MFUMO RAHISI WA KUJILAZIMISHA KUWEKA AKIBA BILA KUACHA | VICOBA - Victor Mwambene.

  Рет қаралды 2,481

Victor Mwambene

Victor Mwambene

8 ай бұрын

Somo hili litakusaidia kujua namna ya kujilazimisha kuweka akiba bila kuacha kupitia Mfumo wa VICOBA. Hapa utajifunza nini maana ya Vicoba, Aina za Vicoba na Faida za Kuweka akiba kwenye Vicoba. Kama utakuwa na swali usisite kunitafuta.
.
Tafadhali Usiache Ku-SUBSCRIBE na kubonyeza alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata taarifa ya somo jipya tunapo kuwekea.
.
KUMBUKA, Masomo haya yanakujia kila siku ya J’pili yenye lengo la kukusaidia kuwa na akili ya fedha pamoja na akili ya Biashara.
.
Kwa Mafunzo au Kupata Vitabu vyangu vya Fedha na Biashara Tafadhali wasiliana nami kwa 0744126640. Nitumie Majina yako Whatsapp Kupitia namba hiyo ili tukuunge kwenye Kundi letu la Whatsapp uzidi Kujifunza kutoka kwangu.
.
KUPATA VITABU PIGA 0744126640 / 0658503737.
1. KANUNI 20 ZA FEDHA.
2. JINSI YA KUANZISHA NA KUKUZA BIASHARA.
3. NGUVU YA KUJUA.

Пікірлер: 12
@regnardedward4326
@regnardedward4326 6 ай бұрын
🔥🔥
@tunsumemwajumba7149
@tunsumemwajumba7149 5 ай бұрын
Asante sama
@petermiasi7386
@petermiasi7386 8 ай бұрын
fundi🔥🔥🔥
@agustinomwaya4038
@agustinomwaya4038 8 ай бұрын
Ahsanter kwa kutuamsha sisi wanaume kuhusu vicoba binafsi nakushukulu Sana ila Naomba ushaur nataka niungie kwenye vicoba vya mtandaon Kama Vodacom wanahuduma hii ya vikoba vp ww kaka unashaur nn kuhusu uku nakotaka mm kuingia je nisahihi na nisalama kwa pesa ZANGU nitakazo wekeza
@Meddy217
@Meddy217 8 ай бұрын
🔥🔥🔥
@amanichao6759
@amanichao6759 8 ай бұрын
Great broo, we are here together
@festoamos_tz
@festoamos_tz 8 ай бұрын
Super message💪💪💪💪
@victormwambene
@victormwambene 8 ай бұрын
Thanks 🙏🙏
@saddysalim9120
@saddysalim9120 8 ай бұрын
More Blessn
@victormwambene
@victormwambene 8 ай бұрын
Amina sana
@-SIRIA-DANI.
@-SIRIA-DANI. 3 ай бұрын
Broo naomba pia utufundishe namna sahihi ya kutumia mitandao ya kijamii katika kufanya biashara
@AHMEDISILEIMANAhmedisule-ti7uq
@AHMEDISILEIMANAhmedisule-ti7uq 8 ай бұрын
👍👍
MBINU 4 ZA KUCHAGUA BIASHARA ZENYE MAFANIKIO MAKUBWA | Victor Mwambene.
19:49
UMUHIMU WA KUWEKA AKIBA YA FEDHA- Anthony Luvanda
13:31
TonyInspirationalTalk
Рет қаралды 3,4 М.
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,8 МЛН
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 57 МЛН
Njia 4 Kubwa Unazoweza Kutumia Kumshawishi Mteja.
7:01
Joel Nanauka
Рет қаралды 98 М.
SABABU 10 KWANINI UNASHINDWA KUPATA WATEJA WENGI | Victor Mwambene.
17:54
VICOBA ILIYOANZISHWA BILA MTAJI ILIVYOTUSUA
23:35
Dar24 Media
Рет қаралды 1,7 М.
NJIA RAHISI ZA KUJIFUNZA KUWEKA AKIBA
14:47
Success Path Network
Рет қаралды 29 М.
Jinsi ya kuweka akiba huku ukiwa na kipato kidogo - Elias Patrick
11:56
Ellys Brand - Karibu Tujifunze
Рет қаралды 23 М.
SABABU ZA KWANINI WATU WENGI WANASHINDWA KUWEKA AKIBA  | Victor Mwambene
18:47
MAMBO 6 YA KUACHA ILI UFANIKIWE | Victor Mwambene.
10:12
Victor Mwambene
Рет қаралды 2,5 М.