Huyu mwamba mi sina mashaka nae namkubali sana 🎉🎉🎉❤❤❤
@JolotaErastoJuma2 ай бұрын
Tanzania tunge pata wachambunzi kama kumi tu kama hawa mpila wetu unge fika mbali Big up sana bro 🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@sulejmandj75822 ай бұрын
Kak unajua sana ✌🏽
@KasioClassic2 ай бұрын
Hii simba yangu ipeni mudaaaaa tuu natusubi muda ndounaongeaa
@SarahKisepe2 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@AletasMbawala-si5kj2 ай бұрын
Point brother kam mm tu naixh leo bro 🙏🙏🙏
@onesphorymgedzi9952 ай бұрын
Kaka kwenye kulinda wachezaji kaka umeongea sana maana mmmh kunamijitu inafanya mambo ya jabu sana
@dismasmusoma94782 ай бұрын
Uko vizuri sana bro. Ushauri wangu siku moja moja uchambue kwa English brother kwa faida ya hawa wachezaji wa kigeni pamoja na kocha. Nina imani kuna faida kubwa sana kwenye uchambuzi wako.
@mfalmewasoka9492 ай бұрын
Limeisha hilo Kaka Ung'eng'e
@gerowadamwandika6692 ай бұрын
Friji bovu uko vizuri sana, Chama akikutana na timu mbovu ndipo anaonekana, akikutana na wanaojua boli na kasi ya SGR haonekani anapotea kabisa.
@henelckneatunga27202 ай бұрын
HUYO MVP WENU HILO GOLI ALILOFUNGA MABEKI NDIO WAMEZINGUA WANAMKABA KWA MACHO.KHS CHAMA WEWE TULIA, CHAMA ANAUWEZO WA KUCHEZA MATCH YOYOTE BILA SHAKA.
@HalimaAlly-j3t2 ай бұрын
tena na tena
@RevocatusKambimbaya2 ай бұрын
Uko vizur isipokua uchambuz wako wakati mwingine unaegemea upande mmoja
@neemamasimba29812 ай бұрын
Yaani tumepata furaha sana simba wameshaanza kupata moto, naamini yale tuliosema kuwa washabiki tutulie hata yerusalem haikujengwa siku moja.Tuwatie moyo watafanya makubwa.
@EliyaOnnesphory2 ай бұрын
Friji bovu bhana hauna unafiki, palipo ukweli unasema! Alafu haijalishi ni timu gani unaipa maua yake🎉🎉🎉.
@issaomari52972 ай бұрын
Bila kukusikiliza MWAMBA Huwa naona sija enjoy uchambuzi uko vzur sana broo
@mfalmewasoka9492 ай бұрын
🔥 🔥
@SifaKayaya-z3b2 ай бұрын
Pamoja sana kakaa
@barakamusapolekidoti9572 ай бұрын
FRIJI BOVU upo vzr
@JoseHaule-tx7lu2 ай бұрын
Awesu yupo safi sana ila aache urembo mwingi anapoteza muda
@ChristopherMisungwi2 ай бұрын
Kaka wape bwana maaana duuu jezi kidogo tuogope kutembea nazo msimu uliopita kaka duuu maumivu sasa wengi watahama sana msim huuu
@DaudiMsukuma2 ай бұрын
Sasa huyu mwandishi anauyanga ndani huyu Kila wakati anataka kuongelea yanga
@MasudiNambole2 ай бұрын
Ukiacha Hans na ambangile huyu jamaa namuelewa sana
@stanleyngonyani204Ай бұрын
Hla chamou ipo sku atakuja itajka hamza ajakutana na heavy so sidhan moja kwa moja ni bora
@DadeSaide-qr7ti2 ай бұрын
Naitua Dade nipo nsumbiji kuanza niwachukuru azam kua kutpatia buludani mechi yaleoo speni wapenzani wajipange Simba nguvu moja Mozambique🇲🇿 🇲🇿 🇹🇿 🇹🇿 🎉🎉🎉😂
@sulemanmagesa21812 ай бұрын
Mnarekodi ndefu Sana. Fupisheni.
@AshelyAbel-kg4kx2 ай бұрын
Awesu asicheze mpira wa urembo kwasasa tunataka matokeo awe anatoa mpira haraka kwenye njia, barua nae nimchoyo hatoi pasi wengene wafunge
@VascoKasambala2 ай бұрын
HAWEZI KUENDA UJERUMANI KWA NAMNA YOYOTE ILE WEWEKENI KUMBUKUMBU YANGU
@MohamedHango-r5k2 ай бұрын
Kiukweli kaka unachambua mpila ila kuna wengine wanachambua matembele
@mfalmewasoka9492 ай бұрын
🔥 🔥
@JoseHaule-tx7lu2 ай бұрын
6:18 6:35 6:36
@AbisinaRashidi-c8d2 ай бұрын
Kamsifia Kwakua ni mtanzania mbona juzi pia kamsifia fei kasema fei ni mtanzania kwaio kama alikua anajua atamhonga pesa kama Chama na manula viongozi wako makini