Whozu x Director shaibu - Buku Remix (Official Music Video)

  Рет қаралды 1,617,246

Whozu

Whozu

Күн бұрын

Пікірлер: 867
@HamiduChamboko
@HamiduChamboko 4 жыл бұрын
Director shaibu wa Bongo Hoodz.@respect kwako kaka
@simonseyongwe
@simonseyongwe 4 жыл бұрын
Video Kali sema ina watoto wengi alafu aiendani na watoto wadogo kua apo maana Amna cha maana wanachojifunza Kwa umri wao
@clotildae
@clotildae 4 жыл бұрын
kweli kabisaaaaaaaa
@saidiharuna418
@saidiharuna418 4 жыл бұрын
Ningekua mwalim wa kiswahil ningekupa A kwa kuhakiki
@muhamedsaid3718
@muhamedsaid3718 4 жыл бұрын
Umeongea point
@eidyvanny
@eidyvanny 4 жыл бұрын
Watching from Kenya ....mbogiii nzima toka Kenya likes are to be dropped here
@evaaron6568
@evaaron6568 4 жыл бұрын
Wcd
@patoaddo7643
@patoaddo7643 4 жыл бұрын
Aiseee huu ni mdundo safi sana.... VIPI BBOOSS
@enoskafuko3614
@enoskafuko3614 4 жыл бұрын
Makin mkali umetisha
@yirgayemyirgah7820
@yirgayemyirgah7820 4 жыл бұрын
Aya tunaondoka aya twendeee daaaaaah enzi za mchaka mchaka hizo
@ChrisdDusen
@ChrisdDusen 4 жыл бұрын
Ahhh kameisha 😊😊 Maadili yetu iiiiih...Wozu: Yes. Like za Wozu jaman
@kimutattoo4067
@kimutattoo4067 4 жыл бұрын
KidEo cha Kwenda kabisa Ningekutunza MZazi #Director Shaibu ila BUKU sina....
@ezraezerioonthego1925
@ezraezerioonthego1925 4 жыл бұрын
Wow very nice song 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ....mkenya nimeikubali ....I have to share this
@chiefgeneral6246
@chiefgeneral6246 4 жыл бұрын
Matango mataaango weee ni nyanya 👊👊👊 hii ni kwa sababu tu mzik hauna mwenyew
@nanaiaugustine916
@nanaiaugustine916 4 жыл бұрын
aisee nimechoka sana leo..... videos' Litt!!!!
@nasrajuma7681
@nasrajuma7681 4 жыл бұрын
Daaah nzur hy whozu
@donme9308
@donme9308 4 жыл бұрын
Anaitwa bwana whozuuu mzee wa kunogesha
@pkoechronoh6311
@pkoechronoh6311 4 жыл бұрын
Whozu huendi mbinguni 😁😁👏👏👏
@didahshee1877
@didahshee1877 4 жыл бұрын
Jamani leo kwetuuuuu two much money 🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️
@40kstore
@40kstore 4 жыл бұрын
ubunifu huwa una nguvu kuliko hata ujumbe,ngoma kali
@Island_Boyy
@Island_Boyy 4 жыл бұрын
Mungu anawalaani na hii tabia ya kupoteza watoto njia. Munaharibu jamiiii
@munadlebobo5234
@munadlebobo5234 4 жыл бұрын
Vipi boss...niaje mshua ..hauna buku hapo....(sina)
@IlhaamMarshed
@IlhaamMarshed 4 жыл бұрын
Mwanaidi Kassim kwa Mapishi matamu kzbin.info/www/bejne/qHy6ZIh9ir6CbpI naomba subscribe tafadhali
@munadlebobo5234
@munadlebobo5234 4 жыл бұрын
@@IlhaamMarshed ushapa one subscribe
@mudriqfamous
@mudriqfamous 4 жыл бұрын
Daah hao vyura balaaaaaaa🔥🔥🔥
@Rashidi-vi7hh
@Rashidi-vi7hh 8 ай бұрын
Wako wapi wa 2024 like ❤🎉
@dreambeesafricalimited4831
@dreambeesafricalimited4831 4 жыл бұрын
Hizi nyimbo zinakufaa 100%
@atikombogolo2356
@atikombogolo2356 4 жыл бұрын
Mwenye Buku Mazee,, Jero hata 200 itakua poa
@kareemally6634
@kareemally6634 4 жыл бұрын
Weeeeeeuwweeeee kisingeli kitamuuuuu😝😜
@countrywizzkid6129
@countrywizzkid6129 4 жыл бұрын
Hatujanyooka anko magu whozu elfu moja bado hanaiyita buku na miatano jero Too much money ✔️
@albaswalually2172
@albaswalually2172 4 жыл бұрын
Whozu..... umetuhalibia nyimbo yetu.... bado kiitikio hujakitendea haki.......
