MEJA KUNTA Feat MR BLUE - MAMU REMIX (Official Video)

  Рет қаралды 638,842

Makerz Gang

Makerz Gang

Күн бұрын

Пікірлер: 313
@mariammhando7520
@mariammhando7520 5 жыл бұрын
Singeli bila matusi inawezekanaaaaaaa.... bonge la ngoma! Jah Blessings
@becabonge463
@becabonge463 4 жыл бұрын
Bizzy Babilon.....!!!
@barakahchogo5533
@barakahchogo5533 4 жыл бұрын
Kazi nzuri xana walioifanya hii
@issanaseeb7699
@issanaseeb7699 5 жыл бұрын
Aliegundua kuwa ngoma kali nimuone Bayser 🙌🙌🙌
@mgaberobert1990
@mgaberobert1990 5 жыл бұрын
Kweli sapoti pia hutuka kw wasanii wakubwa huyu jamaa sikuwa namjua lakini kupitia Mr blu nimesha mtambua tupia ako ka like twende Sawa
@godlistennassary7426
@godlistennassary7426 4 жыл бұрын
Dah aseh ame ipendezesha
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 5 жыл бұрын
Ii nyimbo ukiisikiliza ni kama umekutana jini mwili una sisimka Wangapi wameamini ilo gusa like 👇
@azdarashid5504
@azdarashid5504 4 жыл бұрын
Sure mwang daah
@moudyhamisi2205
@moudyhamisi2205 4 жыл бұрын
du meja umetisha xana
@ashamganga6636
@ashamganga6636 4 жыл бұрын
Ila kiukweli nimeelewa kaka
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 4 жыл бұрын
@@ashamganga6636 akuna namna dada👏🏿
@mickeykibabu6999
@mickeykibabu6999 5 жыл бұрын
Blue angeongeza mistari mwishoni hukuu wee umerudia yaleyaleee
@shafihdauda1490
@shafihdauda1490 4 жыл бұрын
We acha katukosesha uondo
@innocentjohn4040
@innocentjohn4040 4 жыл бұрын
Ndiyo ulikuwa unatoka ila Mungu Hana makosa rest in peace Mr.
@husnamkwata2755
@husnamkwata2755 5 жыл бұрын
Sjawai kuelewa hizi nyimbo za singeli ila hii nimeielewa 😘
@kijokombao5345
@kijokombao5345 5 жыл бұрын
Hii siyo singeli ya kisasa,ni ya zamani walokua wakiimba akina dogo mfaume(mchiriku)
@omarmatuta7709
@omarmatuta7709 4 жыл бұрын
We wakuja dar ila pole
@barakahchogo5533
@barakahchogo5533 4 жыл бұрын
IPO vzr xana hii
@allyramadhan6067
@allyramadhan6067 5 жыл бұрын
Kama unakubali MR Blue ni kirakaaa ktk fani ya music twendee sawa
@venosachalles8833
@venosachalles8833 5 жыл бұрын
Yaani meja ndo umenifanya nipende mziki wa. singeli nakukubali sana kaka umetufanya sisi wamasai tucheze singeli
@saulisedekiasedekia2459
@saulisedekiasedekia2459 4 жыл бұрын
uko vizuri Meja kunta
@mkamakusaga5785
@mkamakusaga5785 4 жыл бұрын
B
@cassianbuwa7336
@cassianbuwa7336 5 жыл бұрын
Duuuh singeli ya kwanza kuipenda na kui download
@joxiahmendez1325
@joxiahmendez1325 5 жыл бұрын
Weka likes kama ujawaona wale wadada wanaotingisha makalio kwenye ngoma nyingi za singeli!..
