Mfungwa Huyu Aliwezaje Kutoroka Gereza Linalolindwa Zaidi MAREKANI? Visa na Mipango Yake Ni Balaa!

  Рет қаралды 445,462

Charles Kombe

Charles Kombe

Күн бұрын

#HomeOfUntoldStories #CharlesKombe #Marekani
Hii hapa ni stori ya kipekee ya mfungwa ambaye alifanikisha mchongo wa kutumia akili nyingi wa kutoroka gereza lenye ulinzi mkubwa zaidi nchini Marekani. Stori na visa katika makala haya vitakuacha mdomo wazi.
_________________________________________________________________________
MATUKIO YA KUTISHA: rb.gy/zol9ix
MAKALA ZA KUSISIMUA: rb.gy/h3pkse
MAKALA ZA HISTORIA: rb.gy/wg2aax
For brand and partnership inquiries: charleskombetz@gmail.com

Пікірлер: 343
@charleskombe
@charleskombe 2 ай бұрын
Nakushukuru wewe unaeendelea kufuatilia story mbalimbali zinazowekwa katika channel hii❤ #WithLove
@gabrielkabato9909
@gabrielkabato9909 2 ай бұрын
Watu wana mipango mzee na hizo story huwa wanahadisia wenyewe pale wanapo ulizwa na FBI ili wajifunze mengi zaidi ​@@MoshiJoseph83
@eliasmsechu8188
@eliasmsechu8188 2 ай бұрын
Bwana wangu😂😂😂
@RamadhanSeleman-le9dq
@RamadhanSeleman-le9dq 2 ай бұрын
Alie wauza wenzake hafay
@wjosiah
@wjosiah Ай бұрын
​@@deodathsilayo3639❤❤❤❤
@mafailionline8482
@mafailionline8482 Ай бұрын
P​@@eliasmsechu8188
@NsengiyumvaNoa
@NsengiyumvaNoa Ай бұрын
Most importantly, if you are in suffering, don't be discouraged, keep waiting, God is with you because he knows your end
@haronabuki9573
@haronabuki9573 2 ай бұрын
Better to do good to be free than to do evil,Coz evil deeds will always haunt u no matter how hard u try to rescue yourself
@EdwardSamson-uf1ee
@EdwardSamson-uf1ee 2 ай бұрын
Baada ya kumaliza nimejifunza 1. juhudi na uthubutu ni siri ya mafanikio kwenye kila kitu. 2. kujiamini ni muhimu kwenye kila jambo. 3. kama kitu/mtu hakipo kwenye mpango achana nacho huruma huwa inaponza wakati mwingine. 4. Kuwa na alternative plan(mpango mbadala) kwenye kila unacho panga. unapopanga kama mambo yataenda vizuri nitafanya hivi na hivi panga pia utakavyo fanya mambo yakienda vibaya. hii itakusaidia panapo tokea changamoto kwenye plan A. 5. La mwisho na kubwa Kabisa ni kwamba AT THE MAXIMUM PRESSURE EVERYONE BREAK, NO MATTER HOW STRONG or FAITHFUL IS, AS LONG AS HE/SHE IS HUMAN BEING. SIMULIZI NZURI SANA HII
@charleskombe
@charleskombe 2 ай бұрын
Umeeleza vyema sana ulichojifunza kwenye story hii. Hongera na shukran sana kwa kufuatilia. Wengine tunajifunza kwa take away hii uliyoipata wewe pia
@mussampalo9454
@mussampalo9454 2 ай бұрын
Points
@michaelodhiambo6332
@michaelodhiambo6332 2 ай бұрын
Siri ni ya mmoja si wengi. Lakinoiwaokoke baada hayo.
