No video

Mfahamu Wakili Mwabukusi/Aeleza Historia Yake - Part 1

  Рет қаралды 48,476

Busokelo TV

Busokelo TV

Күн бұрын

#busokelotv #mbeya #bandari #dpw

Пікірлер: 164
@user-sw1dv1iq6h
@user-sw1dv1iq6h Жыл бұрын
Hongera Kwa tumbo lilokuzaa na maziwa ulonyonya. Mwanasheria Sawa na serikali nzima. Ubarikiwe baba. Akili unayo
@hawaamohammed6687
@hawaamohammed6687 Жыл бұрын
Ashukuruwe mungu kwanza piliAshukuriwe wazazi wake kwakumpa malezi bora nasalama
@celinamutta5058
@celinamutta5058 Жыл бұрын
Kwa historia ya maisha yake, anafaa kuwa kiongozi. Tatizo la nchi zetu za Kiafrica, viongozi huchaguliwa kisiasa bila kujali uwezo wa mtu. Ikitokea baba alikuwa kiongozi wa juu serikalini au kwenye siasa, basi uzao wake ndo unafaa kuongoza wengine. Sina tabia ya kushabikia mambo ya kisiasa, lakini ukimwangalia Mwabukusi kwenye hoja za bandari , unamkubali kabisa kwa kuwa anabishana kwa hoja za msingi. Wanaombeza wana uhuru wao kufanya hivyo lakini wenye ufahamu wanamwelewa. Hongera Mwabukusi💪👍
@WitnessHassan-gy3rz
@WitnessHassan-gy3rz Жыл бұрын
Kabisa umeliona ilo
@missarepafra3973
@missarepafra3973 Жыл бұрын
Ulichosema ni kweli na hakika. Historia yako no km imefanana maeneo fulani ya maisha yangu. Kusoma kwa kuhamahama, kuacha taaluma na kuchagua kusomea kile unaona kinafaa, kujitoa kumsaidia majukumu ya wazazi kutokana na ukubwa wa familia, kukataliwa na watu uliotarajia wakusaidie kuvuka kimaisha, kuanza kazi private halafu kwenda serikalini. Mimi nami nilishindwa wizi na uzembe. UNAKUTA katika saa nane mtu anafanya kazi chini ya saa tatu siku imeisha au jambo la saa moja linafanyika zaidi ya wiki hadi mwezi mmoja !!!!!!!! . Private unajisikia kufanya kazi kulingana na unachokitoa Ili upate. Serikalini ni unajikuta unasaidia wakubwa kuiba ili nawe utambulike kwenye mfumo wa uongozi na kupewa fursa. Niliondoka baada ya kugombana na mkurugenzi aliyekataa kunirejesha kwenye nafasi yangu niliyoajiriwa nayo ya Supplies Asist. Officer kuniweka accounts akinipa kazi ya ku retire imperesst akiwa pale pale ofisini, kumchukulia lunch boksi akidai ni vikao hali ni maongezi binafsi na rafiki zake, mbaya zaidi mamesenja wanasubiri kufagia na kufunga ofisi saa wanayotoka bila kulipwa overtime wala kupewa lunch, Mimi "mhasibu" nikienda nanunua na mimi na pamoja na mamesenja ananigombeza, kesho nafanya vilevile ili anitoe nirudi kwenye nafasi yangu hataki. Mbaya zaidi( nilikuwa kitengo cha michezo) wanamichezo, wanasota hadi wanalala kwenye korido makocha (toka nje ya nchi) wanatishiwa kufukuzwa hotelini. Mafaili ya malipo yao yamerundikana kila siku nakwenda benki kuchukua pesa nikidhani anakuja kuwalipa hakuna, nagombana nae kuwasainia hataki. Siku ananiambia niandike barua nikamwambia wala siandiki nikabamiza lango nikatoka kama nakwenda lunch ndivyo nilivyoondoka sikurudi. Siku moja baadae niliajiriwa kwenye kampuni ya kimataifa, nikaendelea na maisha huku nikijiendeleza kimasomo. Nimemkumbuka mkurugenzi aliitwa Mzee Alpha Abdalah. Nilibahatika kukutana nae muda mfupi baada ya