@hassanshamte1410
@hassanshamte1410 4 жыл бұрын
,@Silvanus Steven
@nationboy2541
@nationboy2541 5 жыл бұрын
Kazi nzuri meja ft mr blue
@congestionvikundi5128
@congestionvikundi5128 4 жыл бұрын
Rip kantu 😭😭😭😭nkitazama huku wimbo nashindwa kuzuia machozi...mbele yetu nyuma yako😢😢
@iddytmauzo6257
@iddytmauzo6257 5 жыл бұрын
Na mi nakupenda wewe MAMU hoo MAMAUUUUUUU mamu mkewangu hooo MAMUUUUI .🎤🎵🎶📲
@godfatheribra8658
@godfatheribra8658 5 жыл бұрын
oyq we blue atabak kua blue ni nomaa mwamba kwenye game kitambo
@lisajackson5867
@lisajackson5867 4 жыл бұрын
we dogo kazana utatusua kiukwel unajua kuimba sipendgi singeli but ww umenifny nipend unajua kuimba uongo dhambi Mungu akulinde n jicho z husda
@shebername5267
@shebername5267 5 жыл бұрын
singeli sinaga mda nao lakini hii nziri aisee naombeni like
@allymanzi9553
@allymanzi9553 5 жыл бұрын
Yes
@abdyramadhan666
@abdyramadhan666 5 жыл бұрын
Nkuba.
@asternjulius890
@asternjulius890 4 жыл бұрын
Huu wimbo Leo unahusika sana kwenye mahusiano yang
@Boaz22
@Boaz22 5 жыл бұрын
Hii nyimbo mtaani Kwwtu ikipigwa lazma usimame ucheze,kazi nzuri sana meja kunta
@keagleeagle821
@keagleeagle821 4 жыл бұрын
Lala salama Kunta.Naupenda huu wimbo ila nilikua sipo makini kujua jina la mwimbaji.Nasikitika kukujua kwa kuchelewa baada ya kifo chako.Gone too soon.
@thadeusmahendeka4466
@thadeusmahendeka4466 5 жыл бұрын
Blue Byser fundi sanaa, kapita kwenye kisingeli ki KONTAA ZAiidi.
@habibumtepa6406
@habibumtepa6406 5 жыл бұрын
kinjungaaaaaaa aaaaaaaaaah kusamehew ukweni ni ngumuuu xn
@mudisilimu6378
@mudisilimu6378 5 жыл бұрын
Weka like yako hapa kama umemkubali Mr bru
@sabatodotto9067
@sabatodotto9067 4 жыл бұрын
Anayependa singeli naomba like zakutosha wajameni
@mnomahboybright4743
@mnomahboybright4743 5 жыл бұрын
daah ila mie nisiwe mnafka meja unajua ila mie ndio nimekujua leo amenileta mr brue apa baada yakuona amepost katka Insta yake kazi nzuri saana
@karimunjaulesahihi1459
@karimunjaulesahihi1459 5 жыл бұрын
Saf
@azdarashid5504
@azdarashid5504 4 жыл бұрын
Yupo vizur saaan asee
@johnjulius9421
@johnjulius9421 3 жыл бұрын
Niaj jnj
@salmatamla4031
@salmatamla4031 4 жыл бұрын
Me sio mpenz wa singeli jaman ila hii kwa mara ya kwanza najikuta naipenda, keep t up meja......
@bonitojo
@bonitojo 4 жыл бұрын
Rest in peace chalii.. Asante kwa ngoma tamu uliyotuachia
@shabani_rapwi
@shabani_rapwi 5 жыл бұрын
Mr Blue katishaaaa
@vitalesgalus8004
@vitalesgalus8004 5 жыл бұрын
baixha nakubali broo napenda sana Auna kuvimba mzazi noma sana
@angelalfred8128
@angelalfred8128 4 жыл бұрын
Daaaah kabaisar hatareee fire
@georgejovin2255
@georgejovin2255 4 жыл бұрын
Uyu jamaa hatar anavyoenda na mdundo unaweza cheza ata class
@MrBandari12
@MrBandari12 5 жыл бұрын
Kama unachek video huku unasoma comment gonga like tujuane
@celinakulwa9811
@celinakulwa9811 4 жыл бұрын
Tupoo
@swaibutanzania5924
@swaibutanzania5924 4 жыл бұрын
ww ukimlithi mzee yusufu kwa kuimba tarabu itanoga sana
@imbatokamoyoni2209
@imbatokamoyoni2209 5 жыл бұрын
Jamaa ana sauti ya pekee kwenye style hii ya sengeli,, Kaka upige na mnanda sauti unayo tena kali sanaa,, Safi sana
@fatmafetty4117
@fatmafetty4117 4 жыл бұрын
Iimix tamu Jamani daah💯💯💯💯💯💯💯💥💥💥💥
@fanfrees_motors_ltd3319
@fanfrees_motors_ltd3319 5 жыл бұрын
Yeeh: baba ngoma qal sana
@ibrahimmwenguvu5978
@ibrahimmwenguvu5978 5 жыл бұрын
Imetuliaaaa mmetishaaaaa
@franciskavyega280
@franciskavyega280 5 жыл бұрын
Babylon...