@kimlorahkimlorah
@kimlorahkimlorah 4 жыл бұрын
Aaaghaaaaaa mwendo wa vyura tuu kubinjuka
@GoldenFirdausMedia
@GoldenFirdausMedia 4 жыл бұрын
Njoo upate miski ya roho Naimani utaelimika Njoo utazame kaswaida na kazi zetu Bora zenye kuelimisha
@johnmnyama8968
@johnmnyama8968 4 жыл бұрын
Wale waliona watoto wakishangaaa mikario ya wadada like
@bakarimkwepu2521
@bakarimkwepu2521 4 жыл бұрын
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣
@lastborn8271
@lastborn8271 4 жыл бұрын
Aaaaw iteeni wazima moto 🚒 🚒 I love this human being.... Nipeeni like Kama mnamkubali whozu
@hizamwaimu3711
@hizamwaimu3711 4 жыл бұрын
aaaah mtani wangu mchaga umetushinda hadi cc wasambaa umetisha
@jumaissa534
@jumaissa534 4 жыл бұрын
Wametisha kwakweri buku inanguvu kinoma miuno peni Mimi nawapa buku kumi kwa hii ngoma wanangu wa simba piga kerereeeeeeeeeee sema simba oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee
@mosamossile9113
@mosamossile9113 4 жыл бұрын
Apo bhana uyo jamaa wa midevu uwa namuelewa sanaa, wazee wa bongo hoods, kitambo nilikuatananae sinza Big born mwaka jana Tanzania iyo LA CHAZY PUB dah big up kwako one day tutaonana
@saidiharuna418
@saidiharuna418 4 жыл бұрын
Nyimbo mzur kafeli kwenye hadhira nyimbo za kikubwa waangaliaji watoto
@edwinkimuyu9656
@edwinkimuyu9656 3 жыл бұрын
Ati mbaka nikupoati ndio ujue nakupenda 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@sophiabakar84
@sophiabakar84 2 жыл бұрын
Aya twendeeeee 🥰🥰
@fazymonster6490
@fazymonster6490 4 жыл бұрын
Jamaa leo nimewah mm naomben like zangu comment.
@lincolnirungu5153
@lincolnirungu5153 4 жыл бұрын
Hahaaa
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 4 жыл бұрын
Kilichomkuta Soud Brown SHILAWADU tizama kzbin.info/www/bejne/gKSkk4h7eqqomtE
@Levinchaser
@Levinchaser 4 жыл бұрын
Worry out
@fazymonster6490
@fazymonster6490 4 жыл бұрын
Pamoja familia nzima
@fazymonster6490
@fazymonster6490 4 жыл бұрын
@@lincolnirungu5153 😂
@rashlight2597
@rashlight2597 4 жыл бұрын
Vipi boss niaje mshua hauna buku hapo sinaaaaa.. hatar
@neemalukombe2571
@neemalukombe2571 4 жыл бұрын
Vipi boss niaje mshua hauna buku apo jero je
@jumambarouk
@jumambarouk 4 жыл бұрын
Wakwanza leo .una buku apoooooh
@travelhotographydongge
@travelhotographydongge 3 жыл бұрын
Kaķa shaibu kumbe mcharu ivi ...matango matanngo ni nyanyaah
@winifrida8830
@winifrida8830 2 жыл бұрын
Matango matango ni nyanyaaa...... hahahahahah😂😂😂😂
@lucaselisha9936
@lucaselisha9936 4 жыл бұрын
Waaaauuuuuniiiiiiii nipeni liiikeeeeeeeeeeeeeee kama zoteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeereeeeerre
@abilahihasani7832
@abilahihasani7832 4 жыл бұрын
Whozuuuuuu, mzee robot. Kama kawaida jembe langu la chuma we lima tu.