kustaafu yuko hoi bin taabani. Ubaya huzaa ubaya bali wema huzaa wema kama si sasa, baadae na kama si baadae ni baadae sana lakini lazima kanuni itimie. Wewe ni mkweli na mpenda haki. Ni gharama sana kubaki kwenye msimamo huo. Lakini ni raha sana kwani Mungu huwa mbele na nyuma yako daima kuliko inavyodhaniwa. Huko kwenye vyama nako wanafiki wametangulia wanafanya yaleyale yasiyofaa. Shida ya nchi yetu wachezaji wazuri wako nje ya uwanja wanaingia walionyoshewa "vidole vya mungu". Tusichoke kuomba haki na kweli huwa haufi. Ukiizika leo itafufuka, ukiifungia nje itaingia kwa njia yake yenyewe!! Haki na pacha wake ukweli ni nguvu ya Mungu tosha
@saidbakar-qo6ri
@saidbakar-qo6ri Жыл бұрын
Huyu sio muelewa hajui kutafsiri sheria anawapotosha wajinga kuhusu bandari anajua watanzania ni rahisi kupotoswa
@saidbakar-qo6ri
@saidbakar-qo6ri Жыл бұрын
Hana lolote huyu ni mwanaharakati mmbaguzi mdini ndio maana anamchukia mama samia
@mayalakatema2576
@mayalakatema2576 Жыл бұрын
​@@saidbakar-qo6rikweli kabisa huyu ni mwongo hajui Sheria Ebu tutafsrie Sheria ww unayejua na usituhamishe kutoka kwenye kile ambacho ata sisi tunakifahamu sawa
@peternyambui7492
@peternyambui7492 Жыл бұрын
Tunakupenda na kukupongeza sana..ndg..Naweza kukuchangia chochote ndg yangu..Wewe ni MZALENDO...wa kweli..
@wiza2309
@wiza2309 Жыл бұрын
Mungu akutunze kaka yangu, wewe ni Jembe, unastahili sana kuwa ulivyo, Liko kusudi la Mungu ndani yako kwa Watanzania, nakuombea Mungu asimame na wewe na wote walio nyuma yqko, Mungu atatensa maana ahadi zake ni za kweli. Barikiwa sana
@user-le1mo8ru7u
@user-le1mo8ru7u Жыл бұрын
Historia yako imenigusa nakuombea baraka za Mungu haswa katika kutetea bandari Mungu akupe afya njema uishi miaka mingi Tanzania bara tunakuhitaji mno
@josephgomalo41
@josephgomalo41 Жыл бұрын
Correction: NI Tanganyika. Wahuni hawaelewi maana ya waafrika kuungana. Mawazo ya baba wa taifa yamedharauliwa.. imebakia uuzaji nchi. Muungano huu ni dhalimu na hauna maana tena. Uvunjike.
@dostovan5142
@dostovan5142 Жыл бұрын
Mtu mwema anae kubalika na watu ana kubalika na Mungu pia, barikiwa sana
@elialigoha9468
@elialigoha9468 Жыл бұрын
Mwabukusi mmoja ni sawa na wanasheria wote wa serikali
@mzarendo.com9624
@mzarendo.com9624 Жыл бұрын
😂😂😅😅😅😂
@user-xi9lj1gz2p
@user-xi9lj1gz2p Жыл бұрын
Hahaha
@user-xi9lj1gz2p
@user-xi9lj1gz2p Жыл бұрын
Truee
@daffagunda-rm3hj
@daffagunda-rm3hj Жыл бұрын
Wewe unayesema yuko kwenye mwamvuli wa kanisa huo ni ushamba na kukosa elimu. Mtafute sana elimu wewe,usimwache. MWABUKUSI MUNGU AKUTUNZE SANA. AMEN.
@aleckmwakibete8952
@aleckmwakibete8952 Жыл бұрын
MUNGU akutie nguvu kazi yako ni njema sana
@clememallya4257
@clememallya4257 Жыл бұрын
Mungu akutetee kaka umepambana na unayetea haki wanataka kukudhulumu. Yesu akulinde.
@AbigailBateyunga
@AbigailBateyunga Жыл бұрын
Barikiwa, kila silaha itakayofanyika juu Yako haitafanikiwa tunailaani ktk jina la Yesu lipitalo majina yote. Amina.
@tumaini_nkinda
@tumaini_nkinda Жыл бұрын
Mungu akubariki sana! kwa JINA LA YESUKRISTO.
