SIMULIZI YA KWELI: HIKI KIJIJI NI BALAA

  Рет қаралды 253,322

Ankojay Simulizi

Ankojay Simulizi

Жыл бұрын

Si wajinga waliosema tembea uone na kutembea sana si kuchoka bali kuyajua mengi ya dunia. Mwanzo wa maisha yangu nilikuwa mbishi wa kukubali jambo.

Пікірлер: 392
@arafatyhussein
@arafatyhussein Жыл бұрын
Anko jay haya masimulizi ndo yenyewe 🙌 ukisikiliza usiku HATA kuwasha taa unakua unaogopa 😂
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Dah.. poa poa.. nitazileta kwa sana tu
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 Жыл бұрын
​@@ankojay_zilete sanaa mana zina sisimua zaidi😂❤❤❤❤❤
@mwapendosultan887
@mwapendosultan887 Жыл бұрын
anko mambo yangu aya uku naogopa
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr Жыл бұрын
​@@ankojay_yabidi nimtafute Ally mbetu nimpe yangu ya ukweli kabisa Maana ukiwa hujarogwa huwezi amini uchawi daah
@directozombi69
@directozombi69 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@saidiamisiwilondja3999
@saidiamisiwilondja3999 Жыл бұрын
Mungu awaha😢ibishe wote wachawi wote kwajumla mungu ni mkubwa milele amina
@user-og5ck9ze7g
@user-og5ck9ze7g Ай бұрын
Siku nyemgine andika jina la MUNGU kwa herufi kubwa coz ni jina kubwa kipenzi
@ZombieZombiekille-wf6mo
@ZombieZombiekille-wf6mo 9 ай бұрын
Mashaallah akika mungu nimuweza wayote Ashkuliwe kwakila jambo
@aishahassan-cl2zf
@aishahassan-cl2zf Жыл бұрын
Wapo mafundi wengi lakn kaka Jay wewe ni Zaid ya fundi mahana akuna funzo utakalo toa na mtuy asijifunze am proud of you Uncle JAy good bless Ur💫💫💫💫)))
@DalinaSamweli-ji3fc
@DalinaSamweli-ji3fc Жыл бұрын
So swali anko jay balaaa mungu akupe miaka buku
@saidaibrahim3808
@saidaibrahim3808 Жыл бұрын
Duh😢inahuzunisha na inatisha balaa😭😭Allah awadhalilishe wachawi wote waliotuzunguka amiin🤲
@JosephGama-vg8di
@JosephGama-vg8di 11 ай бұрын
Pole xan
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 9 ай бұрын
Amiin
@user-oi6uu9xh4s
@user-oi6uu9xh4s 11 ай бұрын
Napenda simulizi za kutisha Ila uez Amin Mimi n muoga sana ila kubwa zaid naamin mungu kuliko kitu chochote,cha kushangaza ni bora nickize audio kuliko video yani MIMI NI MUOGA NNAE PENDA VITU VYA KUTISHA 😊😊 shoutout kwa watu wanao tuekea izi audio 🙈
@user-ny2tm3ks1p
@user-ny2tm3ks1p 9 ай бұрын
Pole sana anko kama hauja. Mpokea yesu kuwa mwokozi wa maisha Yako hiyo vita hauta ishida maana anaye weza kukupigani ni mungu peke yake
@graceamran326
@graceamran326 Жыл бұрын
Jamani simlizi hi tamu kwelikweli ngoja niirudie mana mpaka nililala nimeamka bado nakuta haijaisha ila sema nini kaka wewe unasauti nzuri tena yakubembeleza mtu ubarikiwe❤❤❤❤❤
@user-ux7ns3nb9p
