Siku 30 za nusu KIFO kwenye Maficho Melini, kama KOMANDO avuka Nyaya za umeme MPAKANI, atupwa JELA

  Рет қаралды 20,465

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web...
Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali

Пікірлер: 41
@rajabotimi2851
@rajabotimi2851 Жыл бұрын
SNS kampuni kubwa, mkifanya mahojiano kila mmoja awe na microphone yake. Bwana mtangazaji mkono utachoka...
@denniskipngetich1842
@denniskipngetich1842 Жыл бұрын
Napenda huyu mjamaaa sana 🇰🇪🇰🇪👏
@emmanueldeogratius3969
@emmanueldeogratius3969 Жыл бұрын
Napenda hizi stori
@mutijimacedrick1622
@mutijimacedrick1622 4 ай бұрын
ponta dor ni mpakani....milkinyencu=1500,,cerveja =bia
@jiiwolf2900
@jiiwolf2900 Жыл бұрын
.True Sailor
@godfreyally-ps3fo
@godfreyally-ps3fo Жыл бұрын
Nakubari esko 💪👍
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw Жыл бұрын
Yeah yes kwa hewa🔥🔥🔥🔥
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Жыл бұрын
BAHARIA LAZIMA UPITIE MAJINI,,SALUTI
@yusuphmtumweni5829
@yusuphmtumweni5829 Жыл бұрын
👏👏💯
@kassimsalum1479
@kassimsalum1479 Жыл бұрын
Cerveja sio soda ni bia from 🇧🇷🇧🇷
@alonewalker991
@alonewalker991 Жыл бұрын
Cerveja hutamkwa Servenha ni bia halisi kama Tusker au Kilimanjaro siyo soda.., Na Mil Quinhento ni Alfu moja na mia tano(1,500mt) ambayo ni sawa sawa na 50,000tsh kwa thamani.
@albertmbwilinge5449
@albertmbwilinge5449 Жыл бұрын
ww ume taja thamani ya sasa, hyo aliyotaja yy ni kpnd hyo miaka mingi ime pita
@mutijimacedrick1622
@mutijimacedrick1622 4 ай бұрын
machangana nikama wa zalamu wa bongo
@Admirah77
@Admirah77 Жыл бұрын
Kilambo mpaka namoto boda inanikumbusha mbali sana ngoja nikusanye story kwanza
@rossarutasha9391
@rossarutasha9391 Жыл бұрын
Osca mwanangu unajitahidi kazi ngumu na stori za hatari jichunge na microphoni moja haifai bado mtoto anakuitaji umushike na mkono mchoko😮
@theoriginals3240
@theoriginals3240 Жыл бұрын
Unachelew3sha show Escow
@ibbyikh1788
@ibbyikh1788 Жыл бұрын
Baria siku 30 kutoka South Africa kwenda Nigeria? Mmm hilo jahazi limekata mawimbi au lilivutwa na tagi?
@jbboy8650
@jbboy8650 Жыл бұрын
Jamaa ni mwongo huwezi kujificha siku 30 alafu umeibuka uko nijeria duuu anglia esko watakuahariba kipindi.
@jovovichmedia9424
@jovovichmedia9424 Жыл бұрын
Au wewe ndio utaharibu kipindi
@Mfundo272
@Mfundo272 Жыл бұрын
Wanaohojiwa wengi hapa ni walioshindwa maisha na wakaamua kwenda ulaya kutafuta maisha, bila ya kulipa nauli 😂😂kwa hio walikuwa wanaondoka na wanaenda kukaa Beach katika nchi tofauti na wakajikuta wanafaanya kazi melini kwa bahati mbaya,? Miaka ya 80 hadi 90 watanzania walikuwa tunaingia Greece bila ya Visa , hivyo mabaharia walikuwa wana ruka direct kwa ndege kwenda kuchukua kazi, by the way mikataba ilikuwa inatumwa na ticket kabla ya safari , hao ndio walikuwa mabaharia seaman wenyewe na wakirudi mikataba ikiisha utawakuta seaview, keays hotel, ushirika club, na wengi wao wamestafu kazi ya ubaharia na wapo kote duniani wanafanya shughuli nyingine, ukitaka taarifa za mabaharia hao nenda Seaman Union kariakoo, au mission to seaman
@nickbrown8350
@nickbrown8350 Жыл бұрын
😂😂😅 nimekubali
@saidsongoro9097
@saidsongoro9097 Жыл бұрын
Ngoja niendele kukusanyia story juu nikija story iwendefu maana safari south Africa 2003 ulaya toka 2006. Nikija likizo tuandae masaa 3.🇫🇮🇫🇮
@herbertygeofrey2724
@herbertygeofrey2724 Жыл бұрын
Kusanya bunda baharia
@alfamgayatv872
@alfamgayatv872 Жыл бұрын
M nahitaji conetion hata yakufagia ulaya
@alfamgayatv872
@alfamgayatv872 11 ай бұрын
Bos
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 Жыл бұрын
Pamoja frome oman🤞
@abdallakhatib3898
@abdallakhatib3898 Жыл бұрын
Esco naomba utaje jina la baharia kwa kizulu maana umefanya nicheke sana alivyokuwa akilitamka
@stanastana3199
@stanastana3199 Жыл бұрын
Wengi SA wanauza unga
@mayaally2512
@mayaally2512 10 ай бұрын
Maisha tu mapambano hata wangeuza mavi
@kingkendrickk
@kingkendrickk Жыл бұрын
Ndani ya qKatembee na escooo
@MustymediaTv
@MustymediaTv 9 ай бұрын
Kwa pale manguzi alikuwa tayari kashatusua sema ndo hivyo wenge la meli tu
@eugeneokoth517
@eugeneokoth517 11 ай бұрын
Ufala uurize kwa undani
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌️.
@mbarakamashuka8246
@mbarakamashuka8246 Жыл бұрын
Chafu moja hiyo mahomie chungueni tandale moja
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 9 ай бұрын
Yaaaaan wengi wao mabaaria elim yao ya dalasa la 4 _7 kidogo MWEGA KAENDA KIDATO CHA KWANZA LAKIN AJIKATAA MWENYEWE AELEWIII SOMO CLASS😅
@yusufally5168
@yusufally5168 Жыл бұрын
Wakwanza Leo.
@rasjamal9854
@rasjamal9854 Жыл бұрын
Muongo akuna baharia aliyekaa chimbo siku 30 na meli 😂😂😂😂😂 huyu gege nyingi baharia wa maskan
@kizengawani5868
@kizengawani5868 Жыл бұрын
Uyo baharia mbona atumwelew mara kwanza alisema b mkubwa wake kafarik akaw anaish na mama wa kambo then baadae karudi bongo kakuta b mkubwa kashafariki 😮 au ndo kaadisiw story afu anajifany baharia
@rossarutasha9391
@rossarutasha9391 Жыл бұрын
Esco pumzisha mkono wako bwana bado uko unatakiwa kubeba mtoto
@jennifersongani2734
@jennifersongani2734 Жыл бұрын
Tukakaa kama next week 😅
@Chemba67
@Chemba67 Жыл бұрын
HUA NAMWITA MZEE WA MPUMELANGA........MDOGO WANGU HUYU.....HAHAHAHAHAHA DAH, ITAKUA BAHARIA MWEGA KASABABISHA......
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 27 МЛН
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 26 МЛН
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 44 МЛН
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 134 МЛН
WALITAKA KUNIUA KUNITUPA KWENYE MAJI | NIMEENDA NCHI 15 KIBAHARIA
38:51
Maximum Tv Online
Рет қаралды 24 М.
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 27 МЛН