikali au chama cha mapinduzi. Hiyo ndio siasa.
@HeavyrainKuresoi-ke9df
@HeavyrainKuresoi-ke9df Жыл бұрын
Kama hayo yote lissu unayosema ni kweli, Mungu wa mbinguni atupiganie na kutuinulia watetezi, ili waovu hao wawe kama majani makavu mbele za moto,,,
@jonijoogabriel3728
@jonijoogabriel3728 Жыл бұрын
Sema
@pauloropian2367
@pauloropian2367 Жыл бұрын
Huyu jamaa ni mfano wa kuigwa Mungu akulinde Mungu anakusudi na wewe ndo maana uko hai mpaka leo Mungu akulinde juu ya maadui hawa wa Wanao dhamini wanyama pori kuliko watu wake.
@KhamisiRashidi-kx2rx
@KhamisiRashidi-kx2rx Жыл бұрын
❤❤❤
@w4058
@w4058 Жыл бұрын
Sema Baba sema msema kweli always msema kweli hapendwi na wote
@PhilipoMwasha
@PhilipoMwasha 5 ай бұрын
Hapo unatukosea nchi Ina waamiaji wengi zungumza ukweli
@katarinawilliam9960
@katarinawilliam9960 Жыл бұрын
Mmmmm.Enzi za Jiwe mida hii Police wamemzingira!!
@venancemwakibete9763
@venancemwakibete9763 Жыл бұрын
Hata yesu kwa kumsamini mtu mmoja akaona vema nguruwe elfu mbili wafe kuliko mtu mmoja kufa mali ya asili wanaua watu kuliko wanyama
@TaitasBang-qi5lh
@TaitasBang-qi5lh Жыл бұрын
Tundu halisi
@sharifaamrani654
@sharifaamrani654 Жыл бұрын
Watu hawa Ni hahadii ya mungu kwenu jamannii
@saidasimba9979
@saidasimba9979 Жыл бұрын
Unachoongea ni sawa lkn si sahihi
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 Жыл бұрын
Duuh!
@ondieckotoyo1143
@ondieckotoyo1143 Жыл бұрын
Ni wakati pia ya kuoji muungano wa Tanganyika na zanzibar Kama ni muungano tuwe na rais moja wa Tanzania bendera moja nchi moja katiba moja Zanzibar ilishajitenga, lina katiba yake, rais wake, bendera yake , mipaka yake na majeshi yake, na bado wananufaika na kumiliki ardhi ya bara ambayo siyo sehemu ya muungano huku watanganyika hawaruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar hivyo wazibari wasiongeleh ubaguzi pale watanganyika wanapoibua hoja ya kero ya muungano hoja za watanganyika zisibezwe hata kidogo au kuzikejeli
@meshackpatrick6981
@meshackpatrick6981 Жыл бұрын
Narada
@stevenkatani3047
@stevenkatani3047 Жыл бұрын
Mm nipo mwamkulu lissu Apo umetupanga kwanZa sie atupo karb na hifadhi kwel uyu ni mchochez
@jeunajuatv817
@jeunajuatv817 Жыл бұрын
wa maharage au
@Kijana-wa-Tanzania
@Kijana-wa-Tanzania Жыл бұрын
We kweli katani! Hewa kweli.
@geraldgedi4657
@geraldgedi4657 Жыл бұрын
Acha ujinga mbweha wewe
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Жыл бұрын
​@@geraldgedi4657jibu hoja sasa matusi ya nn au ndio sera ya chadema?
@geraldgedi4657
@geraldgedi4657 Жыл бұрын
Hoja zilizokuwa zinatolewa kwenye hotuba hiyo ni za uongo kwa mujibu wa mtazamo wako ndo maana watu wajinga kama nyie tusi linakufaa tupo kwenye mambo ya maana ya maisha halafu wew unaona wenzio hamnazo?
@rizikahmad6930
@rizikahmad6930 Жыл бұрын
mmmh
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Жыл бұрын
Barua hiyo madhumuni yake ni ili kusudi watu maelfu wa makambi yale ya wakimbizi wasipate elimu yako kubwa wakajua siri, wawe akiba ya kura za ziada kwa ccm nyakati za uchaguzi,na mkakati huu wananchi tunaamini kabisa kuwa una baraka zote za serikali,na sasa yamefichuka mchana kweupee!
@geraldgedi4657
@geraldgedi4657 Жыл бұрын
Tuheshimishe wapenda haki
@elizabethnzunda9223
@elizabethnzunda9223 Жыл бұрын
Ndo mikutano ulioitaka
@onesmomasala-rg2wd
@onesmomasala-rg2wd Жыл бұрын
Wapeleke kaka Hawa ccm
@victoriamaige2862
@victoriamaige2862 Жыл бұрын
Yaani tunawashukuru mjitahidi kutoa elimu tu muache kumsema raisi vibaya htyeye mengine hajui jamani ni kweli shetani amehamia tanapa
@safielimjema4593
@safielimjema4593 Жыл бұрын
Ndiyo anajulishwa hivyo
@Kijana-wa-Tanzania
@Kijana-wa-Tanzania Жыл бұрын
Sasa kazi yake ni ipi kama hajui? Tunamlipa mshahara wa bure? Kama kazi imemshinda ajiuzulu tu!