@user-ux7ns3nb9p Жыл бұрын
Ubarikiwe kaka jay ziwe nyingi za aina hii ili kuwapa imani ya mungu wenye imani habaaa
@asima411
@asima411 11 ай бұрын
Asante sana nimeanza mwanzo hadi ni mwisho ni simulizi ya kutisha tena ya kuogopesha
@reachelchemtai2604
@reachelchemtai2604 Жыл бұрын
Haa hata mimi sihamini mungu ni Mkuu kuliko wanadumu wote duniani kuokolewa huko ni mungu kwa kweli. Sifa ni zake shatani hameshitwe na kazi zake za kuharimbu watu wa mungu
@user-dy5ni2ol5w
@user-dy5ni2ol5w Жыл бұрын
WA jiandae kwa wote walio jifanya kuwa wao ni miungu watu WA jiandae kwa hiyo siku tutakayo ssimamisshwa mbele ya ALLAH kujibu mashtaka
@qaltumsaid3095
@qaltumsaid3095 8 ай бұрын
Hakika Dunia inamambo mengi😢,mengi ya kuhuzunisha na yakufurahisha,kama wewe ndiyo kwanza unaangalia simlizi hii gonga like ili tuende sawa❤❤❤❤
@BijouxKikwindi
@BijouxKikwindi Жыл бұрын
asatesana anko wangu mungu akubariki sana kwasimulizi zuri yenye mafuzo mazuri akikakunawatu wazuriduniani hasahasa kama Bibi magologo
@malikyashekale8199
@malikyashekale8199 11 ай бұрын
Weee kwa kweli nahemea juu juu kwa mkasa ulio kupata,pole sn, Mwenyezi Mungu aunusuru umma wake
@MtumishiSamwel
@MtumishiSamwel 2 ай бұрын
Ukiwa na mungu ndani yako unayawezo yote yanawezekana unapiga , unafyeka, unaponda, kwa damu ya yesu,,,,,,, sema wachawi,,,,,,, wapigweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kwa damu ya yesu
@annajustin1945
@annajustin1945 Жыл бұрын
Ahsante Sana MUNGU wa Mbinguni..kumbe wachawi ni waoga wa kulipwa kisasi.. Natamani kisasi kiwe Cha MUNGU.
@ruthwaithera2650
@ruthwaithera2650 Жыл бұрын
Waaah.. nimechelewa jana nilikua kwa safari.Saudi arabia niko kwenyu sasa.TENDA WEMA NENDA ZAKO..KIJANA ALIDHANI ANAMSAIDIA BIBI MZEE AKIDHANI HANA UWEZO..KUMBE NDIO ATAKAE KUMWOKOA KATIKS KIFO.lakini inaogopesha
@user-br4hg9tb5c
@user-br4hg9tb5c 11 ай бұрын
Stori yenye msisimko kama hii ndo tunazopendaga bhanaaa 💯👍
@ajabburundi6043
@ajabburundi6043 10 ай бұрын
Simulizi za kusisimua kabisa hongera sana kwa kazi nzuri
@fransiscafransisca3883
@fransiscafransisca3883 Жыл бұрын
Waooohh anko jay mie Leo wa kwanza ngoja nisikilize simulizi nzuri naamini sana kazi yako
@winifridatairo6660
@winifridatairo6660 Жыл бұрын
Aisee sauti hii ni ya moto kweli kweli,,mpaka unahisi anakubembelezaa 🥰🥰🥰
@OnesmoMwipopo-co8dr
@OnesmoMwipopo-co8dr 9 ай бұрын
Kbsa
@graceamran326
@graceamran326 Жыл бұрын
Msemaji kunywa chochote naja kulipa sauti tamu mpaka nasikia kama nachokonolewa sikio nasikia raha mpaka akili inasinzi❤❤❤❤❤
@ankojay_
@ankojay_ 11 ай бұрын
😂😂😂😂
@pendomasanja8380
@pendomasanja8380 8 ай бұрын
😂😂😂
@pendomasanja8380