@zaitunialli1223
@zaitunialli1223 Жыл бұрын
Mungu Mungu wa Rehma, umepambana sana. Mungu akulinde na akupe afya njema . Gombea urais kwa tiket ya Chadema uongoze nch na akina Mbowe ,Risu na wengine . Usite tamaa Mungu yupo na nawe na wananch tunakukubali pia.
@emmanuelmziray1073
@emmanuelmziray1073 Жыл бұрын
Kudos from Detroit Michigan. You are a ROLE Model.
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 Жыл бұрын
Kyala gwamaka Akutule Ubarikwe Ahsante kutupa historia tunakuombea Sana
@user-bx3ko9ft5t
@user-bx3ko9ft5t Жыл бұрын
Brother mwabukusi wewe ni mzalendo nakukubali sana sana
@philimonkajigili-hx6ph
@philimonkajigili-hx6ph Жыл бұрын
Kweli we we fighters, atajiju anaeoma ukikosa uwakili utakuwa umefeli maisha,ni upungufu Wa mawazo yake,unacheza miguu yote malafyale,Sasa gombea ubunge Mbeya tutakuchagua ukawafundishe sheria Kule dodoma
@mabulamasunga7378
@mabulamasunga7378 Жыл бұрын
Nakupa hongera. Umepambana sana kiongozi. Keep it up
@jumannemsengi2195
@jumannemsengi2195 Жыл бұрын
Comrade your real genius!! Sasa hawa mbumbu wanasumbua watu.
@selerenatus
@selerenatus Жыл бұрын
Pande za Ukerewe, nakukubali Sana brow
@NicolausSule-wr6jk
@NicolausSule-wr6jk Жыл бұрын
Kumbe hapatu kambi ya fisi babu umetisha sana sana Ndy maana unaakili sanaaaas
@danielchacha1305
@danielchacha1305 Жыл бұрын
Ndiyo maana unauchungu na maisha na uzalendo wa nchi yetu Tanganyika.
@jonathanmaengo4281
@jonathanmaengo4281 Жыл бұрын
Surely you shall deliver 100%
@lotimwansule5017
@lotimwansule5017 Жыл бұрын
Wakili Mwabukusi unatakiwa kuwa Mbunge ,wengi Kule bungeni wengi ni Viraza ,utazuia mikataba inayopitishwa hovyo
@TPW_FLUXY
@TPW_FLUXY Жыл бұрын
Siyo mbunge tuu rais awe nani
@johnlongoy7952
@johnlongoy7952 Жыл бұрын
@@TPW_FLUXY kabisa hiki kichwa kinatakiwa kiwe pale on top
@geofreyedwin5062
@geofreyedwin5062 7 күн бұрын
Hongera sana kionngozi your super genious
@jacobonaftari8082
@jacobonaftari8082 Жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu akulinde na maadui shetani na maraika zake washindwe ktk jina la YESU zaidi ya yote mtangulize Mungu Sana Mungu akiwa upande wako hakuna aliyejuu yako usiogope simamia kile unachokiamini usiyumbe Wala kuyumbishwa, huu ndoo wakati wa ukombozi kwa mtanzania God bless you Amina.
@milley7185
@milley7185 Жыл бұрын
jina la yesu haliwezi kumuokoa kua wewee
@freduallughano2301
@freduallughano2301 Жыл бұрын
​@@milley7185la muddy ndilo haliokoi na ndio maana mnamswalia.
@Ibrahimunyanda-kp2eb
@Ibrahimunyanda-kp2eb Жыл бұрын
@@milley7185 hiyo mikucha uliyo iweka kwenye picha. Wewe giza
@geraldgisiput9974
@geraldgisiput9974 Жыл бұрын
Endarofta secondary - Karatu DC. Schoolmate Big up Mwabukusi🙏🙏🙏
@josephmtenga6294
@josephmtenga6294 10 ай бұрын
Mungu akubariki Mwabukusi..nakumbuka tulisoma wote Endarofta pale o .level na tulikaa wote dawati moja..kweli ulikua una msimamo sana...umenikumbusha mbali sana class mate wangu..
@user-so9fo5tv3j
@user-so9fo5tv3j Жыл бұрын
Stay blessed and stay healthy
@theroofofafricaadventures6578
@theroofofafricaadventures6578 Жыл бұрын
Mwabukusi I really respect you AS a Perfect Man of the Entire Tanzania! Please let me know if I can do anything for you and and your goals let me know.!
