Very true wewe ni dhahabu ndiyo maana umepitia huko... Mungu akusaidie akutolee njia pasipo njia in Jesus Name 🙏
@happymakambi2333 жыл бұрын
Nahitaj vitabu vya huyu baba,tununue kutoa support na kujifunza pia maana ana vitu vikubwa sana. Wakati wa Mungu ni wakati sahihi zaidi
@mohammedmmari47913 жыл бұрын
Haya ndiyo maisha bwana 😭 kuna muda unaweza upitia magumu mnoo😭😭pole sana majidi goa mungu asimame nawe daima
@halimafupi63943 жыл бұрын
Pole Sana ndugu yangu Mimi Sina uwezo wa kukusaidia ningekuwa kuwa karibu nawe nimeweza kukuchapia japo kitabu kimoja kwenye laptop yangu naomba Mungu akutangulie uweze kupata msaada kwako Amin
@stephanominja89273 жыл бұрын
Kaka yangu pole sana mungu yuu pamoja nawe,, poleni Sana wote mlio magerezani kwani najua wengi wenu sio makusudi yenu,,
@hamisahillary86153 жыл бұрын
Hukumu iko kwa Allah nae ndie wa kumuomba msamaha! Inshallah Allah akujaalie kheri na akusamehe
@sadickshedrack90563 жыл бұрын
Pole sana kakaangu duh mkasa mkubwa nimesikitika baada ya kusikia ulivyotoka baada ya kuongea na ndugu yako ulilia sana pamoja na nduguyo....pole sana
@andrewanset41263 жыл бұрын
Pole Sana majd najua maisha ya Gerezani kupata muda wakufanya kqzi kumbwa hivyo ww unauthubutu na kwa magereza ulipitia daaa hongera usivunjike moyo radhima mungu akupitishe njia moja akufungurie njia nyingine
@gastobruno87793 жыл бұрын
Pole sana bro kwa mateso uliyo yapitia mwenyezi Mungu yupo na wewe siku zote.
@tatianakasongo32453 жыл бұрын
Anatiya uruma hila pole sana maisha nisafari aujafa aja umbika Mungu wangu ana kuona ata kuwasha 😭😭🤦♀️🙏🇨🇩🇨🇦
@agneskadzo61053 жыл бұрын
Msamaha ni kitu bora Asante Mungu Baba kwa Msamaha... Asante President Maguful kwa Msamaha..
@radhiamponda10473 жыл бұрын
Uwiii Baridi la Mbinga alafu bila shuka wala blankets 😢pole Sanaa mungu atakuinua kwa maisha yako yote yaliyobaki inshaallah 🙏
@paulinarashid4173 жыл бұрын
Pole sana kaka na Mungu awatie nguvu waobaki magereza maana sio kwa mateso hayo
@doreensamwely87403 жыл бұрын
Jamani pole ,nimefurah Kaz uliyoifanya ya kuandika vitabu mungu azid kukuinua utakuwa mwandishi mzur usiiogope
@saidmatikti27833 жыл бұрын
Maisha yetu yameambatana na mafunzo mengi,ewe m. mungu tutilie wepesi kila palipo na mazito
@achouraachoura5763 Жыл бұрын
Pole sana umepitia mtihani mzito Allah atakupa fungu lako insha'allah
@smartmwakipesile38423 жыл бұрын
Sku zote mbeba maono hafi,atapitia mateso mengi sana lakin Mungu hawezi kumuuacha,Mungu akubariki sna kaka
@emanuellameck44833 жыл бұрын
Pole sana ndugu, wadhamini wajitokeze wamsaide jamani, Mungu atakusimamia ndugu yang
@lucinangowi42383 жыл бұрын
Mungu azidi kukuimarisha mawazo yako katika maandishi ni ya muhimu
@yasminjuma91462 жыл бұрын
SubhanaAllah. Mungu awatie imani hao .wanaoshuhulikia wafungwa. Wajue hao ni binadamu kama wao wanaowaongoza huko gerezani.