@pendomasanja8380 8 ай бұрын
Mbwa wewe😂😂
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 Жыл бұрын
Sijachelewa sanaa waaoooh asante anko jay kwa kibao hiki kipya❤❤❤❤❤
@shamilakalinga437
@shamilakalinga437 Жыл бұрын
daaah kwa mala ya kwanza anko umekuja kiutofatuti kabisa hongera sana ❤😊
@user-sv8wt7ft2j
@user-sv8wt7ft2j 11 ай бұрын
Malifa ni ufahamu tujuze said😢
@mohamedathman2619
@mohamedathman2619 8 ай бұрын
Anko jay pole sana babangu ALLAH atawafungulia Dunia na Akhera. AAMEEEEEN
@sukainamusa4651
@sukainamusa4651 Жыл бұрын
Ankojay asante sana kwa simlizi tamu lakini inatisha sana kweli dunia lna mambo
@OnesmoMwipopo-co8dr
@OnesmoMwipopo-co8dr 9 ай бұрын
Tena mengi sana ya kujifunza
@hamisingalaa8269
@hamisingalaa8269 10 ай бұрын
Daah pole sana kaka na sasa umetoboa siri itakuaje na yule mama mzee alie kuokoa baada ya kutoroka ilikuaje hakukufata tena
@user-xu8cq3qu5y
@user-xu8cq3qu5y 9 ай бұрын
Pole sanaa bro aposasa mnafa kujua mungu ni mkubwa na bila mungu kupenda akuna linalowezekana
@jobuumwambelo2341
@jobuumwambelo2341 Жыл бұрын
Asante hapa Pana shulee kubwaa 🙏🙏🙏🙏
@user-kr6lo9vb3v
@user-kr6lo9vb3v Жыл бұрын
Pole sana anko jay nakupenda sana ❤❤❤🎉❤❤❤❤❤❤❤❤
@jacklinekwamboka6245
@jacklinekwamboka6245 Жыл бұрын
Hii fusho limenikumbusa mengi Inatusa nimesoma mawili matatu Asant anko parikiwa❤❤❤❤
@binthassan9191
@binthassan9191 Жыл бұрын
Binadamu tumekosa utu,, imani na huruma hadi unachukua adhabu ambayo ni mungu pekee ndio mwenye kuitoa kwa Binadamu ,,munaifanya nyie ...wachawi mtakufa vifo vibaya sana😢😢
@user-xv2zk9jt4v
@user-xv2zk9jt4v 9 ай бұрын
Duh mwnyzmng tlind na walimwng wabaya inshallah
@user-uq6pb7yh6e
@user-uq6pb7yh6e 7 ай бұрын
Mashaallah allah amuhifadhi dunia kaburini mpka kesho akhera
@user-tn3eo3th4g
@user-tn3eo3th4g 4 ай бұрын
Mw/ mungu kakujaalia saut inanifanya niendelee kkusikiliza
@user-tu4tt4gs8d
@user-tu4tt4gs8d Жыл бұрын
Woooow ni nzur sana na imenifunza sana sana
@kinanaomar
@kinanaomar Жыл бұрын
Much love from United States
@mkasijuma8970
@mkasijuma8970 Жыл бұрын
Shukran sanaa brother Ankojay ubarikiwee Tunaenjoy siku ya leo Eid Mubarak Wapenzii❤❤
@intisarjaffar
@intisarjaffar Жыл бұрын
Haya mambo ni yapo mungu atunusuru na atuhifadh jaman allah humma amern yarrab
@ashaali2853
@ashaali2853 Жыл бұрын
Hii simulizi Jamani inatisha sana mola wangu tunakuomba sana tunusuru na haya majanga
@ashaabdalla924
@ashaabdalla924 Жыл бұрын
Simulizi ya leo imatisha kweli shukran ankoJ ❤❤
@fatimafoaani2263
@fatimafoaani2263 Жыл бұрын
Shukrani zangu za dhati kutoka moyoni mwangu asante sana kwa chakula cha ubongo kunitoa upweke moyoni mwangu good job ubarikiwe sana kaka yetu mzuri mzuri