@jimmylevoyo2539
@jimmylevoyo2539 2 ай бұрын
Jasiri haachi asili
@ErickRambau
@ErickRambau 10 күн бұрын
Nice
@Aswan-f8r
@Aswan-f8r 2 ай бұрын
Much love from Kenya guys like back ❤
@charleskombe
@charleskombe 2 ай бұрын
Thanks for watching jirani
@ShamsaFahad-n8v
@ShamsaFahad-n8v Ай бұрын
Asante
@Vaiva4254
@Vaiva4254 2 ай бұрын
Nimeumia sana😢! Fikiria mpango wa miezi na meizi kukomeshwa kwa kirahisi hivo!
@JohnsonOtto-d5f
@JohnsonOtto-d5f 2 ай бұрын
Kenya we are tuned into your channel because of good news. Thank you
@charleskombe
@charleskombe 2 ай бұрын
I'm so glad! Karibu sana
@NizereOrnella
@NizereOrnella 22 күн бұрын
Asante kwa simulizi nzuri
@mohamedimomari2717
@mohamedimomari2717 2 ай бұрын
Nimejifuza msaada uwe nakikomo shukrani
@SHADRACKBARAKA-ju1sm
@SHADRACKBARAKA-ju1sm 2 ай бұрын
Wamejaribu sana
@ShamsaFahad-n8v
@ShamsaFahad-n8v Ай бұрын
Nzuri sana❤❤❤❤
@NiyogusengaFélix
@NiyogusengaFélix Ай бұрын
Asante sana, habari ya Nuno shujaa shupavu pamoja na wenzake. Heri kufa usifichue siri juu ya wengine. Tuongee nyinge kwanini tumefurahia
@MesharkMpogolo
@MesharkMpogolo Ай бұрын
Nzuri sana hii
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 ай бұрын
Nakuona kaka umwrudi kazini, welcome back. Tulimisi kazi zako.✌️
@charleskombe
@charleskombe 2 ай бұрын
Shukran kaka. Nafurahi kuona mnafurahia. Barikiwa sana
@WilliamJames-po8od
@WilliamJames-po8od 21 күн бұрын
Hatari
@joseKende
@joseKende Ай бұрын
Inauma sana
@DanielAnastaz
@DanielAnastaz 27 күн бұрын
Noma sana
@alichakamdune
@alichakamdune 2 ай бұрын
Hii Kali sana na Kama Mimi ningekua rahisi ningeamuru walinzi wa geti wafungwe na hao jama wafate maisha Yao hurolu Mana wameonesha kuwazidi akili watu walio, wanasema wako kazini Nini Mana ya kua asikari Sasa
@tuyisengeiyakaremye3602
@tuyisengeiyakaremye3602 2 ай бұрын
Unaniima sana kuona wanatumiya akili nanguvu Zao kuondoka gerezani lakini waliendelea kuwa pamoja...Nuno alikuwa n'a juhudi kwakila mutu lakini wao walimutowa...kumbuka n'a yesu wakamutowa wa'afunzi wake Somo ndani ni kwani : apana kusadiki kularoho n'a maneno yakila mutu ,inaniuma sana kuwaona wote wakashikwa ju ya ujinga...mukisha toka gerezani kila mutu naenda zake ...hapo Texas wangilifika kisha wanaachana... Asante sana kwa Satory nzuri...❤❤❤❤❤❤
@charleskombe
@charleskombe 2 ай бұрын
Asante sana kwa kufuatilia. Usisahau kusubscribe na kushea
@AndersonMwinga
@AndersonMwinga 2 ай бұрын
Nuno is great. They should have forgiven him for the massive effort made. Cheers NUNO!!!
@AllyNyama
@AllyNyama Ай бұрын
Nimeumia sana mana gerezan napaju maisha yahumo
@munyaburangasimon7835
@munyaburangasimon7835 29 күн бұрын
Funzo nzuri
@mustafampande173
@mustafampande173 2 ай бұрын
the one and only @KOMBE
@charleskombe
@charleskombe 2 ай бұрын
Salute nyingi. Shukran sana!