@idrissmax6335
@idrissmax6335 5 жыл бұрын
Mamu kakomaa kinoma legeza basi acha izo muhumi mpk anapiga Goti 😂😂 !!!?
@saryaemmanuel2586
@saryaemmanuel2586 4 жыл бұрын
Nimeibwa mie😘
@ezekielsamky6155
@ezekielsamky6155 4 жыл бұрын
Hata me nmeona magoti mengi sana..🤣 Kama anaabudu msalaba
@hopejohnson7352
@hopejohnson7352 3 жыл бұрын
Meja mdgo angu unajua na imeniletea blue nae nampenda hatareee
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 4 жыл бұрын
😍😘😍ngoma iko good aise
@dearmama7865
@dearmama7865 4 жыл бұрын
Meja kunta niliikubali hii ngoma siku ya Kwanza naiskia ulikuja kuibadilisha singeli ila mungu hakupanga hivyo meja kunta mume wa mam .....
@mkayotheboss8956
@mkayotheboss8956 3 жыл бұрын
Beat Kama ya msaga sumu ya shemeji au vp wadau
@philemonjonikenyato2919
@philemonjonikenyato2919 4 жыл бұрын
Blue hata akipewa beat la taarab anatambaa nayo, fundi sana
@russia1253
@russia1253 5 жыл бұрын
Tano za nguvu ziende kwao kazi nzuri 👍
@wasajo
@wasajo 4 жыл бұрын
Mungu akulaze mahali pema meja kunta.... Uliweza kunishawishi nikazipenda nyimbo za singeli lkn umeondoka mapema sana bro
@hatibuhamisi2476
@hatibuhamisi2476 5 жыл бұрын
safi sana naona hii umejua kutofautisha R na L
@iddyabbas867
@iddyabbas867 5 жыл бұрын
Ngoma kali kinyama 👏🏿👏🏿
@bahatiernest1661
@bahatiernest1661 4 жыл бұрын
Dah hatari sana hii ngoma🔥🔥🔥
@sharifajanqabari4731
@sharifajanqabari4731 5 жыл бұрын
Makin🔥🔥🔥
@innoallex9799
@innoallex9799 4 жыл бұрын
Duuu hii nyimbo skuu zotee hizii hana hara views 1m😁😁
@shaibuhaytham709
@shaibuhaytham709 5 жыл бұрын
Babilon mnyamaaaaaaaaaaaaa salute mpaka kwa dada zao
@asamunique5174
@asamunique5174 4 жыл бұрын
Napenda sana saut ya meja na hlo biti lake
@somoesameer5667
@somoesameer5667 5 жыл бұрын
Noma sana jmn mpk raha kaza kaka upo vizur
@hadijanoro5547
@hadijanoro5547 4 жыл бұрын
Mr blue kaua kabisa👍
@wahidymrosso7600
@wahidymrosso7600 5 жыл бұрын
Angeanza meja afu kafuata blue ingekuwa Kali san
@isseekjuma7311
@isseekjuma7311 4 жыл бұрын
Haaaaaaa mweny akiisikia hii ngoma mweli una sis mka gonga like
@naomicampbell123
