MATAPELI WAIBUKA KUMTAPELI MFANYABIASHARA WA KARIAKOO WAKITUMIA KIVULI CHA WAZIRI MKUU AWABAINI

  Рет қаралды 63,079

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

2 жыл бұрын

MATAPELI WAIBUKA KUMTAPELI MFANYABIASHARA WA KARIAKOO WAKITUMIA KIVULI CHA WAZIRI MKUU AWABAINI
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV ( +255 767 400402),
🔘WhatsApp ( +255 692 318213)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com

Пікірлер: 189
@malkiamariamvuga3342
@malkiamariamvuga3342 2 жыл бұрын
Pole sana kakaangu MUNGU akupe ulinzi naamini kwa uwezo wake MUNGU utashinda
@issaalfani1030
@issaalfani1030 4 ай бұрын
M/mungu ailaze royo yako pema TRA wameamua kukupa deni la milion 500,000,000 mpaka kuamua kujitoa uhai pole sana kaka kiukweli imeniuma hasa pale ulipokua unapita nyumabi unaonga na Baba
@MamaMolin-oq7pz
@MamaMolin-oq7pz Жыл бұрын
Najua unamauvivu wa peds zako ila uku uliko fikia achana nayotuu apo akuna msaada wakuutegemea babaangu muambe mungu nawalio wema pia tunakuombea kwamungu akiako utalipwa AMINA
@salimumohammedsalimu1720
@salimumohammedsalimu1720 2 жыл бұрын
Pole mzee Allah qarim, Asbbuna Allah waallah nemalwaqil 🤲🤲
@user-cl2jr3re4s
@user-cl2jr3re4s 2 жыл бұрын
Pole sana mzee wangu mm nilikua nataka nijue unadai shiling ngap hivho mbona ulitoa dau la milion hamsin fifty milions unadai kiasi gani. Alaf nakushauri kama ulipiga kz ukapata hio acha kuliwa liwa pesa zako muombe mung simama imara utapata zingine fanya kama ulikua na gari likatumbukia wam unalisahau kbs nakuanza upya utashida usije ukapotezewa maisha na vipofu ambao hawawezi kutafta za kwao mungu ni mkuu .
@rosenyato8729
@rosenyato8729 2 жыл бұрын
Matapeli hawakujui wewe kuwa hudanganyiki. Ushapitia mengi. Pole sana
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 4 ай бұрын
Kwa kweli una haki ya kuchanganyikiwa Allah Ailaze roho yako Mahali pema peponi.inauma Sana umezungukwa kwa jasho lako Ila damu yako itatembea na kila Aliyehusika kwanamna moja ama nyingine vizazi 7
@sudymgeni701
@sudymgeni701 2 жыл бұрын
Duhh kaka umepitia magumu sana sana.ila mungu yuko nawe Mr ramadhani.yani haki yako inapotea ivi ivi. Kweli jamani
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
Ndio tujue hii nchi hakuna haki ni watu wa dhulma tu .Wanajali maisha yao na familia zao kula kodi zetu tu.
@fatmaally7252
@fatmaally7252 2 жыл бұрын
Yaaani sijui kama selikali ipo au haipo uyu baba ishu yake ya siku nyingi sana ila bado awajamsaidia maskini
@wanderenyeura9011
@wanderenyeura9011 2 жыл бұрын
Mzee wangu nakushauri achana na hizo hela ,Mungu atakulipa ,naona jambo kubwa sana laja mbele yako,take care my dad!
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Umeonaee
@jasminegabriel4247
@jasminegabriel4247 2 жыл бұрын
Una jua pesa ina tafutwaje wewe?
@ahz6907
@ahz6907 2 жыл бұрын
@@jasminegabriel4247 watamuua huyo asipokuwa makini.tangu 2019 jpm yupo hai anapambana hajapata hata senti unadhani utawala huu atafanikiwa?😎
@emmadominic9601
@emmadominic9601 Жыл бұрын
Hapana,nakataa kabisa,wacha mzee apambane,aifie haki yake,mbona ktk vitabu vya dini watu waliifia imani yao?Na sasa ni watakatifu huko Mbinguni?!
@emmadominic9601
@emmadominic9601 Жыл бұрын
@@ahz6907 Bro.simple arithmetic answer nikwamba,waliomdhulumu haki huyo mzee ni wateule wa.......malizia.
