MFANYABIASHARA ANAYEIDAI TRA AFUNGUKA MAZITO "WALINIFICHA NYUMA ILI NISIONGEE MBELE YA WAZIRI MKUU"

  Рет қаралды 79,437

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

Жыл бұрын

MFANYABIASHARA ANAYEIDAI TRA AFUNGUKA MAZITO "WALINIFICHA NYUMA ILI NISIONGEE MBELE YA WAZIRI MKUU"
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 767 400402)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com

Пікірлер: 201
@user-hw1vd8qk1q
@user-hw1vd8qk1q Жыл бұрын
Pole sana bwana Ramadhan endelea kuvuta subra kwani haki ya mtu haipotei utaipata haki yako na utakwamuka na maisha inshaallah.
@summanelson5523
@summanelson5523 Жыл бұрын
Duh!!!! TRA Mungu anawaona!!!!!! Tokea 2017 hadi leo!!!! Mtu mpaka anakimbia DSM!!!! Nyie watoza ushuru Mungu anawaona!!!!
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 Жыл бұрын
Hawana Maana hata Wafe tu..inakuwaje hadi Raisi alishasema alipwe Vipi muache Kumlipa..?Mama mama mama mama..Fanya jambo dhidi ya Viumbe wako
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 Жыл бұрын
TRA ni majambazi wa kisheria,tamaa nyingi,roho mbaya na dhuluma ndiyo maisha yao ila Mungu yupo ipo siku watalipwa wezi hao.
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 Жыл бұрын
Wengi wao mwisho wa maisha yao ni mmbaya
@AdamFundikira-kk5oj
@AdamFundikira-kk5oj Жыл бұрын
​@@kennethbenjamin275 ni matapeli tuu
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 Жыл бұрын
watZ waoga wapendakudadisi
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 Жыл бұрын
Mungu muumba wa mbingu na nchi tenda kwa nguvu zako dhidi ya viongozi wenye tamaa na wanaumiza watu. Na wale wote wanaokalia viti vyao kunyanyasa watu. Mola wetu tujibu kwa upesi.
@piusbaruhuwundi8987
@piusbaruhuwundi8987 Жыл бұрын
Pole sana ramadhani. Na hongera sana kwa kupambana mpaka kupata nafasi ya jambo lako kutajwa
@honestmsigwa920
@honestmsigwa920 Жыл бұрын
Bado sana inchi yetu ya Tanzania kukombolewa na wakoloni weusi ambao ni ccm ,watanzania naomba sana tumuombe sana mungu ili tupate katiba mpya iliyo Bora ili tukombolewe.
@sayunimkongwa9830
@sayunimkongwa9830 Жыл бұрын
Mweee hii ndio serikali yetu Mungu anawaona.
@richardnganya2311
@richardnganya2311 Жыл бұрын
Mfumo wa mamlaka zetu bado unayumba sana.! Miaka 7 hajalipwa !! Ni bora kuifumua TRA yote na kuiwekea ufuatiliaji!!
@chingaboy1149
@chingaboy1149 Жыл бұрын
Tatizo ni ccm ndio chanzo apo uthikute wanamtukana
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 Жыл бұрын
TRA NI TAASISI YA MATESO NA MAUAJI, WAMETESA WATU SANA, WAMEUMIZA WATU WENGI SANA, NA WAMEUA WENGI
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 Жыл бұрын
Chanzo chamabayayote nchihii nikatibambovu,tusilalamikehovyo bila kujuwa chanzo
@reminamkunda6474
@reminamkunda6474 Жыл бұрын
Mtumainie Mungu Maana Ndiye Hakimu Mungu Halali Wala Hafi
@anosiata8242
@anosiata8242 Жыл бұрын
Pole sana kaka umepitia maisha magumu.
