Ole Sendeka alipuka bungeni akitaka shingo ya mtu, Venant akichangia; Mwigulu na Mhagama wasimama

  Рет қаралды 35,385

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Mbunge wa Simanjiro (CCM) Christopher Ole Sendeka amewataka Mawaziri ambao Wizara na taasisi zilizochini yao zimetajwa katika ubadhirifu, wawajibike wenyewe.
Ole Sendeka amesema kama hawatawajibika basi bunge liondoke na alichokiita shingo ya yule ambaye wanamamlaka naye kwa alichosema “wanachezea sana.”
Mbunge huyo ametoa kauli hiyo bunge leo Alhamisi Novemba 2,2023 alipokuwa akichangia kwenye taarifa za Kamati za bunge kuhusu ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Mkongwe huyo ametoa kauli hiyo alipoomba kutoa taarifa wakati mbunge wa Igalula Venant Protas alipokuwa akichangia.
“Mheshimiwa Mwenyekiti,naomba kumpa taarifa mzungumzaji ambaye anachangia vizuri sana, napendekeza kuwa, mawaziri wote ambao taasisi zilizochini yao zimetajwa wawajibike haraka lakini wasipowajibika twendeni na shingo ya yule ambaye tuna mamlaka naye, wasituchezee,” amesema Olesendeka.
Katika mchango wake Protas amemuomba Naibu Waziri Mkuu kwenda na kalandinga (gari la polisi) akabebe watumishi wote wa kampuni ya Tan Oil isipokuwa mhudumu pekee ndiye anastahili kubaki.
Protas kwenye mchango wake amesema kuna mashaka hata katika ofisi ya mwanasheria Mkuu wa Serikali ambayo nayo amepombe ifanyiwe ukaguzi maalumu.
Kwa mujibu wa mbunge huyo, kwenye kesi ya Escrow kampuni ya IPTL ilichukua mabilioni ya fedha lakini Mwanasheria alisimama hadharani na kusema kuwa fedha hizo hazikuwa za Serikali lakini inashangaza muda mfupi imekuja taarifa kuwa Serikali inadaiwa.

Пікірлер
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
Tundu Lissu Kaliwasha Tena Bungeni
7:46
Global TV Online
Рет қаралды 101 М.
Dkt. Nchimbi, Ole Sendeka baada ya kuteuliwa
15:23
Millard Ayo
Рет қаралды 53 М.
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.