Mfahamu Rais Mteule wa DRC, Tshisekedi aliyekuwa akikataa madaraka

  Рет қаралды 57,005

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

Пікірлер: 34
@precioustanttiana5036
@precioustanttiana5036 5 жыл бұрын
Oh Mungu baba leta amani inchini Congo. natamanisana kuiona inchi yangu. Nimekuwa mugeni katika inchi zaugenini tangu utotoni ivisasa naelekeya utuuzima lakini sijawahi kanyaga inchini kwangu Congo. Nakiri amani inchini Congo Kwa jina la Yesu. Please Lord let this be a dream come true in my precious country 🙏🙏
@petersakariwakube8215
@petersakariwakube8215 5 жыл бұрын
We truthfully pray and wish him well, especially and particularly for the PEOPLE of DRC, who have suffered the rigors and atrocities of dictatorial military rule for more than 50 years. We however have to caution him.There are wicked bloodthirsty warmonger bent on perpetuating bloodshed and turmoil to continue reaping the vast mineral and other natural resources that this beautiful country is richly endowered with. There is hard work ahead of him.He MUST train to be a VERY HARD MAN.
@dayanaamini8808
@dayanaamini8808 5 жыл бұрын
MUNGU akuongoze Etienne Tchisekedi Felix, ongera Sana.
@amaninaupendo.3539
@amaninaupendo.3539 5 жыл бұрын
Amen amen. Rais mpya drc unganisha watu wa Congo kwa amani na upendo bila kubagua watu.tafuta Amani kwa watu wote Na Mungu akusaidie. Amen.
@andasonkusupa8565
@andasonkusupa8565 5 жыл бұрын
hongera sana raid mteure mungu atakutanguria baba
@clementjoseph7268
@clementjoseph7268 5 жыл бұрын
Anaweza kuingoza Congo apewe ushirikiano
@andrewmsuya2806
@andrewmsuya2806 5 жыл бұрын
Tanzania nasisi lini 2020 au
@elizabethgiven8363
@elizabethgiven8363 5 жыл бұрын
sasa Congo iko kwenya mikono salama ongera Felix
@demungamsenga2250
@demungamsenga2250 5 жыл бұрын
D r c kisekedi Felix nomber 1
@abdulazizharthy5627
@abdulazizharthy5627 5 жыл бұрын
Important nini atawafanyia wazairwa na nchi yao kwani viongozi wa waafrika hubadilika baada ya kushika madaraka
@michaelabrshamsaidimu367
@michaelabrshamsaidimu367 5 жыл бұрын
Sifahamu habari zake kwa muda mrefu lkn nimuanavyo ataiongoza nchi vizuri bila shaka
@erasmusshauritanga4444
@erasmusshauritanga4444 5 жыл бұрын
Acheni fikra duni yaani kwakuwa Felix ameshinda ndio chadema wapewe madaraka? Hamna chama Cha upinzani chenye sifa ya kuongoza Tanzania.
@erasmusshauritanga4444
@erasmusshauritanga4444 5 жыл бұрын
@The White Sijamaanisha kwamba ni maadui bali kuwapa hatamu kwenye kuongoza Dola bado hii sio kazi ndogo.
@allan4real775
@allan4real775 5 жыл бұрын
kwl kk
@crasher6468
@crasher6468 5 жыл бұрын
Hasbunalla Waneemal Wakeel
@crasher6468
@crasher6468 5 жыл бұрын
@@erasmusshauritanga4444 Wapeni muwaone huwezi tu kusema hivvo
@franciscowilliam2575
@franciscowilliam2575 5 жыл бұрын