@peternyambui7492
@peternyambui7492 Жыл бұрын
Amen!!!
@BusokeloTV
@BusokeloTV Жыл бұрын
weka Email yako
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Жыл бұрын
UBARIKIWE
@user-zp4uc5jo9t
@user-zp4uc5jo9t Жыл бұрын
Nakukubali poti, mungu akubaliki sana umeonyesha, uchungu kwa chi yako marafyale, mungu akulinde sana, naomba ugombee urais tia niaya usiwaze chanagana, atukuonyesha usiende ccm ukienda ccm utabadili sabisa, utakuwa kama wao walivyo
@harunimwaisumbe8944
@harunimwaisumbe8944 Жыл бұрын
kaka barikiwa sana mungu akupambanie na kukupiganie sikum moja uje uwe kiongozi mkubwa
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb Жыл бұрын
Hongera mheshimiwa mungu akusimamie katika kusimamia haki daima mungu atakuinua
@elicktilia4430
@elicktilia4430 Жыл бұрын
Mungu ni mwema. Yajayo ni mema stand strong
@husseinadolf9500
@husseinadolf9500 Жыл бұрын
Hongera sana na mungu akulinde kwa Kila jambo lako in Sha Allah💯🤲🙏💪
@SulemanSaidi
@SulemanSaidi 20 күн бұрын
duh we nomaaa kk
@user-im9my8wk2d
@user-im9my8wk2d Жыл бұрын
Gombea nafasi ya juu kama amna ziggdhdits unatoboa vzr mnoo
@ThomasiMatoke-su4td
@ThomasiMatoke-su4td Жыл бұрын
Chadema mpe nasafi huyu ni jembe
@jonathanmaengo4281
@jonathanmaengo4281 Жыл бұрын
Mungu akubaliki sana una akili sana
@amaningalla9420
@amaningalla9420 Жыл бұрын
Mimi wa mwamba mwenzako nakuombea sana ,na huyo mwanasheria wa serikali hakutendei haki tunaomba mungu apate ajali mbaya atatubu tutakuombea sana ila tuliza akili usihofu
@mdmahammad3278
@mdmahammad3278 Жыл бұрын
Bwana muleta malaki ainuliwe milele tunakuombea kwani njia ya mungu aifungwi milele
@dadyintown
@dadyintown 10 ай бұрын
Mungu akulinde Sana 14:12
@lgffumbuka183
@lgffumbuka183 Жыл бұрын
Wanyakyusa hawa. Wagumu sana akishaamua jambo fulani. Kikawaida a geitwa Mwafulani lakini si lazima, linaweza kuwa fupi tu. Huyualitakiwa abaki udereva. Hafai uwakili.
@amykimega3705
@amykimega3705 Жыл бұрын
Mwenyenzi Mungu akulinde.Wewe ni zaidi ya kiongozi
@ziyadanyandwi2908
@ziyadanyandwi2908 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana wewe ni mzalendo wa kweli
@Haippa-Africa
@Haippa-Africa Жыл бұрын
He is an asset
@EmmySimon-vm4pq
@EmmySimon-vm4pq Жыл бұрын
❤damu ya YESU ikutunze
@dinakyoma5977
@dinakyoma5977 Жыл бұрын
Lulu ya wana Busokelo aliyotupa Mungu! Usajighweghe fijo
@user-in4pm4pd6c
@user-in4pm4pd6c Жыл бұрын
Mungu twakuomba mlinde kwa lolote baya,lisimpate huyu mteule wako
@izamahmasaki4795
@izamahmasaki4795 Жыл бұрын
Tatizo la nchi yetu viongozi huteuliwa aidha kwa rushwa , au kwa kufuata maelekezo ya kimagharibi , Cha kushangaza Ccm Ina Tawi Marekani na viongozi wengine hutokea huko bila hasta sisi kujua , et ni watanzania waishio nje ya nchi , This is terrible. poor nationality, sitizen, and uzalendo ,,, 😂
@plujoncylugano4611
@plujoncylugano4611 Жыл бұрын
Yes majina ya kwetu hakika
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 Жыл бұрын
Hakika njia ya MUNGU haichunguziki
@homeboybeyondtheborders4935
@homeboybeyondtheborders4935 13 күн бұрын
Serikalini wanafanya kazi kwa mazoea sana,private wanataka matokeo na faida.
@josephlukumay299
@josephlukumay299 Жыл бұрын
Hafai kuigwa na jamii kabisa.
