"Ebu tujadilini Mambo mengine yanayohusu Waganga huko "this is my Profesion" Mwigulu Bungeni

  Рет қаралды 70,500

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 284
@foundationforcommunityhope7327
@foundationforcommunityhope7327 Жыл бұрын
Tz Tz hivi waganga wa kienyeji wapo humooo duuuu kazi kweli kweli daaaa
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 Жыл бұрын
Mwiguluu ziiiiiiiiiii,mpina oyeeeeeeeee,wehukubaliki bwabwaja tu ,hakuna wesiyo KBS
@rahmasiraji1867
@rahmasiraji1867 Жыл бұрын
Mama huna aibu umejishungi mnakula mnashiba sisi tunateseka Mungu yupo
@abednego3876
@abednego3876 Жыл бұрын
Mungu yupo wp ndo atashilusha bei
@athumanimzee657
@athumanimzee657 Жыл бұрын
Mh. MWIGULU hongera amefafanua vizuri sana na ameeleweka waheshimiwa wabunge wacheni maneno maneno chapeni kazi msaidieni mh. Rais kuchapa kazi Mwigulu katoa ufafanuzi mzuri na kweli hiyo ni professional yake na yupo vizuri
@abednego3876
@abednego3876 Жыл бұрын
Peleka mavi
@taseleli9181
@taseleli9181 Жыл бұрын
Angekuwa na hiyo professional asingeropokwa hivyo huyu anadharau sana na amejaa kiburi anajikuta sana
@fracksonmwaitolage3066
@fracksonmwaitolage3066 Жыл бұрын
Congratulations yourExcellence Dr Mwigulu Nchemba there you are you deserve
@theclamarealle6052
@theclamarealle6052 Жыл бұрын
Hii siyo sawa kabisa mwenyewe aliyeomba taarifa angesikiliswa Tanzania Nchi Yangu Nakupenda kwa Moyo wote duuii hapa tulipofika sasa mmmmmmmmmmmm😭😭😭😭🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️
@gracejonh4022
@gracejonh4022 Жыл бұрын
Mwenyekit taarifa jaman sipka sio vzr
@ibrahimusamwel1994
@ibrahimusamwel1994 Жыл бұрын
Madarasa si mlisema yanajengwa na hela za uviko? Imekuwaje tena
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 Жыл бұрын
Msimchaguwe mwiguluu huko singida,masikini hamuwapendi na ndio wengi,waganga unamoiga madongo mpina we mwiguru humuwezi mpina
@elispiuselias1339
@elispiuselias1339 Жыл бұрын
umeeleza viziri ila una jaziba watu wengi hawajui, umetumia modality hasi! kufikisha ujumbe! though it was good contribution. mtu hata kama ana njaa ukimpa kwa kumtupia anaweza asile 👊
@Lukresiaipin
@Lukresiaipin Жыл бұрын
Madarasa haya yamekuwa agenda,,, ni kweli madarasa mengi yamejengwa,, lakini tuliambiwa ni mkopo na fedha za uviko au sijaelewa vizuri
@herielmbaayo231
@herielmbaayo231 Жыл бұрын
Sasa huelewi nini hapo? Hakuna mtu aliyeulizia pesa zimetoka wapi. Kinachouliziwa ni pesa kutolewa nje ya bajet
@MamaDor-u6w
@MamaDor-u6w Жыл бұрын
Nakukubali jembe letu la iramba
@rostokenge9481
@rostokenge9481 Жыл бұрын
Mwenyekiti wwa leo sio kabisa
@barikikyandoh-6800
@barikikyandoh-6800 Жыл бұрын
Mwenyekiti hatoshi
@brownsebastianmwibi5647
@brownsebastianmwibi5647 Жыл бұрын
Daaah Mungu akuchukue mapema.
@All_Day_Everyday
@All_Day_Everyday Жыл бұрын
😂😂😂😂
@kingndinyo9764
@kingndinyo9764 Жыл бұрын
🔉
@cleophacephelician6739
@cleophacephelician6739 Жыл бұрын
Mh. Mwigulu kweli wewe ni mwanauchumi mahiri na mweledi. Nimekuelewa sana. Na bado hata huko nyuma serikali ya awamu ya 5 nayo ilikuwa inatumia pesa nje ya bajeti pale ilipoona inafaaa au inabidi, kwahiyo hilo siyo jambo geni! Hongera Mama Samiah kwa kutoa mikopo mingi kwa watoto wetu masikini pia kujenga madarasa ya watoto wetu. Elimu ndo urithi wa kudumu kwa vijana wetu wa Tanzania!