@NgendakumanaLeonce-ik3gw
@NgendakumanaLeonce-ik3gw 2 ай бұрын
Pole❤ mungu nimungu tu❤
@MustaphaSaidi-z2u
@MustaphaSaidi-z2u 2 ай бұрын
Nimeipenda sana
@FumoUmuru-oj3jg
@FumoUmuru-oj3jg 9 күн бұрын
Mungu awasaidie wote
@jimmylevoyo2539
@jimmylevoyo2539 2 ай бұрын
Lkn pia kwenye maisha ukitaka ufanikiwe usiende na kundi la watu et kwa kua nyie n kitu kimoja, baada ya kutorok kila mtu alipaswa kufata ustaarabu wake kwan maisha hatufakiw kwa vikundi ila mtu mmoja mmoja
@OmbeniKakule-e3q
@OmbeniKakule-e3q Ай бұрын
N'a shukuru sana kwa habari hiyo, Ila kwa upande wangu nakuta, ya kwamba kunako watu zaidi ya mbili hakuna Siri. Kwani huyo Nuno angikuwa mwenyewe ange faulu
@BimkubwaThabit
@BimkubwaThabit 2 ай бұрын
Kali sana hii😮
@STARTICBOY
@STARTICBOY Ай бұрын
Big up
@Francmtweve
@Francmtweve 2 ай бұрын
pamoja sana blaza leta zingine
@MichaelMuthengi
@MichaelMuthengi 2 ай бұрын
Never reveal all your secrets to your friends.
@DanielMutoko-q2y
@DanielMutoko-q2y Ай бұрын
Self confidence kama Kenyans Gen z, tulivio yanya mambo hapa Kenya mpka serikali kuungana na kufanya kazi na upinzani by force by fire kitu ambacho x kawida kiongozi kuvunja kabinet yake ambayo n ya marafiki watupu walio mungiza kwa mamalaka akatoa wote ,sasa Kenyans Gen z tunajiiamini.na tunaamini mungu pia,Kenya 🇰🇪 2024July
@AmosRugaimukamu
@AmosRugaimukamu 2 ай бұрын
Safi sana
@charleskombe
@charleskombe 2 ай бұрын
Shukran sana kwa kufuatilia. Usisahau ku subscribe na ku share
@SophiaAbdul-s4l
@SophiaAbdul-s4l Ай бұрын
Kweli
@Queenbeby-j6q
@Queenbeby-j6q 2 ай бұрын
Usimwamini mtu yeyote jianini mwenyewe ❤❤❤❤
@khadjamhozya
@khadjamhozya 2 ай бұрын
Ata mama muzazi????
@aliibrahim458
@aliibrahim458 2 ай бұрын
😂😂😂
@dadaamwazewe1299
@dadaamwazewe1299 2 ай бұрын
Kwel kabisa 😢😢😂
@jacklinejohn5727
@jacklinejohn5727 2 ай бұрын
​@@khadjamhozya ndioo
@RamadhanSeleman-le9dq
@RamadhanSeleman-le9dq 2 ай бұрын
Hakika
@raymondjohn3798
@raymondjohn3798 2 ай бұрын
Great, 👌 nice story
@charleskombe
@charleskombe 2 ай бұрын
Thank you so much 😀
@NyarwayaAugustin
@NyarwayaAugustin 2 ай бұрын
Noma sana walifeli kwer kwer
@LENSONBaraka
@LENSONBaraka 2 ай бұрын
Pongezi kwa maafisa wa polisi
@MrNoah-gr7rq
@MrNoah-gr7rq 2 ай бұрын
Kosa lao ni kuendelea kubaki sehem moja halafu wakaanza kutoka toka nje tena kingine wangetoka tu wakanunua wayne wakanywa pamoja hatakama ni polin kisha kuondoka bila kuambizana mi naenda sehem fran bas hiyo ingesaidia ukikamatwa hutoweza kujua wenzako walipoelekea🤨
@hashimabdallah5493
@hashimabdallah5493 Ай бұрын
Nuno🔥😊
@ssalimsalim3864
@ssalimsalim3864 2 ай бұрын
Swali ni kwamba km walichimba na wanachimbia ndani ya gereza kwa muda wa miezi mitatu jee udongo au mchanga walikua wanauweka wapi???tani 15 za udongo ni nyingi sana.
