Mwl. MGISA MTEBE - UKUHANI WA KIFALME DAY 1 (Asubuhi) 2021, Juni 13

  Рет қаралды 12,271

Mgisa Mtebe

Mgisa Mtebe

3 жыл бұрын

Ukuhani wa Kifalme ni Ofisi Kuu mbili ambazo BWANA wetu YESU KRISTO ametuweka sisi waumini wake, katika Ulimwengu wa roho, kwa kutununua kwa dame cake takatifu, pale msalabani, ili tuweze KUMILIKI na KUTAWALA dunia, na tuweze kustawi, ili tube vyombo vizor via ibada. Ufunuo 5:8-9.
Ikiwa unaishi maisha yasiyo na ushindi, basi inawezekana ni kwasababu, hujatumia Ofisi hızı mbili za Ukuhani na Ufalme, ipasavyo. Basi ujumbe huu umekujia kwa wakati sahihi, sikiliza kwa makini na utendee kazi point hizi, nami utafanikiwa na kuona ushindi wa Mungu maishani mwako. Usisahau kuwashirikisha watu wengine link hii, ili na wao wanufaike kwa mafundisho haya. Na Mungu akubariki sana.

Пікірлер: 33
@jameskabuta5107
@jameskabuta5107 18 сағат бұрын
Thank you so much
@innorithapeter4730
@innorithapeter4730 3 жыл бұрын
Asante sana mtumishi ubarikiwe..,naomba uwe una update haya mafundisho Mara kwa Mara tunakumiss sana .
@ibradarpraize3613
@ibradarpraize3613 3 жыл бұрын
Aiseeee
@user-kp2jf5jc2i
@user-kp2jf5jc2i 2 ай бұрын
Uko deep, nakukubali!
@josephnyamoga4747
@josephnyamoga4747 2 жыл бұрын
Mafundisho mazuri Mungu akupe nguvu
@josephnyamoga4747
@josephnyamoga4747 2 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana naelewa na Mungu atupatie kutii ili tusipokee bure
@lidyasikawa8967
@lidyasikawa8967 3 жыл бұрын
Asante yesu kwa mafundisho hayo
@edibilym.manyaga8314
@edibilym.manyaga8314 3 жыл бұрын
Ahsante sana mwalimu kwa somo la baraka namna hii. Wewe n timu yako nzima mbarikiwe. Kutoka Mpanda Katavi tupo pamoja
@eliatowela4484
@eliatowela4484 2 жыл бұрын
Nmebarikiwa sana mtumishui
@tedytitus7205
@tedytitus7205 2 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mafundisho mwl 😇 na Mimi natamani siku moja niwe Nakama Wewe mwl wangu.
@mwlsizamwampamba3441
@mwlsizamwampamba3441 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu nakukubari Sana nakuombea Sana, uzidishiwe upako Mara dufu kamanda wa Yesu
@salamasapi1663
@salamasapi1663 3 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri Mwalimu
@feliciankavishe6792
@feliciankavishe6792 3 жыл бұрын
Hongera na mungu rohomtakatifu akiwezeshe zaidi na zaidi
@theodorjrceo1942
@theodorjrceo1942 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mwalimu Mungu akutie Nguvu tuna ponywa na kukupata toka USA
@anyigulilemwaigomole3012
@anyigulilemwaigomole3012 2 жыл бұрын
Mwalimu tuonaomba mwendelezo wa SoMo hili
@maarifahub5066
@maarifahub5066 3 жыл бұрын
Nabarikiwa na matumizi ya teknolojia ya Habari ktk neno la uzima
@glorymrindoko3461
@glorymrindoko3461 3 жыл бұрын
MUNGU akubariki sana, nimejifunza vyema, Glory to GOD
@hildajoshua2906
@hildajoshua2906 3 жыл бұрын
Amen
@collinmtoto572
@collinmtoto572 Жыл бұрын
Napenda mafundisho yako Mtumishi. Kila siku nayasikiliza radio kucheko
@rogathmassawe7480
@rogathmassawe7480 3 жыл бұрын
❤❤❤
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
Ushuhuda huu unaliza Sana jamani tuwache kukaa kizembe zembe jamani sivyo mtu atabebwa misukule
@sammohgrapics
@sammohgrapics 3 жыл бұрын
Amina..🙌🏽🙌🏽
@joycemanyuka4546
@joycemanyuka4546 3 жыл бұрын
Upo api jamani
@musafx4473
@musafx4473 3 жыл бұрын
Hakika nimefunguliwa kwenye maombi ya kikuhani na Kifalme 🙏💞
@El9a
@El9a 3 жыл бұрын
AMEN
@El9a
@El9a 3 жыл бұрын
Huo mfano wa kuwafuata askari kuwafuata waalifu kama mtu kusimama nafasi ya kifalme (kuamuru mlima uondoke) nimebarikiwa nao sana Mwalimu
@dreamhigherministry5355
@dreamhigherministry5355 3 жыл бұрын
Asantee kwa somo zuri Mwl.
@calvinandrea6884
@calvinandrea6884 3 жыл бұрын
Ubarikiwe Mwalimu
@yohanan.kazimili9695
@yohanan.kazimili9695 3 жыл бұрын
Teacher nakuelewa sana ,wewe ni mwl,kiongoz na baba wa kiroho kwangu ! Barikiwa sana
@robertchiwangu5408
@robertchiwangu5408 2 жыл бұрын
Baba mbona hili somo hujaendeleza kupost
@robertchiwangu5408
@robertchiwangu5408 2 жыл бұрын
Baba mbona hili somo hujaendeleza kupost
@rujamvungi8221
@rujamvungi8221 3 жыл бұрын
Mwalimu mbona huu mtiririko wa hii semina hauendelei tena?
@pastorbukambu9141
@pastorbukambu9141 3 жыл бұрын
Amen
Mgisa Mtebe - HILA ZA SHETANI
13:29
Mgisa Mtebe
Рет қаралды 32 М.
JINSI YA KUTUMIA DAMU YA YESU KATIKA MAOMBI || PASTOR GEORGE MUKABWA - JRC || 13-10-2022
1:09:20
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 94 М.
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 9 МЛН
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 1,3 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 87 МЛН
NGUVU YA UPENDO - MGISA MTEBE
45:28
Mgisa Mtebe
Рет қаралды 15 М.
FAIDA ZA KUPOKEA UPAKO WA MFALME NA KUHANI MKUU MELKIZEKI WAKATI WA KUSHIRIKI MEZA YA BWANA
1:19:18
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 157 М.
KUKUA KATIKA IMANI  - MWL. MGISA MTEBE
10:47
Mgisa Mtebe
Рет қаралды 6 М.
Mch.DKT   WILLIAM KOPWE - SEMINA YA NENO LA MUNGU-IBADA YA ASUBUHI DAY 1.
42:21
UKUHANI MPYA WA AGANO  NA REV: E. S. MUNISI 22.5.2020
1:35:27
Sautikuutv
Рет қаралды 927
Mch Moses Magembe - KUGEUZWA KUWA MTU MWINGINE
2:15:16
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 26 М.
KANUNI SAHIHI ZA MAOMBI(principles of prayers)
49:29
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 86 М.
MWL. MGISA MTEBE - NGUVU YA MAUTI - DAY 2
1:46:00
Mgisa Mtebe
Рет қаралды 6 М.
MWL. MGISA MTEBE - NGUVU YA MAUTI - DAY 5
3:10:10
Mgisa Mtebe
Рет қаралды 2,5 М.
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 9 МЛН