@isayashayo4777
@isayashayo4777 Жыл бұрын
Mbona Mimi sijapata mikopo
@bullekisimikwe3852
@bullekisimikwe3852 Жыл бұрын
Acha dharau na kujikweza Mwigilu, hii nchi ina Wachumi wengi wenye akili kuliko wewe, inapoletwa hoja kwa maslahi ya umma jibu kwa hekima hata kama imekukwaza. Kumbuka ya kwamba "ajikwezaye atashushwa". Uongozi ulionao leo ni dhamana Mungu amekupa ili uwatumikie Watu wake kwa haki acha dharau na kiburi.
@dignakanje4508
@dignakanje4508 Жыл бұрын
Yaani hyu jamaa nimtu wamasihara sana,tena kakomaaa kweli kweli.Mwanauchumi hyu,Magufuli alimwona sio kilaalupomweka,sijui mama anamwelewa au vipi.Jmn tuhurumieni wananchi wanaumia sana
@taseleli9181
@taseleli9181 Жыл бұрын
Ana dharau sana huyu kauli zake hazieleweki
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
Sisi bado tunamashaka na wewe. Sana kwanza wewe ni mwizi mkubwa sana bado atujapata majibu ya mass ya ester lil
@nurubarakekenwa7557
@nurubarakekenwa7557 Жыл бұрын
Hahaahha hukutenda haki kabisa ruhusu watu watoe hoja,pia mwigulu huna sifa za kuwa waziri Wa fedha kabisa pesa za mikopo,tozo,pesa za uviko ziko wapi
@kishakisha730
@kishakisha730 Жыл бұрын
Kweli kabisaa maskini tunaumia sanaaa kwa tozo.toeni tozo hiwe Kama enzi za mh magufuri.
@jumamashima6295
@jumamashima6295 Жыл бұрын
Anakibri sana huyu waziri
@taseleli9181
@taseleli9181 Жыл бұрын
Kiburi cha kupitiliza na dharau anajikuta nani sijui
@shinemakenzi8101
@shinemakenzi8101 Жыл бұрын
Yaani wew mwenyekiti hufai kukalia hicho kiti umenikera sana wabunge wanaomba taarifa wew hutaki kupokea taarifa zao kumbuka hicho kitu siyo dhamana ya milele bora hata hiyo hijabu kichwani ujulikane moja huna dini
@chrithicksambo2287
@chrithicksambo2287 Жыл бұрын
Nina mashaka na utanzania wa huyu mwanamke ndo mashetani hayo ✍️
@shinemakenzi8101
@shinemakenzi8101 Жыл бұрын
Kwa hiyo wew mwenyekiti ulikuwa husikii wabunge wakiomba taarifa?au top manyota alikuwa anaunguruma lazima asikilizwe daa nchi ngumu sana rip mzee baba
@noekenny3771
@noekenny3771 Жыл бұрын
Hivi zile za uvico zime kwenda wapi? Maanatuliambiwa zita jenga madarasa na zahanati.
@johngibson3089
@johngibson3089 Жыл бұрын
Huyu mtu amebwabwaja sana hapo. Haijakaa vzr. Aombe radhi tu. Kama elimu wapo wengi tu waliosoma na kuelimika zaidi yake.
@collincarlos7433
@collincarlos7433 Жыл бұрын
Eti uchumi ndio profeshen yangu...LIONE JINGA HILI..HALAF MKALIA KITI ANAJIFNY KIZIWI ..MBWA HAWA
@bunzaristeven5772
@bunzaristeven5772 Жыл бұрын
Tunaleta wawekezaji ili waajiri watu wenye elimu ipi? waliosoma kiswahili?