@YohanaPaul-e7c
@YohanaPaul-e7c 2 ай бұрын
Uwongo mtupu udongo tani kumi na tano duuuh hii imeenda
@KatoMayanja-v4k
@KatoMayanja-v4k 2 ай бұрын
Uko sawa na mm nataka atujibu
@charleskombe
@charleskombe 2 ай бұрын
Asante kwa maoni ya kwa kufuatilia. Isivyo bahati hakuna picha halisi za tukio lao. Lakini udongo waliuhifadhi ndani ya uwazi uliokuwa kwenye jengo wanalochimba ambalo ni nadra kuingiwa na walinzi. Ipo movie ambayo inaelelea tukio la kutoroka kwao "Conquiring the Wall" ukipata wasaa itazame utaweza kuelewa kwa undani.
@etienneabibu3979
@etienneabibu3979 2 ай бұрын
Kabisa ni nyingi sn tani 15. Ao marapengine amependa tu kutuchanganya , sababu udongo ya tani 15 ni nyingi sn
@EbenezeriHumbe
@EbenezeriHumbe 2 ай бұрын
Eeh
@IssayaMnyangwila
@IssayaMnyangwila 2 ай бұрын
Heeey never give up
@SamwelMatere-p9m
@SamwelMatere-p9m 2 ай бұрын
Nimejifunza 1kuwa determine 2focursed 3imani 4positivity
@praygodkombe3956
@praygodkombe3956 2 ай бұрын
Nimejifunza kuwa mda mwingine nibora kuchukua risk peke yako Kwan unaweza kuwa salam kuliko kuamini watu kwa kuwatazama ambao wanaweza kuja kuwa chachaa ya maisha yako
@BimkubwaJuma-ew5dg
@BimkubwaJuma-ew5dg 2 ай бұрын
Ujiamini mwenyeo to nakumuomba mungu kama utafanikiwa tosh
@HellenaMathias-e9p
@HellenaMathias-e9p 25 күн бұрын
❤❤
@highskills5883
@highskills5883 2 ай бұрын
Pia katika misheni muhimu ni vizuri kujiepusha na vilevi kupindukia au iwe kwa tahadhari sanaaa
@passkeysound1999
@passkeysound1999 2 ай бұрын
I like it
@charleskombe
@charleskombe 2 ай бұрын
Thanks for watching
@ConfusedJasmine-zi3xn
@ConfusedJasmine-zi3xn 16 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@DismasVisent-i9m
@DismasVisent-i9m 18 күн бұрын
Tuspende kuharibu mipango ya watu baada ya kushindwa kufanikiwa,,,,alipokamatwa ilibidi akubali yaishe tu
@JosephGakome
@JosephGakome 2 ай бұрын
Inasikitisha wapofanikiwa kutoroka wangeachana kira mtu kivyake
@LoistaSteven
@LoistaSteven 2 ай бұрын
Usaliti mbaya huyo Mlaibu na dreva wange kausha hata muanndaa pass asingejulikana na jamaa wasingeshikwa.
@JohnWick-h4z
@JohnWick-h4z 2 ай бұрын
🎉🎉
@BakariIssa-u7v
@BakariIssa-u7v 28 күн бұрын
Uhalifu haulipi chochote, Bali karama ya mungu Ni uzima wa milele.
