MBUNGE KATANI, MSUKUMA WACHARUKA “Wabunge WAPIMWE Kama Sio MASHOGA, Hili Linaugumu Gani”

  Рет қаралды 128,334

EastAfricaTV

EastAfricaTV

Күн бұрын

Пікірлер: 218
@talhiyaibrahim1074
@talhiyaibrahim1074 Жыл бұрын
Ahsants Sana Allah akulipe khr Allah akulinde na mungu akupe nguvuu Allah uzid kukutetea
@sifamanyori-kf9vq
@sifamanyori-kf9vq Жыл бұрын
Kubukeni ushanga upo mangerezani kialabu kutafuta utajiri kwawafilika weusi kuwa mashonga
@christophersimwinga6689
@christophersimwinga6689 Жыл бұрын
Safi kabisa msukuma mbona kibiti Lindi, panya load , wamedhibitiwa iweje hawa waleta mikosi katika nchi yetu Serikal itumie mtindo uleule
@duamawazo9088
@duamawazo9088 Жыл бұрын
Katani hayo yote Tambua unanduguyako Punga Anaitwa. Oswad Yupo kitama Tandahimba Mtwara Allah shaidi 🙏
@khamisihamadi629
@khamisihamadi629 5 ай бұрын
Asante sana tunaitaji wabunge wenye imani
@habibarashdi2250
@habibarashdi2250 Жыл бұрын
Mwenyeezimungu awape umoja naushirikiano,lenu liwe moja nasheria ichukuliwe haraka,Mimi inaniuma sana
@neykweyamba2429
@neykweyamba2429 Жыл бұрын
Sio peke yako ndugu
@AmosMasanja-vu8ex
@AmosMasanja-vu8ex Жыл бұрын
Nikweri kabisa mungu atuokoe na ushonga
@Hasnspop
@Hasnspop Жыл бұрын
Ushoga no no no ahsante wabunge wanguuuuuuu
@filorammbaga5710
@filorammbaga5710 Жыл бұрын
Asante mbunge umesema kweli tungeni sheria wanyongwe mbwa hawa sawasawa na bibilia imeamuru wauwawe,wote hta wanawake wapimwe asante mbunge Katani. Tupeni way forward ya huu ujinga .
@Hasnspop
@Hasnspop Жыл бұрын
TANZANIA BILA USHOGA INAWEZEKANAAAAA
@erickzephania1030
@erickzephania1030 Жыл бұрын
Wanazima mambo muhimu hakuna lolote
@Hasnspop
@Hasnspop Жыл бұрын
Wanaopinga huenda wanagongwa kama kawaida
@josephlucas2786
@josephlucas2786 Жыл бұрын
Mh waziri wangu wa Afya Nipo tayari kujitolea pasipo malipo Nia nikudhibit uhovu
@JumaKinyashi-w9s
@JumaKinyashi-w9s Жыл бұрын
Asante mheshimiwa katan
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 Жыл бұрын
Wapimwe kukomesha ushoga cz watu wana haribika kwa kufanya kinyume na Mungu
@dawoudal-arabiybik3747
@dawoudal-arabiybik3747 Жыл бұрын
Mmenifurahisha sanaaa wabunge wangu mloongea
@hosnakamees5454
@hosnakamees5454 Жыл бұрын
Kabisa👏👏
@athumanimhanga2053
@athumanimhanga2053 Жыл бұрын
Nasikia wengi niwasenge😂😂😂😂😂😂😂😂
@oman7710
@oman7710 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi kaka yangu
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 Жыл бұрын
Asante mbunge kila kitu kimewekwa kwa uhalali wake .kiukweli ushoga hapana
@halfankwimbi8584
@halfankwimbi8584 Жыл бұрын
Hongera Mheshimiwa Katani kwa kupaza sauti juu ya hili suala la kishenzi kweli kupimwa kuna haja hiyo kweli
@bongorecaps3558
@bongorecaps3558 Жыл бұрын
Tatzo sio kupimwa hicho kipimo kinakuaje😂😂😂
@AminaMohammed-u5u
@AminaMohammed-u5u Жыл бұрын
Mashaallah hakika umeongea point mpitishe kabisa atakae patikana onyongwe kiukweli hii ni hatar kwa jamii
@brunonsungwe8389
@brunonsungwe8389 Жыл бұрын
Asante sana Mweshimiwa, Mungu akupiganie ktk huduma yako
@sarahmwakilasa7425
@sarahmwakilasa7425 Жыл бұрын
Safi sana wabunge
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 Жыл бұрын
Kweli kabisa .binadamu kila kiungo kinakazi yake .leo hii sehemu ya kutoa mavi ndiyo unaenda kugeuza stalehe
