MFANYAKAZI WA DIDA AFUNGUKA MAZITO "NIOMBEE MDOGO WANGU SIJUI KAMA NTAPONA..."

  Рет қаралды 64,424

Bongo Plus

Bongo Plus

Күн бұрын

Пікірлер: 48
@mashakamkela7340
@mashakamkela7340 3 ай бұрын
Mungu amlaze mahal pema peponi dada yetu
@ZawadiMuhidini
@ZawadiMuhidini 3 ай бұрын
Mungu akulaze mahali pema dada yetu amina 😭😭😭😭
@khadijaomar6730
@khadijaomar6730 3 ай бұрын
Innalillahi wainnailayhi rajiun..poleni sana
@mashakamkela7340
@mashakamkela7340 3 ай бұрын
Polen sana familia mungu ametoa na mungu ametwaa jina lake lihimidiwe aminas
@mariamali4252
@mariamali4252 3 ай бұрын
Mungu atujalie mwisho mwema
@AngelMbaga
@AngelMbaga 3 ай бұрын
Alex anaongea anachoulizwa, duniani watu huwa wanahulka mbalimbali. Wengine kwa asili ni waongeaji. Muacheni aongee ni emotions tu, kikubwa asiongee uongo na vitu vya watu vya ndani.
@KhamisiAbuu
@KhamisiAbuu 3 ай бұрын
Pole san kaka kumbuka dida ndo alikufanya uwe apo ulipo naa ndo alikifanya ujulikane jaman mungu amlaze mahala pema dadi
@linnerphilip4260
@linnerphilip4260 3 ай бұрын
Vidonda vinamaliza appetite ys kula atakuwa aliteseka asmaa . 😮😮
@SelineChandja
@SelineChandja 3 ай бұрын
Pole sana kweli😢😢😢😢😢😢
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 ай бұрын
Miak hio nipo bongo nilikuw nanunua nguo dukan kwa Dida kinondon. Mungu amlaze pema pepon Amiina
@ElizabethFabian-pn8bv
@ElizabethFabian-pn8bv 3 ай бұрын
Daah polen san wafiwa mungu amlaze mahala pema peponi🙏 ila alex chukua no yangu
@R10_Rajab
@R10_Rajab 3 ай бұрын
Mtangazaji ni kazuri MashaAllah ka black beauty
@Boaz22
@Boaz22 3 ай бұрын
Acha umalaya mbwa wewe,utakufa fasta sanaa😂
@annafredinandmatandiko8438
@annafredinandmatandiko8438 3 ай бұрын
🙄🙄🙄
@Mina.15
@Mina.15 3 ай бұрын
@@Boaz22😂😂😂
@joezeno8
@joezeno8 3 ай бұрын
@@Boaz22😂😂😂😂😂😂😂😂
@R10_Rajab
@R10_Rajab 3 ай бұрын
@@Boaz22 🤣🤣🤣🤣kwa maana hiyo hata tusisifu ?
@IsmailJuma-zb5ni
@IsmailJuma-zb5ni 3 ай бұрын
Innalillah wainna ilayh rajiuun, kumbe ilikua anamiliki Pub mtihani mkubwa huu.
@MwanamisiMunnah-x3v
@MwanamisiMunnah-x3v 3 ай бұрын
Kikubwa ni kumuombea tu..mungu ndo mwenye kutoa hukmu ..hata kama alikuw na nin..hatufai kumlaumu na lolot kwasas bali nikumuombea tu allah ablaze roho yake mahali pema basi
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 ай бұрын
Pole sana
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 ай бұрын
Dida alikuwa na Utu maskn 😢😢😢
@mariamsaid6334
@mariamsaid6334 3 ай бұрын
Ilo la kutokula ndo tatizo mana vidonda avitaki njaa kbs
@YusrahMohammed-rq1lz
@YusrahMohammed-rq1lz 3 ай бұрын
Hio pub ya kuuza pombe si salama kwa maisha ya kaburini ya marehemu ..ifungeni
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod 3 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢Dida
