Kakutana na mtu ambaye haijui historia ya Zanzibar, hazijui harakati za kisiasa na haijui CCM na CUF. Kwa hiyo Hamad Rashid anzidi kusema uongo
@nailamohd-wn6sb13 сағат бұрын
Kwani si umeunda chama chako wapi kimefikia hatuoni mikutano yko hatuoni wananchi wako wala sera zako pambana na chama chako tuone nguvu yako
@omarali79716 сағат бұрын
Mzee Baba Rashid basi alikuwa Profesa wa siasa na ulamaa mkubwa lakini akiunga mkono Mapinduzi na ASP. 😂
@Moc.khalfan16 сағат бұрын
Sasa hivi angelikua makamo wa raisi wa Zanzibar lkn wapi tamaa mbele mauti nyuma kabaki njaa tu😂😂😂 usaliti mbaya nadhani alipochagulia Omo makamo aliumia alijua nafasi kaipoteza kizembe