@naomicampbell123 4 жыл бұрын
Kama umeipenda hii nyimbo kwa xababu ya Mr blue gonga like tujuan
@rumibarton2359
@rumibarton2359 5 жыл бұрын
Baharia kaenda ukweni na kipensi asa itakuaje
@mnomahboybright4743
@mnomahboybright4743 5 жыл бұрын
rumi Barton yaani hawezi kupata mke kwa haliiyo 😂😂😂
@habibumtepa6406
@habibumtepa6406 5 жыл бұрын
rumi Barton sio mchz Ila hakuna namna
@swedisson6097
@swedisson6097 5 жыл бұрын
Hahahah
@eyshermohammed2236
@eyshermohammed2236 4 жыл бұрын
Unadhani muhuni anajali kashavurugwa na mapenz apo aelew 🤗
@aishaismail8704
@aishaismail8704 4 жыл бұрын
😃kavurugwa
@mchiadarsizm1052
@mchiadarsizm1052 5 жыл бұрын
💥💥💥wewe Mamuuuu
@sadamissa5687
@sadamissa5687 4 жыл бұрын
Huyu dogo fundi sana kakutana fundi mkuu blue ajawahi kukosea
@kazauram2ku265
@kazauram2ku265 5 жыл бұрын
Apa kuna kuku watasema mr brue kafulia
@ottomantunechil7346
@ottomantunechil7346 4 жыл бұрын
Kkkkkkkkk
@christinahandson596
@christinahandson596 4 жыл бұрын
Meja handsome saana iaseee nimekupenda bure kabisa
@zakyahya4645
@zakyahya4645 4 жыл бұрын
Mr blue nakupenda nakuelewa kinyamweziiiiii
@mhanjegodfrey8288
@mhanjegodfrey8288 4 жыл бұрын
Kama umeona mr blu fundi gonga like zakutosha
@fubanjenjele521
@fubanjenjele521 5 жыл бұрын
Dogo umefanya poa, producer kaua, Babylon bussy kaharibu mbaya
@monalisahassan2951
@monalisahassan2951 2 жыл бұрын
Nimeiona kazi zuri sana
@jumannemfaume
@jumannemfaume 5 жыл бұрын
Hii ndo singeli kaliii zaidi kuliko zoote
@celinakulwa9811
@celinakulwa9811 4 жыл бұрын
Nakupenda aswaa sautiii yakoo
@africaonetv5462
@africaonetv5462 5 жыл бұрын
Blue katambaa na bit aisee
@welcome-qk6ps
@welcome-qk6ps 3 жыл бұрын
Duh swafii Meja Kunta from Oman
@vitalesgalus8004
@vitalesgalus8004 5 жыл бұрын
babilron wewe ni motto tena motto hatari sana tumepokea kaka
@armandoleonardo3643
@armandoleonardo3643 5 жыл бұрын
Mr Blue de facto vc ë legend mesmo nao ha como moz🇲🇿🇲🇿saluty
@aishaabdj8913
@aishaabdj8913 4 жыл бұрын
Kitu cha mamu kimetulia mbaya
@ahjucekim5138
@ahjucekim5138 5 жыл бұрын
Baisa we ni noooouuuuuma bro.
