Kilio bei ndo iyo meja ukinuna watachukua wenzio😘😘🔥🔥🔥✌
@streetgenious45114 жыл бұрын
all the best Broo pambana tupo nyuma yako kkusupport
@garydenoh15323 жыл бұрын
meja kunta mziki wako tamu day!!!
@mathewmorris37004 жыл бұрын
Neo-singeli...... Safi sana meja watelewa tuuuuuuu....mesen una balaa mzee....watu wanaacha kula huku hapo mwishon........
@luckymastory72694 жыл бұрын
Kama Unamkubali Meja Kunta Na Unaamini Atafika Mbali Naomba Like Yako Hapa
@chidychipedy54914 жыл бұрын
Jubal cn
@yasiniissa14134 жыл бұрын
Noma
@mayassaabdull32574 жыл бұрын
Noma
@MasterKiller-xg4hd Жыл бұрын
Kinoma
@athumanfatah37734 жыл бұрын
Dah mwamba umekuja kufanya mapinduzi kwenye game la mziki WA singel
@abousma-rt6314 жыл бұрын
Nasema ivi meja kunta anaimba sweetSingeli mziki wake autumii nguvu Big Up
@legendofxxxtentacion68794 жыл бұрын
ooooh Ni baraaaaaa
@nyunyaplatnumz47664 жыл бұрын
Safi sana Baaria
@shabanimkali51234 жыл бұрын
Daaàaa umetishaaa mzeeee
@neemamoshi14294 жыл бұрын
Siamin kama sitakuona tena ukiimba meja nabaki nalia tuh pole kwa ndugu jamaa na marafiki pamoja na mashabik kwa ujumla mungu akulaze mahali pema peponi
@jumajumajuma15924 жыл бұрын
Bado hajafa meja kunta
@danielkaristo16974 жыл бұрын
Uyu meja ni shida fundi la mafundi tukaeni umo ngoma ya moto 🔥🔥🔥🔥
@ruqswanamohammed14303 жыл бұрын
Mamb ni
@khalmandrojr.55374 жыл бұрын
RIP 🙏😢 umeondoka ukiwa bado kijana mdogo sana! Vijana tuna cha kujifunza hapa tusimsahau Mungu, kwani siku na saa hijulikani, Tujiandae kwa kesho yetu. Maana ipo complicated sana! 🙏🙏🙏🙏
@mariajemutai29684 жыл бұрын
Hajakufa bad ilikuwa uongo
@talindunya32154 жыл бұрын
king of singer in tz tia like kama 2po p1
@kizazijeuri52864 жыл бұрын
BIG UP MEJA KUNTA FUNDI LIKE KAMA UNAMKUBALI MEJA
@thebwishalove4 жыл бұрын
Kizazi Jeuri kzbin.info/www/bejne/on-ooZ1rat1lpZo
@saidizidadu94813 жыл бұрын
Hatari sana uyu jamsa
@mosendababumansigiria86214 жыл бұрын
Meja Kunta japo natoka Kenya ila nakutabiria makubwa🙏
@mustaphanandala52114 жыл бұрын
Ngoma Kali sn namkubal sana do go meja kunta
@jameshermanmlambo22614 жыл бұрын
Mensen selecta umejua kwenda na Meja kunta kweli ww n producer Bonge la hit like Ming kwa Meja kunta fire🎶🎶
@salumabdallah36532 жыл бұрын
Upo vizuri sana ngoma naiyelewaga xana 2
@stanastana31992 жыл бұрын
my first time to listen to sengeli truck,dude is 🔥🔥🔥
@gamatv22494 жыл бұрын
Kama Unamuona Dogo Meja Hatari fire Nipe like nyingi Kumuwish
@jumaungando65824 жыл бұрын
poa sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, haya ndo mapinduz ya cngel unakuwa smart
@martinezthomas38094 жыл бұрын
Kama unamkubali meja kunta usipite bila kugonga like yako""""
@asilaali84744 жыл бұрын
Sichoki kuangalia na kuiskiliza hii nyimbo imenigusa sana🙁🙁
@rukiaiddyyahaya95064 жыл бұрын
Oyooo nachangia ya miguu kama na Songa ugali kwa miguu umetisha sana
@alexgerlad45854 жыл бұрын
Mamaeeee wakopi ty aina shida Team meja power
@hamisilihula47804 жыл бұрын
Ila ujumbe tofauti
@princemadee28443 жыл бұрын
Jamaa yuko vzr aisee👊
@younglegend77924 жыл бұрын
Goma ad kesho nakubali aisee ngoma tamu sn
@boniphacerashidy17734 жыл бұрын
Meja unenifanya niskiriz sengeri nyumban kwang mbak watu wanashangaa nimeanz lin :Mamy :Shori hay ban mm nimekua shabikiako fron now mzee
@godfreybenedicto35774 жыл бұрын
Kweli bro##yani hata mimi mkuu
@mwamwalatv58984 жыл бұрын
Good😅😅😅
@ukhutfatumah11544 жыл бұрын
Ebhana ehee ngoma limetulia sana meja uko.vizul
@deedzomper38764 жыл бұрын
Jaman et meja kafa kwa ajali et🙏🙏 eeh mung mlaze mahal pema pepo
@robysonimethodhrobysoni87994 жыл бұрын
Duh asee huyu jamaa ni kwere,, gonga like twende sawa...
@peacemakombo83094 жыл бұрын
oyaaaa kama unakubal meja kunta anaupeleka mziki wa singeli kimataifa gonga like apaaa tujuaneee
@nayfatysuleiman50184 жыл бұрын
Yan huyu jamaa anawez san km unampend meja ma ngoma zake gong like👍
@saphiaabdallah47444 жыл бұрын
Kilio bei ndo iyo meja ukiuna,watachukua wenzio,mmmmmh hatareee❤