@mirymiry41783 жыл бұрын
Waching from Oman good work of writing books ,he really needs help Tanzanians
@janethswai91993 жыл бұрын
Kila Jambo lina wakati wake ,haijalishi ni mazingira gani mtu anapitia ila upo wakati sahihi wa kuinuliwa na MUNGU.Pole sana na hongera kwa ushindi,ipo siku utasahau mapito uliyoyapitia.
@gluxas95663 жыл бұрын
Nitafurahi sana ERICK SHIGOGO amsupport uyu jamaaaa
@mansourjuma37313 жыл бұрын
Kitu nilicho kiona kw huyu mzee ni Kikubwa sana. Mzee ana akili sana huyu na namtabiria makubwa soon InshaAllah
@mansooralmahruqi8853 жыл бұрын
Kufungwa ni Adhabu Ila kuchapa mtu ni adhabu nyingine. Wabunge tubaomba mlizungumize swala hilo,wafungwa bado ni wanaadam hata kama waliokosea. Msinyayase kiumbe cha Mungu sababu Mwenye sifa za kuadhibu ni Mungu. Viongozi wa serikali tunawaomba mlitazame swala la wafungwa kwa sababu kama hamkufahya hivo basi msubiri na nyinyi siku mungu atakapo kusimamisha ujibu utawala wako uliufanyia nini. Inauma sana kuona wafungwa wananyanyasika mbali na ile adhabu ya kifungo.
@mancholotrasco83503 жыл бұрын
Hawa ndio watu wanaopaswa kusaidiwa ... Allha will bless u brother ... Keep praying🙏
@rashidabubakari78263 жыл бұрын
Nimejifunza mengi Sana kwahuyu bro aisee mungu akutie nguvu zaid na umri mrfu zaidi
@hamilhashir44523 жыл бұрын
Pole sana hakika y Mungu anasamehe muombe msamaha na muombe akusaidie
@aishasaid67493 жыл бұрын
Pole sana Mungu atakufanyia wepesi
@marymfugwa8473 жыл бұрын
Naona mungu anaenda kutenda jambo kubwa ndani yako lenye mafanikio, dhahabu ili ing'ae lazima ipite kwenye tanuru.
@mwanaidimajid83823 жыл бұрын
Naomba aje anioe
@highvoltages41693 жыл бұрын
@@mwanaidimajid8382 *upo serious?*
@mwanaidimajid83823 жыл бұрын
@@highvoltages4169 yes
@highvoltages41693 жыл бұрын
@@mwanaidimajid8382 chukua No yake inapita hapo kwny screen
@vickiembogoni9633 жыл бұрын
Utaachwa na watu wote duniani lkn mungu hawezi kukuacha, na kila kitu hutokea kwa sababu, na kwa muda sahihi uliopangwa na mungu ukifika tu hata iweje lazima akuinue. Pole sana kk mungu atakuinua🙏
@tinnahmapolu21403 жыл бұрын
Mungu huonyesha njia pasipo njia amen
@alikhamiss37083 жыл бұрын
Dah pole Sana broo kwa mitihani uliyopitia ktk maisha yako. Hakika Mungu hamtupi mja wake.Mshukuru Sana Mungu kwa kila Jambo.
@jennytugara94703 жыл бұрын
Mungu ambariki kupitia mikono yake
@jennytugara94703 жыл бұрын
Huyu Mtu ni genius Kabisa na ana kipaji cha ajabu
@highblackswahili98523 жыл бұрын
Barikiwaaaa
@ramadhan70883 жыл бұрын
100% correct✓ was thinking the same.