@masoudmasoud8138
@masoudmasoud8138 11 ай бұрын
Dahhhh simulizi hii nzuri sana sana
@mwanamgenimohammed7904
@mwanamgenimohammed7904 Жыл бұрын
pole sana kwamitihani kweli uchawi upo 😢😢
@marynyamvula5896
@marynyamvula5896 Жыл бұрын
Niko hapa asnte ankojey namtunziwetu alipetu barikiweni saana kwakazi nzuri
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi 3 ай бұрын
Simulizi tamu san. Nimeisikiza usiku nikalala bado naendelea Anko. Moto sana 🇰🇪
@kassimmanaramalika8592
@kassimmanaramalika8592 11 ай бұрын
😅mh!hatari ukisema Mimi nnateseka Na nimeyaona hii imenionyesha kwamba nijuwe Kuna mwenzio ameteseka na ameyaona zaidi hii kiboko Mwenyezi Mungu atunusuru Sisi Na vizazi vyetu Allahumma Amiin Yaa Rabbi
@user-xv2zk9jt4v
@user-xv2zk9jt4v 9 ай бұрын
One day wale wote wabaya nao watatubu kwa mabaya yao inshallah by mm elitesonetz
@user-br4hg9tb5c
@user-br4hg9tb5c 11 ай бұрын
Anko j pole sana kwa matatizo makubwa yaliyo kukuta.... 😢 Siamini mpka sasa niliyoyasikia hata sasa 🙆🏿‍♂️😪
@erastonzogela1405
@erastonzogela1405 8 ай бұрын
Daaaah! Hii hadithi ni balaaa kwakweli.
@puritylobun5313
@puritylobun5313 Жыл бұрын
Ali mbetuu hautucheleweshi Kwa simulizi nzuri kweli kweli
@bakarhamisi6632
@bakarhamisi6632 11 ай бұрын
Nakukubali kila nikisikia unachokisimlia umetisha sana
@user-qr2ww4nl7f
@user-qr2ww4nl7f 9 ай бұрын
Allah akbar kiukwer wachawi hawatoiona pepo yaallah
@taharamohd4853
@taharamohd4853 11 ай бұрын
Da hii simuliz ni mzur sana
@erickdeogratias7718
@erickdeogratias7718 Жыл бұрын
Kaka nimekubar san simuliz ya leo👍🙏🙌🙌
@alexbayingana7879
@alexbayingana7879 Жыл бұрын
This is what we r supposed to be listening not sex stories
@reginahmwanzia927
@reginahmwanzia927 Жыл бұрын
😂😂😂
@user-gj1pw9tq6i
@user-gj1pw9tq6i Жыл бұрын
Mungu mwema jamani ❤❤❤❤
@babyangele3847
@babyangele3847 Жыл бұрын
Mambo Kama haya napenda Sana Ila nitakucha kuamini Kama haya mambo yapo siku ambayo nitajionea Kwa macho, lakini asante Sana ankojay more love from Uganda au nikuje tz nijione huo uchawi😅
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Жыл бұрын
Kuna watu kwenye hii Dunia wanafanya kama yao wengine wapangaji kumbe Dunia ni ya Mungu
@user-sv8wt7ft2j
@user-sv8wt7ft2j 11 ай бұрын
Ni kweli ayo mambo mengine ni imani potofu tumwamini mungu2❤
@OnesmoMwipopo-co8dr
@OnesmoMwipopo-co8dr 9 ай бұрын
Njoo
@user-hz5ge1uc5s
@user-hz5ge1uc5s Жыл бұрын
Hii kweli ni stor tamu sana
@salumadam154
@salumadam154 3 ай бұрын
Hayo unayo simulia Broo niyakwer kabisa asiesmini hayajawahi kumtokea Ila Mimi salut kwako kaka
@user-wq9vs6iq9l
@user-wq9vs6iq9l Жыл бұрын
Simulizi tam sana yenye mafunzo pia.
