No video

JAMBAZI SUGU ALIESUMBUA TANZANIA NA KUTEKA WANAJESHI AELEZA SAFARI YAKE/NILIOA JINI ANA VICHWA VINNE

  Рет қаралды 85,921

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

9 ай бұрын

Пікірлер: 173
@rerisamba
@rerisamba 9 ай бұрын
Wow jamaa ako very handsome halafu neat and smart
@patrickmaina5459
@patrickmaina5459 9 ай бұрын
Asifiwe YESU KRISTO 🎤
@janemwambungu4558
@janemwambungu4558 7 ай бұрын
Mtangazi ubishoo mwingi sana , yaani ht mtoto wa la kwanza anmshinda yaani haelewiki na vingereza vyake eti yah yah yah ok,ok, du
@MokamiWaryoba
@MokamiWaryoba 8 ай бұрын
Acha aitwe Mungu, basi Mungu akubadilishe na kukulinda sana make shetani akiingia tena, anaweza kua mbaya zaidi.
@logirajacob9369
@logirajacob9369 9 ай бұрын
Aliishi na shetani mwenye vichwa nne,hii ni kali
@Evangelism2023
@Evangelism2023 9 ай бұрын
Huyu jamaa sio professional kabisa katika kuhoji , ametuharibia story nzur sna
@mwebrannia
@mwebrannia 8 ай бұрын
Salama Jabir amtafute amwalike kwenye kipindi chake Cha #salamana tutapata story nzur zaidi
@wilbardchuwa8772
@wilbardchuwa8772 9 ай бұрын
Wanajeshi ni familia yenye umoja na upendo,mwamajeshi ndugu yake mkuu niwamajeshi mwenzie
@ochidovictor9531
@ochidovictor9531 9 ай бұрын
Am late but is better than never...God bless you davista Keep up the good work brother
@user-in9si1ns2d
@user-in9si1ns2d 6 ай бұрын
Kazi nzuri Davista
@eliascosmas9421
@eliascosmas9421 8 ай бұрын
Mungu ni mwema nyakati zote 🙏
@MariamMsongwe-gc1by
@MariamMsongwe-gc1by 7 ай бұрын
Mungu akupe maisha malefu sana mtumishi
@sukisa1234
@sukisa1234 9 ай бұрын
Sawa kaka jambaz
@hassanichijumba7222
@hassanichijumba7222 9 ай бұрын
😅
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 7 ай бұрын
Maisha ni mchanganyikok wa matukio tofauti. Bin Adam wanapitia mambo mengi mazuri na mabaya. Unapouumbuka yaliyopita na ukaacha hutakiwi kuyakumbusha kabisa madhali ushatubu na imerudi kwa Mungu wakonilikuwa uayagute kabisa hata usisimulie ni dhambi kukumbuka maisha mabaya. Umetubu basi endelea kufanya mema.
@kelvintiba9412
@kelvintiba9412 2 ай бұрын
Mtangazaji hii kazi aache. Au awe anapanga mtiririko wa maswali na aache mapepe mtu akiwa anasimulia. Utulivu unahitajika. Yah yah nyingi sana. 😂😂😂
@obizzocj558
@obizzocj558 9 ай бұрын
Mtangazi ajui kazi yake yuko na mapepe sana sjui ajawai kohoji mtu simulizi
@stylishgenius9886
@stylishgenius9886 9 ай бұрын
Analeta mambo sio saii
@BM_Smart2-6
@BM_Smart2-6 9 ай бұрын
Yesu anaweza kubadilisha yaani jamaa ni handsome, smart kabisa huwezi kuamini
@user-qh8fv7dp6p
@user-qh8fv7dp6p 8 ай бұрын
Wew shoga nn mbn wakiume ila unaongea kike kike
@yusuphkassimu227
@yusuphkassimu227 7 ай бұрын
Askari akiwa peke yake ni raia tu kinachosaidia ni umoja wao .
@helenarhobi1250
@helenarhobi1250 7 ай бұрын
Eti mtumishi wa Mungu. Aanze kwanza atengeneze hasara za watu aliowadhurumu na hata kuwaua kisha afanye toba waziwazi tuone kisha ndo ajiite mtumishi wa Mungu. Paulo baada ya kuitwa tunaona alivyopata mateso yaliyoruhusiwa na Mungu hata akatakasika. Sa nyie kilahalifu anapohisi kutafuta biashara anajiita mtumishi wa Mungu bila Majuto, haya ni majigambo tu wala hamna lolote!