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Жыл бұрын
Wanaadam kuna muda watabuni kutembea migu juu vichwa chini
@perfectpixelsstudio3603
@perfectpixelsstudio3603 Жыл бұрын
Nawaonea huruma wabunge wa kike 😅😅 utakuta ote hawana Malinda hapo
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 Жыл бұрын
​@@perfectpixelsstudio3603 😂😂😂mie sitaki kucheka😅😅wapimwe ili wajulikane na wengi hapo hawana malinda wanawake 😅maana kuna wengine na vukuku juu😂😂
@erickaguo2556
@erickaguo2556 Жыл бұрын
Wanajificha ila sku ipo
@OmarMohamed-zf8dp
@OmarMohamed-zf8dp Жыл бұрын
Kiukweli anae kwenda kinyume na maumbile auwawe moja kwa moja tatizo kubwa sisi tumekiacha kitabu cha mwenyezi mungu ndomana yanakuja haya
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 Жыл бұрын
Wapimwe muanze mfano nyinyi ili mue na hasira ya kutunga Shelia Kali
@festondimbila
@festondimbila Жыл бұрын
Vzr sana kupmwa ndikokutatutambukisha waasi wa nchi yetu
@mariamkivuyo8154
@mariamkivuyo8154 Жыл бұрын
Safi sana wapigwe chuma wafe
@flaviankimat5233
@flaviankimat5233 Жыл бұрын
sawa sawa mbunge ni vizuri sana
@lugelosanga5798
@lugelosanga5798 Жыл бұрын
Tungeni sheria Kali Tena Kali sana
@johnycavishe5207
@johnycavishe5207 Жыл бұрын
Attak kmyakmya Uganda mbona awajafanya kmyaa il jambo la ushoga Ni kbwa Sana lazma lisemwe wazi misaada itattowa roho aknaga Cha bure ata mugufuli alsha sema
@EfferyAnderson-pt1zb
@EfferyAnderson-pt1zb Жыл бұрын
Sahihi kabisa
@melvinisandakebaya
@melvinisandakebaya Жыл бұрын
Big up
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Waanze kwa wanaume, wanawake nao wapimwe mik.nd. kama wanafanywa kinyume..
@shadrickmwanjabalaMwanja-vi8fe
@shadrickmwanjabalaMwanja-vi8fe Жыл бұрын
Wanawake mtanyonga wote Tanzania mi nawachana kwamparange wengi wanaenda🤣🤣🤣🤣
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Жыл бұрын
Mama Janett masaburi anamjua vizuri dini beible
@hassanlikwenangu8471
@hassanlikwenangu8471 Жыл бұрын
Msukuma acha woga
@danielsaruni825
@danielsaruni825 Жыл бұрын
Upo sawa shehe
@teddyndungurusabnu4792
@teddyndungurusabnu4792 Жыл бұрын
shida sio kupimwa shida ya kwamba inasadikika wabunge wengi ndio wanaowafanyia mashoga vitu hivi sasa je mkipimwa itaonyesha maana wanaotendewa asilimia kubwa wapo nje na waliopo humo ndani ndio wanawafanya
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Жыл бұрын
Sawa kabisa baba umesema kweli
@wgnckasarani
@wgnckasarani Жыл бұрын
Napenda wa Tanzania ila Mimi ni mkenya
@hamisitza5698
@hamisitza5698 Жыл бұрын
👏👏🙏🙏🙏🙏🙏
@yassirgiya6743
@yassirgiya6743 Жыл бұрын
Kweli kbsaaa❤
@bablyshah2745
@bablyshah2745 Жыл бұрын
Big up Mh.KATANI
@viccigarments435
@viccigarments435 Жыл бұрын
Hakika Mungu atuone jaman
@ameenaameena422
@ameenaameena422 Жыл бұрын
Mungu ibariki tanzania yangu Ya rabbiy
@unjuinkuganda1991
@unjuinkuganda1991 Жыл бұрын
BIG UP
@williamsenkoro2210
@williamsenkoro2210 Жыл бұрын
Kuna mashoga ndani ya mjengo Nini? Wabunge wengi wanasema tunawajua ..😅 nani hao
@hosnakamees5454
@hosnakamees5454 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣Kwakwel
@murtazabandali5609
@murtazabandali5609 Жыл бұрын
mji Illi malizwa na mwenyezi mungu si bin a Adamu Muhushimiwa bin Adamu na limit kunena use kule weiti na uje u owe ki sharia manamke na kum showri basi tu nikushowri.
@tiffanyakramJr822
@tiffanyakramJr822 Жыл бұрын
Wasagaji na mashoga rahisi kuwatambua, lakini mtawapimaje, wale wanaosagwa na mabasha?
@jtheophil5499
@jtheophil5499 Жыл бұрын
Safi sana anaongea anajiamini na ameheleweka
@kelvinmunishi4755
@kelvinmunishi4755 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@Jonas-kk4bh
@Jonas-kk4bh Жыл бұрын
Wako wengi apo sana na Mpaka viongozi wenu wakubwa wapo wamesaini Ushoga sasa wamekaa kimya kuongea kwao kqa mafundo tu
@aminamahamudu6402
@aminamahamudu6402 Жыл бұрын
Nice
@neykweyamba2429
@neykweyamba2429 Жыл бұрын
Kabisa kunyongwa ndo Suruhu❤❤
@mkalimala3564
@mkalimala3564 Жыл бұрын
Hapo sasa safi saanaaaaa,,,,,,,bunge Lina meno
@flaviankimat5233
@flaviankimat5233 Жыл бұрын
hata mashuleni ningependekeza wanafunzi wote wapimwe ili.kama wapo wathibiwe mapema wakiwa wavchanga jamani.kama wabunge watapimwa hakika mashuleni nawo wapimwe
@magesaneema1903
@magesaneema1903 Жыл бұрын
Nikweli kabisa
@estermathias8354
@estermathias8354 Жыл бұрын
Ikibidi nchi nzima kupimwa tu😂😂😂
@hairuissa7452
@hairuissa7452 Жыл бұрын
Nkbr katani Tandahimba moj
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 5 ай бұрын
Humo Bungeni wamejaa tele ushoga na wasagaji tunawajua sanaaaa
@shaban493
@shaban493 Жыл бұрын
Uko sahihi kabisa mbunge
@emmanuelmisalaba3169
@emmanuelmisalaba3169 Жыл бұрын
Kwani vipimo vinaweza kutambua hata wabunge wasagaji? Na vipi wabunge wanawake wanaotoa nyuma nao watapimwa?
@ibrahimmwilo1586
@ibrahimmwilo1586 Жыл бұрын
Tukizungumzia swala la wasenge😂😂
@jaliabahat1520
@jaliabahat1520 Жыл бұрын
Safi she safiiiiiiiiiiiiiiisana hatamitaani tulikua tunashauliivyo
@Revolution_bwoe
@Revolution_bwoe Жыл бұрын
Nyie uzeni hii nchii watoto wenu watakuja kuliwa jicho hamtaamini.. tungeni Sheria
@Uplifiting
@Uplifiting Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mheshimiwa, kwa hilo!