@yasminjuma91462 жыл бұрын
Ni kweli
@hassanhamudy66393 жыл бұрын
Tunaona fursa kwenye changamoto we the winners 💯
@stellakins37703 жыл бұрын
Pole sana Na hongera kwa ushindi
@fatmamachelenga18873 жыл бұрын
Naomba mawasiliono ya huyoo kaka
@meswaleeearlyporepore70453 жыл бұрын
@@fatmamachelenga1887 namba yake yapita apo chini
@glasiabavon20703 жыл бұрын
Inasikitisha Sana ila mungu yuko pamoja na waja wake🙆🙆
@dicksonshindika45773 жыл бұрын
Duuuu! Naamini one day tasoma kitabu Cha Majid Mungu ampe NGUVu zaidi
@thumnathumna59463 жыл бұрын
Utaachwa na watu wote lkn Mungu hajawai kukuacha na hatokuacha kamwe
@mrasimussa54203 жыл бұрын
Exactly..Mungu anajibu kwa wakati hawahi wala hachelewi
@shifaaal-baity45033 жыл бұрын
Mkewe hana makosa..yaani asubiri miaka 30??????? Haiwezekani hata miaka 10 ni mingi
@irenewilbard25133 жыл бұрын
@@shifaaal-baity4503 kabisa. Ni ngumu Sana. Je asingerudi. Istoshe alikuwa bado kijana na lazima aliitaji kuongeza watoto na kumpata mwenzake
@bahatijoseph87633 жыл бұрын
@@irenewilbard2513 kwa hyo sasa hapo itakuwajee sasa kashatokaa???
@agneskadzo61053 жыл бұрын
Amen 🙏
@yasminjuma91462 жыл бұрын
Anakipaji pia cha uchoraji. Mungu amjaalie apate maisha mazuri kwa sasa yupo huru
@perin8893 жыл бұрын
Please help this man print his books! If you can't in Tanzania we can do it Kenya. Kuja Kenya kaka 💕
@darejoTV3 жыл бұрын
Contact him through the his number as displayed on the screen, down the video.
@danielmbise3823 жыл бұрын
HATA YUSIFU ALITUPWA GEREZANI LKN MUNGU ALIKUWA ANAMUANDAA KUWA WAZIRI MKUU,,, Mungu akulinde na akuinue,, I have nothing but I will do something to one day
@arafakiloli7493 жыл бұрын
Subhannahllah pole sana Allah akuhifadhi
@salmahassan35213 жыл бұрын
Wewe umeandaliwa kwa ajili ya ushuuda, mara nyingi watu wenye kitu kikubwa kama chako lzm wapitie magumu
@isayayohana63413 жыл бұрын
MUNGU akusaidie sana ndugu piya pole sana kwa mapito uliyo ya pitia
@mwanzashinyanga80603 жыл бұрын
daah pole sana bro huo ulikua ni mpito na umeupita tayari mwombe sana mungu hatakuacha peke yako🙏🙏🙏🙏
@kudrachristopher46403 жыл бұрын
Pole sana. Tunategemea vitabu toka kwa sebaya.
@aishaahussein39153 жыл бұрын
usimfananishe huyu baba na huyo sabaya unakosea baba huyu hana hakuwa na hatia
@atienonyariko52513 жыл бұрын
Angetoa namb jmn
@ellenatilio56663 жыл бұрын
Huyu baba dah such a strong spirit, tunajifunza kutokana na makosa.
@khadijahali48373 жыл бұрын
Pole sana, 😓😓 tunajifunza kutokana na makosa, hongera kwa uandishi huo
@kwisa48993 жыл бұрын
Huyu mtu anatakiwa kuwa mwalimu aisee ni noma
@johnjinasa55402 жыл бұрын
Huyu noma sanaaaa 😀😀😀😀😀 nifollow ndugu Zangu
@bernarderadi44103 жыл бұрын
Mungu ni mwema sana. Bora uhai
@fauziakarama85813 жыл бұрын
Daa watu wananyanyaswa kupita kiasi hicho gerezani na wala haitegemei kosa mpaka kipigo jamani pole sana kaka , Allah atakuongoza
@abdulishaban77953 жыл бұрын
Kiangasaga nyamagaro muharango daaaah vijijin kwetu uko aiseeeee
@nsabiyumvaaimable44683 жыл бұрын
Pole sana mjomba maisha ya gerezani iko hivo ila Mungu yupo ata mimi nilitoka mwaka uliopita na niliweza kuandika vitabu 6
@ainonlinetv88633 жыл бұрын
Mungu ni mwema kila wakat
@ntakilwankingwa82503 жыл бұрын
Hongera sana brother mungu hutenda pasipo matarajio
@ramadhantahila91313 жыл бұрын
Daah polee Sana , Mungu ni mwemaa
@immabahatiimmabahati2373 Жыл бұрын
Kaka yangu pole sna ase ujuwe maisha haya daa 😭😭😭😭😭
@irenebellabellah40033 жыл бұрын
Mungu akupe hitaji la moyo wako..