@kamikazisalma5209
@kamikazisalma5209 3 ай бұрын
Polenisana my brothers 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 3 ай бұрын
Pole sana kijana.
@mwajumamande8477
@mwajumamande8477 3 ай бұрын
Kiukwel kumbuka,lokole na babu Idd wameumia sana japo mi mwenyew mpk nilihisi vidonda vya tumbo kwa machungu ila wengine kama hawa wameumia zaidi daaaah😢😢😢😢
@alleytz
@alleytz 3 ай бұрын
pole sa alex 😢😢😢
@YusrahMohammed-rq1lz
@YusrahMohammed-rq1lz 3 ай бұрын
Dida pamoja na yote ila ana mazuri pia na nimeyapenda mazuri yake
@mashakamkela7340
@mashakamkela7340 3 ай бұрын
Jaman mungu awatie wepesi familia yake
@TunuMbega-g2y
@TunuMbega-g2y 3 ай бұрын
Lazima umpende c ulikuwa mdokozi na akufwatilii😅😅
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 3 ай бұрын
Poleni familia.
@josephinejoseph3919
@josephinejoseph3919 3 ай бұрын
😢Poleni Sana
@AishaSuleiman-m7h
@AishaSuleiman-m7h 3 ай бұрын
Vitonda vya tumbo vikikusumbua kiukwel huwez kula achani ni mtihani vinatesa yn mno hutmn kula
@awetumtengera1147
@awetumtengera1147 3 ай бұрын
Pole sana.
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 ай бұрын
😭😭😭
@claudiangowi9628
@claudiangowi9628 3 ай бұрын
Naisikia sauti ya yule mwendawazimu nyuma ya hii interview 😢
@RoseJulius-rb9lv
@RoseJulius-rb9lv 3 ай бұрын
😂😂😂😂😅😅Mungu anakuona
@ElizabethFabian-pn8bv
@ElizabethFabian-pn8bv 3 ай бұрын
Nae masha kujisogez ivo ili na yey akusanywe kwenye kubembelezwa au
@annafredinandmatandiko8438
@annafredinandmatandiko8438 3 ай бұрын
Huyu Alex nae talk talk too much
@rukiahemed-w5v
@rukiahemed-w5v 3 ай бұрын
Nakisikia chiz ilo linalo jiit kaka ovyoo
@esterdoriye8377
@esterdoriye8377 3 ай бұрын
We dada bado tunaomboleza usitufanye tucheke
@asteriashios1852
@asteriashios1852 3 ай бұрын
Hivi ukitaka kufariki unajua sijui maana kwanini aseme inabidi dulla ajikaze
@rizikibakar3186
@rizikibakar3186 3 ай бұрын
Mara nyingi unaona baadhi ya vitu lkn kusema nakufa wachache inatokea km karma
@MolingaMusa
@MolingaMusa 3 ай бұрын
Huko kwa mbali naskia sauti ya yule kakaake mzee anaongea yule
@lydi791
@lydi791 3 ай бұрын
😂😂😂😂
БАБУШКА ШАРИТ #shorts
0:16
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,1 МЛН
Andro, ELMAN, TONI, MONA - Зари (Official Audio)
2:53
RAAVA MUSIC
Рет қаралды 8 МЛН
GB 64 ACHEKELEA YANGA KUTOLEWA KLABU BINGWA na MC ALGERS
12:23
TOP 10 TV TZ
Рет қаралды 1,4 М.
MAZITO HAYA! DIDA AMJIBU EX WAKE ''SINA NDOA NAISHI MAISHA YANGU''
17:07
JOTI AWALIZA WATU MSIBANI KWA PEMBE, SKIA MANENO YAKE
8:57
Mbengo Tv
Рет қаралды 104 М.
PROPHET IPM AMWAGA  UCHAFU WOTE WA DIDDY/ VIJANA ACHENI TAMAA
24:57
CHECK SUZY BALE ALIVYOMLILIA DIDA KWA KWIKWI
14:39
Seki Pro Media Hub
Рет қаралды 16 М.