@aumuelly2909
@aumuelly2909 Жыл бұрын
Mungu niwetu sote
@user-tu9oy3et2s
@user-tu9oy3et2s Жыл бұрын
Much love ❤🎉
@hdhjdh775
@hdhjdh775 9 ай бұрын
Daaah Asante mungu 😢😢❤
@user-kl8fl9fi3l
@user-kl8fl9fi3l 11 ай бұрын
Mungu tulinde
@magrethjohn4929
@magrethjohn4929 Жыл бұрын
Nazipenda simulizi za haina hii coz zinaongeza imani kwa Mungu, plz ziwe nyingi za aina hii ili tujifunze zaid 🙏🙏
@kulthumsaif2856
@kulthumsaif2856 Жыл бұрын
Masha Allah
@halimahassan1930
@halimahassan1930 5 ай бұрын
Ndunia inamambo sana ino mungu atuepushe😢😢😢
@issobeldaniel6051
@issobeldaniel6051 Жыл бұрын
❤️❤️ more like this please🥰
@jastinewilliam4475
@jastinewilliam4475 9 ай бұрын
Jamani na hisi kuogopa sana sijui kama nitasinzia leo ila mwenyezi Mungu yu hai atanilinda
@user-tb8hz9hn8f
@user-tb8hz9hn8f 4 ай бұрын
Atari sanaa
@matibayajumah5327
@matibayajumah5327 19 күн бұрын
Betu unatisha mungu akujarie mwsho mwema katika iduniya
@JaydenKariuki
@JaydenKariuki 7 ай бұрын
Daaah kali sanaa
@user-of9oj7um9u
@user-of9oj7um9u 8 ай бұрын
Nzuri sana anko jey
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 Жыл бұрын
Much love from Qatar
@franciscassian
@franciscassian 8 ай бұрын
Simulizi nzuri 😂😂
@fransiscafransisca3883
@fransiscafransisca3883 Жыл бұрын
Asantee Ally mbetu pamoja na msimulizi wetu mahiri anko jey.we Love you asantee kwa sauti nzuri.
@user-xf6nn8me8t
@user-xf6nn8me8t Жыл бұрын
Honger sana ankoj@y❤❤❤❤
@user-kr3hn4zo1m
@user-kr3hn4zo1m 11 ай бұрын
Barikiwa xana kaka..dah.!duniani kuna mambo makubwa mungu atunusuru kwa kweli😢😢
@OnesmoMwipopo-co8dr
@OnesmoMwipopo-co8dr 9 ай бұрын
Kbsaa
@FrankAudax
@FrankAudax Жыл бұрын
Much love
@marynaomi
@marynaomi Жыл бұрын
Wow safi sana
@user-wq4hh7vp3w
@user-wq4hh7vp3w 10 ай бұрын
Duniaaa tunapitaaaaa htr kk
@ashaali2853
@ashaali2853 Жыл бұрын
Weee kaka mazito haya mola wangu wachawi ni watu wabaya sana mola wangu tunusuru sana
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 11 ай бұрын
Nimeipenda sana hii simulizi, sasa sijui je ni simulizi ya ukweli au ni hadithi? ikiwa kama ni kweli, basi humu duniani kuna mambo ya ajabu sana, na kama ni hadithi basi msimuliaji ana kipaji sana cha usimulizi.
@zaytoona2215
@zaytoona2215 Жыл бұрын
Hyo sauty ya bibi sasa anko Jay 😂😂😂😂❤❤❤❤ nakupenda ♥️ 💖 ❤️
@sophiahassan-kn7ov
@sophiahassan-kn7ov Жыл бұрын
Asante dia, ubarikiwe 😊
@AbduhKareem-hi7sg
@AbduhKareem-hi7sg Жыл бұрын
Hii simulizi nzuri barabara
@user-jk4mh3gm1y
@user-jk4mh3gm1y 9 ай бұрын
Very nice as your story
@aminaolver9114
@aminaolver9114 10 ай бұрын
Yaani hii simulizi nzuri tamu japo inatisha 😂 imenifanya nije sebuleni nitokechumbani lakini sauti ya mwandishi inabembeleza
@ankojay_
@ankojay_ 10 ай бұрын
Enjoy 😊
@RukiyaButoyi-sk5nm
@RukiyaButoyi-sk5nm 9 ай бұрын
Duuuh😢 hakika wacawi Allah awaangamize kabisa nawacukiya kwakweli.
