Mimi sio mwanasheria. Ila hili suali la Mh Olesendeka ilikuwa ni ya kimtego sana. Ilihitaji mtu mwenye elimu ya kutosha ya sheria na uwezo wa kuikokotoa na kuinyambua na kuinyambulisha kama Dr. Tulia. Nampongeza sana Dr. Tulia kuliweka sawa. Nadhani Mh Mwigulu anajambo la kujifunza juu ya namna nzuri ya kujibu maswali yake.
@gililwise Жыл бұрын
Kabisa huyo Jamaa wa kinyiramba hafai kwenye hiyo nafasi ni kilaza kwa kweli
@petermgaya3812 Жыл бұрын
Excellent Tulia. Big brain
@dulakibarati8987 Жыл бұрын
Namkubali sana supika wa bunge anaijua kazi yake dada mungu akulinde
@HassanShehiza-li9dm Жыл бұрын
Mh spika wa binge upo vzr Sana mungu Akusimamie katika kazi zako hongera sana
@twisilemwabukusi4981 Жыл бұрын
Hongera saaana Mh Spika. Kweli umeiva kwenye Sheria. Umevaa kiatu na kimekutosha. Kwa kweli binge limempata Spika. Big up sana Dr. Ujaliwe maisha marefu, afya njema na mafanikio zaidi.
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Yaani Tulia Yuko vizuri kwakweli,,,
@neemahaule8407 Жыл бұрын
Dr Tulia kichwa bana.wanaokubaiana na Mimi kwamba Bunge la JMT Lina spika makini waweke like zao hapa !!
@brightontibenda2346 Жыл бұрын
Spika Tulia Mara nyingi uwa uko SAHIHI katika uendeshaji wa bunge bila upendeleo kwa kufata sheria za uendeshaji wa bunge. Huwa nakuelewa Sana. Blessed!
@samsonkusupa6809 Жыл бұрын
Yaani hicho kiti Cha uspika kimekutosha Hadi kimekubana
@justinehassan21007 ай бұрын
Maelezo Mazuri sana Mh.Dr Tulia Ackson Mwansasu. Wana Mbeya tunajivunia unapo ivunja vunja sheria .wewe ni Bingwa wa sheria na ndiyo maana ni Dactari wa sheria.Big up my sister. ❤
@benedictmrisho1800 Жыл бұрын
Spika uko vizuri sanaaa. Mungu akuongee hekima zaidi
@hassanlikwenangu8471 Жыл бұрын
TRAP na TRAC una bahati mbaya sana na Spika wa sasa
@kassimrajabu56 Жыл бұрын
Mm Mwigulu simuelewagi kabisa.
@petermwacha9909 Жыл бұрын
Hata chembe
@kassimrajabu56 Жыл бұрын
@@petermwacha9909 ana dharau sana jamaa,anajiona yy ndo msomi kuliko wote
@hadijamandanje6189 Жыл бұрын
Hatumelewi wengi na yeye anaona kwa kuwa ni msomi wengine hatuelewi kwa kuwa hatuna akili za kuelewa
@ellymaz2187 Жыл бұрын
@@hadijamandanje6189 Nimekuelewa sana Hadija. Kwa darasani ni kweli jamaa ni mkali namfahamu. Ila katika utendaji ndiyo ana shida na kudhani sisi ndiyo tuna shida.
@marthaswai1185 Жыл бұрын
Spika uko vizuri kisheria
@mathiasmgimba4698 Жыл бұрын
Dada uko vizuri sana
@robertsikanyika7475 Жыл бұрын
Huyu mama Yuko boraa aisee hata ngazi ya juu anaweza Sana namkubali Sana very tallented.
@edinalihedule7609 Жыл бұрын
Mama mtoe huyo mtu hicho kiti hakiwezi jamani 😭😂
@majutokihaka9644 Жыл бұрын
Ifike mahali tuwe wakweli mwigulu achunguzwe kuhusiana na malalamiko yaliyopo wizara ya fedha mmmh.....
@majigedioniz8049 Жыл бұрын
Mama mwenyewe ananufaika na upigaji wa mwigulu ataanzaje kumutoa
@punnamalaba4445 Жыл бұрын
Wamnyang'anye hiyo kazi ,huyo
@daviddidas6659 Жыл бұрын
Spika wa bunge upo vizuri sana unatenda haki sawa! Mungu akubariki.
@alaispemba7330 Жыл бұрын
Atupishe tufanye uchunguzi kwan haiwezeka mama akeshe huko nje akitafuta misaada af wengine mje mle kirahisi rahisi
@alanusrespicius1796 Жыл бұрын
Mwiguru kaidhinisha kuwa mama ndo kaiba pesa zetu.