@hassanovajunior69723 жыл бұрын
Very sad story WALLAH daah God is good all the time i pity you my Brother,Sometimes God can take you through certain situations to make you either stronger or be achieving something which is you were seeking for so long.🙏🙏
@oscarmosha3833 жыл бұрын
mungu wa mbinguni awe nawe mshike sana tena ujue kua wewe ni wakipekee mbele za mungu na machozi yako ya mekijaza kikombe na mungu wa mbinguni ame kuona na amekuponya na na sasa wewe ni dhahabu mtukuze sana mungu wa mbinguni na wewe ni mtu mkubwa sana
@rahabnkya82763 жыл бұрын
Siku ya BWANA IKIFIKA HAKUNA WA KUMZUIA. MUNGU AKULINDE AFYA AKUPE MAONO MAPYA NA UPENDO NA SHUKURANI KWA MUNGU NA SERIKALI YETU. BAKI SALAMA NA FAMILIA YAKO.
@hillarysoi4893 жыл бұрын
Dah! nimejifunza kitu hapa pole mnoo brother
@elliassvegullah5023 жыл бұрын
Dah nimejifunza kitu kupitia huyu baba 🙏🙏🙏 vitabu vikichapishwa mtuuzie please
@dominicdamian18033 жыл бұрын
Ni kweli hadi hapo ulipoo tu usha vunja rekodi ya dunina . Mungu akufanyie wepesi
@Kapandetv3 жыл бұрын
Umenipa kitu kikubwa sana mzee wangu kuanzia leo mm tajiri
@mkumbwasemima69072 жыл бұрын
Kila jambo linalomtokea mtu kwenye maisha Lina kusudi la Mungu. Usikate tamaa
@osiligibernard50733 жыл бұрын
Naitwa Osiligi Bernard kutoka Arusha, kwakweli simulizi ya kusisimua mno. natamani kama Media ingetoa nafasi yakuchanisha kwa watanzania wote Ayo ni kubwa sana tungeweza kutoa buku buku jamaa akaandike ata vitabu viwili
@peacetv10843 жыл бұрын
We nawe
@rogermomodesty35683 жыл бұрын
Wazo zur
@faridaessa78443 жыл бұрын
Namba inapita chini hapo
@tinkudey59283 жыл бұрын
Kabisa tufanye izo ili tumsaidie mitanzania mwenzetu
@bjzee19813 жыл бұрын
Labda asaidiwe kuendelea kubaka. Kuandika kitabu hakumfanyi asiwe muhalifu
@burundibwizacetribea9953 жыл бұрын
Vitabu vikimalizwa kuchapwa, mutuambie tununue
@bensonnahkdgks21193 жыл бұрын
Mtangazaji uja muoji vizuri nikweli alibaka ? Na kwanini alibaka?
@happymakambi2333 жыл бұрын
Kabisa✅
@lovelynnadia72383 жыл бұрын
Yaani happ ndo nimekaa nikisubiri ila wapi
@abirhuwel56993 жыл бұрын
Tusitizame makosa ikiwa hata Mungu anatusamehe, na sisi tuwasamehe waliokosea. Chamsingi vip tutamsupport ndugu yetu keshaonesha anakipaji japo hakusoma kiivyo.