@lubatikoseme9412
@lubatikoseme9412 Жыл бұрын
Umebarikiwa sana
@user-zp4uc5jo9t
@user-zp4uc5jo9t Жыл бұрын
Maranyingi kitu kizuli kina vipingamizi, shetani alijua kilicho ndani yako, unaona ndoichi kilicho tokea sas dunia imeona
@user-zp4uc5jo9t
@user-zp4uc5jo9t Жыл бұрын
Tulia anasema ni msomi kumbe akuna kitu, agekuwa amesoma kama anavyo jinadi asigepitisha mkataba uyo mbovu, cyo ukolofi wanyakyusa atutaki kuonewa tunpenda haki ukueli atutaki uonevu tuapenda haki asante
@user-zp4uc5jo9t
@user-zp4uc5jo9t Жыл бұрын
Umeonekana hauna tamaa ya pesa, unaonekana nkamgwangu
@peterkalimba1507
@peterkalimba1507 Жыл бұрын
Napenda kujitemea kwake ni jasiri
@halidmahundi1841
@halidmahundi1841 Жыл бұрын
Made in Chuga kabisa. Ndio maana sio ree😅
@user-pz4nn1dz6j
@user-pz4nn1dz6j Жыл бұрын
😂😂😂😂
@malakimollel6044
@malakimollel6044 Жыл бұрын
Kabisa mshua ..kaskazini hatokagi ree
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Жыл бұрын
Made in 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@user-xi9lj1gz2p
@user-xi9lj1gz2p Жыл бұрын
Hahaha chuga mojaa
@user-xi9lj1gz2p
@user-xi9lj1gz2p Жыл бұрын
@@judicalosika7642 chugaaa
@nicholausmtamba327
@nicholausmtamba327 Жыл бұрын
Inavutia sana kusikiliza ulipotoka kitaaluma.
@joesydney3646
@joesydney3646 Жыл бұрын
Noted thanks
@onesphorymgedzi995
@onesphorymgedzi995 Жыл бұрын
Hongereni kwasafa nyingi mnazompa lakini kuongea kwa wanasheria nitofauti sana na kutenda kazi ,ninavyo wajua wanasheria ndio haohao waliotufikisha hapa kwenye mzozo huu na stkikuami kwamba watu waaina ya huyu mtu wanaweza tusaidia kama nnchi tukapata maendeleo ,na kwutafiti wangu maokoto ndio shida nainawezekana sisi tunapongeza kumbe wenzetu washalamba lamba asali
@YekoniaLivingstone
@YekoniaLivingstone Жыл бұрын
Tunahitaji wananchi kama Hawa ,wawe viongozi katika sekta muhimu za kiuchumi Ili Tanzania ipate maendeleo
@TPW_FLUXY
@TPW_FLUXY Жыл бұрын
Gombea urais brother hiyo nafasi itskuwaxnzuri kwako tunaongizwa na vilaza siyo ubunge gombea urais kabisa
@leakeychikombe203
@leakeychikombe203 Жыл бұрын
Jipe moto mkuu Mimi nikopamola na watanganyika wa kutunza Mali zetu ni urithi wetu.hao waliopewa dhamana halafu wanatusaliti wasome Yuda Iskarioti kumsaliti Yesu .Nini matokeo ya usaliti wake?Yuda alikufa vibaya sana na familia yake tote mpaka wazazi.tusirudi nyuma wametuchezea sana
@moseamshani595
@moseamshani595 Жыл бұрын
Salute
@anyabwilemwansile1558
@anyabwilemwansile1558 20 күн бұрын
Msalimie nipo.
@user-zp4uc5jo9t
@user-zp4uc5jo9t Жыл бұрын
Nakuomba kagembe masuku mbelile 20:19 20:20
@richardtiganya9559
@richardtiganya9559 Жыл бұрын
Tuendelee na mapambano ya kufikia uhuru kamili
@kitambatv8363
@kitambatv8363 Жыл бұрын
Kandete ndo kwetu ikubo ndo nimezaliwa huko itebe nakwelewa kaka na nakukubar ijapo kwa Sasa napambana dar
@samwelimwalindu3735
@samwelimwalindu3735 Жыл бұрын
Kandete leo nilikuwa huko gombea Jimbo liko wazi kabisa tukuone bungeni baba kajujumele
@samwelimwalindu3735
@samwelimwalindu3735 Жыл бұрын
Nakupenda sanaaaaaaaaàaa baba yangu
@kitambatv8363
@kitambatv8363 Жыл бұрын
Haha nimepakumbuka Sana tangu 2020 nikiskia panatajwa hivyo mnafanya nipamisi sana
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 Жыл бұрын
MANDELA WA TZ AU MARTIN LUTHER KING WA KARNE HII.TUNAKUOMBEA DAMU YA YESU IKUFUNIKE.VITA YAKO NA MWARABU SI NDOGO KAMA TUNAVYOFIKILI.
