Mdude: Leo Askari Anatoka Hadharani Anasema Ameua? Mahakama Haijathibitisha Tuhuma Zake

  Рет қаралды 10,423

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2022 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 46
@stewartdyamvunye-wz6rn
@stewartdyamvunye-wz6rn 8 ай бұрын
Mwanangu Mdude ukimaliza, nenda baa ya karibu unywe bia tatu kwa afya, nitalipa!
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 4 күн бұрын
Amina Mdude nakupa maua yako ukwer unauma❤❤❤❤❤
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 8 ай бұрын
Vivacommander Viva MH mdude umeongea ukweli wamungu eemungu tusaidiye utujariye watu wenyeroho zamungu ktk nchihii inatawaliwa namagaidi ndiyomaana wanaiba wanaua wanabambika raiawemamakesiyabure walaghai waongo wachoyo wenyeroho mbaya wabinafusi kwahiyo sisiraia wanchihii tunahangaika namaisha magumu
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 7 ай бұрын
Mafisadi HAWAWEZI kukuelewa❤❤❤❤
@Expedito2512
@Expedito2512 8 ай бұрын
Daa! Mdude
@bahatikulwa56
@bahatikulwa56 8 ай бұрын
Mungu Abariki Alakati zako bro
@nizwaoman8378
@nizwaoman8378 8 ай бұрын
Ongea kaka tunakuelewa tuko pamoja
@saimonisichimata8559
@saimonisichimata8559 8 ай бұрын
Wapgania hak🙏🙏✌️
@JohnS.mwafubo
@JohnS.mwafubo 8 ай бұрын
Watanganyika nchi imekwisha mungu amechukia kwasababu watawala wamepora haki zao
@allanmapamba4765
@allanmapamba4765 8 ай бұрын
Hujawahi kuniangusha kamanda my home boy
@rashidkihunga2938
@rashidkihunga2938 8 ай бұрын
10 kama mdude tz raha xpress
@mkemiaelias6009
@mkemiaelias6009 8 ай бұрын
Viva mdude
@musa-v3f
@musa-v3f 8 ай бұрын
Katiba mpya kwanza keep up the good work Mdude
@leoncebenjamin8107
@leoncebenjamin8107 8 ай бұрын
Points
@smarty1064
@smarty1064 8 ай бұрын
kwanza nacheka, nacheka saaaa, hayo unayoyaongea ni kweli kabisa ila unaowaambia ni mazombie hata hawaelewi 😀😀😀😀
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 7 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-gc7ft9do4e
@user-gc7ft9do4e 8 ай бұрын
❤❤
@jovitherkaijage614
@jovitherkaijage614 5 ай бұрын
Sasa ameisaini tayari , tunasubili
@AGAINST_KILLERS
@AGAINST_KILLERS 8 ай бұрын
👍
@mashannapapaaa9582
@mashannapapaaa9582 8 ай бұрын
Nitakupata wapi mutetezi wananchi wewe namwabukus pamoja nawengine nawapazawadi nitàgalamika niimbe nyimbo kuwapogeza nk Yan
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 4 күн бұрын
Kwer makamanda nchi hii amani kwakwer imetoweka
@mkemiaelias6009
@mkemiaelias6009 8 ай бұрын
Katiba mapya no sasa
@estambuya3901
@estambuya3901 8 ай бұрын
Katiba mpya kwanza
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 8 ай бұрын
Babu tale kakosa bahati jamani Au hajasoma
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 8 ай бұрын
Mnataka mgombea binafsi ili mpunguze kura za chadema? Anzisheni chama kama mna watu
@hassannyalile2256
@hassannyalile2256 8 ай бұрын
Mnaandamana tarehe ngapi?
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 8 ай бұрын
Mimi ni chadema bt mama anarudi ikulu kama kwake hakuna lolote mbowe mwenyewe kesha hongwa kwanza hakuna upinzani tema.. Mama hoyeee
@yassinrajabu6511
@yassinrajabu6511 8 ай бұрын
wewe ulitaka mbowe afanye nini kipindi mbowe alivyo pata matatizo wewe ulitoa mchango gani?
@enockfumbuka6843
@enockfumbuka6843 8 ай бұрын
SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU.HAKI ITANDEKA TU.
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 8 ай бұрын
Wazarendo wa nchi
@yassinrajabu6511
@yassinrajabu6511 8 ай бұрын
mdude masalimie mwabukusi
@bonabonala5559
@bonabonala5559 8 ай бұрын
tz hatuna rais mpaka sasa samia hsfai labda arete katiba mpya zaidi ataondoka bira record tz. mama, wa kambo
@philemonsnyanda9450
@philemonsnyanda9450 8 ай бұрын
Doctor tale tale😂😂
@smarty1064
@smarty1064 8 ай бұрын
😄😄😄😄 eeeh dokta tale tale eeh
@Shabani-uz1sb
@Shabani-uz1sb 8 ай бұрын
Nyiemumechanganyikiwa nanikawatuma wajingawakubwa
@hassannyalile2256
@hassannyalile2256 8 ай бұрын
Jifunze kuheshimu viongozi, kwani wewe ni nani unajifanya unajua kila kitu?
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 8 ай бұрын
🤣🤣🤣
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 8 ай бұрын
Wewe Dude Tulia Wewe Kwenye Ulinzi wa Taifa lolote hakunaga Siasa Zungumza Polojo zako achana na Vyombo vyetu vya Usalama
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 8 ай бұрын
Hata mii nashangaa raisi ambaye nae ni mgombea katika uchaguzi eti ndio anakuwa mstari wa mbele kuteua wasimamizi wa uchaguzi kama anataka kuteua teua wiongozi wa tume basi asiwe na sifa ya kugombea haiwezekani raisi wa nchi ambae ni mgombea katika uchaguzi eti awe ndio mteuaji wa tume ni sawa na simba na yanga halafu refa anatoka simba unategemea matokeo yawe tofauti. huo utaratibu umepitwa na wakati, ccm wanataka kutuletea utaratibu wa Chama kimoja ndio uendelee kutumika kwenye vyama vingi. yani utaratibu alio utumia makapa 1995,ndio wanataka uendelee kutumika 2025. yani ccm wamewaona watanzania ni wajinga sana tena ni makondoo wakuwapelekea kila sheria mbovu ili waendelee kuongoza kwa kupitia utaratibu mbovu wa uchaguzi
@user-uc5py2ll5n
@user-uc5py2ll5n 8 ай бұрын
Wehu mtupu eti mdude unaongea utumbo tupu.
@dinimanabii833
@dinimanabii833 8 ай бұрын
Nikisema nyie ni watafuta ujiko mnanitukana aya tuambieni swala la bandari mliishia wapi? Mlisaidia nini? Maandamano yenu yalikwama wapi? Acheni njaa na kutafuta umaarufu wa kipuuzi.
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 8 ай бұрын
Achauchawa pumbavu zako
@mayungarichard7443
@mayungarichard7443 8 ай бұрын
Ndugu tetea taifa lako acha ujinga wa kujianika hadharani
@user-vq2xq9ck8s
@user-vq2xq9ck8s 8 ай бұрын
Tatizo huna elimu hujui maana ya mwana harakati so why huoni mchango wa hawa watu😂😂😂 rudi darasani unacoment ujinga.
@bahatikulwa56
@bahatikulwa56 8 ай бұрын
Wewe Hakika Unajua Ila Naamini Umetumwa.
@user-ig7tb1cf8z
@user-ig7tb1cf8z 8 ай бұрын
❤❤
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 58 МЛН
IMIYOBORERE YA RAYON SPORTS KUBERA IKI IVUYEHO UBU?
36:49
B&B Kigali 89.7FM
Рет қаралды 636
RAIS DKT. MAGUFULI AWASIMAMISHA TBA KUJENGA NYUMBA ZA MAGEREZA UKONGA
3:00