@SwaleheAthumaniManyehe-fv5wt
@SwaleheAthumaniManyehe-fv5wt Жыл бұрын
Mungu alete balaa zito kwa viongozi wote wenye kudhulumu haki za watu
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 Жыл бұрын
Labda Mungu pekee ndio anaweza kutusaidia hakika.
@justamarrymanga2500
@justamarrymanga2500 Жыл бұрын
Mama samia umeyaona hayo msaidie ramadhani jamani ameangika mno mwenyezi mungu akupe moyo mwpesi wakumsaidia
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz Жыл бұрын
Najiuliza TRA ina nguvu kiasi gani mpaka leo Serekali ya Magofuli na mpaka sasa ya Samia wameshindwa kumpa haki yake huyu m2 who is behind all this mess up
@emmanuelchiza7733
@emmanuelchiza7733 Жыл бұрын
Serikali ya samiwa ndio imeshindwa kumlipa JPM tumuache apumzike kwa amani
@humphreyvidonyi253
@humphreyvidonyi253 Жыл бұрын
Hongera sana mtangazaji kwa kulifuatilia hili
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts Жыл бұрын
Pole sana ndugu, waziri mkuu ni mtu wa watu... Mungu azidi kumtangulia, baada ya mama Samia kijiti ni Kwa Majaliwa,hii kazi anaiweza...hili huenda lilisahaulika
@hasnuumakame9219
@hasnuumakame9219 Жыл бұрын
My dear sister hiyo nchi tatizo namba moja ni CCM, hiyo nchi kila kukicha watu watazid kua maskini kutokana na sera na uongozi wao hao mabwana na mabibi wa chama hicho.. Maisha ya watanzania yanazid kua mabovu, ingawa wananchi tunajitahid mnoo kupambana na kutafuta ila Serikali yetu ndio inaturejesha nyuma sana..
@mwaaang
@mwaaang Жыл бұрын
Sasa kwanini hajalipwa mpaka leo? Mqaka wa saba huu
@josephkulija293
@josephkulija293 Жыл бұрын
Haki ya mtu hucheleshwa tu kamwe haiwezi kupotea, mvumilivu hula mbivu. Ukimwamini Mungu hakuna linaloshindikana.
@alisonimpaji615
@alisonimpaji615 Жыл бұрын
Pole sana mzee wangu mungu akupe nguvu Yani mi nilijua pesa ime lipwa. Dar Tanzania yetu ni shida kweli na sidhani kama tuta fika Kwa mtindo uu mama tunaishi Kwa kukomoana Africa tunaenda wapi.
@mastajabudekula4828
@mastajabudekula4828 Жыл бұрын
Asante sana tena kutuletea Ramadhani tunzwe.haja lipwa tu.TRA ayibu.uzini sasa .inaonegana serikali ya Tanzania mbovo kama ya Kongo.
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 Жыл бұрын
Muumba wa mbingu na nchi, sisi viumbe vyako tusio na mtetezi. Tunahangaika sana. Mola wangu onekana, tuma malaika wako wa haki waje watupembulie makapi wanaotumia madaraka kwa manufaa binafsi. Tumekosa muelekeo Mungu simama kwa ajili ya watanzania wanaotafuta kwa nguvu zao lkn wanaporwa na wachache wasio na hofu yako. Rabbi, ww ndio kimbilio la wasio na watetezi, tunakuomba km ulivyowatetea shedrack, Meshack na Yakobo, Daniel,Daudi na wengine wengi hivyo pia tunaomba utusaidie watanzania tusio na msaidizi. Wapo viongozi wazuri pia hao waongeze nguvu na wale wasio haki operation ya Malaika Jibril, Mikael neale wengine waende wakashughulike na watu hawa wanaotunyima raha ktk utafutaji kwenye nchi yetu wenyewe. Wametufanya hata wale wanaotaka kujaribu kujiingiza kwenye utafutaji kurudi sifuri kabisa. Tumekua km wanyama wanaowindwa na simba porini . Hatuna pa kukimbilia. Mungu ww tu ndio unayeweza kutuondolea hawa wanyang'anyi ktk maisha yetu either kwa kutafuta kabisa ktk viti vyao au kwa namna utakavyoamua ww Mungu. Tunakuomba, tunakusihi utusaidie na usikie dua zetu. . Msaidie na ndg yetu Ramadhani yeyote anayezuia haki yake pia ushughulike nae ww Mungu wetu sb kwako tu ndipo tumaini la kweli na haki inapopatikana. Msaidie apate haki yake Rabbi. Amekua akilia kwa muda mrefu bila majibu. Fungua milango yako ukaonekane mwenye haki. Amiina🤲🏿
@godsonndamgoba8053
@godsonndamgoba8053 Жыл бұрын
Pole kaka umepambania haki yako,Mungu atakusaidia.
