Ulizaliwa kwa ajili ya Watanzania Melody and we all love u brooo
@abduldjay39706 жыл бұрын
Ulizaliwaa kwa ajili yangu mamaaa. Nikakupenda Mimi mwenyewe Dadaaa😉😉. I luv this song
@hellenmushi57017 жыл бұрын
Hii hatari kabisa. ...huu wimbo nimeugundua this week naona unanipeleka kwenye ukiziwi sasa.....Kila saa nasikikiliza na ndio ring ton yangu......and I know how sing from verse 1 up to last one but not listed.....thanx so much melody mbassa. ....fika mbali brooo...go ooooooh na mungu akutangulie
@hamidumasigiti93396 жыл бұрын
Melody Mbasa kazi yako hii nzuri sana.. Kaza buti, Ni mimi Tutu Kaludgi
@raymondraymond94106 жыл бұрын
watu kwanini hawaijui miziki nzuri this is best. music
@kombakomba79225 жыл бұрын
Wasiojua ndo wanasifiwa + kiki za kutosha,Huu mziki mzuri miaka 8000
@seilasreginald52846 жыл бұрын
Nlikuwa nausikia kila nkitafuta siupati bahati nzuri leo nmelijua jina la wimbo na msanii mwenyewe,ebwana hongera sana jamaa unajua,naupenda sana
@pascalclaud90686 жыл бұрын
nakesha kwajiri ya huu wimbo janan
@MelodyMbassa6 жыл бұрын
Pascal Claud asnte SNA karibu kwenye Chanel Yangu ndugu Yangu kusapoti kazi zangu uone live show zangu zote
@adeitytony74386 жыл бұрын
Wimbo huu utaish milelee
@powelbryceson67475 жыл бұрын
Unajuuaaa mie masikini nakupenda ewe mzuri🍓🍎
@godfreymwaipasi6539 Жыл бұрын
Sasa kweli vipaji ni vya moto, kweli mbassa unakipaji na sauti big up to u bro, hebu kaza kamba tu
@pineapplevoicelove3656 жыл бұрын
Umeua I'm melody master ila umenifanya nikufuatilie
@modestaosiana54704 жыл бұрын
Akika mungu kakubaliki unajua kuimba sauti yako nzuri cna cjaona Kama ww
@gracenyembeke42867 жыл бұрын
wimbo mzuri jmn duuuuh! naupenda mpk basi naweza kuusikiliza siku nzima bila kuchoka, hongera sana unaweza
@conradley92027 жыл бұрын
Grace Nyembeke asante mamii kwa kuutazama na kuupenda..endelea ku enjoy. wkend njema
@hoodyunusy23736 жыл бұрын
kweli sio hawa wabana pua kila nyimbo wanafananaaaaaa
@fikilingajilo57036 жыл бұрын
Jaman uyu kaka anafanya wa2 tuinjoi kupitia uu wimbo naupenda sana
@adellakasuva80166 жыл бұрын
ni wimbo usionichosha masikion mwangu
@MelodyMbassa6 жыл бұрын
adella kasuva asnte SNA karibu kwenye Chanel yangu uone live show zangu na nyimbo zangu nyingne nzuri asnte SNA adella
@MelodyMbassa6 жыл бұрын
Usisahau kusubscribe Chanel yangu pia
@wanzokiwanene7931 Жыл бұрын
Naupenda sna huu wimbo
@sendeu_tv44097 жыл бұрын
....nikukoleze...... kila Mara nausikilza wimbo huu. mkong'osio mzuri mnoo. hongera sana kijana
@idiamidu14857 жыл бұрын
a gd xong "nikukoleze"
@jenipherdaudi21397 жыл бұрын
melody hapo nimekubali sana pia c9 hiyo BT ya ukweli sana
@rosemaiko94055 жыл бұрын
Mme Wangu huniwekea Na kuniambiadedication pia nami nimeupenda sana kupitia yy
@salamaseif41833 жыл бұрын
Shoo Kali xana
@nicolaschomba35666 жыл бұрын
DAAAAH AMAZING
@georges.leonard65906 жыл бұрын
Its so Lovely, Live longer brother.. We need more of this.....
@chrissmeshack54513 жыл бұрын
Mziki mzul unaishi milele kwel
@hellenmushi57017 жыл бұрын
Melody mbassa. .....nikukoleze. thanx brooo
@conradley92027 жыл бұрын
hellen mushi thanks for watching Hellen, natumai ume enjoy
@ramadhankidenda9558 Жыл бұрын
Kiukweli huu hunifanya nishindwe kumsaliti mke wangu kwa mapenz matamu anayonipatia
@brigestudio23038 жыл бұрын
kweli siku hizi twanunua mapenzi
@juliusshee16607 жыл бұрын
Nice song
@furahafuraha66737 жыл бұрын
Good song
@rajabuathumani76475 жыл бұрын
nyimbo nuri sana
@hellenmushi57017 жыл бұрын
Mapenzi ya dhati ni ghali kupata...na hasa kwa dunia ya sasa...
@hashimsalim42285 жыл бұрын
Nipo tayar kuishi na ww
@michaelwarioba25965 жыл бұрын
Niko tayari kuishi na yeye
@amisilutengya28667 жыл бұрын
Bravo wimbo Nzuri sana
@yusuphbalali90377 жыл бұрын
Kaza butti.
@alikibagangusa56136 жыл бұрын
Kaza ndugu yetu
@officialslogantz41818 жыл бұрын
C9 WEWE UPO VIZUR HUU MDUNDO MIMI NAKUPA GWARA.
@conradley92028 жыл бұрын
SIR LU MKOKA shukrani brother nitafikisha salam kwa niaba. Endelea kuinjoi mziki mzuri
@officialslogantz41818 жыл бұрын
alright , pia video nzuri IDEA nzuri. Nikiwa kama Hip hop artist/ EMCEE napenda kusema mmefanya kazi njema, alafu ntamtafuta kanjenje pia tuzungumzee, keep feeding us good music.
@conradley92028 жыл бұрын
SIR LU MKOKA shukrani sana mzee. Karibu sana aisee kama na wewe ni artist tufanye kazi..
@officialslogantz41818 жыл бұрын
Mimi ni hip hop artist, napenda kurap kwenye live band, hivyo ntawatafuta, nimepitiapitia show zenu kwa you tube nimegundua kua kuna vipaji vime jificha mzeya , legran utalii band ipo sawa saaana. i love it.
@kanyaombewilondja17636 жыл бұрын
Kali
@MelodyMbassa6 жыл бұрын
Kanyaombe Wilondja asnte SNA karibu kwenye Chanel Yangu uone wimbo wangu mpya
@staviannsemwa19774 жыл бұрын
Nikukoleze 🚬⛽🔥🔥
@salvatoryjackson94914 жыл бұрын
Love da songs
@petermsolla23675 жыл бұрын
Finally nimeupata!🔥
@sketchbabu8 жыл бұрын
Congratulations bro. Wonderful job. keep it up. Keep em coming.