@andreakomba312
@andreakomba312 Жыл бұрын
kwa kweli tuna mawaziri 😂😂😂😂 ni shida mpina yuko sahihi yani awkujua mdarasa yanahitajika na.mikopo ya wanafunzi wameota kama uyoga waache ujinga mipango ya mda mrefu inahitajika kila mwaka watoto wanaoanza shule wanajulikana kwanini msiandae bajeti ,,, ovyo kabisa alafu waziri ndo anajiona yuko sawa mungu tusaidie
@tirmidhiikhamisi5343
@tirmidhiikhamisi5343 Жыл бұрын
Wte lao moja,mpina alikuw wapi kwani?
@clausemsemwa297
@clausemsemwa297 Жыл бұрын
Hii point hasa...hakuna mipango
@oswardkabasa8503
@oswardkabasa8503 Жыл бұрын
Mwenyekiti mbona sijamuelewa hapa kama naona kitu tofauti hivi🥺🥺🥺
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 Жыл бұрын
Huyu waziri hatufai kabisa
@lui_v5170
@lui_v5170 Жыл бұрын
Wewe unafaa?
@masanjanyanda9775
@masanjanyanda9775 Жыл бұрын
Kumbe mnatuongopea mmejenga madarasa kwa hela ya tozo kumbe ukweli sio
@shabanikhalfan2647
@shabanikhalfan2647 Жыл бұрын
Kwa sasa hawatwambii tozo zimefanya nini
@enockchangwa8534
@enockchangwa8534 Жыл бұрын
wamejichanganyaaa
@marley42
@marley42 Жыл бұрын
Mimi sijasomea uchumi sana but mwiguru nimekuelewa sana
@ramadhanisalum3898
@ramadhanisalum3898 Жыл бұрын
Sasa ayo makofi ya kazi gani daa aya maisha aya
@ommyzubery8358
@ommyzubery8358 Жыл бұрын
Tunaomba mwenyekiti uwe fair hakuna bunge linalotoa madaraka ya usemaji kwa mtu mmoja tafadhali tunaomba usipewe tena fursa ya kuwa mwenyekiti kwa sababu hutoshi una nidhamu ya uoga hili bunge ndio jukwaa la walala hoi kupelekewa shida na maoni yao vipi unababaika na lugha za kiprofessional tu toa nafasi kwa watu wote sawa watu wanapata shida kimaisha lazima kukoselewa ndio mambo yatarekebishwa
@emmanuelkayange4360
@emmanuelkayange4360 Жыл бұрын
Huyu Mwenyekiti hovyooooooo
@geofreymbilinyi8023
@geofreymbilinyi8023 Жыл бұрын
Mh Waziri well said Hongela sana kwa ufafanuzi mzuri
@omarymnuru8746
@omarymnuru8746 Жыл бұрын
Ni hongera na sio hongela...yes ufafanuzi mzuri lakini ameharibia alipoanza kukebehi na kusema tujadili mambo mengine kama ya Waganga na sio maswala hayo, This is my Professional
@kambonamahmadoo6814
@kambonamahmadoo6814 Жыл бұрын
Huyu vipi,, yaani cc wananchi tulipishwe tozo,,kisha huyu kiumbe anabweka eti tunashukuru raisi
@ozuabrahamu8079
@ozuabrahamu8079 Жыл бұрын
Mwenyekit mavi kabxa huyu
@dassustephen731
@dassustephen731 Жыл бұрын
Angeywsemq hayo wakati wa JPM angeisoma namba.Bahati yake
@aloycekaguhi7959
@aloycekaguhi7959 Жыл бұрын
Hovyo kabsa
@ishengomanelson
@ishengomanelson Жыл бұрын
Ph.d?!
@lucaspaulo5371
@lucaspaulo5371 Жыл бұрын
Tujadili uganga wa kienyeji tupeleke wapi pumbavu sana mwiguru.
@mtaofrancis5624
@mtaofrancis5624 Жыл бұрын
Waganga Tena mmmh Nina shaka
@mdemualphonce1559
@mdemualphonce1559 Жыл бұрын
My mwigulu professional siyo kujua Kila kitu mwanangu kauri za kuchunga tuwe na moyo wa kuchangia covid ilitupa madarasa pia
@zaidyabdalah3691
@zaidyabdalah3691 Жыл бұрын
Hahahahaaaaa, Mzee wa ya ya ya ya ya yaaa trap na trat
@jabilingandule6621
@jabilingandule6621 Жыл бұрын
Mwenyekiti.
@begukulemosobe9685
@begukulemosobe9685 Жыл бұрын
Kazi ipo, bado ndo wanaanza kutafunana wenyewe kwa wenyewe maana vibonde wao hawapo.
@rashidimmsami327
@rashidimmsami327 Жыл бұрын
Uyu mwenyekiti n mwenyekit wa nyumba kumi au mwenyekit wa nn??
@jenitarthadeus2903
@jenitarthadeus2903 Жыл бұрын
Haya ndiyo matatizo ya bunge la chama kimoja CCM
@humphreyvidonyi253
@humphreyvidonyi253 Жыл бұрын
Spika mshenzi sana haoni mtu anataka kutoa taarifa
@allyshaban1641
@allyshaban1641 Жыл бұрын
Ukiona jazba namna hiyo jua kisha kula zake, Mwigulu kuwa na huruma na sisi wa Tanzania wanyonge
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 Жыл бұрын
Huyu jamaa hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi.
@lwogasgenius9147
@lwogasgenius9147 Жыл бұрын
Tumepigwa
@frankmushi8892
@frankmushi8892 Жыл бұрын
Nikickilizaga Ili bunge napataga asiraa sana ila munguu yupoo aki yamnyonge itawauwaa vibayaa mtaozaa kabla amjavaaa
@marthadaniel4904
@marthadaniel4904 Жыл бұрын
Hy ndo CCM Tanzania haiwez kubadilk maan kuna vichwa vipo mtaani na mbuge chega
@sylvesterseleman8453
@sylvesterseleman8453 Жыл бұрын
Huyu mwenyekiti mshamba xan kumbe
@justinmwamloso7559
@justinmwamloso7559 Жыл бұрын
Mnawaza kutuajiri tu nanyi njoon mjiajiri au ndio tayar mmesha jiajiri?
@zaidyabdalah3691
@zaidyabdalah3691 Жыл бұрын
Mwenyekiti mbona hutaki kuruhusu taarifa? Umeuchuna tu vp?
@ezekielmatondane714
@ezekielmatondane714 Жыл бұрын
Mwenyekit mwenyewe ni hawa wahindi wenye loho mbaya
@akidahamad142
@akidahamad142 Жыл бұрын
Mbona mwigulu hauna upeo hvi unaelimu kwel daah mbona haujielewi hvi ww wizi tu na njaa haishi kwako utakuja kufa hyi dunia tu
@jovinekahwa9628
@jovinekahwa9628 Жыл бұрын
Hao wawekezaji mkiwatoza kodi na wao wanaioeleka kwa hao hao masikini so ni bora sera ya uwekezaji mkaihamasisha kwa hao wazawa maskini ili waje kuwa wawekezaji so hata kwenye kodi tutahurumiana😮
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Жыл бұрын
Hii taarifa ikiwa haikuruhusiwa na Mwenyekiti iwe basi mara moja tu inatutosha.
@babajohn8308
@babajohn8308 Жыл бұрын
Huyo mwenyekiti ni nani
@ishengomanelson
@ishengomanelson Жыл бұрын
Hawa ndio vingozi wa Taifa hili! Mungu tunakuomba uliokoe Taifa hili tusiangamie zaidi.
@damianmstambi848
@damianmstambi848 Жыл бұрын
Endeleeni kumwomba Mungu sijui nani aliyewaloga Watz ,hakuna nchi iliendelea pasipo kuondoa uchafu kama huu serikalin
@edoyoseph4606
@edoyoseph4606 Жыл бұрын
Xaf Mh. Mwigulu umejibu vzuri sana
@josetinde1499
@josetinde1499 Жыл бұрын
hata hyu mwenyekiti bas tu ndo wale wale
@matildschami5879
@matildschami5879 Жыл бұрын
Usinichafue mwigulu wanachuo wengi mwaka huu hawajapata mkopo hata walioapili maombi yao yametupwa kwenye dastbin tena wenye ufaulu mzuri na wenyemazingira magumu mim mwenyewe ni shahidi mtoto wangu alikosa mkopo nnamaumivu makubwa sana na nnahasira na serikali yangu ya mafisadi lkn tutakutana 2025
@lazarombuze9776
@lazarombuze9776 Жыл бұрын
KWAHIYO HAKUKUWA NA BAJETI YA MIKOPO KWA WANAFUNZI??