@geraldgedi4657
@geraldgedi4657 Жыл бұрын
Acha kumlinda Rais , unadhihirisha jinsi tulivyo na kiongozi dhaifu kwani hayo yanayelezwa ni miujiza mpaka ashindwe kubaini na kutoa amri ya kuwaajibisha.
@salummakadi311
@salummakadi311 Жыл бұрын
Wakenya leo hawana ardhi watz wanamiliki ardhi kushuka kweli mpayukaji ndicho anacho kitaka
@victorernest7702
@victorernest7702 Жыл бұрын
Kwakuwa wewe unamiliki ardhi ndio maana unaona anapayuka ila kwa tulioguswa na hayo anayaongea,, yatukuungi mkono hata
@mohamedrashid9035
@mohamedrashid9035 Жыл бұрын
Tundu Lisu sio zote Unafanya Siasa za Uchochezi tu wananchi na Serikali vitu unavyo sema vingi sio vya kweli
@stewartdyamvunye-wz6rn
@stewartdyamvunye-wz6rn Жыл бұрын
Vema ungetoa mfano angaa mmoja au miwili katika vitu unavyodai kuwa Lissu asema uongo.
@mckombe7200
@mckombe7200 Жыл бұрын
Tupe mifano unayo dhani kuwa ana sema uwongo
@MabulamalembekaMoris
@MabulamalembekaMoris Жыл бұрын
tuambie wewe ukweli sasa unao ujua usitu letee ujinga wako hapa
@danielkanso
@danielkanso Жыл бұрын
Yaani ukweli huwa unauma hivyo ukweli unao tajwa sasa haujawaacha huru wahusika tumbo joto wee
@philemonsnyanda9450
@philemonsnyanda9450 Жыл бұрын
Kwenda zako huko hujui lolote wa zwa zwa
@matumokimatumoki6424
@matumokimatumoki6424 Жыл бұрын
Huyu mchochezi sana ongea sera za chama chako nn itawafanyia wananchi,ili ueleweke..
@aishabakari9229
@aishabakari9229 Жыл бұрын
Nyie wanufaikaji mpo tuu na maslahi yenu
@collinmhema5443
@collinmhema5443 Жыл бұрын
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana
@arsenalzanzibar2413
@arsenalzanzibar2413 Жыл бұрын
Kumbe kuna Watu Wajinga Km Ww Anachokiongea Lissu Ni Ukweli Mtupu Tunahitaji Hali Kwa Kila Mtu Aheshimiwe Na Kusikilizwa Tuchague Kiongozi Ambaye Ni Bora Sio Wa Tumbo Lake Na Family Yke Amka Kwenye Usingizi Mzito Huo
@frankhoffa8356
@frankhoffa8356 Жыл бұрын
Hapo anafanyaje sas
@stephensengo6877
@stephensengo6877 Жыл бұрын
@@frankhoffa8356 lisu anaongea point za msingi kama huzioni basi
@bujashidaniel5537
@bujashidaniel5537 Жыл бұрын
Watu mbna hamna
@FilbetCharles
@FilbetCharles Жыл бұрын
tundulis sela zake hazina mashiko kwa asilimia 65 mwambien atumie elim yake kulikomboa taifa nasio kupandikiza chuk baina ya watu na serikal
@mwemezigosbert4844
@mwemezigosbert4844 Жыл бұрын
Wewe utakuwa umchukia lakini anaongea ukweli
@imanmodern
@imanmodern Жыл бұрын
Unamchukia tu Lissu wewe unafaidika na maslahi yako CCM
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 Жыл бұрын
Maneno yako yakujifanya,unajua, kila,kitu usichokuwa, unakielewa. Hizo nindoto huwezi kufanikiwa.Zungumza,sera,.Tatizo lako lingine Tundulisu nikutetea,ujinga siasa,siyo sheria,.pia,usiwapotoshe wananchi
@MabulamalembekaMoris
@MabulamalembekaMoris Жыл бұрын
shyenz kabisa wewe
@mwlpierre
@mwlpierre Жыл бұрын
Wewe unajua nini sasa makasiriko tu huna lolote
@maroprince
@maroprince Жыл бұрын
😢
@methuselamisana4115
@methuselamisana4115 Жыл бұрын
Jitu zima hovyo kabisa wew
@simionkingamkono6994
@simionkingamkono6994 Жыл бұрын
Fara wewe
MUUAJI WA VIKONGWE, WAZEE ANASWA TABORA, "alikua anatishia uhai wetu"
5:38
Mwananchi Digital
Рет қаралды 3,3 М.
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
Human vs Jet Engine
00:19
MrBeast
Рет қаралды 148 МЛН
AJABU!! BARAFU ZATANDA MJI WA MAFINGA, MVUA KUBWA YA MAWE YATAJWA CHANZO
2:08
Anayedaiwa kuchukuliwa na Polisi kwa mahojiano akutwa ameuawa Zanzibar
6:55
KARIOBANGI SHARKS Vs SHABANA FC HIGHLIGHTS
9:34
FKF TV
Рет қаралды 324
Iran yatishia kulenga miundombinu ya Israel, Bei za mafuta zapanda
2:00
Mwananchi Digital
Рет қаралды 1,4 М.
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН