Asante sana kwa Maelezo haya ila nataka kujua unapatikana wapi
@ernestmhinauttah2323 жыл бұрын
Shukran san mi hyo kengele ndo inanhusu ila tuamby gharama kabsaa tujipange tuje
@rizikisimai51403 жыл бұрын
Naomba no ya doctor
@nivaleonard47333 жыл бұрын
Doctor please nimetafuta Sana hii kitu inayoitwa epglotitis kwa kiswahili sijapata naomba msaada wako
@rosemkama662910 ай бұрын
Naomba number doctor
@kheriathuman25984 жыл бұрын
Mimi ni mmoja wa ugonjwa huo naitaji namba za doctar plz
@eliasifiwekileo81504 жыл бұрын
Naomba no za Dr jamani
@abduljuma21473 жыл бұрын
Kweli sikio Ni sehemu sana najuta nimepoteza sikio langu la shoto nilipigwa ngumi kizembe tu Sasa nalihisi liko unormal naitaji usaidizi
@yonasjonas3495 Жыл бұрын
Thamahan Naomba unisaidie Namba za huy daktar
@Money-q8q2 күн бұрын
@@yonasjonas3495 yupo pale mloganzila nenda muulizie dr mfuko
@doriceurassa56213 жыл бұрын
Mimi hzo kengel zmeanz mud huu Yan dokt napat shda Sana naomba no zake mwenye nazo Mana dawa nmetumia lakin bado naskia hzo mingurumo Yan mpk nakereka
@JOSEPHINE72410 ай бұрын
How can I get in touch with you coz am suffering
@ummyshee1310 Жыл бұрын
Naomba na doctor
@jovinkomba29084 жыл бұрын
best otolaryngologist you are the best DR.Godlove peter mfuko
@sarahbaltazari68994 жыл бұрын
Jamani napataje namba za dokta niko mkoani
@mesopallangyo35204 жыл бұрын
@@sarahbaltazari6899 ukipata namba ya Dr naiomba jamani Nina tatizo Tena la upande mmoja😌😌
@isaacmwaipopo4 ай бұрын
Huyu ni Dr kwa kweli. He deserves... naomba apewe uteuzi aweze kupeleka uelewa wake kwa watu wengi zaidi. Anajielewa na anajali wateja. Hakuna ushujaa kwenye kumtibu mtu😂😂😂 hatunang'anii wagonjwa😂😂😂😂
@haseanatnsanya20793 жыл бұрын
Mm sikio moja lauma mpaka kimeo chauma sana
@gracetweve84854 жыл бұрын
Mngetupa namba Za dk jamani
@NeemaSaid-d2s3 ай бұрын
Naomba namba ya dr jmn
@aimeebusime58492 жыл бұрын
Merci bcq
@Denis_prudence10 ай бұрын
Namkubali sana huyu daktari
@khadijashabani96845 ай бұрын
Samahan nisaidie namba zake
@SalimoKangomba2 ай бұрын
Naomba kujuwa unapatikana hospital Gani na garama yake ni shiringi ngapi Ili nijiandae .
@neemasuleiman71302 жыл бұрын
Asantee Sanaa kwamaelezo yako
@festoswai613 ай бұрын
Na Mimi ninalo Hilo tatizo la kengele .kizunguzungu .kutokusikia vizuri sikio moja.mwaka unaisha NIMETUMA dawa lakini Bado sijapaona ila kizunguzungu kimeisha
@florianpango44872 жыл бұрын
Ahsante nimeelewa Mimi nasikia mvumo flani hivi vuuu
@janethjasson99582 жыл бұрын
Yaani Kama Mimi tuu na sipati dawa
@salumawilson95802 жыл бұрын
Asante unapatikana wap jaman
@NuratyAlly-lq7xc7 ай бұрын
Kama mimi
@HalimaMutemi4 ай бұрын
mabo
@HalimaMutemi4 ай бұрын
iyo vuu iliishaa
@zephaniazacharia5195 жыл бұрын
Nice topic
@mhemaegid34554 жыл бұрын
Namba ya Dr please
@hellenbarnaba90695 ай бұрын
Dkt. Mimi ninatatizo Hilo pia naomba namba yako Dokta. Unipe ushauri. ubarikiwe Sana.
@fareedatrash6654 жыл бұрын
mueke number za hawa dr hawa wa vipindi
@zakiamohamed7611 Жыл бұрын
Dakta naomba unisaidie cna tatizo la mashikio ila nimtu wakusafiri safiri kwa ndege nnapokuwa safarini nnakuwa naumwa sana na mashikio jee nijikinge nanini kuhusu hizi kelele nnazozickia nakuumwa namashikio
@rosemkama662910 ай бұрын
Tunaomba number.
@magrethparsalau21983 жыл бұрын
Mimi ni mjamzito miezii sita lakini napata hilo tatiz la mvumo maskioni kichwa kinauma sana mpaka shingo inashindwa kugeuka
@MwanaOg6 ай бұрын
Vp ndugu ulipona tatzo la maskio
@zakiamohamed7611 Жыл бұрын
Au nivae kitu gani mashikioni ili hizi sauti niczickie mpaka niweze kufika nnakoenda
@RaurentSebastian Жыл бұрын
Dah
@jenifervahaye1069 Жыл бұрын
Daktar unapatikana wap tupe namba zako
@KelvinSadick-lc4qs Жыл бұрын
unapatikana wapi
@joycesaguda575 Жыл бұрын
Sikio langu moja lina maumivu makali Sana likichachamaa hata dawa za maumivu znadunda naambulia kulia tu😢, na hasa likipulizwa na upepo au nikiwa kwenye sehemu ya baridi naumia Sana😢naomba msaada
@phinajohn3559 Жыл бұрын
Yan mim nilishapewa dawa bugando Kila mwez lak na zaidi lakn hakuna kitu hata unafuu robo hakuna nimechoka balaa
@festominani3621 Жыл бұрын
Hello! Ulishapata tiba? Niambie aise nateseka sana na hili tatizo
@FarajaHusein Жыл бұрын
Dock samahan mm nipo mwanza nawapataje ninatatizo holo
@DianaMkilima5 ай бұрын
Mm ilinianza baada ya kusikiliza mziki kwa muda mrefu
@tatusungura78644 жыл бұрын
naomba namba ya dacter
@sophiahalfani18702 жыл бұрын
Na mm naomba namba
@FadhilaAbrahman Жыл бұрын
Ata mm
@AshaAbood9 ай бұрын
Huyu dr ni kiboko wallah... sijawahi kukmuona lakini Ana akili kubwa sanaaaa ni msomi wa hadhi ya juu.. yani kanijibu maswali yangu yoyeeee niliyokuwa nayo kichwani mwangu
@florianpango44872 жыл бұрын
Mpo wapi muhimbili
@sabrinaibrahim-s5e19 күн бұрын
Kwahyo nta kuwa nyingi inaweza ikasababisha sikio pia kutoa muungurumo
@bahatimtenya40142 жыл бұрын
Huyo dr bado yupo mpaka sasa
@HilderMkamburi8 ай бұрын
Jamani unapatikana wapi nashikwa na kichaa ,ukowapi
@angelpelkoneni26243 жыл бұрын
Naomba namba za dokta au utuelekeze mnapopatikana plz
@gracejackson8810 Жыл бұрын
Doctor naomba namba yako nateseka sana na kelele za silio nahitaj Tiba
@festominani3621 Жыл бұрын
Hello ulishapata tiba?nateseka sana na kelele masikioni
@fareedatrash6654 жыл бұрын
dr wa masikio nahitaji number yake
@heriethchristopher76632 жыл бұрын
Dr mm masiko yananguluma je nn shida?
@sophiahalfani18702 жыл бұрын
Namba zako nazipataje
@maryamgift20423 ай бұрын
yani dalili ambayo dokta amesema ndivyo ninavyo nasikia nilikuwa mloganzila lakini sikupati ufumbuzi naomba contacts number dokta nikuone
@rehmahamishamismkande43482 жыл бұрын
Doctor mimi hilo tatizo ni mara kwa mara naenda hospital wanasafisha baada ya muda mfupi inarudi tena
@saumulyobe21582 жыл бұрын
Mie nnasikia sikio moja na maumiv had kwenye kifuan
@goodluckgabriel27632 жыл бұрын
Dk hupatikani kwa no hiyo tunakupataje
@sophiahalfani18702 жыл бұрын
Naomba namba ya cm nije
@ObadiaSanare9 ай бұрын
Dokta ni saidie
@LinaSebastian-c2c Жыл бұрын
Mimi nimepata tatizo ilo kwaajili ya kupigwa kofi upande wa kushoto
@manxuleemikui38095 жыл бұрын
ahsant kwa elmu
@mesopallangyo35204 жыл бұрын
Dr.mimi sikio la upande mmoja ndio linapuliza napata shida mno
@ShafiiDauda-mh9ju8 ай бұрын
Uanapatikana wapi doctor man na mm nina problem yng
@prospermzee79183 жыл бұрын
Namba nnayo, ila siwezi kuweka hapa.ila huyu dr yupo hospital ya muhimbili ya mloganzila floor ya kwanza.omba kuonana na dr mfuko
@sakinahamza53252 жыл бұрын
Mm naitaj kk
@goodluckgabriel27632 жыл бұрын
Habar kaka naomba unisaidie no ya huyu dk nipo mkoani nina mgonjwa I'll niwasiliane niende
@enterenter77982 жыл бұрын
Minaomba niandikie hizo dawa za kutibu sikio linolopiga kengele please
@phinajohn3559 Жыл бұрын
nitakuja dar kwaajil yake
@FadhilaAbrahman Жыл бұрын
Mm nko zanzbr naitaji no yke uyo doktr pleas
@yakoubali4977 Жыл бұрын
mm masikio yanauma kwa ndani kama nameza mate yanauma sana
@mwaraminyumba59782 жыл бұрын
Uwe unatoa na namba yako basi waitaji tupo wengi
@martinemagembe9029 Жыл бұрын
Kweli doctor mm nimeenda hospital sikio langu moja wameniambia ww unauchafu lakini nikaenda kulisafisha lakini hakuna suruhisho na mpaka Sasa sikio langu la kushoto halisikii kabisa nashindwa kuelewa n kwamba sikio langu halitaweza kutibika au n fanye Nini
@anosmart..3596 Жыл бұрын
Lakn
@devaliant88685 жыл бұрын
Lini mtaiachia Azam TV app iwe hewani
@angelpelkoneni26243 жыл бұрын
Mimi ninateseka sana na hizo kengele za masikio naomba namba za dokta
@shimafuad68684 жыл бұрын
Kwanini nembo ya Azam hua mnaiweka katikati? Inaziba iwekeni pembeni
@keanujayce3563 жыл бұрын
i know im asking the wrong place but does any of you know of a method to log back into an instagram account..? I was dumb lost the account password. I love any tricks you can give me.
@enterenter77982 жыл бұрын
Sindio inawalipa jmn
@seifseif6812 жыл бұрын
Dokt mm nimetok kujifunguwa ila hichi kichwa chang mbona nakihis hivi kwanza naogopa mno ,nikisikiy mtu amekuf hofu naogop huyu mtoto wangu huwa namuogop halafu inanijiy nimpije na chini yaani hichi kichwa changu kama hakiko sawa
@nyemonairo1442 Жыл бұрын
Na Mimi Nina shida Ila ni sik moja tuuu nasikia Kam magari yanapita hivi inalia Kam dakika 1 hiv nawezaj kukupata doctor
@taturashidi5140 Жыл бұрын
Mimi pia hua nasikia sauti ya gari sikio la kushoto
@yakoubali4977 Жыл бұрын
Mbona doctor hunijb
@clintonnjiku36164 жыл бұрын
Mi sikio langu linapiga kengele Sanaa na nasikiaaa sauti za kukwaruzwaa imesababishwa na kupigwa kofii
@abduljuma21473 жыл бұрын
Ndugu yangu mm nimepigwa ngumi asa Sasa naskia Kama Kama Kuna milio ya engine yaani ovyo ovyo walai vita sitaki tena
@matildamushi44953 жыл бұрын
Je.kcmc yupo ?
@CatherineSelemani-x9o Жыл бұрын
Tumiya maji ya chuvi yakivukuto inasaidiya masikiyo yakupiga kelele
@EsterMkama-ni1rq5 ай бұрын
NaitwA esta hiyo Hali napitia
@abdulalmas30503 жыл бұрын
Jamani me ni miongoni meao
@mwanaishachonya62466 ай бұрын
Kuziba jino ndo chanzo cha ili tatizo
@HilderMkamburi8 ай бұрын
Uko hospitali Gani,,??????? Nimeteseka zaidi ya miaka 20 nikenele zakiaina
@malfredification8 ай бұрын
Uwe unaangalia vizuri mwanzo wa hii video kuna jina la Dk,Pili yeye mwenyewe ukisikiliza ameshasema yupo hospital gani,Tatu uwe unajitahidi kusoma comments maana kuna wengine wanakuwa wametoa msaada wa maelezo, huyu Dk yupo Hospital ya Muhimbili ya Mloganzila floor ya kwanza omba kuonana na Dr Goodlove Mfuko,Hope nimekusaidia!
@batholomeokivamba69596 ай бұрын
Niko Arusha
@seifseif6812 жыл бұрын
Halafu nasikiy zogo kama kweny sikio moja halafu nahisi mishipa haya ya shingo kama hayashiki vizuri yaani dokt kiufupi mm mwenyewe sijielewi naomb msaada wako
@KelvinSadick-lc4qs Жыл бұрын
Nambako kka
@mussaibingo Жыл бұрын
mimi kunakuwa kama vitu vinatembea usoni na masikioni
@shamfumbo358110 ай бұрын
Jekifaa hicho hakito muadhiili
@malfredification8 ай бұрын
Ndugu hiki sio kipindi live kuwa unategemea swali lako lijibiwe hapa,Majibu na maswali yako utayapata pindi umefika Kwa Dk muhusika!
@KarisaMapenzi Жыл бұрын
Swali ni tunawapata vipi sasa
@masterdiv84942 жыл бұрын
Jaman elekezeni nadawa wengine atuna uwezo wakuja uko..nateseka sana nallo tatzo
@dayanamusa25682 жыл бұрын
Mnaweka namba tunapiga inapita bila kupokelewa si bora mfute tu kipindi
@sophiahalfani18702 жыл бұрын
Naomba namba yako
@ezekielmadindula26793 жыл бұрын
Nina tatizo hilo
@yomenikabombwe49392 жыл бұрын
Unasema mengi bila kusema matibabu dawa ok salm
@shadakihwili41972 жыл бұрын
Naomba namba yako dokta ili nije uko loganzila
@addblessmsola56254 жыл бұрын
Elekeza dawa sio lazma tuje tutumie hela nyingi
@elizabethjulius6513 жыл бұрын
Unatakiwa kupimwa ili upewe dawa kulingana na tatizo lako... Hakuna dawa moja kwa watu wote.
@abduljuma21473 жыл бұрын
Kabisaa mm nilipewa dawa bila kuchunguzwa najuta Kuna ma special doctors na ma nurses Sasa usiombe ukutane na nurse maana ujuzi wake mdogo Bora uone doctor akupime
@hanscanajoseph79815 жыл бұрын
Kusikia kengele muhimu kwangu maana mm ni mwanafunz 😂😂😂
@lucymkongwa42384 жыл бұрын
Mungu akusamehe
@abduljuma21473 жыл бұрын
Acha utani apa ni serious business
@edinambwambo48473 жыл бұрын
Liliwahi kunikuta ili,hiyo siku nilitoka kwenye sherehe ambapo nilikaa karibu na spika za mziki.Nilipata tabu Yani masikio yalipiga kengele wiki mzima.Yani kama mmbu vile wanalia usiku Sasa kwangu ilikuwa mfulilizo.Sikwenda hospital iliisha yenyewe.🙏
@thobiaspaul82474 жыл бұрын
Mimi nilipata ajali upande wa kushoto wa sikio na nikawa nasikia sikio likiwa linalia siiiiiiiiiiiiii no zangu 0762569429
@mhemaegid34554 жыл бұрын
Ulishapata namba ya Dr?
@hellenbarnaba90695 ай бұрын
Dkt. Mimi ninatatizo Hilo pia naomba namba yako Dokta. Unipe ushauri. ubarikiwe Sana.