@OnesmoMwipopo-co8dr
@OnesmoMwipopo-co8dr 9 ай бұрын
Kbsaa
@sangajaffar7419
@sangajaffar7419 11 ай бұрын
Stay blessed uncle J
@peshkaris1801
@peshkaris1801 10 ай бұрын
Weh Dunia ina Mambo😢, all my Body is shaking 🥺. What a wicked world we're living in 🇰🇪
@christinaclemence1237
@christinaclemence1237 9 ай бұрын
Amaizing 🤗🤗🔥🔥🙌
@zuenahz5514
@zuenahz5514 Жыл бұрын
Ila uchawi upo jmn 😢😢😢hadi natetemeka
@Pedeshee01
@Pedeshee01 8 ай бұрын
Maskinini ndiyo wamewekeza kwenye vitu hivi 😂😂sisi matajiri haya mambo sisi hatuna muda nao
@user-zp3fs9qt7k
@user-zp3fs9qt7k 5 ай бұрын
Hello ankojay natumai uko salama simulizi ya Lisa ni nzuri sana Kwa ivo nataka sehemu ya 23 Binti Lisa ni special simulizi sana
@PilyAlly
@PilyAlly 25 күн бұрын
Vituuu aise nikiona simulizi ina jina ally mbetu basi lazima nijiandae kisaikolojia maana uyu baba kwa simulizi zy kuogofya yupo vyee saluti mbetu na msimuliaji wetu mwenye sauti ya kipekee ❤sana
@shaklamwai7868
@shaklamwai7868 Жыл бұрын
Ahsante anko jay ❤❤
@ChrysensiachristophaNakitundu
@ChrysensiachristophaNakitundu 7 ай бұрын
Simulizi nzuri
@jumanyassy8062
@jumanyassy8062 Жыл бұрын
Hizi ni miongoni mwa stori zinazowasababishia Vikongwe wa Kanda ya ziwa kudhoofika kwa kutengwa...ni maoni tu....😂😂😂
UTAJIRI CHUMBA CHA MAITI
2:01:44
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 62 М.
NILIVYOSAFIRI NA JINI KUTOA DAR MPAKA MOSHI
1:50:01
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 174 М.
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 8 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 13 МЛН
SIMULIZI YA KUSISIMUA - KAFARA YA NDUGU
2:00:00
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 43 М.
DAH INASIKITISHA - SIMULIZI MPYA YA KUSISIMUA - EH MUNGU NISAMEHE
2:10:01
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 46 М.
THE DEVIL WORSHIPER (SIRI YA FREEMASONs)
1:57:47
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 30 М.
YOMBO KIZIMBANI - KESI YA KUJIFANYA FREEMASON
9:31
Yombo Comedy
Рет қаралды 317 М.
SARA: SIMULIZI FUPI YA KUSISIMUA
1:16:32
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 38 М.
PENZI LA MTOTO WA BOSS 💞 NA DADA WA KAZI  | Love Story
40:44
MAMA YANGU: SIMULIZI FUPI YA SAUTI.
2:16:52
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 8 М.
INASIKITISHA, BINTI ALIEFANYA MAPENZI NA MSUKULE, SIMULIZI YA KWELI.
1:44:05
SURA YA MAREHEMU
2:36:50
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 23 М.
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
0:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 8 МЛН
LEVITATING MAGIC REVEALED 😱😳
0:18
Milaad K
Рет қаралды 30 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
0:42
Аришнев
Рет қаралды 3,1 МЛН
Откуда эти паучки??? @zackdfilms - автор анимации.
0:29
Время знаний
Рет қаралды 3,2 МЛН