@sadamramadhan2754
@sadamramadhan2754 4 жыл бұрын
Daaaaaaa !!!! Ngoma ni kaleeee, kinyama .... Angemshilikisha Kitare hapo ngoma ingekua poa sana.
@pendezammbumba8033
@pendezammbumba8033 3 жыл бұрын
Ihi fireeeeee kali kabisa
@allyseba172
@allyseba172 4 жыл бұрын
Daah nimeichek zaid ya mara 10...#haunabukuhapo
@ironboy6764
@ironboy6764 4 жыл бұрын
Jaman mtoto huyo ...... Kavua jinsi kavaa Dera alolewa hyo verse tia like hap
@pegpeg4065
@pegpeg4065 4 жыл бұрын
Hao wadada Wanalipwa sh.ngapi kucheza hivyo. Na aibu zishakata.
@abbaskhamis9655
@abbaskhamis9655 4 жыл бұрын
Bwanaaaaa eeeeeeeeegh ndiyo hivyoo tenaaaatujuanee hapaaaaa wananzengoooooo
@djmwas
@djmwas 4 жыл бұрын
kavua jeans kavaa dera TOTO UYOO 💥💥💥💥💥💥 IS LIIIITTTT
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 4 жыл бұрын
Kilichomkuta Soud Brown SHILAWADU tizama kzbin.info/www/bejne/gKSkk4h7eqqomtE
@ankiz_me9999
@ankiz_me9999 4 жыл бұрын
mpen pol
@seniortz4582
@seniortz4582 4 жыл бұрын
Hio idea sio ya kuiacha ipoteee man keep it on
@mchachamakh6489
@mchachamakh6489 4 жыл бұрын
Daaaah ilaa dar kuna mademuu sura ngumuu ilaa takoo baba hatariii😋😋😋😋😋
@edwinelias8554
@edwinelias8554 3 жыл бұрын
Matango matango ni nyanyaa Km umegundua jamaa ana udevuu km wa roma like hapa
@alainmossi6825
@alainmossi6825 4 жыл бұрын
Yani mzik wang 100℅ 😍😍😍😍
@mkasijuma8970
@mkasijuma8970 4 жыл бұрын
Twendeeeeeee nalo Buku💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃👏👏👏👏😂
@papaesco156
@papaesco156 4 жыл бұрын
😃😃😃😃whozu ameamua atoe singeli nae#kwioooo
@nicokamily1749
@nicokamily1749 4 жыл бұрын
huyu @directorShaibu ni mkali sana sema haja tambulika
@mrbakarmrbakar7855
@mrbakarmrbakar7855 4 жыл бұрын
whozu umeua apoo wew piga shangwa whozu akeeee akeee too much money
@daudashery4992
@daudashery4992 4 жыл бұрын
Duuu huyu jamaa fundi kweli
@eddovanny2554
@eddovanny2554 4 жыл бұрын
Noma na Nusu 🙌😁😁Watu wameona Mziiki wa singeli unacheleweshwa Ndo maan now days wanaanza kuufanyia kweli
@simbasimbafromkimanga9463
@simbasimbafromkimanga9463 4 жыл бұрын
Wwwwwww whozu mungu anakuona
@midopestjr5297
@midopestjr5297 4 жыл бұрын
Whozuuu umeuwaaaa ety Aya tunaondokaaa...
@petersimon2115
@petersimon2115 4 жыл бұрын
Director shaibu umefanya la maana sana hapa ngoma hii itasmbua town
@ramcymosungu4700
@ramcymosungu4700 4 жыл бұрын
Hapa tumemkosa mkali wenu na mzeee senga wangeuwaaaaa sanaaaa
@IfireKe
@IfireKe 4 жыл бұрын
😂😂Whozu style yako kaliii! Pokea mapenzi kutoka 254🇰🇪
@ramadhaniomarishauri9905
@ramadhaniomarishauri9905 4 жыл бұрын
BASATA FUNGIA HII NYIMBO ni hatareee..