@diamondfrec9539
@diamondfrec9539 Жыл бұрын
Huu muda ndio wa kumpinga shetani,ushoga unawafaa wazungu sio waafrika
@lucasy20gogo69
@lucasy20gogo69 11 ай бұрын
Wabunge mumetisha
@rebeccaonesmo2430
@rebeccaonesmo2430 Жыл бұрын
mungu ibariki tanzania yangu
@muwezahasani4017
@muwezahasani4017 Жыл бұрын
Much respect katanii
@EsterMwalongo-ox2sk
@EsterMwalongo-ox2sk Жыл бұрын
Na wanafunzi wanapoenda mashuleni wawe wanakaguliwa kila baada ya miezi mitatu
@angelamamboleo2204
@angelamamboleo2204 Жыл бұрын
@@EsterMwalongo-ox2sk kabisa itasaidia hata wazAzi kugunduA MAPEMA KWA SABABU WATOTO WENGI WANAFICHA NAKUOGOPA KUSEMA
@zahorsalum4976
@zahorsalum4976 Жыл бұрын
Nimemuelewa msukuma sn .wauliwe tuu.🤣🤣🤣🤣
@geahypertechsalesrepaircom4158
@geahypertechsalesrepaircom4158 Жыл бұрын
😂
@salommussa5409
@salommussa5409 Жыл бұрын
NA HAIPENDEZI KUWA MBUNGE ANAZUNGUMZA HOJA MZURI WENGINE WANACHEKA CHEKA TU. HAIPENDEZII WE NEEDS ATTENTION IN THIS SERIOUS ISSUE
@yusufurwebugisa3548
@yusufurwebugisa3548 Жыл бұрын
Asante Mbunge kunyongwa itakuwa suluhisho
@mawazomolani2677
@mawazomolani2677 Жыл бұрын
Umechangia vizuri sana
@sadickkalinga3182
@sadickkalinga3182 Жыл бұрын
Yaani wengi watakutwa matundu yao yapomwaaaa
@estermathias8354
@estermathias8354 Жыл бұрын
😂😂😂huyu mbunge nimempenda ila msukuma sijamuelewa.wapimwe tu.
@abubakaralimohammed3388
@abubakaralimohammed3388 Жыл бұрын
Muwe mfano Mwema kama Wabubge
@barakakusa7606
@barakakusa7606 Жыл бұрын
Tatizo hao madaktari watatoa majibu halisi? kama wakiwakuta hao mashoga watawatangaza???
@marcopeter4091
@marcopeter4091 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂Lazima tupimwe
@cosmaskulaya5297
@cosmaskulaya5297 Жыл бұрын
Ni ajabu maneno yamekuwa mengi kuliko matendo, Hatua za haraka zichukuliwe, Tungeni Sheria ndo kazi yenu wabunge Hamjaenda hapo Dodoma kula Posho. Wanaowafanya wenzao Kitendo hicho ndo watu hatari kuliko wanyama ni Virusi, Tuanze na hao( Eliminate them ) hawa wanawaharibu wanaume wenzao, watu hawa pia wanawaingilia wanawake kinyume na utaratibu, tuanze na walawiti alafu tufate hao wengine.
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 Жыл бұрын
MUNGU Tusamehe turehemuu usituache mbaya Sana kuachia dhambi kuliko kuangalia iendelee twafuaaaa MUNGU Anatuangalia tunamua nini ili aamue Yeye Yehova. Jamaniee.TaifaaaTanzaniaaaa.Tuokoe BWANA tusamehe.ghalika hiyo lisinyamaziwe eeee tupone tuongeze Maombi Sana
@KemiByabato-pi4sm
@KemiByabato-pi4sm Жыл бұрын
Jamani mimi naona kama wanatuzunguka zunguka tu na kutufunika funika mweshimiwa tundulisu ajasema shelia ipo tangu 1934
@neversonkunoga6692
@neversonkunoga6692 Жыл бұрын
Msukuma unaakili sana naunga mkono taarifa yako, tumalize kimya kimya hili jambo tunaweza sana
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 Жыл бұрын
Kinywa kinywa vip mbona covid haijapimwa kinywa kinywa au ww na yy niwasenge hamtakikujulikana achakutetea uovu hatamunguhapendi kama mnafanya mhukumiwe kifo kama dini ya kislam inavyo elekeza
@salmasalim3525
@salmasalim3525 Жыл бұрын
Bunge limepamba moto👍
@rezegerezege691
@rezegerezege691 Жыл бұрын
Na kitaa njoo mtupime raia wote wa Tz
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 Жыл бұрын
Wawakilishi wa wananchi 🇹🇿 msilete utani,kwa hili msijeleta laana Tanzania 😊
@issahdady608
@issahdady608 Жыл бұрын
Good katani
@rungulayesu1895
@rungulayesu1895 Жыл бұрын
Hakikisheni mnapima wabunge hapo mlangoni
@JacksonJohn-jv7ve
@JacksonJohn-jv7ve Жыл бұрын
Wapimweeeee 😂😂😂
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 Жыл бұрын
Sijui Kama tumemuelewa Msukuma? Yani msukumu anamanisha tuwamalize kimyakimya
@hoseastephen4508
@hoseastephen4508 Жыл бұрын
Hili jambo bado hatujaliwekea uzito wala kulishughulikia isipokuwa tuanalifanyia mzaha na kuzidi kulitangaza bila ya kujua. Bunge linapaswa kulishughulikia kwa kulitungia sheria kali na upande wa serikali ushughulikie wahusika wote wanaolichochea mfano baadhi ya NGO's, mashoga wote walioko mitaani na mitandaoni lakini pia kuweka mazingira bora ya malezi ya watoto wa mitaani, mashuleni na majumbani n.k maana wengi huanzia kuharibiwa huko
@danielnjella4760
@danielnjella4760 Жыл бұрын
Hao wote tayari wamepigwa.ndio maana hapo tayari kupimwa.
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk Жыл бұрын
Kimya kimya hamna ushoga lazima wapimwe
@josephinelwamlema7331
@josephinelwamlema7331 Жыл бұрын
HUYU MBUNGE SIJUI WAZIRI ANAYESEMA MAMBO HAYA YAISHE KIMYA KIMYA NAOMBA AANGALIWE
@demetriajohn2393
@demetriajohn2393 Жыл бұрын
Weweeee🤭😂😂 kimenukaaa,wasenge Yanagongaaa chp
@stanastana3199
@stanastana3199 Жыл бұрын
Halima mdee my wangu yuko wapi
@hosnakamees5454
@hosnakamees5454 Жыл бұрын
Nini lakini😀😀😀
@stanastana3199
@stanastana3199 Жыл бұрын
@@hosnakamees5454 haha kuuliza tu
@MubinaRoshan
@MubinaRoshan Жыл бұрын
Hiyo sasa ni kukoseana na heshima serikar ikomeshe hiyo tabia kuliko kufanya hayo
@AnnethLaizer-i5d
@AnnethLaizer-i5d 5 ай бұрын
Serekali jamani simameni vijana wanaharibika uku Arusha Ali nimbaya Sana
@erickzephania1030
@erickzephania1030 Жыл бұрын
CAG anapiga kelele za wizi, mbona zinajibiwa na habari za ushoga
@fatmaali4921
@fatmaali4921 Жыл бұрын
Ukishawapima mutuambie ili tuwajue?coz hili jambo linatuumiza wazee sanaa watoto wetu wanapoteea
@cosmaslunyembeleka251
@cosmaslunyembeleka251 Жыл бұрын
Mimi Ni mtanzania ninayofuraha kubwa kuona kuwa wabunge wapo tayari anayekataa nayeye atakuwemo. Kama wameamua kutangaza ushoga Basi Ni razima tujue wabunge wanatupeleka kwenye ushoga.
@perfectpixelsstudio3603
@perfectpixelsstudio3603 Жыл бұрын
Hapa tutabaki na wabunge wachache Sana 😅😅😅
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 Жыл бұрын
Aya Sasa wale wakutoa tigo huu mwaka kimeumana 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
@jaliabahat1520
@jaliabahat1520 Жыл бұрын
kwelimsukuma wasenge wanaliwa na watufulan
@siporajemes773
@siporajemes773 Жыл бұрын
Km Tanzania haitalijukulia maana tuombe ulaia uganda
@realbeda2880
@realbeda2880 Жыл бұрын
Wooooow wapimwe!
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Жыл бұрын
Kweli hata bungeeing labda kuna malezbish na mashoga pimeni kweli
@lilianmoshi2245
@lilianmoshi2245 Жыл бұрын
Sawa sawa baba taifa lipo matatani
ТИПИЧНОЕ ПОВЕДЕНИЕ МАМЫ
00:21
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 1,9 МЛН
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 59 МЛН
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 86 МЛН
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 332 М.
ТИПИЧНОЕ ПОВЕДЕНИЕ МАМЫ
00:21
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 1,9 МЛН