@udahtlikemine9979
@udahtlikemine9979 5 жыл бұрын
Aloooo weeee😘😘😘
@mudytelela2162
@mudytelela2162 5 жыл бұрын
Poa kazuri mzuri Rimix
@tatudijah6773
@tatudijah6773 4 жыл бұрын
kwenye vigodoro huku kwetu hii singeri watu wanajiachia kinyama😂😂 hasa ukimkuta d.j anaechanganya mambo
@abdallahnasolo7693
@abdallahnasolo7693 4 жыл бұрын
Meja anaweza sana
@shrantzabuabaass2418
@shrantzabuabaass2418 5 жыл бұрын
meja noma nakukubali sana
@michaelmwaluko4293
@michaelmwaluko4293 5 жыл бұрын
hakika babelon kauwa ety meja twende kaz
@rozamgimba1861
@rozamgimba1861 5 жыл бұрын
Me singeli sizielewagi hataaa lakin hii nimeisoma na naisikiliza marakwa Mara
@faraolion6822
@faraolion6822 5 жыл бұрын
Safiiii meja
@irenesimon471
@irenesimon471 Жыл бұрын
Meja kafariki linii
@angelmwandata2233
@angelmwandata2233 4 жыл бұрын
Meja kunta umeifanya niipende singeli
@mkuryat8991
@mkuryat8991 2 жыл бұрын
Noma xana
@balozibalozi5257
@balozibalozi5257 5 жыл бұрын
Kama Gigy kakuletaa huku gonga like
@sharonhumfrey4714
@sharonhumfrey4714 5 жыл бұрын
Kama ulijua
@flavianaaloyce3598
@flavianaaloyce3598 10 ай бұрын
Kwani meja junta amefariki😮😊
@haibasalehe3568
@haibasalehe3568 5 жыл бұрын
Nikajua niko wakwanza Kweli jiko limenuna 😂😂
@feyzalyusuph14
@feyzalyusuph14 4 жыл бұрын
Dah pumzika unapostahili bro ...wimbo wa MAMU ulinifanya nisikilize singeli
@hamisijuma2539
@hamisijuma2539 5 жыл бұрын
Meja we atar nakubar
@moudyhamisi2205
@moudyhamisi2205 4 жыл бұрын
Meja wewe noma xana
@benedictmahundi1042
@benedictmahundi1042 4 жыл бұрын
Jamani namkubali sana
@robertevarist1595
@robertevarist1595 5 жыл бұрын
Byser hajawahi kosea kwenye kolabo yoyote ile
@erickjoe9908
@erickjoe9908 4 жыл бұрын
Rip Bro Utabaki milele ktk mioyo yetu meja kunta
@angelalfred8128
@angelalfred8128 4 жыл бұрын
Blue na meja on fire mmeua
@benardphotboyomonditv1855
@benardphotboyomonditv1855 4 жыл бұрын
Kazi zuri kwa wasanii wetu. Tuwape supporting yetu yote ⏬⏬⏬⏬🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯
@iddyabdallah3286
@iddyabdallah3286 5 жыл бұрын
wayaaaah!!iko nice sana aisee
@frankmpanda7394
@frankmpanda7394 4 жыл бұрын
Bluuuu ni noma tz 2020
@harunajobiso3879
@harunajobiso3879 5 жыл бұрын
Umetisha sana senger hiiklii kama umekubar gonga like
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 4 жыл бұрын
Hatar sana❤️👌
@marryriwa2435
@marryriwa2435 4 жыл бұрын
Vua nioneeeeee
@petermsechu1519
@petermsechu1519 3 жыл бұрын
Ngoma Nzr
Salama Na MR BLUE SE6 EP69 KHERI PART 1 SendTip MPESA LIPA NO 5578460
25:09
Meja Kunta - Naumia Moyo (Official Video)
4:58
Makerz Gang
Рет қаралды 742 М.
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 38 МЛН
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 52 МЛН
From Small To Giant Pop Corn #katebrush #funny #shorts
00:17
Kate Brush
Рет қаралды 72 МЛН
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 21 МЛН
MEJA KUNTA - SHORI (Official Video)
4:56
Makerz Gang
Рет қаралды 605 М.
Young Daresalama ft Abbah - Gari Yangu Remix (OFFICIAL VIDEO)
3:11
Young Daresalama
Рет қаралды 1,1 МЛН
MAIMA - NUNDU WA NGITAA (OFFICIAL AUDIO)
9:14
Official Maima Music
Рет қаралды 54 М.
Meja  Kunta - MAMU (Official Video)
6:12
Meja Kunta
Рет қаралды 3,3 МЛН
Malkia Karen X Meja Kunta - Sina (Official Music Video)
4:59
Malkia Karen
Рет қаралды 2 МЛН
Whozu x Director shaibu - Buku Remix (Official Music Video)
3:30
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 38 МЛН