Nilikuzalau broo kumbe kichwa hongera bro nakuweka kwenye kundi langu la kumi Bora ya wasemaji wa Simba unaweza kuongea ukweli mungu akuweka bro km jemedali
unasema unamjua sana manara habari zakena tozi unazifahamu
@saidsuleiman17532 жыл бұрын
Huwezi kumpangia mwanao mtu wa kutembea nae lakini unaweza kumshauri na kumuongoza, kama Ali anataka kuoa afate sheria na taratibu lakini hawezi kuachiwa amchezee mtoto wa watu. Je Ali Kamwe alipeleka posa akakataliwa maana unasema unamjua sana Manara.
@saidsuleiman17532 жыл бұрын
Mila zinatofautiana kuna familia zingine mzazi hawezi kumsapoti mtoto wake kwenye mambo ya Boy friend au Girl friend, kama muda wa kuoa au kuelewa umefika basi unatambulisha anaetaka kukuoa au unaetaka kumuoa kwa kufuata taratibu
@danielmwakalinga68672 жыл бұрын
Kwa kiasi Fulani unaongea ukweliii
@RojaAbdul2 ай бұрын
Nipo teyar bando langu liishe nakusikiliza adi bando ;lishe