@feintmwashikumbulu8097
@feintmwashikumbulu8097 Жыл бұрын
Punguza uongo Kuna watoto walirudi nyumbani kwa kukosa mikopo mtoto wangu tu mkopo kapata kidogo Sana
@taseleli9181
@taseleli9181 Жыл бұрын
Wengi tu hawajapata hata senti moja watuambie wamewapa watoto wa nani hizo pesa?
@personpeter2221
@personpeter2221 Жыл бұрын
Alafu ww mpina atakja kukuloga hyu jamaa mwakajana pia ulimsababishia kigugumizi akajikta anajibu vtu vngine ,, yayayayaaaa trable na tractor 🤣🤣🤣🤣🤣 shauliyako
@andrewwoisso8395
@andrewwoisso8395 Жыл бұрын
Huyo mwenyekiti mbona hapokei taarifa? Hata yeye ameshiriki maneno hayo ya mganga wa kienyeji
@robsondalink6206
@robsondalink6206 Жыл бұрын
Mwenyekiti taarifa hujaisikia huko acha watu wampe taarifa bhn
@jamesmartin7026
@jamesmartin7026 Жыл бұрын
@Robson da link Mwenyekiti aliona jamaa anatema madini ndiyo maana akaipuuza taarifa
@marthasteven2409
@marthasteven2409 Жыл бұрын
Congratulations mh! Mwigulu nchemba. Umeongea vitu vya point Sana, mungu aendelee kukuongoza 💪 vizuri sanaa
@emmanuelkayange4360
@emmanuelkayange4360 Жыл бұрын
Point zip
@mchopacalvin2986
@mchopacalvin2986 Жыл бұрын
Hivi ni kweli hamuitambui kodi munazokata wakulima??? Duuuu
@ezekielmatondane714
@ezekielmatondane714 Жыл бұрын
Mwigulu ni genge la mafisadi yanayo itesa Tanzania
@begukulemosobe9685
@begukulemosobe9685 Жыл бұрын
Hapo ni PhD je angekuwa Lipumba sijui ingekuwaje mh kazi ipo
@kadashijunior2141
@kadashijunior2141 Жыл бұрын
Unapoendesha kikao chochote,iwe Cha familia yko,,, hakikisha Sana unaweka usawa hata kwa mtoto asie na maana kwako,,hii itakusaidia kuwa kiongoz Bora wa familia,,,kwa hyo hapo mwenyekt,ungetoa hata nafas 1 ya kumskiliza mtt wako unayedhani hana sifa ya kusema mbele ya kikao.... hapo utaonekana umetenda haki...
@seniorabuu1299
@seniorabuu1299 Жыл бұрын
Kutoa hela nje ya budget kwa kisingizio ety unajenga madarasa au kuwapa mikopo wanafunzi ni kuonesha jinsi viongozi na serikali inavyoendesha nchi hii bila plan, kwa nini budget haikusema mapema na kutenga fedha ya kutosha kwa aijili ya hayo na hela nje budget inatokaga wapi🙈
@nkoydavid9658
@nkoydavid9658 Жыл бұрын
Na tozo mbona hamsubiri kwanza tutajirike ndo mtutoze?
@mussajknyama
@mussajknyama Жыл бұрын
Wabunge mnazingua Mnapiga makofi bila mpangilio hao wapiga makofi n wapigaji madili sana sana.
@issacklyandala7023
@issacklyandala7023 Жыл бұрын
KWAKWELI HAMNA KITU HUM, GENGE LAA
@allykagoma5168
@allykagoma5168 Жыл бұрын
Watanzania tunaelekea wapi hapo mbona hakuna neno baya alilosema muheshiwa Mwigulu
@wilsonandlea8614
@wilsonandlea8614 Жыл бұрын
Mwiguru hema ndoo kitu
@britonkanumba6828
@britonkanumba6828 Жыл бұрын
Hvi kwann mama hamtumbui huyu mzee
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Жыл бұрын
Wewe Mwigulu ndiyo sababu ya mfumuko wa bei wanafunzi walishindwaje kupata fedha ni pia mismanagement kwani mliwapa wale waliokuwa hawaitaji mkopo.