@petermwacha9909 Жыл бұрын
Kabisa
@gosbertrwezahura3645 Жыл бұрын
Kabisaaaaaaa.
@makongorowassira6593 Жыл бұрын
Nadhani Mwigulu apishe hiyo wizara. Rais ni wajibu wake kuweka watu wansojitambua. Malipo yanaidhinishwa na katibu wa wizara sawa ila waziri lazima ajue hivyo nae anahusika
@piusmdoe3200 Жыл бұрын
Anatafuta uchochoro wa kukwepa kuwajibika
@geey7893 Жыл бұрын
@@makongorowassira6593 hawezi kumtoa kwa sababu Mwigulu wanashare keki na akina Musoga
@kahmardintebe9266 Жыл бұрын
Hapo ndipo utalazimika kumkumbuka hayati jpm mzalendo aliyeyatowa maisha yake kwa ajili ya mambo Kama haya pumzika kwa amani jpm
@samsonfulgence5553 Жыл бұрын
Wew naye! Akh!
@labankisunga1567 Жыл бұрын
Alitoa maisha yake kwako...Yesu pekee ndio alitoa maisha yake kwajili ya wanadamu. Acha bang
@samsonfulgence5553 Жыл бұрын
@@labankisunga1567 👍🏾🤝safi sana ngoja umjibu huyo asiyejielewa. Hao ndo walikuwa wanamuita mungu wao.
@lidyakisoka-is4ru Жыл бұрын
Magufuli alizuia binge live lazima tumkumuke kwa sababu alitunyimwa uhuru
@samsonfulgence5553 Жыл бұрын
@@lidyakisoka-is4ru 😀😀👍🏾🤝
@chloecallie3619 Жыл бұрын
Kwa kweli Mwigulu hutoshi kwenye kiti chako. Spika big up to you
@kabulukimati Жыл бұрын
Hiuyu.waziri.anacheza.na.na.akili.za.wtz
@kabulukimati Жыл бұрын
Mama. Tumbua. Hawa
@kabulukimati Жыл бұрын
Spika.nakuelewa.saaana.ubarikiwe
@mwalimusalimu3920 Жыл бұрын
🎉mwigulu atoke tu hapo
@simonnembomadola7512 Жыл бұрын
Raisi anajua hayo malipo haiwezekani akose kujua, Mwigulu Yuko sahii mama alikuwa anajua hizi pesa
@gosbertrwezahura3645 Жыл бұрын
Kabisaaaaaaa.
@innocentchuwa5269 Жыл бұрын
Mimi naona nibora ujiuzulu mwenyewe Kama hautaki utaondoka kwa nguvu ya Mungu
@philemonokesh5935 Жыл бұрын
Maunga mkono hoja.
@fulgensiakapama3314 Жыл бұрын
Pole Mama anayataka hayo acha yakukute
@danielworshiper6002 Жыл бұрын
Mwanamke wakitanzania big brain kutoka Mneya
@jacoblaiser7634 Жыл бұрын
Daaaah. Mwigulu Kaka!!!
@mjunikiobya Жыл бұрын
Mwigulu kaongea kiprofessional siyo kisiasa
@jumamayonga8914 Жыл бұрын
Waziri wa fedha awajibike
@majutokihaka9644 Жыл бұрын
Hawa ndio wanakuwa na maslahi binafsi hata anavyo jibu tu maswali yanayo husu wizara yake miuwa simuelewi anatosha kweli uyu !
@geofreynyigo-qy1hu Жыл бұрын
Spika hoyeeee
@georgemassebu2083 Жыл бұрын
Mwigulu ni mzigo, JPM aliwajua hawa akawaweka pembeni, Kuna shaka sana Kwa huyu mtu
@emeraldzanzibar6735 Жыл бұрын
Spiker tulia uko vizuri
@geraldlyimo2859 Жыл бұрын
Olee sendeka big up
@aliyageorge6794 Жыл бұрын
Wenye nchi ni wananchi watanzania.
@kashindisimon5265 Жыл бұрын
Ati mwenye nchi utafikiri nchi ni mali ya mtu mmoja
@salumntulo1589 Жыл бұрын
Wananchi hawana mamlaka yoyote na tanzania zaidi ya rais
@philemonokesh5935 Жыл бұрын
Ongera Sana Mhe Spika kwa Uwelewa wako na utashi wa kiMungu uliokuwa nao, Endelea kuliongoza Bunge lako kwa kuongozwa na Hekima Na Busara za kiMungu.