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Pole sana ndugu yangu katika Imani, haki ya mtu haipotei, ipo siku Allah atajibu maumivu yako kivyovyote vile inshallah 🙏
@madhuru2554
@madhuru2554 2 жыл бұрын
Binadamu hawana Imani wallahi ukatili ndio walio nayo Inshaallah mungu akusaidie.
@abdulnaseermrisho4342
@abdulnaseermrisho4342 2 жыл бұрын
Wallah huyu Mzee anapitia mitihani sana,Tangu 2019 hadi leo hawajafanya kitu
@ip_header
@ip_header 2 жыл бұрын
Pole sana mzee umesumbuka sana, Na uhakika 95% Mama Samia akisikia suala lako kipindi hichi atakupatia haki zako.
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 жыл бұрын
Mhh ndugu yangu sidhani maana kuna matukioeeeengi yametokea mama sijamskia akitoa kauli yake ya mwisho ya kusema kuwekea mkazo mkubwa adi watendaji wake waogope wajue hili jambo tukichukulia poa kazi hatuna sio sasa ndugu yangu
@rosekaiza2716
@rosekaiza2716 Жыл бұрын
Pole sana kaka yangu watu unaodili nao ni watu wazito sana mungu akutangulie upate haki yako pia hongera sana unajua kujieleza vizuri sana
@aronlwabukoba2306
@aronlwabukoba2306 Жыл бұрын
Pole sana kaka, Askali wetu hawana tu
@abubakarikisuju80
@abubakarikisuju80 2 жыл бұрын
Pole sana mimi nilitapeliwa 450,000.
@godsonndamgoba8053
@godsonndamgoba8053 2 жыл бұрын
Pole sana Brother K ,Mungu yupo
@wazomyakinifu2301
@wazomyakinifu2301 2 жыл бұрын
Msipotoshe watu. Issue kubwa hapo si matapeli kuibuka bali ni mfanyabiashara kutotatuliwa kero yake na serikali na kuyaweka pabaya Maisha yake. Hao matapeli ni muendelezo tu wa dhuluma dhidi ya mfanyabiashara huyo
@ufalmekz4998
@ufalmekz4998 2 жыл бұрын
Mbona unakwepesha maana???
@AthumanDauda
@AthumanDauda 27 күн бұрын
Tra ndo wanachesha mambo haya
@fatimahants1526
@fatimahants1526 2 жыл бұрын
Jamani kumbe huyu baba bado anateseka.....serikali hawasikii kilio chake ni muda mrefu sana akisumbuliwa
@jumakalukule5312
@jumakalukule5312 2 жыл бұрын
Aisee mwenyewe nimeshangaa tz kweli hakikwamungu
@fatimahants1526
@fatimahants1526 2 жыл бұрын
@@jumakalukule5312 muda sana akilalamika kuhusu uhuni anaofanyiwa, 2020 clip zake naziona kwenye vyombo vya habari
@fatimahants1526
@fatimahants1526 2 жыл бұрын
@@jumakalukule5312 Magufuli aliagiza alipwe haki zake na TRA
@sadasaid7212
@sadasaid7212 2 жыл бұрын
Mimi nilikua najiuliza siku nyingi, aliamuaga kuyaacha au vip?? Kumbe bado anaendelea tu!! Aisee mungu akusimamie babaangu! Usikibali kudhulumiwa, kwa sababu hata Dino nayo haikibali kudhulumiwa kibwegebwege! Na wakikuua in Shaa Allah..damu yako haitakwenda bure! Allah atakulipa tuu!! Endelea kupambana mzee wangu
@nditihamisi186
@nditihamisi186 2 жыл бұрын
Pole sana kk
@zamzamabdi5279
@zamzamabdi5279 2 жыл бұрын
Wali walio kuteza Kwa jasho yako mungu atawa angamiza wao na vizazi you Insha Allah ntafanya dua Kwa mungu awalipe haraka sana.kabla mwezi wa wa ramazani.
@martinmaryogo3676
@martinmaryogo3676 2 жыл бұрын
daaaaaaaah hii kwel ndo tanzania aseeee, ivi kwel kumbe kuna mambo mengi yanafanyika na vyombo vya ulinzi kbsa
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
Sio hayo tu ukizunguka Tanzania nzima utalia
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 жыл бұрын
Ili uishi vizur unatakiwa uwe maskini
@lucaslabowa5054
@lucaslabowa5054 2 жыл бұрын
We jamaa HATARI SANA KWA kujieleza alidai sana HAKI zake KIPINDI cha JPM. NAAMINI atalipwa na SAMIA
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
Ahhh wapi?