@cleverboy3812
@cleverboy3812 Жыл бұрын
Kuna kitu najiuliza, Kama huyu ni mmoja tu kapata bahati na ujasiri wa kuongelea swala hili je ni wafanya biashara wangapi kama hawa wamedhulumiwa na hawajapata bahari pamoja na ujasiri kama huu?
@skeetergodwins2576
@skeetergodwins2576 Жыл бұрын
Hivi kweli viongozi wa hii nchi mmeshindwa kumsaidia huyu ndugu kweli? Mbona huyu Baba amekuwa akilia sana kwa muda mrefu.
@sultansallah8772
@sultansallah8772 Жыл бұрын
Tena tangu enzi za beautiful lsya
@sylvestersamwel8210
@sylvestersamwel8210 Жыл бұрын
Wafanyakazi wa TRA wanapokuta na mfanyabiashara wanajiona wao ni miungu watu, lakini mishahara yao inatokana na kodi na tozo za wafanyabiashara.
@AGNESKiwia
@AGNESKiwia Жыл бұрын
Yani mjiandae jicho la Mungu linamulika kuliko kawaida lazima Mungu awahadhibu.
@leonardramiye8207
@leonardramiye8207 Жыл бұрын
Kumbeeeeeeee ndio maana wanasema ni kauli za wanasiasa
@deboramuhoja1777
@deboramuhoja1777 4 ай бұрын
Hii kauli ya "Serikali italishughulikia" inatumaliza😢 Mungu anawaona waliofanya kumnyima haki yake huyu baba😭😭😭
@babuukiveha2745
@babuukiveha2745 Жыл бұрын
Inakuwaje mtu ananyanyaswa namna hii ndani ya nchi yake?? kama ndo hivi kulikua na maana gani kuwafukuza wakoloni sasa?
@zuzadomikano3765
@zuzadomikano3765 Жыл бұрын
WEWE USIJIDANGANYI HUYO HUYO KASIM MAJALIA MPIGAJI MZITO NAYUPO NAHAO WAKUU WA Tra ,MCHEMBE NA HUYO MAJALIA NDIE WA REFA WAHIO MICHEZO...
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk Жыл бұрын
Wakikulipa kafanye sherehe! Taasisi zetu zinapenda Sana zikiona jamii yake inaishi kwa kukandamizwa miaka saba7 hujalipwa na unasema kunaafadhali unaweza kulipwa! Waziri mkuu anakumbuka tatizo lako kwenye mgomo na TRA wamekufilisi Sasa unatafuta hela ya kula! Haya ndiyo malimwengu ya taasisi zetu wamejaa dhuruma tupu!
@marylyimo8446
@marylyimo8446 Жыл бұрын
Nivema angeenda kutoa sadaka wakimlipa kuliko Sherehe.