X nyingi shetani akiona una hatma kubwa anakutengenezea vikwazo , lakini Mungu hajawah kushindwa ndoto yako itatimia
@irenewilbard25133 жыл бұрын
Kweli kabisa. Amina. Mungu ni mwema
@BigZhumbe3 жыл бұрын
Acha kumlaumu shetani.... kila linalotokea duniani ni mipango ya Mungu
@AliMohamed-hd2rg3 жыл бұрын
Mungu Ni mwema sana
@davidobonyo75583 жыл бұрын
Pole Sana Ndugu Yesu atafanya jambo kubwa kwako
@ellenatilio56663 жыл бұрын
Amen
@johnokware77533 жыл бұрын
Baraka za Mungu humtononesha mtu
@fadhilmilambo37733 жыл бұрын
Uyu jamaa ana IQ kubwa Sana'a mungu amlinde
@mussamdetele57283 жыл бұрын
Pole Sana ndg mungu ni mwema
@zinabotnzani14923 жыл бұрын
Pole sana kaka upo vizuri sana
@martinmaryogo36763 жыл бұрын
huyu jmaa ana kipaji sana sio wa kawaida maan hata kuchora anachora picha nzur na zenye maan, tena anachora kwa wino
@nabintukadende23883 жыл бұрын
Mungu akusaidie kaka 🙏🙏🙏
@rynmukoi61523 жыл бұрын
Yaaaan nmevutiwa nae kwa kweli. I don't know what to say, but Mungu akubariki sanaaaaaaaaa na akutangulie ktk yoteee.
@zaibonge78673 жыл бұрын
Pole sana broo wang
@fetychina32733 жыл бұрын
Nimejifunza kupitia huyu baba jamani 😭
@lilianphilemon9073 жыл бұрын
😭😭😭😭kabisa
@neemaanthony97753 жыл бұрын
Inaskitisha sana mungu akufanyie wepes karbu uraian
@mdzainb37223 жыл бұрын
Pole sana mungu akufanyieni wepesi kila hatua
@namirihamisi38993 жыл бұрын
Msaidieni kuvipeleka kwa Mr. Shigongo hivyo vitabu avipitie pengine vinaweza vikamtoa huyo na yy akapata mtaji katika maisha yake yaliyobaki.
@djrichsingelifreva82453 жыл бұрын
Kabisa broo Ni wazo zuri
@henrickjailos41853 жыл бұрын
Mungu akufanyie wepesi
@anicyaedward56053 жыл бұрын
Daaa Mungu akusaidie asante kwa kutoa fundisho
@moshimgaza56423 жыл бұрын
Pole sana.hata manabii walipitia mitihani.mungu ndio kila kitu ktk dunia hii iliyojaa dhuluma kilabaya
@onesmomassawe62303 жыл бұрын
Mungu akuongoze
@festokillingo89123 жыл бұрын
Pole Sana Sana, cjui hata nielezeje daa
@AmosKatana3 жыл бұрын
Great man.
@rosehillary87422 жыл бұрын
Mungu anisamehe Ila mbakaji....Kamwe simwonei huruma
@CyprianTraiphon28 күн бұрын
Acha ujinga wewe.. usiposamehe huwezi samehewa
@mdautz48943 жыл бұрын
Mungu akusimamie,utafanikiwa
@januarymwingwa29623 жыл бұрын
Katika jina la Yesu kristo amini amini Maisha yako yatakwenda kubadilika kupitia hivyo vitabu na pole sana kwa mitihani uliyopitia Mungu ana makusudi na ww
@annajustin19453 жыл бұрын
Pole Sana kaka hakika Mungu yupo, ila hakuna ushindi bila Vita? Amini wewe ni mshindi
@janethmajuto40163 жыл бұрын
Pore San mungu hawezi ku kuacha pe ke yako hata kuwa paMoja nawewe
@aishaalbalushaishabalush82913 жыл бұрын
angekuwa maghufuli yupo huyu baba ngapewa supports