@justamarrymanga2500
@justamarrymanga2500 2 жыл бұрын
Mama. Yetu samia see mwenyezi mingu akupe wepesi umsaidie ramadhani
@user-ry8qb1rh8k
@user-ry8qb1rh8k 4 ай бұрын
😢😢😢😢hiii serikali ngumu sana ukitapeliwa ndio utaijua serikali yetu ikoje
@JosephSimiyu
@JosephSimiyu 2 жыл бұрын
Pole Kaka Mungu akupiganie
@AthumanDauda
@AthumanDauda 27 күн бұрын
Kaka uko vizur sana nchi hii inawatu wapuuz mpk shetan akasome
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Ай бұрын
Commissioner general wa tRA kipindi hiki cha huyu M/Bisashara alikuw Charles Kichere ambaye sasa ni CAG. nashindwa kuelewa huy CAG japo anafumbua shida za corruption lakini yeye pia sakasaka hili lilikuwa chini yake jmni
@nurububa6691
@nurububa6691 Жыл бұрын
Mungu akulinde kwakweli
@loveremedy5348
@loveremedy5348 2 жыл бұрын
Sasa hvi ukikamata mwiz Ni kuuwa tu polic n upuuz mtu... Niliwah kuibiw naenda kuripot polic askar ananiuliz unakaki moja hpo!? Hyo Ni akili kwel au useng
@kul1512
@kul1512 2 жыл бұрын
Pole sana kaka rama yaabi ninavyo kuona hua naumia ulivyo tendewa muombe mungu tu akusaidie
@eliamwasomola578
@eliamwasomola578 2 жыл бұрын
Genge la wahuni limekuwa kubwa Sana na viongozi humohumo ndani duuuhuu Mungu utuvushe watu wako
@teddytedy248
@teddytedy248 2 жыл бұрын
Mungu akulinde
@winnesakara6957
@winnesakara6957 2 жыл бұрын
Aisee pole sana
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 2 жыл бұрын
Mzee ninamashaka na malipo yako kama utalipwa kweli dhuluma imekuwa kubwa sana na pesa kila kukicha inachukua uhai wa watu, ukiona mtu aliyetaka kushughulikia swala lako baada ya kulivalia njuga akahamishwa kituo, hapo situka mapema tu, ushauri wangu ikiwezekana achana tu na hii ishu Mungu atakupa zaidi ya hizo walizokudhurumu, pesa zinatafutwa tu ila uhai huwezi kuutafuta. MUNGU akutangulie.
@ahz6907
@ahz6907 2 жыл бұрын
Kweli aisee.maana hao polis wanauwa watu kabisa. Huko mtwara wameua watu na kuchukua pesa zao.ajiangalie aisee.
@teychriss3248
@teychriss3248 2 жыл бұрын
Heeee!! Hii kesi bado tu?? Mmh!! Iam speech less kwa kweli!! Dah Mungu akupe wepesi!!
@user-qi2bt7mw4x
@user-qi2bt7mw4x 4 ай бұрын
Mama Samia tunaomba uwafatilie Hawa watu wanao husika na hili maana huyu Babu kaacha familia
@scolasticakaduma5143
@scolasticakaduma5143 2 жыл бұрын
Pole Sana kaka . Polisi wa nchi hii hawaeleweki hata Mimi dadako nilishatendewa hivohivo na OCD wa Chunya Mwaka 2018
@samwelimoshi5614
@samwelimoshi5614 2 жыл бұрын
Ikawaje sasa best
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 жыл бұрын
Duuu pole sana
@user-dc4ts5uf7x
@user-dc4ts5uf7x 9 ай бұрын
Nashangaa kuona mpaka Leo hii hujafanikiwa Allah akufanikishe.
@othmanshahib1115
@othmanshahib1115 2 жыл бұрын
Kitengo cha cyber wanasumbua sana ukipeleka kesi ya kum Truck mtu unapelekea ulaji maana huwa wanapewa dau kubwa na mshitakiwa kuliko mlalamikaji hakuna maana ya cyber yao inawasaidia wao tu
@emmadominic9601
@emmadominic9601 Жыл бұрын
Hiki kitengo ni muhimu sana,hivyo basi Rais alitakiwa akasim mamlaka hayo kwa kwa Detective of Tanzania People's Decenc Force.(DTPDF).Basi,kusingekuwa na magumashi yoyote.