@dinahnyagosaima1259 Жыл бұрын
Spika Tulia umetulia sanaaaaaaaa
@saburikilonzo25937 ай бұрын
Mwigulu pamoja na udaktari wake duh!!! Mbona kujibu maswali dhoful hali😂😂😂kazi ipo kweli, hapo bila Dr Tulia sijui
@philipmwanga2489 Жыл бұрын
Spika hongera sana. Unaupiga mwingi, sasa nina swali la nyongeza "ikiwa utaratibu upo wazi namna hiyo na fedha nyingi zimepotea zaidi ya dollar za kimarekani 51, kwanini waziri asiwajibike?
@SamoraHere-wj2ni Жыл бұрын
Hongera Sana spika mm nisamora laiser her
@donaldmaziku7915 Жыл бұрын
Ni sahihi rais ndiye uhidhinisha, maana utaratibu huo ulianza kwa mwendazake. Kila siku tunasikia mama katoa pesa za .....na hajawahi kukanusha. Leo ikionekana upigaji eti awekwe pembeni? Spika ni chawa anajaribu kupaka mafuta kulinda tumbo lake, anakumbuka kilichompata ndungai.
@saburikilonzo25937 ай бұрын
Haukuanza Ila ulijuwepo kwa mujibu wa katiba na kanuni za fedha. Hata jpm aliukuta.
@benedictmrisho1800 Жыл бұрын
Mnajishangaa wenyewe mbona mnaposifu Mh Rais katoa pesa mlikuwa hamulioni hilo? Fuateni kanunu za pesa jamani. Mtakuja kumpaka matope Rais.
@drtobias_ Жыл бұрын
Mwigulu mi nakupenda sana!Ila hua sikuelewi ingawa natamani nikuelewe
@majutokihaka9644 Жыл бұрын
Mwizi huyuu
@andemarley2705 Жыл бұрын
😅😅😅
@fatmaally5530 Жыл бұрын
@@majutokihaka9644 tena ni jambazi la macho macho lipo kwaajili yakujilimbikizia
@kakaimbela2597 Жыл бұрын
Mambo ya TRAT na TRAB😂
@salimbahatisha3003 Жыл бұрын
😅
@wemamwaikambo6485 Жыл бұрын
Hivi mama kwa nini amemweka huyu mtu, hawezi hicho kiti ni kikubwa sana kwake.
@mamachris6811 Жыл бұрын
Pia hana nidhamu Pili muda mwingi anatumia kufikiria biashara na foundation zake
@Muddy2024 Жыл бұрын
Spika nakuelewaga Sana✌️🇹🇿
@josephmariba3332 Жыл бұрын
mwiguru hatoshi
@dmox8723 Жыл бұрын
Jmn hawa viongez ambao mafisadi ndio chanzo na wa2 waaze kuandamana ebu mtoe huyu jamaa tanzania tunapenda kuishibkwa aman kama alivyoiacha Mwl. Nyerere🙏
@jumamayonga8914 Жыл бұрын
Nashauri, watumishi wa umma wanapokiuka maadili ya kiutumishi na ikaonekana kuna ubadhirifu "wataifishwe mali zao".
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Yaani kufanya hivyo ndio kungepunguza kiasi fulani wizi wa fedha za umma,,,,
@mamachris6811 Жыл бұрын
Kweli Kuhamishwa,ni kuhamisha maradhi 😳😏
@nhoutyeddycole7506 Жыл бұрын
Unahisi mali zao zinatosha kufidia kias cha ubadhilifu.acha wivu .sheria ipo wazi
@mamachris6811 Жыл бұрын
@@nhoutyeddycole7506 itasaidia wengine kuwa na hofu Sasa kuna wivu kwa watu wanakula pesa yetu 😳😳😳😳😳😳
@festomlowegypsum8214 Жыл бұрын
Naunga mkono hoja
@robertkamunya7497 Жыл бұрын
Mama huyu mtu anamharibia sana
@edinalihedule7609 Жыл бұрын
Spika Mungu akuweke Mpnz
@emanuelandronicus2574 Жыл бұрын
Spika wetu ni nondo Mungu akunze miaka mingi
@henrychacha5592 Жыл бұрын
Mtani wangu Dish limeyumba kwa mara nyingine tena !