@iddykitundu4705
@iddykitundu4705 7 ай бұрын
Mshukuru mungu amekuokoa
@user-bg1vu8vq7m
@user-bg1vu8vq7m 9 ай бұрын
Mm nimeupenda huo ukakamavu wako lkn pia anaonekan bado yupo fiti maan Kuna vtu akivionyesha kwa mikona anaonekan mtamu jamaaaaa
@LEO-uq6el
@LEO-uq6el 9 ай бұрын
Nakukubali Afandeee
@user-cw6sp7ju5p
@user-cw6sp7ju5p 8 ай бұрын
Huyo jamaa mamkumbuka sana wenzake walipigwa pale mlima nyoka , walikuwa nyoka kweli kweli
@peterkaili9343
@peterkaili9343 7 ай бұрын
bro una uliza maswali vizuri sanaa
@laurenttadey1955
@laurenttadey1955 7 ай бұрын
so huyo mbwa anajisifia kafanya matukio na yupo free tu mpk kweny press anazungumza na yuko huru tu hv ina make sense kwel
@mashannapapaaa9582
@mashannapapaaa9582 7 ай бұрын
Noma
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw 9 ай бұрын
Pamoja sana kwa kutuletea story hii
@hajiameir8688
@hajiameir8688 7 ай бұрын
Hayo ya kupiga watu wasio na hatia wao wenyewe wanajuwa ni mkosa kwa wakati huu wa utawala sheria wakibainika hawana kibaruwa kwani ule ni ujinga tu waliyonao baadhi ya wanajeshi wetu
@johnkiimbila6799
@johnkiimbila6799 9 ай бұрын
Alahuakbar.
@onekisstv8412
@onekisstv8412 9 ай бұрын
Uyu mwamba anaonekana kweli ni mtu wa mazoezi si umeona mwili ulivyo mkavu
@joycemuhoja4729
@joycemuhoja4729 9 ай бұрын
Pamoja Sana Mtumishi
@imagepower3641
@imagepower3641 9 ай бұрын
Hawa ni zaidi ya komando
@magnusbugingo3684
@magnusbugingo3684 9 ай бұрын
Jesheni jambo amabalo huwa linatiliwa mkazo ni unity kwahyo umoja na spirit ya jesh ndo maana huwa ina kuwa hivyo
@flova7022
@flova7022 9 ай бұрын
Complete confession
@cocotz1892
@cocotz1892 9 ай бұрын
Wa kwanza 🎉
@sultanmsoloni8635
@sultanmsoloni8635 9 ай бұрын
Najiuliza kwann majambaz wengi wanasema wameacha ujambaz then wanakuwa wachungaji nn kipo nyuma yke.
@damasiibrahimu8892
@damasiibrahimu8892 9 ай бұрын
Kazi zinafanana
@floramongi1410
@floramongi1410 8 ай бұрын
Kweli kuna mwka majambazi walipigwa sana na wakafa
@asteriashios1852
@asteriashios1852 9 ай бұрын
Angalieni msije mkawa mnajifunza km yeye alivyoanza ukabaji hili ni somo tuu tujifunze hofu ya mungu tuu
@user-rc7yt7uo3y
@user-rc7yt7uo3y 6 ай бұрын
Hilo swali la kishenz
@user-rf6ko4dw7w
@user-rf6ko4dw7w 9 ай бұрын
Inafanyika hivyo ili kutoa onyo lkin poah inafanyika hivyo ili wawwze kutajana feliciani kutok kusin ruvum
@user-dc5gh1rz9h
@user-dc5gh1rz9h 9 ай бұрын
Jeshi husimama ktk tabia nzur na tabia hyo n nidhamu upndo umoja na mshikamano Jeshi n familia 1 huwez mzuru mmoja halafu akaja pke yke tambuwa atakuja na familia yke ...
@user-uy6jj6cs3r
@user-uy6jj6cs3r 8 ай бұрын
Ongera unapambana sana
@oyay2821
@oyay2821 7 ай бұрын
Huyu sio Jambazi ni mtangazaji dini ya X-tian. Hio story za ujambazi ni kusingizio tuu.
@justinekisumba1695
@justinekisumba1695 9 ай бұрын
Mahujiano safi kabisa
@user-kv7bo1dc5r
@user-kv7bo1dc5r 7 ай бұрын
Ukitaka kujua vcha vibovu angalia comment n ukitaka kuwa bos kuwa mxhugaji 😂😂
@user-eb7oi2bx6s
@user-eb7oi2bx6s 7 ай бұрын
Mtangazaji amedandia fani za watu😂😂
@user-kk2ww6tg3l
@user-kk2ww6tg3l 8 ай бұрын
Taarifa
@ElbashilTrust-oo5vq
@ElbashilTrust-oo5vq 8 ай бұрын
Nawe mtsngazaji unakosea mwache pastar store stori usimkatishekatishe
@user-kd9vo3vb6r
@user-kd9vo3vb6r 9 ай бұрын
Kweli jamaa alikuwa noma,
@johnchuwa2888
@johnchuwa2888 8 ай бұрын
Nikuvunja sheria tuu.lakini wakifuatiliwa,wanachukuliwa hatua kisheria.