@mrdeniskomba6199
@mrdeniskomba6199 2 жыл бұрын
Huyu kajitokeza, je walio kimya wangapi..... Mungu atahukumu kwa haki. TRA ni kichaka cha shetani.
@jumakalukule5312
@jumakalukule5312 2 жыл бұрын
Polesana nimyaka mingi tangu magufuli unasumbuliwa tu ila naamini hakiyamtu haipotei utaipata kwanjia anayoijua m/mungu
@OmanOman-fb8mj
@OmanOman-fb8mj 4 ай бұрын
Allah akupe kauli thabeet 😢duh umefanya uamuzi mbaya
@TALLUBOY
@TALLUBOY 2 жыл бұрын
Interview yako Nimesambaza magroup5 Mzee pambania Aki yako
@meshakieliya1983
@meshakieliya1983 2 жыл бұрын
Wew mzee mwachie mungu tu yasamehe
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 4 ай бұрын
Nchi ya dili. Duh jamani. Mungu akulaze mahali pema peponi
@abiudkarume938
@abiudkarume938 4 ай бұрын
Uyu muha nimshamba sanaaa nakajiuwa kwaajili ya ujinga wake unaishi mjini naunafanya biashara bado mjinga
@zakariasengo8930
@zakariasengo8930 4 ай бұрын
Ishi milele wewe mwenye akili,,kitakukuta kitu Cha kijinga kuliko ujinga wa uyo Muha na kitakuua
@modestersalmon7764
@modestersalmon7764 2 жыл бұрын
Angalia Kaka wasije wakakuua
@fatmaally7252
@fatmaally7252 2 жыл бұрын
Mungu akusaidie wewe baba una mtihani mkubwa sana ni wa muda sasa ila upo makini mungu akusaidie sana n
@bigboys016
@bigboys016 2 жыл бұрын
Pole sana mzee wangu
@ramadhanmasiku4105
@ramadhanmasiku4105 2 жыл бұрын
Kaka ukitaka uonekane mbaya dai chako😭
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 2 жыл бұрын
Acha MUHA aitwe MUHA💪💪💪💪💪
@AwaziRajab
@AwaziRajab 4 ай бұрын
Sasa Mbona Inaonesha Kama Watu Wenyewe Sio Wazawa Hata Sura Zao Uyo Mwenye Kikofia Uyo Mbona Kama Mtu Kutoka Congo Au Naijeria
@helencyprian8745
@helencyprian8745 4 ай бұрын
Jamani hii serikali inamsikiliza nani kama sio.wananchi wake? Dhambi hii itawasumbua kwakuwa mmepanda mbegu hiyo
@ilankundastationery5886
@ilankundastationery5886 2 жыл бұрын
pole sana ila kwa ushauri wangu bora uachane nayo ili kuokoa maisha yako
@salumkhamis7818
@salumkhamis7818 2 жыл бұрын
Hivi kwanini Rais asimsaidie huyu baba mbona anateseka sana ewe ALLAH watingishe viongozi wasiotenda Haki kwa wanyonge hata wapalalaizi kabisa iwe fundisho
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
Hii kesi mbona ilienda mpaka huko mpaka kwa Waziri Mkuu wapi wote ni hali moja
@Views-mf8ir
@Views-mf8ir 2 жыл бұрын
Maovu niyakusema kwa sauti kubwa kabisa .. Tupaze sauti kama mzee wetu huyu ili kufichua maovu haya wazi wazi ..!!
@fatimahants1526
@fatimahants1526 2 жыл бұрын
History ya toka mwaka jana akilalamika kwenye vyomb vya hbari huyu baba inasikitisha sana namna binadamu wanvyo mtenda na serikali haijafanya s maamuzi mkp leo Pole sana, lkn majozi ya mweny kudhulumiwa yana malipo.
@husseinkarim7663
@husseinkarim7663 2 жыл бұрын
Wewe utaliwa pesa na kudanganywa wameshaona wewe hauna kisomo ni rahisi kudanganyika halafu wameshaona kuna ushirikina Kwa nini usiweke camera na kuwakamata. Pesa za serikali hupati, leo miaka 5 , umekosa wakati wa Magufuli sahao na shukuru mungu.
@monerexshowz5200
@monerexshowz5200 Жыл бұрын
Pole Sana kaka tatizo lako la muda
@edwardlyoba4909
@edwardlyoba4909 2 жыл бұрын
Uyumtu akifa wa Tanzania mtatua bia nin
@wananchitv8690
@wananchitv8690 2 жыл бұрын
Mbona unatapeliwa kiboya hivyo? Yaani uambiwe utume hela ya ticket ya ndege kwa mtu usiemjua?