@jamessakaya1890
@jamessakaya1890 Жыл бұрын
Hii hatariiiii...duh
@fredgonga
@fredgonga Жыл бұрын
Sir Trab Trat Nchemba. 🤣
@lovemusicnoreen9185
@lovemusicnoreen9185 Жыл бұрын
This is my profession like for real ? Mwanauchumi unaejiita mchumi 😂😂😂😂 it’s so shame !
@jamilahjamilah4157
@jamilahjamilah4157 Жыл бұрын
Yani toka uhuru kwenye uongozi wa samia ndio tumenunu sembe alfu 2500 nje masikini anaweza kukidhi mahitaji ni mtihani mjitadhimini
@shabanfungameza
@shabanfungameza Жыл бұрын
Siku zote mwiguru amekuwa na utofauti na taaluma take nahata kwa wabunge wenzake
@alexsuleiman3795
@alexsuleiman3795 Жыл бұрын
Hufai kua wazar
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Жыл бұрын
Profession what does it sir!?
@shabaniathumani1789
@shabaniathumani1789 Жыл бұрын
Hapa mazwazwa yameshangilia
@lucaspaulo5371
@lucaspaulo5371 Жыл бұрын
Mwiguru ni waziri mwenye kiburi na dharau mpaka naonaga kichefuchefu nikionaga akiongea amesahau kwamba alituambia tuhamie Burundi na kwa taarifa yake hatuendi.
@eliphasipallangyo356
@eliphasipallangyo356 Жыл бұрын
usijifanye kuwa unajua ukisemacho. mimi nimekuelewa kwamba hujui ukisemacho. unafunika madhambi yako.
@gaspercharles2244
@gaspercharles2244 Жыл бұрын
Halafu fedha za mkopo ya wanafunzi si huwa wanarejesha? Mbona hakuna taarifa ya marejesho ya fedha hizo mnaongelea kutoa fedha tu kila mwaka bila kusema zilizoingia? Halafu mnatukanana wajadili waganga wa kienyeji hiyo ni dharau mwigulu acha hasira pamoja na kwamba mwenyekiti amekulinda.
@ezekielmabwai482
@ezekielmabwai482 Жыл бұрын
Mtu mwizi na fisadi lazima awe kichaa Kama Limwigulu.
@raymondjonathan9244
@raymondjonathan9244 Жыл бұрын
Raisi analipa kodi
@philliminusmugereza5699
@philliminusmugereza5699 Жыл бұрын
Unaongea Poropaganda Na Mwenyekiti Anamkinda Tu. Ni Aibu Sana Kwa Taifa La Tanzania Kuwa Na Waziri Kama Huyu. Makula Naye. Iko Siku Mtapata Shida Sana. Ester.
@kasiankillo6949
@kasiankillo6949 Жыл бұрын
Uyu wazili kiburi iki anakipata wapy kashashindwa Mara nyingi mama anamnga'nga,ni Kuna nn
@epafraditopajenga4650
@epafraditopajenga4650 Жыл бұрын
Hasira
@ramadhannyanda8091
@ramadhannyanda8091 Жыл бұрын
Sasa hayo makofi ni kujadili uganga wa kienyeji au ni ya waziri kuongea bila kusikiliza taarifa au ni ya kumpongeza mwenyekiti kutokumuamuru apokee taarifa? Lakini mbona Kuna mtu kapaniki? Narudi baadae na TRAB na TRAT.
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 Жыл бұрын
mwigulu kaz unayo mpina kaku pania mwaka uh takoma
@emmanuelkayange4360
@emmanuelkayange4360 Жыл бұрын
Wabunge bwana Kila jambo wanapiga makofi alooo hapa Kuna shida kidogo in real mmefanya makosa bwana.
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 15 МЛН
VIDEO: MBUNGE KIGWANGALLA AMVAA WAZIRI MWIGULU , AMWAMBIA HAYA
12:10
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 105 М.