@marylyimo8446
@marylyimo8446 Жыл бұрын
Sadaka Kwanza wakimlipa
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk Жыл бұрын
Walipaji wapo wapi hapo Ila wao wakicheleweshewa stahiki zao. Dunia mzima itakuwa,
@gabrielmbeyanje7487
@gabrielmbeyanje7487 Жыл бұрын
Wangekuwa ndugu zao swala hilo wangeshughulikia zamani kama wanavyosema wenyewe kuwa ccm inawenyewe ni hivyo hivyo
@chingaboy1149
@chingaboy1149 Жыл бұрын
Hii inch haina aman ila huŵezikujua mpka upate matatizo ccm ni system matatizo yote chanzo ni ccm
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu Жыл бұрын
Duu pole sana kakangu mungu yuupo
@chesconkwera2005
@chesconkwera2005 Жыл бұрын
Kweli mfanyabiashara anakuwa Mkimbizi kwenye nchi yake
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 Жыл бұрын
Hatari sana
@mambiasamwel5407
@mambiasamwel5407 Жыл бұрын
Usimamizi na ufuatiliaji ni ndo changamoto kwa viongozi wetu!!
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 Жыл бұрын
Nimekumbuka juzi mtanzania mwenzangu baada ya lililotokea kariakoo
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Waziri Mkuu huyo huyo hana msaada wowote ni Serekali ya ulaghai udhulumaji ndio maana umefunikwa ili usiongee ukweli kuhusu haki yako.Mungu atakulipia
@wadhhasuleiman2621
@wadhhasuleiman2621 Жыл бұрын
Hakika hap hao ndo wadhulumat
@karimmunis8302
@karimmunis8302 Жыл бұрын
Kama waziri mkuu anashindwa kumsaidia mtu kama huyu .na mwingine tena wa kumsaidia jamani
@habibarashdi2250
@habibarashdi2250 Жыл бұрын
Walikuzuia kuongea wanajua aibu walokuanayo nawalichokufanyia
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 Жыл бұрын
Niliangalia mwanzo mwisho siku ya makubaliano kati ya waziri mkuu na wafanyabiashara sikumuona.
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 Жыл бұрын
haki yako itapatikana endelea kumtegemea.Mungu, sema.nchi yetu shida haifai hata kidogo
@chingaboy1149
@chingaboy1149 Жыл бұрын
Nyinyi mmetiwa chuki mkaona wape wapuunzi kwa ccm hii 😢mtasikia redion tu maendeleo
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 Жыл бұрын
@@chingaboy1149 😁😁 hao wapinzani awapo tyr huko owao ruzuku za watu flani je nchi km nchi wataweza mwemyekiti mugabe more than 20 pia kuna mashaka
@ashaally6993
@ashaally6993 Жыл бұрын
Jamani dhuluma hii itawstafuna wahusika wote!!! inauma sanaa😢
@honestmsigwa920
@honestmsigwa920 Жыл бұрын
Serikari ya majambazi hii nchi yako unakosa uhuru kweli jamani.
@gideonibatangaki1317
@gideonibatangaki1317 Жыл бұрын
Ila mko hatari mnampereka jukwaa kukuu yeye kamanani Kama Sio kutaka kuficha huozowenu,namungu nimkuu kamuwekea ujasiru na nguvu kuwaonesha haki haipotei.
@ommyjuniorjumbe3328
@ommyjuniorjumbe3328 Жыл бұрын
Huu ni uhuni na dhuluma kubwa nyie wenye dhamana..Mungu anawaona
@maryamabdallah3140
@maryamabdallah3140 Жыл бұрын
Hawaiogopi kesho yao...Allah atawadhalilisha wote wanaofanya dhulma. @ommyjunior
@isaiahmwasonzwe2486
@isaiahmwasonzwe2486 Жыл бұрын
Duuuuh yaan adi leo unateseka pole sana mzee
@oman7710
@oman7710 Жыл бұрын
Subhanallah nchi hii kwa dhulma lakini Mungu yupo
@kalikumtimamaganya4448
@kalikumtimamaganya4448 Жыл бұрын
Pole sana
@patrickjohn4086
@patrickjohn4086 Жыл бұрын
Aibu kubwa sana kwa serikali, wakati report ya CAG inaonyesha pesa kibao zimeliwa na majambazi serikalini but huyu mwenye haki kumlipa ni ngumu. Kweli???!!!