@drdd774
@drdd774 Жыл бұрын
Hii nchi ina mawakili wachache wazuri na wazalendo kwa Taifa lao, mmoja ni nwabukusi.
@user-wf9ik1em6m
@user-wf9ik1em6m Жыл бұрын
SEMA mbunge wetu wa Mbeya
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 Жыл бұрын
Mtu wa Rchuga
@user-zp4uc5jo9t
@user-zp4uc5jo9t Жыл бұрын
Ntakuja kwenye kampeni kwanili yako
@makobamasawemangu4122
@makobamasawemangu4122 Жыл бұрын
Jamaa yangu binafsi nimekuelewa
@fanuelingalawa6160
@fanuelingalawa6160 Жыл бұрын
Kwa Nazi na ujasili ulio nao Mungu akusimamie
@user-zp4uc5jo9t
@user-zp4uc5jo9t Жыл бұрын
Mimi nipo Dar nikija ntakutafuta Mimi nyumbani tukuyu masukulu naomba namb namba yako
@uswegehamza5968
@uswegehamza5968 Жыл бұрын
mwabukusi ni lissu mtupu
@deusNjimba
@deusNjimba Жыл бұрын
Ingekuwa wewe ndie mwana sheria mkuu wa selikali hakika usinge ukubali mkataba huu
@josephgomalo41
@josephgomalo41 Жыл бұрын
@user-le1mo8ru7u Correction: NI Tanganyika. Wahuni hawaelewi maana ya waafrika kuungana. Mawazo ya baba wa taifa yamedharauliwa.. imebakia uuzaji nchi. Muungano huu ni dhalimu na hauna maana tena. Uvunjike.
@jericomwamsiku9088
@jericomwamsiku9088 Жыл бұрын
Gombea ubunge kamanda tena kwenye jimbo la Tulia ackson ili tulipe fadhira ya kukupa kura 2025 unapambana sana
@anselmoonolius
@anselmoonolius Жыл бұрын
Nchi hii tunahitaj raisi mwanasheria kiukweli
@tanzaniamycountry9308
@tanzaniamycountry9308 Жыл бұрын
Mwamba
@robisonikadogo7371
@robisonikadogo7371 Жыл бұрын
Tena Simba tunashida ya golini tusaidir
@jumannemsengi2195
@jumannemsengi2195 Жыл бұрын
Huyo wakili bado yupo???
@dostovan5142
@dostovan5142 Жыл бұрын
Kama Wasira bado yupo huyu na nani asiwepo
@jamessiame5169
@jamessiame5169 Жыл бұрын
Wasila wazamani yupo yupo
@George-jz3jg
@George-jz3jg Жыл бұрын
Swali lako linalenga Nini? Au unahoji Nini hii ni mashine ndugu iache ichape kazi
@jumannemsengi2195
@jumannemsengi2195 Жыл бұрын
@@George-jz3jg bila shaka kwa kuwa ckudadavua upo sawa kuuliza maaana yng huyo WAKILI aliyemjibu YUPO anashuhudia madini haya anayoyatoa Mh. Mwambukusi?
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 Жыл бұрын
Uwe kabunge tu ila kajeuli sijui huko majilani
@NtamamiloGibson
@NtamamiloGibson 18 күн бұрын
Ni mtu mmoja hapendi mtu aonewe tulishaishi sehemu moja hakai kimya aikiona mtu anaonewa ndipo viongozi wengi hawampendi.
@saidbakar-qo6ri
@saidbakar-qo6ri Жыл бұрын
RUDI KAENDESHE DALADALA KUMBE HATA ELIMU YAKO NI YA KUUNGAUNGA NDIO MAANA UNAWAPOTOSHA WATU JUU YA BANDARI HUNA ELIMU KANJANJA WEWE ACHA KUMTUKANA MAMA WAKATI WEWE ULILELEWA NA MAMA PAKA WEWE
@anselmoonolius
@anselmoonolius Жыл бұрын
Elimu ya huyo mamaako unaijua alivyoipata?