@modernfarming5938
@modernfarming5938 8 ай бұрын
Mwanahabari hajui kuhoji yani anavyoitikia ni ushamba
@user-cv5df2bw5u
@user-cv5df2bw5u 8 ай бұрын
Wanajeshi niwaoga vibaya sana
@Micpaul.o
@Micpaul.o 8 ай бұрын
Mbona kama bado anatisha hvi😮😮
@sukisa1234
@sukisa1234 9 ай бұрын
Maeneo yote aliyotaja nayajua sana.na kaka jambazi amecheza karate action zake zinaonyesha mpaka sasa anaonekana Yuko fit
@lizzybeth6344
@lizzybeth6344 9 ай бұрын
Yah yah yah yah yah yah,ni mambo ya yah tu
@user-xx6pz6ry8y
@user-xx6pz6ry8y 9 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅
@ElbashilTrust-oo5vq
@ElbashilTrust-oo5vq 8 ай бұрын
Mungu mkubwa nimemkumbuka kaka kweli tulikuwa wadogo sana miaka ya 1987-
@user-me6yt2cx4g
@user-me6yt2cx4g 9 ай бұрын
Mwandishi unaferi unatakiwa umwachie kaka jambaz atililike usichanganye madwa😂
@user-mr5tk8oc3t
@user-mr5tk8oc3t 9 ай бұрын
😂😂😂😂
@user-yq1fh4xn4y
@user-yq1fh4xn4y 9 ай бұрын
Ana story zuri ya kushuudia lakn hajui kusimulia😢😢😢
@rehemaphillingsonmlawa4206
@rehemaphillingsonmlawa4206 8 ай бұрын
Sema anaogopa kusema ukweli kuhusu yeye
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 9 ай бұрын
Hicho ni kichaka tu amejificha, nyoka ni nyoka tu
@MichaelMathew-ke6bi
@MichaelMathew-ke6bi 9 ай бұрын
Sahivi ni mjusi sio nyoka tena
@josehkibona7565
@josehkibona7565 9 ай бұрын
Pamoja
@engribertinnocent7536
@engribertinnocent7536 8 ай бұрын
Hawa ndo watu wa kukamatwa na kunyongwa hakuna cha utumishi wala nn kama alifany uhalifu anajitangaza anyongwe tu
@maulidzagu-gb3mc
@maulidzagu-gb3mc 9 ай бұрын
Hio tabia ya askari kupigwa ktk eneo Fulani kibano kikitokea sio askari tu hata Mwenyezi Mungu nae pia huchukua hatua kama hizi, ikitokea balaa huwapata wote mfano ukimwi hata usipohusika kufanya zinaa unaweza kuupata pia, nk
@mwebrannia
@mwebrannia 8 ай бұрын
Na Mungu anasema huwa analetaga kipigo mpaka kizazi Cha tatu na Cha nne, baba akikosea anapigwa baba, mtoto, mjukuu, kitukuu, na wasipotubu kipigo kinaendeleaga kizazi hadi kizazi, mfano vita ya middle east ni ya tangu kale lakini haiishagi
@ElbashilTrust-oo5vq
@ElbashilTrust-oo5vq 8 ай бұрын
Kaka namkumbuka pastar jina la switi nikama alikuwa anakaa mwanjelwa
@JohnMusa-rw9kc
@JohnMusa-rw9kc 8 ай бұрын
Duuuh!
@LucyWensilauswiliam
@LucyWensilauswiliam 9 ай бұрын
Kwahiyo unatufunza nini
@helenarhobi1250
@helenarhobi1250 7 ай бұрын
Wewe unajigamba Wala l.hauko mtumishi maana hujutii unaonekana unajigamba!
