Asante doctor kesho naamkia hospitali maana nilikua nimekata tamaa
@BakithaMdete10 ай бұрын
Naomba Namba Doctor
@jumajuma20266 ай бұрын
Mim naomba namba zako
@rahemaissa98673 жыл бұрын
Shukran Docter
@annasaimon67734 жыл бұрын
Mimi ni Maj mzito lakini kila nikifanya tendon la ndoa nahisi maumivu makali na kisha natokwa na damu
@mahmoodalghefeili5370 Жыл бұрын
Mm nilifanya ivyo mara 2 mimba ikiwa ya miez 3 na 5 ila imeacha
@mahmoodalghefeili5370 Жыл бұрын
Sema nilichelewa kujifungua
@NeemaMathias-w2k Жыл бұрын
Mh
@farhatomar14275 жыл бұрын
mm daktar naomb namb zako
@SisterMwanzonga Жыл бұрын
Naomba namba zako
@Hopealecx-bv3sc Жыл бұрын
Mbn mm nimeona namba
@mathaalex28005 жыл бұрын
Jaman mm dam inatoka hadi viboge vimetoka Sasa ila mimba inasoma bado ipo Sasa hivyo vibonge kiumbe hakiwezi kuwa kimeadhirika???
@luvangaluvanga23225 жыл бұрын
Hata mimi shida hiyo ninayo
@sabrinakirindo93225 жыл бұрын
Mie ndio kabisaaa
@asmasrajab804 жыл бұрын
Kapime autrasaund maana hata mm nilikua mjamzito nikipima kipimo cha kawaid inakua ipo nikapima autrasaund ikawa imehalibik ile uliokua inaonyesha ipo ilikua ni uchafu tu
@takyatupu68393 жыл бұрын
Na mimi hv hv mimba yangu mienzi miwili matoka damu nyigi na mimba ipo hp stress vp umejifungua salama tujuze
@rosembaga54673 жыл бұрын
Kiukweli mm hata sijui nifanye nn mpaka kuhusu hiliswala
@bartonmasangati60185 жыл бұрын
Je ikitoka tone tuu kdg la damu na tumbo aliumi ikiwa ina mwez mmoja kunakua na tatzo
@linethiihavesomeproblemdou89704 жыл бұрын
Nimekunywa clomid kwa mwezi mmoja nasija fanikiwa
@neemapeter30894 жыл бұрын
doctor Jaman tunaomba namba yako
@aminaally3672 Жыл бұрын
Doct nina mimba week 6 ila nimeamka Leo nikaona damu kidogo inaashiria nini? na mtoto atakua salama? Pia na maumivu ya tumbo
@fatmasalum88943 жыл бұрын
Dokta nna mdg wangu huwa anatoka damu akimaliza kufanya tendo la ndoa na ni mjamzito miez3 tatizo nn dokta naomba ushaur
@joycemagoha45242 жыл бұрын
Uko vizuri doctor
@mayryamsaid70384 жыл бұрын
mm pia dr nna 3month lkn natoka damu
@EmanueliMbise Жыл бұрын
Linauma chini ya kitovu na maumivu sehemu ya kino na kichomi
@mamycute38425 жыл бұрын
Kubleed siku 6 mfululizo huku ukiwa ni mjamzito inasababoshwa na nn??
@nandyjackson61574 жыл бұрын
Mm ni siku ya 3 my
@FatmaOthumany-ni6jz Жыл бұрын
Mom no Siku ya 5
@EmanueliMbise Жыл бұрын
Doctor mke wangu anajisikia maumivu tumboni na kiononi kinauma pia ajaona siku zake miezi minne ambao ni huu mwezi wa nne kwake ajaona kitu na mambo hayo yameanza juzi na jana
@zungubarbers28093 жыл бұрын
Asante doctor
@joycemagoha45242 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@modestaboniface45294 жыл бұрын
Naomba namba zako. Daktari
@marryciousben38033 жыл бұрын
Mm Nina mimba ya wiki 5 nanina blid je Kuna uwezekano wa mimba kupona
@yusufkawinga6713 жыл бұрын
Na Mimi pia
@omelinagodfrey5513 Жыл бұрын
Vip jaman mlijifungua salam
@fatumamnyenze74893 жыл бұрын
Mm nimjamzito nina miezi mitatu sai naelekea wanne na natokwa n damu niliende oci nikaambiwa imepunguwa miezi n nmewekwa kidude cha kuzuia mimba
@mwanadamujasiri17303 жыл бұрын
Dada unaendeleaje kwa sasa
@takyatupu68393 жыл бұрын
Pole sana wanawake tunapitia mithan mingi sana wakati wa ujauzito mungu atusaidie na mimi hv hv nimetokwa damu nikaenda hspt mimba ipo lakin damu inatoka tena nyingi sana vp wewe kwa sasa unaendeleaje ufanikiwa kujifungua tuambie ututoe hofu na sie
@mrsally55833 жыл бұрын
Jee wakati huo unatoka damu tumbo haliumi??
@lucyhusein40433 жыл бұрын
Mm dam inatoka kidogo ton Mara ikate mara rurud sina mimba namiaka 40
@salmanassoro28294 жыл бұрын
Asanteh doctar mm nauliz mimba yangu ina mwez moja ambao umetim tareh 25 voz ckuona cku zangu sasa tareh 6 jion naona dam na naskia maumivu kidogo naomb kusaidiwa anae jua nn shoda
@nassorahmed40326 жыл бұрын
docter mm nimjamzito wa miez miwili lkn leo wakat nafanya tendo la ndoa nilitoka damu kidogo nisaidie docter itakuwa ni tatizo gn ?na jee mimba yng ipo??
@janethymahanyu55555 жыл бұрын
Hata mim nimuhanga
@apolonarymselle66425 жыл бұрын
Je kutokwa na damu wakati mimba ya mwez mumoja inazuwilika mm inatakaya mla nying naend kusafisha
@aminamustapher15365 жыл бұрын
Dr mkenge je kutokwa na maji pia kunasababishwa na Nini wakati wa ujauzito.
@linethiihavesomeproblemdou89704 жыл бұрын
Nimeishi miaka tano bila kupata ujauzito plz
@sophiahans97653 жыл бұрын
Wasiliana nami niweze kukusaidia kuondokana na hiyo changamoto
@mashamshamu93864 жыл бұрын
Doctor mimi nina mimba miezi 4 ila nimetokwa damu jana
@marrymathiass39743 жыл бұрын
Mimi nna ujauzito wa wiki 8 natokwa na dam kidogokidogo
@millicentatienoatieno563010 ай бұрын
Is the baby okay dea?????
@nassorahmed40326 жыл бұрын
mimba ikitishia kutoka jee upo uwezekano wa kuzuia mimba hiyo isitoke
@rosemarydominic41045 жыл бұрын
Nassor Ahmed
@sabrinakirindo93225 жыл бұрын
Kamuulizia mkew au sio ivy
@rosemaryngowo23274 жыл бұрын
Ndio
@sikujuahemba9833 жыл бұрын
@@rosemaryngowo2327 unafanyeje ili kuiokoa hiyomimba
@LadypinaLyimo Жыл бұрын
Mimi Nina mimba ya. Wiki nne natokwa na damu Leo n siku ya sita shida n nn doctor
@FatmaOthumany-ni6jz Жыл бұрын
Wew no Kama mm
@elinashedrack85433 ай бұрын
Na mm pia
@arafatlugaila88202 жыл бұрын
Mimi nikishiriki mapezi damu zinatoka mimba bado changa nini
@rozinamassawe40835 жыл бұрын
Mimi Nina ujauzito wa miezi 3 natokwa na damu ila sio nyingi ni kama vitone
@aggynjagu46174 жыл бұрын
Jamani pole kumbe tupo wengi
@stevekaponda9700 Жыл бұрын
Ikawaje,
@Hopealecx-bv3sc Жыл бұрын
Mm naumwa tumbo damu inatoka nna miez 2
@getrudaphilip7417 Жыл бұрын
Mm namimba hata mwez bado lkn dam zna toka nikdg
@adammwiga64525 жыл бұрын
Mm ni mjamzito wa miez sita natokwa na dam na maumivu makali ya tumbo
@jeaninehatungimana14943 жыл бұрын
Pole sana ilikuaj sasa mwish uliza mtoto au maana na mimi niko hivyo plz jibu
@marryciousben38033 жыл бұрын
@@jeaninehatungimana1494 ata mm nipo ivyo mpaka naogopa na isitoshe ndiyo mimba ya kwanza
@takyatupu68393 жыл бұрын
Na mimi hv hv vipi mmefanikiwa kupata watoto ndungu zangu
@gressjoseph56153 жыл бұрын
@@takyatupu6839 wew yako inamda gani maan me hospital wameniambia kitu
@sophiahans97653 жыл бұрын
Wasiliana nami niweze kukusaidia kuondokana na hiyo changamoto
@linethiihavesomeproblemdou89704 жыл бұрын
Naomba usaindizi
@hadijaclarice86105 жыл бұрын
Mimi mimba yangu ilitoka ikiwa na 33month na ilianza kubleed kidogo kidogo mwisho ikamalizika hivi natokwa ni uchafu na maumivu chini ya kitovu yaeza kuwa yasababishwa ni nini