@hosnakamees5454 Жыл бұрын
🤣🤣😂😂😂
@kurthumjabir7399 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Upepo mkali
@bonaventuremwambaja6278 Жыл бұрын
PhD. Hongera sana Dr. Tulia
@Alamaria-km3yc Жыл бұрын
Masai nmtka babati manyara Taz
@hassanmaganga1544 Жыл бұрын
Majibu ya mwigulu hayajatosheleza moja kwa moja inaonyesha kuwa Rais Huwa analishwa matango poli
@kamishina7853 Жыл бұрын
Spika hongera sana kwa maswali mazuri kwa Mwigulu,Watanzania tunafuatilia sana bunge maswali na majibu,hoja nk,hapa tunaona kabisa Wizi unamhusu waziri wa Fedha na aliyemteua wote wanahusika na tuhuma hii,wazi kabisa Mwigulu amesema mwenye uwezo wa kuidhinisha itoaji pesa kubwa kama hii ni Rais sasa hapa tunatafuta mchawi yupi tena? Endelea spika,Ole Sendeka wewe mtu makini.
@batulkassamali3664 Жыл бұрын
P😊😊😊😊
@robertrokoine4043 Жыл бұрын
Kweli nimeamini kuwa mnalindana jaribuni kuwa na hofu ya Mungu mnatuumiza miyaka yote tufike mahali wenzi nao wafungwe.
@trifoniambilo2400 Жыл бұрын
Et mwenye nchi khaaa kwani mwenye Nchini nani hahahaha , mtaan Kuna kamsemo hvi mama anaupiga mwingi kumbe wapigaj mpo kimya???
@seifsaidseifsaid1210 Жыл бұрын
Ingekuwa nchi zilizoendelea waziri wa fedha angeshajiudhuru. Lakini nchi zetu hizi za kiafrica hasa tanzania wanalindana!
@victorishengoma4599 Жыл бұрын
Kwa hiyo wanamchomekea na yeye anasign bila kujiridhisha, Magu alikuwa anakesha na mafaili...ndio maana..
@mamachris6811 Жыл бұрын
Yeye anazunguka kukopa,wenziwe Wana piga tu😏
@paulsimba7614 Жыл бұрын
Huyu mjanja mjanja sana juzi tu kaingiza basi jipyaa Esther luxry😅😅😅 Tanzania yangu
@hadijamandanje6189 Жыл бұрын
Huyu si mjanja ni mjeuri angekuwa asingejiona kuwa muelewa Sana kuliko watanzania wote
@paulsimba7614 Жыл бұрын
Na ashatuona ss km mazwazwa dah! Cjui ata alipataje hy nafas kubwa
@donaldmaziku7915 Жыл бұрын
Kulipa sio kuidhinisha, ila anayetoa go ahead malipo yafanyike ndiye mhidhinishaji. Ufafanuzi wa spika ni wa ovyo ovyo.
@Alamaria-km3yc Жыл бұрын
Masai uko sawa
@augustinekusekwa183 Жыл бұрын
Siku mwiguru akistaafu atakuwa anamkumbuka sana spika yaani 😮
@elizabethmvumu1881 Жыл бұрын
Spika tulia hongera sana mama.
@khamisbk8569 Жыл бұрын
Speaker umempatia huyu mwizi
@augustinekusekwa183 Жыл бұрын
Enzi za mkuu jasiri wa nchi hii huyu sasa hivi angekuwa anachunga mbuzi kwao
@salumyusuph5046 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@nicolauswandao8988 Жыл бұрын
Mr TRAB na TRAT anazingua
@MwanduMachiya7 ай бұрын
Huyo wazili hawezi kazi
@fabianfaustine444 Жыл бұрын
Hili bunge lingekua na tundu lisu, john heche,zito kabwe ,dar tungeyajua mengi sana
@agreywilbert272 Жыл бұрын
Mm nimemsikiliza kwa makin kaulizwa swal rais kaingiaje anatupa porojo
@kennedkaaya5998 Жыл бұрын
Ipo siku mwigulu atamshauri mama wauze mlima kilimanjaro ili wapate ela ya kuendesha serikali..uyu jamaa sio mbunifu kabsa kiukweli
@petermwanyondo5370 Жыл бұрын
Nchii inaitaji viongozi wenye kumuogopa mungu nakuweshim binadam wengne uongo hata ujibu vip unaonekana two
Tangu nimezaliwa sijawahi kusikia neno mwenye nchi kumbe kuna mmiliki wa Nchi nilijua Nchi ni ya wananchi wote i
@mfwimiekayuki86927 ай бұрын
Sijui rais anampendea nini ni mwigulu.mwigulu ni mzigo,haenei ktk wizara hiyo.