@Kayaka_Family97
@Kayaka_Family97 Жыл бұрын
Aki ya mtu aipotei kizembe hivyo mungu hatokutupa ndgu akiyako utaipata mungu Yuu nawe kila mda nijambo la mda xana
@ramadhanimtetu7246
@ramadhanimtetu7246 2 жыл бұрын
Baba yangu Usiwe na shaka Waswahili wanasema " Anaetamba mpe Muda "
@user-zc2ms4wl6r
@user-zc2ms4wl6r 4 ай бұрын
Ndio kazi ya ukolo
@sifamushi1747
@sifamushi1747 2 жыл бұрын
Kwaio ungependa ufanyiwe ama usaidiwe vipi... mama naada ya malalamiko wht way forward na wht ur pray..
@thabitngangila8562
@thabitngangila8562 2 жыл бұрын
Bashiru na polepole hawapo sasa ni. Shaka na chengelwa.
@shamimhayat7637
@shamimhayat7637 2 жыл бұрын
Weka CCTV kila anae kuja ale kodiwe na picha mpigeni usikate tamaa
@noelbryson7840
@noelbryson7840 4 ай бұрын
Wamekusumbua mpaka umeamua kujiua.. Hakika damu yako itaondoka na watu wengi sana..
@willykyando5647
@willykyando5647 Жыл бұрын
Pole mzee hii ndio Tanzania
@PelleSamky
@PelleSamky 4 ай бұрын
Hakuwa na mtu wakaribu mbona mbona matapeli wanamshambulia saaa waziri wa feza anahusika nni na jinai?
@user-ez7lk3it5s
@user-ez7lk3it5s 4 ай бұрын
Rait.mwenda.zake.angekuwepo.hiiii.wangekipata.mha.huyu.asijiua.ona.sasa.watu.wasivyo.samini.uhai.wawandam.wenzao.utaza.yenyewe.hayatakufa.sote.razima.tunje.umauti.haijarishi.we.nani.
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 4 ай бұрын
Jamani amejiiua. Mungu waadhibu wote waliomtendea mtu huyu
@user-zc2ms4wl6r
@user-zc2ms4wl6r 4 ай бұрын
Kwaishu kama hiyo ww ndio mshamba kweli , waziri vidiri kama hivyo aanze kupoteza mda walikuona mjinga wakwanza kwenye hii mjitaidi kujua mazingira mpate kupona,,hilo swala nenda mahali husika
@wilsonmikate7570
@wilsonmikate7570 2 жыл бұрын
Mm sipati picha kama huyu ndg kesi yake ilifika kwa rais bado amekuwa akiyumbishwa je wakina cc likitokea la kutokea itakuaje.
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 жыл бұрын
Hata hivyo ana bahati Sana angekuwa kasha nyongwa kitambo,kwani kuna maslah ya watu yapo hatarini
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 4 ай бұрын
Umetumia nguvu nyingi maskin.ktk ichi hii
@bensonmwananchi7701
@bensonmwananchi7701 2 жыл бұрын
Kumbe alitapeliwa awamu ya tano.maana kawataja bashiru na polepole
@rosenyato8729
@rosenyato8729 2 жыл бұрын
Kumbe ulituma hela tena oooh!
@hilmialjahdhami9787
@hilmialjahdhami9787 2 жыл бұрын
BABU RAMA TUNAOMBA UTUELEZE JINSI GANI ULIIPATA ILE NYUMBA YA MTAA KONGO NA UHURU TUELEZE KAMA UNAVYOTUELEZA MATOKEO HAYO YANAYOKUSIBU
@kungurukingunge2761
@kungurukingunge2761 2 жыл бұрын
Mhh kanunua kama walivonunua wengine acheni wivu babu ni mfanyabiashara kma una tatizo nae fungua mashtaka
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 жыл бұрын
Wewe baanA kuwa makini kweli watakuua hao sio watu
@mussamalick1045
@mussamalick1045 4 ай бұрын
Dawa ni kuwasomea alalbadiri wataangamia wote
@greenwellnsyukwe4729
@greenwellnsyukwe4729 4 ай бұрын
Haya ni maisha tuu, yote yanapita.