@bullychandy6509
@bullychandy6509 4 ай бұрын
Mwenyezi amlaze pema
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 Жыл бұрын
Du ukisikia sayansi ndo hii watu wanakupeleka jukwaa kuu ili wakufiche.
@nathanieldaud3744
@nathanieldaud3744 Жыл бұрын
hii nchi ngumu sana, na tunaambiwa tuna uhuru Tanzania, uhuru huo ni upi? mtu anakosa haki zake za msingi kibabe kabisa,serikali imekuwa kama majambazi
@hasnuumakame9219
@hasnuumakame9219 Жыл бұрын
Kaka sisi kiuchumi na kisiasa sio huru kabisa, na watotufanyia haya yote ni hao hao Kila siku ambao ndio maadui zetu wa Kila siku.. CCM ni tatizo la kudumu la hiyo nchi yetu, tuki solve hapo bas ndio tutaokoa sisi nafsi zetu na wenetu watakaofuata baada yetu sisi..
@ericrukamba6802
@ericrukamba6802 Жыл бұрын
Wajanja hao wahuni, Kwanini wakuzuie kama sio makanjanja?
@leonardmayunganyamfanka9623
@leonardmayunganyamfanka9623 Жыл бұрын
Du! Viongoz wetu mnatuharibia maisha yetu sis navizazi vyetu tunataman nasis tusomeshe shule nzuri km nyiny lkn ndio ivo mmejaa roho mbaya zaid yamajambaz
@fatmaally7252
@fatmaally7252 Жыл бұрын
Kwa kifupi viongozi wetu ni manyampala wa majambazi yaaani kwa kifupi kwenye ujambazi wamepitiliza ni hatari zaidi ya magaidi
@SinepStephano
@SinepStephano 3 ай бұрын
Binafisi naumia waziri mkuu mko wapi tusaidieni dhuluma ni nyingi mnatoa maelekezo Kwa viongozi mkishaondoka hawatekelezi Nini maana yake wekeni kamati zinazofatiria maagizo yenu Kwa viongozi kama wametekeleza bila Ivo mnafanya siasa tu watu wanaumia
@RobertGwelela
@RobertGwelela Жыл бұрын
Mimi ninachoweza kukushauri ndugu Ramadhani.Mtafute yule mwenyekiti wa wafanyabiashara ambaye Waziri mkuu alimwambia aongee kwa niaba ya wafanyabiashara siku alipokuja kariakoo.ukishampata mwambie akutafutie namba ya waziri mkuu,hata Fred Vunjabei utafutiwe namba upewe ili uongee na waziri mwenyewe,ktk wale 7 yeyote ongea nae.ili uwe unamkumbusha mara kwa mara,ukishindwa kabisa hata namba ya naibu waziri.Hawa viongozi wetu wana mambo mengi ni rahisi kusahau,hata kamishina wa TRA uliyemsema kama unaona ana moyo wa kukusaidia mwombe akupe namba.wewe sasa hivi mwana wane fight kupata namba ya Waziri mkuu.tena utakapoipata na kumpigia umkumbushe kuwa ni mimi ambaye Hayati JPM alisema ushughulikie jambo langu,yamkini ulitingwa na shughuli za kiserikali kupitia kikao cha Mnazi mmoja nisaidie na mimi niendelee na biasharaia mzee.
@OmaryDigha-pz9sl
@OmaryDigha-pz9sl Жыл бұрын
Mr ntunzwe suala lako huwa linanigusa sana Mungu atakusaidia
@fikiriseleman3460
@fikiriseleman3460 Жыл бұрын
Waha nawakubal sana kwenye biashara
@angelavayinga914
@angelavayinga914 Жыл бұрын
Daaah huyu baba mda sana kesi yake
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
The all system ni kulindana ndio maana hufanywa recycling na sio kuwatoa wakitenda maovu au sio kuwashitaki wezi na wabadhirifu wa mali za umma hii inatufanya tuone huu ni ushirika wa kula mali za umma
@josephmugala1970
@josephmugala1970 Жыл бұрын
Mzee Hadi magufuri mwenyewe Yumo ndo Alikuwa Anawatuma, Huku Alikuwa Anajisafisha tu.
@jeremiahwilfred3368
@jeremiahwilfred3368 Жыл бұрын
Acha unafiki Magufuli aliagiza mwenyewe baada ya kupata taarfa ya uonevu, hivinunaweza kulinganisha hali ya sasa na ya wakati wa Magufuli kwa uonevu wa watu kawaida?
@josephmugala1970
@josephmugala1970 Жыл бұрын
@@jeremiahwilfred3368 media zilibanwa isingekuwa rahisi kuyaona Maovu yake
@mwanamatofali6981
@mwanamatofali6981 Жыл бұрын
Wao wanajua kukusanya tu Kodi, kuzitapika ndo wanashindwaa, wanakaa kukwepanaa tuu
@estakapufi7582
@estakapufi7582 Жыл бұрын
Yani sio sawa kabisa selikali wasiwe watu wakusilikiza matatizo alafu mnasema mnashughulikia ivi myaka saba kweli mtu anafamilia pesa katafuta kihalali leo mnamsumbua mpaka anaamua kuhama mji kweli hii sio sawa viongozi husika muwe na huruma jamani.msiwe madaraka mliopewa mnatumia kinyume cha shelia hii dunia tunapita mkumbuke kuna hukumu baada ya maisha ya apa duniani, ivi nchi itakuaje na maendeleo ikiwa wafanya biashara wakubwa wanafanyiwa mambo kama haya pesa wanakula watu kilahisi tu kwa watu wachache wasiopenda maendeleo ya nchi yetu kila mtu analalamikia T.R.A ivi kunakitugani kimejificha juma ya hao wanaoganya madudu mkubwa wa kodi za mapato hasikii kilio hiki au na yeye yupo pamoja nahao maana maamuzi yanachukuwa muda wote huo myaka saba inaumiza sana
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 Жыл бұрын
Wakungute halalibadili, wate tuu jamani zuruma hiyo ai njema
@issaalfani1030
@issaalfani1030 4 ай бұрын
R.I.P mzee wangu mongu ailale roho yako nzuri pema ulionesha Wafanya biashara namna ya kudai haki
@maymunamakungu6265
@maymunamakungu6265 Жыл бұрын
Kauli hiyo itatolewa mara ngapi jamani. Hawa viongozi ni wauwaji wakubwa. Huyu jamani inaonyesha hata afya yake si nzuri kwa changamoto mlizompa
@abbacushabba4110
@abbacushabba4110 Жыл бұрын
Hawawezi hiyo ni ujanja wa Paka na pacha
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Жыл бұрын
Uyu mwandishi anacheka tena jaman yuko sawa kweli? Mwenzie anaangaika na kufirisiwa alafu anatafuta usalama wake kashindwa kuishi mjini kwa uzembe na dhuruma za hao wanyang'anyi tena anacheka jamani
@amadmdutukomba
@amadmdutukomba Жыл бұрын
Aisee hatari, mungu anawaona,
@lailalaila8206
@lailalaila8206 Жыл бұрын
yan mtu unatafuta mtaji ili hujikwamue kimaisha na utoke kwenye humasikin lkn ndiokwanza unajikuta unajingiza kwenye humasikin TRA mungu hanawaona hachen roho mbaya zuruma iyo mnaowafanyia watu itawatafuna tena mjue hamtoishi milele na dunian tunapita aisee mwaka7 pesa wanazo wao hu ni unyanyasaji wa hari ya juu,bola katiba mpya ije hawa viongoz wamezid kutunyanyasa sana wanajifanya mungu mtu
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Nchi hii ni mbaya kuliko tunavyoijua
@fikiriseleman3460
@fikiriseleman3460 Жыл бұрын
Namkumbuka huyu baba.....
@veronicatweve8908
@veronicatweve8908 Жыл бұрын
Hata mie jomon
@chesconkwera2005
@chesconkwera2005 Жыл бұрын
Hii nibdhambi kubwa sana
@RehemaYakubu-ns3el
@RehemaYakubu-ns3el Жыл бұрын
Nice
@musamwambene1323
@musamwambene1323 Жыл бұрын
Pole kaka
@lastkinglastking3326
@lastkinglastking3326 Жыл бұрын
Mpaka Sasa huu jama Bado hajaripwa?😭😭😭 Naogopa watakuja kumuuwa baba wa watu😢
@imakubari6786
@imakubari6786 Жыл бұрын
Aisee poreee sana nduguyangu
@aayanmaroba6056
@aayanmaroba6056 Жыл бұрын
HUYU MZEE KAHANGAIKA SANA KUHUSU TRA KUMBE MPAKA SASA HAJALIPWA KUMBE NAMFAHAMU NI MZEE WA KIGOMA UYO DAAH KUMBE WAFATILIAJI HAWAPO KABISA
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 Жыл бұрын
Jamani Ntunzwe bado hajalipwa? Naamini kwa mama hili litamalizika.
@fatmaally7252
@fatmaally7252 Жыл бұрын
MWENYEZI MUNGU AKUSAIDIE AKUPE UJASIRI NA MOYO WA SUBRA MANA INASIKITISHA NA INAUMIZA KWANI TRA NDO NANI INAMAANA IPO JUU YA RAISI NA SELIKARI AU VIPI MANA KAMA NDO WAMESHIKILIA HII NCHI INAWEZEKANA ATA RAIS AKIWA HAYUPO TRA INASHIKILIA NCHI HII TRA INANGUVU KULIKO JESHI YA NCHI
@halimasaleh5705
@halimasaleh5705 Жыл бұрын
Nilikuwa namuamini sana waziri mkuu lkn kwa hili kwakweli imani yng imepotea kabisa
@jumapilimgunyi5420
@jumapilimgunyi5420 Жыл бұрын
apewe ushirikiano : Serikali inashindwa kutoa uamuzi kama inaona hana haki imujulishe kama inamlipa Imlipe Hiichelewesha Ina maana gani ? kuna kitu gani? Je ? Kama ni mtu ambaye hana uwezo wa kufuatilia ingekuwaje? Inaonyesha wanyonge weengi waliisha Nyongwa
@dapinitiative2451
@dapinitiative2451 Жыл бұрын
Huyu Mzee aliniuma na Kila nikimuona naumia zaidi !
@ElaLameck
@ElaLameck Жыл бұрын
Muda utaongea.... Let wait....😢😢😢
@jumamussa2689
@jumamussa2689 4 ай бұрын
Mfanya biashara anafanywa kama jambazi kweli tunaenda wapi?
@timothymoshi5800
@timothymoshi5800 Жыл бұрын
Mkuu, pole.
@noelnoel4916
@noelnoel4916 Жыл бұрын
Babu Rama mwingine alikuwa kahama mjini jina lake lilivuma sana. Wenyeji wa kahama. Mh Mbowe aliwahi kusema mnyonge myongeni haki yake mpeni. Wafanyakazi tufanye kazi kwa weledi mzuri tuisaidie serikali ya Rais wetu mpendwa Rais Samia
@user-cg1ez8qm5s
@user-cg1ez8qm5s 4 ай бұрын
JAMANI BWANA RAMA KAJIPIGA RISASI MUDA C MREFU KAFIRIKI URAMBO - TABORA
@MankoWeitala-pe7mi
@MankoWeitala-pe7mi Жыл бұрын
Pesa mnayo kwenye mpila kilasiku mnatowa ela izopesa zampila simpe uyo mbaba wawa2 afanye mayisha yake mnajuwa kudayi kodi
@The90roman
@The90roman Жыл бұрын
Haki ikicheleweshwa inakua imepotea, "Justice delayed is justice denied"
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 Жыл бұрын
Haki yako itapatikana ila itachelewa...!!
@The90roman
@The90roman Жыл бұрын
haki iliyo cheleweshwa, ni haki inaliyopotea, "Justice delayed is justice denied".
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 Жыл бұрын
Siwapendi TRA na Serikali yake..kwa walichonifanyia Nitawalaani Ukamilifu wa Dahali..Makamishina waliohusika na Jambo langu..Mungu yupo yupo..Pole sana Mwamba hivi ni Kweli Mnafika hatua mnamhamisha Mtu mjinì..?..Ok why Waziri mkuu akatae huyu jamaa asiongee..?..Watu wana akili wamemficha jamaa Nyuma ili asionekane..asee😂
@denispaulo1295
@denispaulo1295 Жыл бұрын
Hapo ndo naunga mkono maneno ya mh Lisu juu ya kasimuu kwamba ni .......ila mungu yupo
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 Жыл бұрын
Nchihii yatz inaviongozi magaidi wakutisha,tusiwachekee sisiraia wanchihii, bilakuhofia chochote lolote tuwalazimishe kubadilisha katiba hiimbovu
@simonjnrmabula3785
@simonjnrmabula3785 Жыл бұрын
Haki huokoa Taifa.
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 Жыл бұрын
Huyu jamaa wamemuonea long time sana
@njuka3515
@njuka3515 Жыл бұрын
Kwani tra walimfanyaje
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj Жыл бұрын
Angekuwepo magufuli lingeisha😢
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 Жыл бұрын
Sikiliza vizuri ndugu yangu hili la 2017 mangufuri akiwa hai kwani magufuri amefariki 2021 au haukusikiliza ameangalia tu!!!
@elsonkibasindila7526
@elsonkibasindila7526 Жыл бұрын
Ng'ombe
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj Жыл бұрын
@@elsonkibasindila7526 Punda
@mohamedelmi7435
@mohamedelmi7435 Жыл бұрын
Aisee duh kweli hamna hata TRA moja ataenda peponi wote motoni kwa sababu wanacho fanya ni dulma sana. Huyu mzee namfatiliya sana na mbaka sahivi haja pewa haki yake walahi ina uma sana na mm si mtanzania. Insha Allah may Allah give him subra na apate haki yake.
@wanderenyeura9011
@wanderenyeura9011 Жыл бұрын
Wazo langu TRA wawe wakusanya Kodi na sio kusimamia wafanyabiashara. Kuwe na chombo Maalum kusimamia wafanyabiashara.
@alexmatt9504
@alexmatt9504 Жыл бұрын
Hili suala la huyu Ramadhani Ntunzwe ni la muda mrefu sana watu tulifikiri ameishalipwa! Ndiyo maana nashauri TRA ivunjwe uwajibikaji ni mdogo na hauna ufanisi, hivi vitendo vyote viovu wanavyozungumza wafanya biashara ni aibu kwa TRA. Instead of collecting fair tax they do "extortion"
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 Жыл бұрын
Nakumbuka aliendelee kulalamika mwaka juzi
@peterdaimon-ug6fd
@peterdaimon-ug6fd 9 ай бұрын
Huyu jamaa Bado hajalipwaa eheeeee
@JUMARAJABUKACHEPA-jp3nc
@JUMARAJABUKACHEPA-jp3nc Жыл бұрын
Dua ya mwenye kudhurumiwa hainaga panzia
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 Жыл бұрын
watZ mnaongozwa namatamshi tu hii nishida kwawatzwote, lazima tuunganekwapamoja tutengeneze misingi imAra yenyemisingirafiki naraia
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 31 МЛН
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 27 МЛН