@jamesmichael8190
@jamesmichael8190 4 жыл бұрын
Mziki wakileo, hupati fans kwa halihiii mtasema kunawasanii wakubwawanabania wenzao kumbe unajibana mwenyew
@officialsalim3955
@officialsalim3955 4 жыл бұрын
Video la kizamani bhana.. Tupa kule!
@crucialdavis8416
@crucialdavis8416 4 жыл бұрын
Idea ya kipekee kutoka kwa goma lenyewe ad vidaa yake. Wanangu mumeua aiseee. Hongereni sana.
@totmohammed6430
@totmohammed6430 4 жыл бұрын
Hiiii nyimbo mwanzo mpk mwisho nimechoka tu😄😄😄😄😄
@erickzephania1030
@erickzephania1030 4 жыл бұрын
Ngoma kali ila vyura mbele ya watoto ndio kaharibu
@issankoweboy803
@issankoweboy803 4 жыл бұрын
Akia ya mungu huyu whozu bhn ana vituko
@sofphiahabely1210
@sofphiahabely1210 4 жыл бұрын
Wallah sijaona walicho imba labda kama napata zambi like kama tupo pamoja
@tushabefelician8075
@tushabefelician8075 4 жыл бұрын
Sofphia Habely Ukweli hauko peke yako 😂😂😂tuko wote wamezinguaa sijui studio ya Nani hiiii 😂😂😂
@campbellwizzy1215
@campbellwizzy1215 4 жыл бұрын
Kabisa Yani fyongo kwishaaa 😬😬😬😬
@sofphiahabely1210
@sofphiahabely1210 4 жыл бұрын
@@tushabefelician8075 hahahaha umeona enh
@twangalatz4070
@twangalatz4070 4 жыл бұрын
Inaitwa cartoon songs Aina hii ya music uwezi kuielewa km unapenda vitu serious
@ismailkatala4792
@ismailkatala4792 4 жыл бұрын
@@twangalatz4070 😁😁😁😁
@jumaimani8294
@jumaimani8294 4 жыл бұрын
MZeee wewew nakuelewa sana unajua sana
@superherotv1750
@superherotv1750 4 жыл бұрын
Kabit kame2lia star Dah wacha weee ,,,,awo madem sasa
@carlsonhunter620
@carlsonhunter620 4 жыл бұрын
Daaaah imetulia sana
@azizacleny8677
@azizacleny8677 4 жыл бұрын
Vip boss niaje whozu unabuku hapo
@pedehking4090
@pedehking4090 4 жыл бұрын
n mwendo wa chenja tu... ayah tunaondokaa
@omaryngokwe61
@omaryngokwe61 4 жыл бұрын
Vipi boss niaje mshua auna buku apo n balaa.
@officialsule9603
@officialsule9603 4 жыл бұрын
Whozu unajuwah mpka unakela broo piga kazi
@Dougie_machine004
@Dougie_machine004 4 жыл бұрын
Mume tu amulia naona salut wakuu🙌
@salehsaid7964
@salehsaid7964 4 жыл бұрын
kazi kazi mzeee mbaba
@justinendaki4158
@justinendaki4158 4 жыл бұрын
hii nyimbo kali sana angefanya remix na mondi ingepaa majuu kama yope
@allisonmadii7620
@allisonmadii7620 4 жыл бұрын
Jamaa awe comedian tyu huenda atatusua effective..coz watanzania nyimbo Kama hizi tunatakaga moja tu.. Akitoa nyingine "We loose u away from our mind"
@boyjopar8717
@boyjopar8717 4 жыл бұрын
Whozu umeharibu Ngoma tu kaka
@djosel
@djosel 4 жыл бұрын
Hatari bro🔥
@ismailngulinga2188
@ismailngulinga2188 3 жыл бұрын
Freshi mwanangu whozu
@vincegelas
@vincegelas 4 жыл бұрын
Jamanii Wa pasiansii tujuaneeee Komweko mbwekoo oo Hahahahha hatari xn
@twahakassimtk4313
@twahakassimtk4313 4 жыл бұрын
Haya Tunaondoka...🏃🏻🏃🏻🏃🏻
@lutulalihim1585
@lutulalihim1585 4 жыл бұрын
Mama zetu wana zalilishwa kila kukicha samani ya Mwanamke imetoweka bibi yangu alikuwa na medhali akisema" Dunia imefulama Watakao baki wataona uchi wake " Naam ..... kuishi kwigi hutauona uchi ya chawa.