@deejeydaev
@deejeydaev 2 жыл бұрын
Duhh huyu mzee anateseka kweli kweli
@raulentkabunga2727
@raulentkabunga2727 2 жыл бұрын
Like Brother K
@boniphacetabu2903
@boniphacetabu2903 2 жыл бұрын
Ni muha kutoka Kigoma
@isacklaurent8948
@isacklaurent8948 4 ай бұрын
ila naamin kna viongozi wamejitakia hukum ya ajab san
@elispiuselias1339
@elispiuselias1339 2 жыл бұрын
Kuna shida mahali ndyo maana hupati ushirikiano, kila mtu anataka hela ushirikiano utautoa wapi baba jamani.
@andrew29468
@andrew29468 2 жыл бұрын
Daaaa aisee huyu jamaa katasbishwa sanaaa Kuna mtandao mchafu sanaa Kuna haja ya rais kuingilia jambo hili
@DominicKani-ri9le
@DominicKani-ri9le 4 ай бұрын
Shida ya mali bila Elimu kama ninyi mtapigwa sana tuuu
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 жыл бұрын
INNALiLah wainnailaih rajiuun
@raphaelmchilo-kx4tt
@raphaelmchilo-kx4tt Жыл бұрын
Hiyondoselikaliya ccm juakwamba huoulikuwanimpango wawakubwa wakukutapeliwewe chakufanyahapo ungana nawapinzani watasaidia kukupigia kerere
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 4 ай бұрын
Ungejua ungehama kbs,rip
@user-no4ny7ox2d
@user-no4ny7ox2d 4 ай бұрын
Pumzika Kwaamani bro 😢😥
@user-zc2ms4wl6r
@user-zc2ms4wl6r 4 ай бұрын
Wewe nimrundi warumonge au Bujumbura
@hilmialjahdhami9787
@hilmialjahdhami9787 2 жыл бұрын
NAVYOSIKIA HUYU BABU RAMA ALIKUWA MGANGA WA GOLO KWAHIYO INAVYOSEMEKANA KADHULUMU NYUMBA ILIOPO MTAA KONGO HAPO K.KOO HICHO NDIO CHANZO YA MAUGOMVI ALLAH IPO SIKU ATADHIHIRISHA UKWELI MAANA BABU RAMA MAHAKAMA ZIPO KWANINI ULALAMIKE KWENYE MITANDAO
@frednandnsakuzi7584
@frednandnsakuzi7584 2 жыл бұрын
Mahakama ipi unayodhani itampa haki nchi hii?
@hilmialjahdhami9787
@hilmialjahdhami9787 2 жыл бұрын
Nawewe unavyodhani mitandao itampa haki?
@johnmasungansolezi576
@johnmasungansolezi576 2 жыл бұрын
Huelewi kitu
@ahz6907
@ahz6907 2 жыл бұрын
Wewe kama amedhulumu nyumba kkoo asingeachwa...lazima angenyang'anywa na serikali
@danielhumble4292
@danielhumble4292 2 жыл бұрын
Eti wanajiita wao ni walinzi wa raia na Mali zao kumbe wao ni majambazi namba Moja ktk inchi hii hawa police pumbavu kabisa Mimi kila nikipata madhila yakienda police lazima yageuzwe tuu nionekane mkosaji mie wapuuzi kabisa
@jamesjahasa3348
@jamesjahasa3348 2 жыл бұрын
Baba Pole saana hii ndio ndio Tanganyika
@richardnganya2311
@richardnganya2311 2 жыл бұрын
Fedha inaweza kunyamazisha haki kwa nchi yetu imezoeleka sana !!
@jacksonjonathan2262
@jacksonjonathan2262 2 жыл бұрын
Huyu bba kwa nn jaman asipewe haki yake
@modestersalmon7764
@modestersalmon7764 2 жыл бұрын
Wote hao mataperi baba jichunge
@loveremedy5348
@loveremedy5348 2 жыл бұрын
Hakuna watu wa hvyo Kama polic jamniii
@Fabulousmom509
@Fabulousmom509 2 жыл бұрын
Maskini hivi huyu Baba bado bado hawajamlipa pesa zake, na bado anatapeliwa dah
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 40 МЛН
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 25 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 6 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 84 МЛН
MFANYA BIASHARA AJILIPUA KUMTAJA MWIGULU SAKATA LA KARIAKOO
9:31
HIVI NDIVYO RAIS MAGUFULI ALIVYOWATUMBUA WAFANYAKAZI WA 3 WA TRA
4:21
Mwananchi Digital
Рет қаралды 38 М.
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 40 МЛН