@STUARTRULAZI
@STUARTRULAZI 2 ай бұрын
Kweli mpango umefana ndio pale walipoanza tena kuchichanyganya mtaani na wakati wanajua bado wako naishu ya sepa mbali alialibu wenyewe ila wangehiongeza hapo walikuwa,wamewini ila akili nyingi inatakiwa
@EsupatLaiser
@EsupatLaiser 20 сағат бұрын
Apo ndo kosa wangetoroka mazima bila kungoja paspot
@NELSONKISOMBA
@NELSONKISOMBA 2 ай бұрын
Katika kufanya jambo zito kwenye maisha ni muhimu sana kufanya peke yako kuliko kuwa na mtu ambaye atakuja kuwa kikwazo kwako badae
@EmanuelLukumai-e9d
@EmanuelLukumai-e9d 2 ай бұрын
Usiwe na marafiki wengi kwenye mipango yako
@EliasPeteramos
@EliasPeteramos Ай бұрын
😢😢😢 sorry nuno
@elizabethmassawe694
@elizabethmassawe694 14 күн бұрын
Aisee sijapenda kbs wakamatwe..bora wasingekachukua ki le kibabu ndo chanzo..alaf usimwamini mtu
@SalomeNgure
@SalomeNgure 2 ай бұрын
Nimependa kisahiki nanimejifunza ujaja fulani❤❤❤
@ludovickanael3426
@ludovickanael3426 2 ай бұрын
kosa kubwa ni kuendelea kuwa panoja eneo Moja, wangepanga kuwa pamoja ila Kila mmoja awe ktk chimbo lake,pia hawakupaswa kumshitikisha mraibu wa dawa ktk misheni Yao .huyo ndie Alie wazamisha!
@GoodluckAmos
@GoodluckAmos 2 ай бұрын
Wewe umepata hayo majib baada ya kuwa umesimliwa mkasa mzima ila hiyo mision ni hatar ikiwa live hujui kitachofata hwez toa comment ya hivo.
@jamesmushi8915
@jamesmushi8915 Ай бұрын
Usaidizi. Wa njia mbalmbali za kutoka nje ni Kwa kuwa Kila mtu alikuwa na ujuzi wake,Nuno asingeweza kutoboa safari yote bila wenzake hasa yule mwiz wa magari aliyewatorosha.
@ntilarugano
@ntilarugano Ай бұрын
Changamoto hutengeneza fulsa .na tupatapo mateso kutengeneza nafasi hii Mara tukiipata tuwe makini Sana kuitumia nafasi hii tusibweteke
@NemaAli-zh6hr
@NemaAli-zh6hr Ай бұрын
Mimi mwenzenu napenda story km izi ila kuangalia hd mwisho ndio siwezagi, naumia sana....!
@NABILMOHAMMEDABDULLAH
@NABILMOHAMMEDABDULLAH 2 ай бұрын
Good ❤😊
@charleskombe
@charleskombe 2 ай бұрын
🤝
@SamSamwel-p2z
@SamSamwel-p2z 2 ай бұрын
Noma sanaaaa😮
@laisimoleli1839
@laisimoleli1839 2 ай бұрын
Pole sn nuno
@BENEDICTMHINA-pd1kr
@BENEDICTMHINA-pd1kr Ай бұрын
Mzee wa hovyo ndio kaharibu mchongo
@BulayaEliasipimilo
@BulayaEliasipimilo Ай бұрын
Jamaa hao wanafikira kubwa na wana hakiri ya kubaini madhaifu ya walinzi wa hilo gereza.
@AmusedLargeWaterfall-dw8qb
@AmusedLargeWaterfall-dw8qb Ай бұрын
Nimejifunza kwamba si kila unalolipanga kufanikiwa litafanikiwa walipanga wakafanikiwa kutoka wakashindwa kuishi
@beatricejoy5682
@beatricejoy5682 Ай бұрын
Hii ni movie 🍿
@EliasPeteramos
@EliasPeteramos Ай бұрын
Sorry nuno😢😢😢
@HappynessJose
@HappynessJose 2 ай бұрын
Me nafikiria nakosa jibu inamanisha wafungwa ni wajaja kushinda Askari bora wapewe kaz hao maasikari wapo chini wafungwa wamewazindi Akiri
@RaphaelMwaisope
@RaphaelMwaisope 2 ай бұрын
Umetisha xn kwamba🌹🌹🔥
@charleskombe
@charleskombe 2 ай бұрын
Shukran sana kwa kufuatilia. Usisahau ku subscribe na ku share
@faithpius6401
@faithpius6401 Ай бұрын
Nuno..walipo Toboa kutoka inje kila mtu angejipanga kivyake sio lazma tukae pamoja..