@jaspermoruri9667
@jaspermoruri9667 9 ай бұрын
Ndio wakiona jeshi anapigwa wanapiga nduru na wakiona jeshi wanawaheahimu
@yassinaus6523
@yassinaus6523 8 ай бұрын
Huyu jamaa hajui ethics z uandishi habar n bishoo tu
@godwineliya4686
@godwineliya4686 9 ай бұрын
Huyu kweli mtu wa kazi mkakamavu
@ramadhanitanganyika9403
@ramadhanitanganyika9403 9 ай бұрын
😂kufanya hivyo kwasababu inapofanyiwa tukio huwezi kujua nani unapofanya ambushi watasema nani amehusika😢
@johnsonlekashu7901
@johnsonlekashu7901 3 ай бұрын
Nadonjuki jirani kabisa
@sabunitv2121
@sabunitv2121 7 ай бұрын
Mtangazaji kuna vitu unakwama....nidhamu ya uandishi unaitumia kwa 75%tu. Unaanzaje kujifutafuta huku unamhoji mtu, anamchukuliaje labda😂😂😂
@UsafiMichael-mc8kt
@UsafiMichael-mc8kt 9 ай бұрын
Simanjiro orkasumet napajua nilishawahi kukaa huko
@humphreympotwa7405
@humphreympotwa7405 9 ай бұрын
Huyu ni Nadonjuk
@user-dk2hz4xk8y
@user-dk2hz4xk8y 8 ай бұрын
Huyo hajaacha katafta kichaka chakujificha
@mamapeace6730
@mamapeace6730 9 ай бұрын
Kumbe lilikua ni pepo tu make ulikua una kipaji kizuli tu sashetani alitaka tu kukuua tu ongela kwakum shinda shetani
@mkanash3144
@mkanash3144 8 ай бұрын
MSHENZI NI MSHENZI TU...NYIE JICHANGANYENI SASA
@MasumbukoKisaduka
@MasumbukoKisaduka 7 ай бұрын
Ilitujue kuwa
@mathiasgau9493
@mathiasgau9493 9 ай бұрын
Mtumishi anajua ya kwamba Jinai haifi😅
@thabitngangila8562
@thabitngangila8562 9 ай бұрын
Mtuheshimu
@user-pi6oc3pb5l
@user-pi6oc3pb5l 7 ай бұрын
Tuna fanya hivyo ili waharifu wajitaje
@user-pe1ze9sw4f
@user-pe1ze9sw4f 9 ай бұрын
Wa kwanza mimi nimeona sasa naanza na wewe mtangazaji
@floramongi1410
@floramongi1410 8 ай бұрын
Mimi naishi sumbawanga mbeya ni balaa
@user-kc1ul9kt8s
@user-kc1ul9kt8s 8 ай бұрын
Duu kamandaa kwanin aliamua kutubu
@dausonkabigumila1992
@dausonkabigumila1992 8 ай бұрын
Lengo kukomesha vitendo km hivyo
@tahirnephessalum3678
@tahirnephessalum3678 9 ай бұрын
Davi tutafutie na story za watu wa vijijin kama akina wamayo
@abdulbonomali6548
@abdulbonomali6548 7 ай бұрын
Angekua ni mwislam na anaongea hayo angekua salama?ushahidi umeukamilisha mwenyewe akamatwe afungwe miaka mia7
@sabunitv2121
@sabunitv2121 7 ай бұрын
Siwez kumuamini 100% lolote lawezatokea😂
@catherinesamky5796
@catherinesamky5796 9 ай бұрын
Bado jamaa hatupi yote anatubania
@mwadangatv
@mwadangatv 8 ай бұрын
Hakuna mwandishi wa habari hapo, hajui kuuliza maswali, anaingilia ingilia mwishowe mlengwa anakosa mtiririko wa story
@a2comedy36
@a2comedy36 8 ай бұрын
Simuamini atakuwa Bado anaendelea
@korosomatiko3737
@korosomatiko3737 9 ай бұрын
Niwahoga
@AudaxKami
@AudaxKami 9 ай бұрын
Pamoja Sana mwanzo mpaka mwisho wa story hii
@graceshakanyi8784
@graceshakanyi8784 9 ай бұрын
mwanaume mzuriii jmn duuu, mungu huyuu
@UsafiMichael-mc8kt
@UsafiMichael-mc8kt 9 ай бұрын
Ni fundi sana
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 9 ай бұрын
Askari wakikosewa wanatabia ya kuungana kulipa kisasi kutokana na umoja wao na uoga pia.
@user-cv5df2bw5u
@user-cv5df2bw5u 8 ай бұрын
Ugevunja mgu
@bahatywasofia4155
@bahatywasofia4155 9 ай бұрын
Wakwanza
@shamsakibwana2693
@shamsakibwana2693 9 ай бұрын
GOD BLESS YOUR WORK
@ayoubfrances6629
@ayoubfrances6629 9 ай бұрын
Mtangazi unaboa tulia tusikilize
@lewismpangala927
@lewismpangala927 8 ай бұрын
Kipigo cha jumuia nikuwaonya wachimba munyu
@user-zm7ih5cm8o
@user-zm7ih5cm8o 8 ай бұрын
Niujinga tu
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 9 ай бұрын
Royal Pamodzi ipo town sio soweto Mkuu,
@ambokilemussa3518
@ambokilemussa3518 8 ай бұрын
Hata Soweto ipo
Harley Quinn's plan for revenge!!!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 30 МЛН
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 4,5 МЛН
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 3 МЛН
Part3:USHUHUDA WA MUSSA CHESSA ALIYEKUWA JAMBAZI SUGU
39:35
PROMOVER TV
Рет қаралды 15 М.
Harley Quinn's plan for revenge!!!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 30 МЛН