@FaridaJames Жыл бұрын
Mwiguru, Samia, wote mafisadi,kwasababu hata kwenye teuziyake alisema,nimemchagua kwa sababu anapenda pesa kwa hiyo Hawa wote wanajuana
@guugug9gt829 Жыл бұрын
Umeongea point mpenziwanguuu ndiomaana samia hataki kumtoa mwigulu
@gosbertrwezahura3645 Жыл бұрын
Kweli kabisaaaaaaa.
@christinamsoka Жыл бұрын
Mh spika hongera sana,Nina zawadi yako nzr sana.
@AbduliSaid-zu1dx Жыл бұрын
Wazeee wa busara hao waziri mwigulu aache uhuni
@mwisukulu1 Жыл бұрын
Jamaa kasema MWENYENCHI daaaah
@partnersah8802 Жыл бұрын
😂 inauma ila ndo hivyo
@iddysonyo266 Жыл бұрын
huyu ni miongoni mwa tatizo kubwa kwenye nchi yetu sema mnachelewa kulitambua hilo
@happinessmwenda2773 Жыл бұрын
MSIMWINGIZE MAMA YETU KWENYE UJINGA HUU KWANZA WATU WA VISIWANI UWA NA HOFU YA MUNGU SANA.
@hoseamligula8092 Жыл бұрын
Likija swala la kujibu hoja mwigulu huwa anatamani ardhi ipaduke aingie
@allykayanda6930 Жыл бұрын
😆😆😆
@octaviantito Жыл бұрын
Africa tunasafari ndefu sana hasa Tanzania Kufikia maendeleo,,,mana tunaongozwa na watu wenye maono na waliotamani uongozi kwa kiu ya ufisadi na sio kujenga wala kuleta maendeleo na ndio mana wanashindwa kuwajibishana kwa sababu asilimia kubwa mlengo wao ni mmoja.
@aishaalbalushaishabalush8291 Жыл бұрын
nikweli ndugu
@malandayona2381 Жыл бұрын
Umeongea kitu inafikilisha sana hili nishamba labibi
@leonardmwayeya138 ай бұрын
Shida mwiguru nimwizi sana wewe nabomu hufayiiiii
@loishiyesamwel1374 Жыл бұрын
Huyu Speaker ni kichwa, anajaribu kumlainishia huyu Bwana Mwigulu lkn waswahili husema la kuvunda halina Ubani, Huyu Mwigulu ni tatizo kubwa sana ktk Wizara ya fedha, Kwani Hakuna Wasomi wengine wa Uchumi huyu akapisha?
@richardmziba55 Жыл бұрын
Huyo Waziri naye ni "kibugumo" amekuwa akitoa matamshi tata. Hata upigaji wa fedha za umma anajua kinachoendelea.
@michaelkitundu1489 Жыл бұрын
Kama nitaeleweka naomba mama amtoe mwiguru ana anachokifanya kama hatomtoa itakua niuongozi wa kupeana.
@DoricePoul-zw9fu Жыл бұрын
Kwahiyo Raisi ndio mwenye Nchi....
@selemanimasatu2421 Жыл бұрын
Mpaka leo mwingulu anaamini inchi ni ya rais hajui inchi ni yawananchi ila rais ni kama mwajiliwa tu aliyeajiliwa na wananchi.
@hamismabula9934 Жыл бұрын
Mawaziri wa mama hawa daah!
@silaskojwando2450 Жыл бұрын
Kwa hiyo mamlaka yako mwigulu,kwenye hoja hii ni yepi?
@masoudalriyamy6298 Жыл бұрын
Mmeona wenzenu kotoka bara wanavouliza masuali wabunge kutoka zanzibar mnawawasikia wenzenu unasikia rahaa wanavouliza masuali
@piuskusenge-jf2ob Жыл бұрын
Halafu Dr. Mwiguli uwe unajua kutofautisha. Rais hana nchi wenye nchi Ni wananchi, Rais yake Ni serikali
@daudkondo4069 Жыл бұрын
Tatizo bunge letu idadi kubwa ni ya Chama kimoja
@thobiasmollel3443 Жыл бұрын
Mwigulu bhanaaa😅
@happinessmwenda2773 Жыл бұрын
HALI MTAANI KULIVYO NA TUNAYOYASIKIA MUNGU AMSAMEHE MTU MWEUSI KUNA TATIZO KUBWA AFRIKA😢😢😢
@hassanmohammed4891 Жыл бұрын
Kwani Mama anasubiri Nini kumtoa huyu mwigulu kwenye hicho kiti apelekwe kitengo kingine hata ukuu wa wilaya huko ama mtendaji wa kata akajifunze upya 😏
@MwanduMachiya7 ай бұрын
Mwigulu,anamhalibia raisi kwenye mamichango, anavuluga Sana anatamaa Sana,