@NiyogusengaFélix
@NiyogusengaFélix Ай бұрын
Hello kufa kuliko kufichua siri ya wengine. Nuno alikuwa shujaa shupavu kbx.
@abdulpires9091
@abdulpires9091 2 ай бұрын
Safii sanna 🎉
@charleskombe
@charleskombe 2 ай бұрын
Shukran sana kwa kufuatilia. Usisahau kusubscribe na kushea na wengine
@SuzanaSamson-vc3wu
@SuzanaSamson-vc3wu 2 ай бұрын
Nice story
@charleskombe
@charleskombe 2 ай бұрын
Thank you for watching!
@OnyanchaElijah-g8b
@OnyanchaElijah-g8b 2 ай бұрын
Kosa kubwa sana😮😮😮
@nehemiahndar6314
@nehemiahndar6314 2 ай бұрын
The arms of the Government is too long
@AhmedAmiri-f4f
@AhmedAmiri-f4f 2 ай бұрын
Jina la movie please
@ZuberiAdam-s4t
@ZuberiAdam-s4t 2 ай бұрын
Nikwamba kupitia iyo simulizi nimeweza kujifunza kuwa tunaweza kufanya jambo kwa pamoja ila miongoni mwetu mmoja akinaswa ana siri koo ndo inapelekea kuwa choma wenzake koo tujifunze kuwa majasiri kwenye jambo LA kuishi kutokana na makosaa 😅😅
@SelemaniSaidi-j7p
@SelemaniSaidi-j7p 2 ай бұрын
Nikosa kubwa sana bada yakutoroka kisha munaendelea kuzunguka mtaani
@LemidiusiVenanti-m8l
@LemidiusiVenanti-m8l 2 ай бұрын
hatari sana
@VaniceKerubo-d7t
@VaniceKerubo-d7t 2 ай бұрын
Good story
@David.baby1
@David.baby1 2 ай бұрын
Aujuwi kuelewesha Mustafa. Ndioooo
@AgnesPhilp
@AgnesPhilp 13 күн бұрын
Hatari Sana akili yote walioitumia Hamna kitu
@leahkendi7211
@leahkendi7211 17 күн бұрын
Hakuna Siri ya wengi. Ulitaka kwenda mbali safiri alone
@BariatuAbutwaha
@BariatuAbutwaha 2 ай бұрын
Duh hakika nimejifunza kitu maskini nuno😢
@albertnyachieo-gl8sj
@albertnyachieo-gl8sj Ай бұрын
Hadithi ya ajabu sana lakini mafunzo tele
@naominyaitondi2241
@naominyaitondi2241 2 ай бұрын
Waaau ila nilikuwa nimeanza kufurahia uhuru wao ,kumbe mwisho ni huzuni 😢
@AlliHamisi-g3k
@AlliHamisi-g3k 2 ай бұрын
Mhi wausika walikua wengi mno wengine wamezoea shida ndio maana wamejisau baada ya kutoka
@LusatoSafari
@LusatoSafari 16 күн бұрын
💪💪💪💪💪💪💪
@KingiKatana
@KingiKatana 2 ай бұрын
Hiyo ni bahatibaya, kwani kidole kimoja hakivinji chawa huo mchongo hangeza mtu mmoja
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 ай бұрын
Mbona Magereza ya Marekani yana Camera Ilikuwaje wawe wanaweza kufanya uchafu wote huo??mmh kweli waliwaiba akili watu
@JulianDionise
@JulianDionise Ай бұрын
mlichojifunza ili ufanikiwe inapasw usielezee lengo lako maan mafanikio ni sili ya kili mtu na pili usimwamini mtu ata km ni nduguyo
@ThomasMalaas
@ThomasMalaas 15 күн бұрын
Binadamu sio mtu wa kumwamini ht kidogo,wangefanya kutengana baada ya kutoroka ili Kila mtu aelekee anakojua mwenyewe
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 32 МЛН
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 32 МЛН
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 28 МЛН
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 32 МЛН