@nicodemusngwala2079
@nicodemusngwala2079 Жыл бұрын
Unajua elimu Ni Nini .. huyu ni genius .... Siyo mchezo Hilo unatakuwa kulijua .....
@obedlyimo3302
@obedlyimo3302 Жыл бұрын
Unayo wewe na mpiga mwingi
@obedlyimo3302
@obedlyimo3302 Жыл бұрын
Na ya mama yenu ya vipande vipande
@mosaidi2633
@mosaidi2633 Жыл бұрын
Hukuwa na baba mbona humtaji
@user-fy9uk4oh7x
@user-fy9uk4oh7x Жыл бұрын
Mbona kamtaja fatilia story Toka mwanzo
@saidbakar-qo6ri
@saidbakar-qo6ri Жыл бұрын
NDIO MAANA HANA NIDHAMU KUMBE ALIKUWA DEREVA WA DALADALA
@obedlyimo3302
@obedlyimo3302 Жыл бұрын
Hunanidham na wakwenu
@vaikaayagadiel520
@vaikaayagadiel520 Жыл бұрын
Kwani kazi ya udereva wa daladala si kazi,.mbona ndo wanaotupeleka kupata riziki zetu. Toa hoja.usidharau kazi za watu
@saidbakar-qo6ri
@saidbakar-qo6ri Жыл бұрын
WALIKUKATAA KWA SABABU HAUKUWA NA VIGEZO
@popekatalango9409
@popekatalango9409 Жыл бұрын
historia yake yasaidia nn mpotoshaji,na atarudi huko huko kwenye madaladala
@missarepafra3973
@missarepafra3973 Жыл бұрын
Kufaa! Kwa jina la Yesu.
@popekatalango9409
@popekatalango9409 Жыл бұрын
sifi hivyo kjinga mtakufa nyie mtaniacha
@sophiaommy8343
@sophiaommy8343 Жыл бұрын
Kaa kwa kutulia sawa ikuingie huyu ndio yeye ajae kwa jina YESU
@popekatalango9409
@popekatalango9409 Жыл бұрын
@@sophiaommy8343 anakuja huko kwenu unyakyusani
@emanuelmichael4630
@emanuelmichael4630 Жыл бұрын
Na kwa ukuu wa Mungu huyu atakuwa kiongozi mkubwa sana katika hii nchii Mungu sio Mwanadamu Na hakika kama Aishivyo Mungu huyu atakuwa mfalme mithili ya sulemain
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Жыл бұрын
WAKILI MCHWARA AMBAYE YUKO NA MASLAHI YA KANISA LAKATOLIKI NA MAJIZI PALE BANDARINI 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿NDIO MAANA KELELE NYINGI NA ANAONGEA PUMBA 🥵🥵🥵🥵🥵
@oscarkasalile3966
@oscarkasalile3966 Жыл бұрын
Wewe hujielewi unaweza kuta wewe Kula kulala huyu wakili ni faita,watanzania wengi tumepitia maisha ya kuhaswa.
@jamessiame5169
@jamessiame5169 Жыл бұрын
Ommy ujielewi kabisa wewe ni pumba
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Жыл бұрын
@@oscarkasalile3966 WAGALATIA MKO DESPERATE MUMEJULIKANA 🥵🥵🥵🥵🥵🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Жыл бұрын
@@jamessiame5169 NYINYI WAGALATIA NDIO HAMJIELEWI HALELUYA
@wakatinisasa
@wakatinisasa Жыл бұрын
Kwani shida katoriki wewe baki na mskit
@elizabethringo7154
@elizabethringo7154 Жыл бұрын
Hongera Sana mungu akubariki na alinde familia yako mpambanaji tunakuombea
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 4,9 МЛН
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 21 МЛН
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 12 МЛН
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
00:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 18 МЛН
Why UK 🇬🇧 is going Bankrupt? : Detailed Economic Case Study
20:37
Think School
Рет қаралды 1,5 МЛН
#MEDANIZASIASA:RAIS WA TLS WAKILI BONIFACE MWABUKUSI-03/08/2024
1:13:50
Star TV Habari
Рет қаралды 13 М.
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 4,9 МЛН