Duh wewe kaka mawazo yako sio kabisa, una ushahidi gani kwamba hawawezi? Tangu mfumo huu uanze 1992, wapinzani hawajawahi kushika dola. Kuna vijana wengi wasomi wana mawazo mapya wapo na vipaji vya kila Aina . Huwezi kusema mtu kama Zitto Kabwe, Tundu Lissu, Matiko , Easther Bulaya na wengine wengi hawawezi kua na sifa za uongozi. Watanzania wengi sana wana mawazo mgando wanafikiri inside the box tu, na ndio maana katika nchi nyingi sana za Afika Tanzania pekee ndio imeng'ang'ana na ccm , vyama kama Kanu, Undp ya kaunda na vinginevyo vingi vilivyoleta uhuru vimetokomea. Umesahau kua upinzani ni jina tu hata wakishinda ccm ndio wataitwa wapinzani. Tubadilishe mfumo na watu tuone kama haifai basi turudi kwenye ccm , mtu yoyote ambae ni mtanzania anaweza kuongoza Tanzania sio mali ya ccm, hata baba wa taifa aliwahi kutamka endapo ccm itakiuka maadili basi yeye ataiacha kwa kua sio baba yake au mama yake. Tuwe na mawazo mapana Ya kuaminiana kama Watanzania.
@masoudzanzibarali9994
@masoudzanzibarali9994 5 жыл бұрын
Cha kwanza asikubali kuwa kibaraka wa Wazungu akawaachia kukumba Almasi na Zahabu, aweke Maslai ya Taifa mbele na Raia wake Allah Blessing Congo 🙏🏾🙏🏾
@ibrahimndungu2301
@ibrahimndungu2301 5 жыл бұрын
Masoud Ali Ali Akikataa kuwa kibaraka atauwawa
@musakiboya587
@musakiboya587 5 жыл бұрын
Felix hongera sana kwa hatua nzuri mungu akutangulie
@makamevuai6132
@makamevuai6132 5 жыл бұрын
HONGERA FELIX
@amonisimfukwe9576
@amonisimfukwe9576 5 жыл бұрын
hongera kwa ushindi drc
@ramadhanmanko4614
@ramadhanmanko4614 5 жыл бұрын
Atawezaaaaaaa
@demungamsenga2250
@demungamsenga2250 5 жыл бұрын
Wewe muache rais makufuli atawale milele ataigeuza t z t kuwa Kama ulaya
@hechechacha4032
@hechechacha4032 5 жыл бұрын
Kwangu mimi martin fayulu ni mpinzani wa kweli kabisa
@stephanokiluka7413
@stephanokiluka7413 5 жыл бұрын
Moise katumbi MPE uwaziri mkuu inchi itaenda
@cloudjest5268
@cloudjest5268 5 жыл бұрын
Tume ya uchaguzi kuwa huru ndio mwisho wa vyama tawala. Tanzanians u need to learn from the people of DRC.
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 5 жыл бұрын
Tanzanians to learn from DRC? You must be joking! Hivi unaijua DRC wewe. Bwana Yesu Kristo apishie hilo mbali ati tuige Congo. Ile Nchi ni ya kuendelea kuiombea. Subiri utashuhudia yatakayotokea. Si wameanza kubishana? Wao hawana utamaduni wa kubishana na kupingana kwa nguvu ya hoja kama Tz. Ni "uanaume" tu! Chezea Congolese wewe!
@corrolesscps
@corrolesscps 5 жыл бұрын
@@pirminmatumizi5464. Mwambie hugo juu. Hapo. Tatizo hawapendi kusoma na kufwatilia Ducumentary nyingi wanapayuka tu. Ashukuru amezaliwa Tz. Kuliko huko Congo
@johnmugishokatindi4639
@johnmugishokatindi4639 5 жыл бұрын
tanzania nasisi tubadirike
@mangofish9079
@mangofish9079 5 жыл бұрын
ndugu ata iwe hatutaki kubadilika iko siku mabadiliko yatakua tu tutake tusitake lini au vipi yatakuja mabadiliko ya kiutawala hakuna anaejuwa.
@SengaLukomya
@SengaLukomya 5 жыл бұрын
That’s not true, Martin Fayulu is the one won the election of DRC
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 125 МЛН
Cute
00:16
Oyuncak Avı
Рет қаралды 11 МЛН
МЕБЕЛЬ ВЫДАСТ СОТРУДНИКАМ ПОЛИЦИИ ТАБЕЛЬНУЮ МЕБЕЛЬ
00:20
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 57 МЛН
Mbunifu wa trekta ya kulimia kwa kutumia injini ya mashine ya kusaga
3:56
MNYIKA ATILIA MKAZO ''SAMIA LAZIMA TUMUONDOE........''
29:22
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 125 МЛН