@cecymaro1374
@cecymaro1374 4 жыл бұрын
Hatarii broodaaa whoz
@campbellwizzy1215
@campbellwizzy1215 4 жыл бұрын
Mmmh katika kazi zako zote hi whozu fyongo
@khaashfarfarid4221
@khaashfarfarid4221 4 жыл бұрын
Wanacheza mbele ya watt Sasa mnawafundisha nn jaman angalie bac 😏mm hata sjapenda
@jerrystephen2489
@jerrystephen2489 4 жыл бұрын
Matako matako eeeh matako matakooo ni nyanyaaa
@allyabdallah692
@allyabdallah692 4 жыл бұрын
Yaan hii remix imenifanya nkaangalie oG ikoje sema hii kali sana
@Sean1877
@Sean1877 4 жыл бұрын
Sengeli next level🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💥💥💥
@blessedtillah
@blessedtillah 4 жыл бұрын
Wanangu wa depooo watakuaa wanaelewaaa chenjaaaa😂😂😂 Aleeee tunaondokaaaaaaa Ayaaaa twendeeee😂 #maliwa 832kj🔥
@nicasbilegeya5969
@nicasbilegeya5969 4 жыл бұрын
Blessed Tillah ulikua jeshi la kimama 😂😂😂
@blessedtillah
@blessedtillah 4 жыл бұрын
@@nicasbilegeya5969 ni wivu tu😒😒
@raphaelfrank3113
@raphaelfrank3113 4 жыл бұрын
😄
@emmabrown1659
@emmabrown1659 4 жыл бұрын
Blessed Tillah phase 2
@barakakhemedi1250
@barakakhemedi1250 4 жыл бұрын
Dogo katuchsnga hapo
@chakuboyofficial9720
@chakuboyofficial9720 4 жыл бұрын
Kama kunanyimbo ina chekesha hihi 😀😀😀😀 niya Kwanza .tango .tikiti 😁😁😁😁😂😂😀 Kama na Wewe ina kufahisha Gona like
@brightamani2488
@brightamani2488 4 жыл бұрын
Hio haya tunaondoka,umenikumbusha jkt sio poa
@naynavitalis262
@naynavitalis262 4 жыл бұрын
Kama ndo hivi namimi ntakua msanii daaah
Whozu - ROBOTI (Official Music Video)
3:08
Whozu
Рет қаралды 1,8 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
Misso Misondo - Tera Ghata (Official Music Video)
3:52
Misso Misondo
Рет қаралды 2,8 МЛН
Whozu ft Marioo - VAVAYO (Official Video)
4:42
Whozu
Рет қаралды 3,1 МЛН
Whozu - Kua Nae [Lyrics Video]
2:51
Whozu
Рет қаралды 75 М.
Zuchu - Antenna (Official Music Video)
4:06
Zuchu
Рет қаралды 5 МЛН
Dj Mushizo x Ibraah Ft Jay Combat Ft Baddest 47 - WIVU Remix ( Official Video )
3:49
Jaivah x Marioo - Buruda (Official Visualizer)
3:48
JAIVAH
Рет қаралды 6 МЛН
Rayvanny Ft Misso Misondo - Kitu Kizito (Official Music Video)
3:41
Meja Kunta Feat D Voice - Madanga ya Mke Wangu (Official  Video)
6:04
WHOZU - Huendi Mbinguni (Official Music Video)
3:13
Whozu
Рет қаралды 2,5 МЛН
Rayvanny ft.Dulla makabila - MISS BUZA (official Video)
6:01
Rayvanny
Рет қаралды 13 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН