Pastor George Mukabwa -Senior Pastor-Jesus Restoration Centre (JRC), Mwanza Tanzania. For Offering you can send from any Network to M-Pesa Lipa Namba 5252176 #jrcchurch #Tanzania #jrctz #PastorGeorgeMukabwa
Пікірлер: 191
@leaherasto9293 ай бұрын
Damu yaYesu irudishe uhai kwenye kazi yangu AMEN
@user-ss8mn8wu5r4 ай бұрын
Barikiwa sana baba kweli unanibariki na mahubiri yako
@annnjeri864 Жыл бұрын
Nitangaza Damu ya yesu iniwakilishe katika maisha yangu Damu ya Yesu initetee panapo mashitaka yote yanayo ongea kinyume na maisha yangu katika ulimwengu wa rohoni🙏🙏🙏
@YvonneKhaluiКүн бұрын
Maisha yangu kwanzia Leo yamo ndani ya kristo,nakataa roho na madabahu ya uko in the name of Jesus
@margrethemanuel750125 күн бұрын
Siwezi kumwelezea huyu pastor vile amenivusha na Damu ya Yesu
@teclabudodi1970 Жыл бұрын
Nimevuka kiuchumi kwaajili ya mafundisho yako ubarikiwe Sana pastor
@fathiasaed9718 Жыл бұрын
Hongera kubwa
@aminakabuka87005 ай бұрын
Next to testify 🎉
@VeredianaKalembi-gs4vs4 күн бұрын
MUNGU akubariki sana mtumishi mafunzo Yako yananitia moyo sana na kunipa nguvu ya kusonga mbele zaidi kwa NGUVU mpya
@meleamatonya697 Жыл бұрын
Mungu akubariki Sana baba masomo yako yanaendelea kunivusha hatua kwa hatua
@ashajuma608318 күн бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu Nimejifunza sana siku ya kwanza kusikiliza soma la nguvu ya maombi ya usiku wa manane Hadi leo sijaacha amen sana baba. Najifunza sana inuliwa ktk jina la baba yesu christo
@upendokikwelele620 Жыл бұрын
Amen !Mchungaji Hakika nimekuelewa juu ya Somo lisemalo "JINSI YA KUTUMIA DAMU YA YESU KATIKA MAOMBI" Ninaomba DAMU ya YESU KRISTO iniondolee magonjwa yangu yote na iniondolee mikosi ,Lana,nguvu za shetani,kafara na sadaka zote za kishetani zilizotolewa juu yangu ziteketee Kwa DAMU YA YESU KRISTO
@annamariamlolwa5409 Жыл бұрын
Hakika damu inawakilisha na niliiona kwkweli🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@hassanbukambu931 Жыл бұрын
Amen nilikuwa najua kiasi sasahivi najua Kwa kiwango kikubwa Sasa naitumiaga TU Damu ya Yesu Kristo ila Sasa naitumia vizuri zaidi
Daaah huyu mtumishi ni wa kipekee sana tofauti na wale wa pokea magari wakt hata mia sina, ubarikiwe sana mtumishi Mungu akulinde milele
@2010Tadeo Жыл бұрын
Huyu baba mchungaji ananibariki sana. Mafundisho yake yanajenga sana, Mwanza wana bahati. Mungu na ambariki sana kwa kutumika.
@monicakijazi6351 Жыл бұрын
Mungu Baba nisaidie kuelewaasomonya Mtumishi wako
@gracehose8840 Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na somo Hili mtumishi Mungu akuinue zaidi nazaidi Amina
@paskaziasholla7471 Жыл бұрын
Mwanza yupo sehemu gani?
@user-vt4wj1fr2c2 ай бұрын
Pastor Mungu anakutumia kwa kiwango kikubwa sana,haya mafundisho ndio MAARIFA ambayo tukiwa nayo hatutaangamia.
@lucywangui19325 ай бұрын
Ooh yes I have an advocate who is Jesus Christ
@judysondara765417 күн бұрын
Natangaza damu ya yesu ifute kila kifungo kilio wekwa juu yangu katk Jina la Yesu. Na yoyote anayepitia mafundisho haya damu ya yesu na inene mema kwa kila mmoja
@TomasKakami9 күн бұрын
Paster sina mengi yakusema bt mungu anakutumia kwa viwango vya juu maisha yangu imebadilika kabisa nimekuwa kiumbe kipya
@ekaleregae47653 ай бұрын
Damu ya Yesu nirudishie biashara yangu
@user-dz4he8su4e3 ай бұрын
Amen Amen 🙌🏿🙌🏿 barikiwa sana Pastor nmesuumbuka sana na magonjwa kichwa meno maskio na Magoti na nmefundishika jinsi ya kutumia Damu ya YESU Asante Bwana Yesu
@lovenessdastan59437 ай бұрын
mungu akubariki baba kwa kuponya mioyo yetu
@julianasuleman2192 ай бұрын
Amen. Damu ya Yesu initetee wachawi wanaoninyemelea washindwe
@Grace-ts2rf4 ай бұрын
He always say, nitakupa andiko...i like this, Amen,
@braxiviliannafula91515 ай бұрын
Amen Amen Mungu akubariki sana mchungaji kwa mafunzo mazuri acha damu ya Yesu ituteeee na kutulinda katika maisha yetu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@user-qe3jx6ci3h2 ай бұрын
Kweli napenda kukusikiliza mtumishi wa Mungu ,yesu akubariki sana 2:11
@ekaleregae47653 ай бұрын
Damu ya yesu niteteee katika maisha yangu na Familia yangu
@user-vx4ie9bs8jАй бұрын
MUNGU akubariki pastor
@user-db5nx3uc7d29 күн бұрын
Amina barikiwa mtumiishi
@mauricekipchemboi9656 Жыл бұрын
waa you are my favorite teacher Live long pastor get more revelations
@Naomie.kerubo6 ай бұрын
More blessings man of God I have learnt alot since I started listening to this preachings🙏🙏🙏🙏
@jacklinewahome24166 ай бұрын
We glorify the name of the Lord, There's true gospel preachers.
@TomasKakami9 күн бұрын
Mtumishi kweli ni mungu anakutumia
@user-ed2jz5ym9u3 ай бұрын
Asante ulidwe namungu siku żółte za maisha yako
@Grace-ts2rfАй бұрын
Nyinshi watu mumebahatika sana kusikiya hili neno la msalaba na damu ya Yesu Kristo. Hii ina nguvu sana, ni ya kweli kabisa inatoka patakatifu pa patakatifu, absolute truth without any shadow of doubt,
@CatherineMakokha-dg6ws5 ай бұрын
I'm really get blessed in spiritual teaching, more blessings man of God, hallelujah hallelujah hallelujah 🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏
@nancykagwima95164 ай бұрын
Amen pastor huwa nabarikiwa sana wakati unahubiri 21:02
@everlyneimili Жыл бұрын
thank you man of God am blessed with your teachings
@benyoshumu34835 ай бұрын
Pastor be bless and more grace , ur teaching has tanch my heart
@neemajeremiah940121 күн бұрын
Amen Amen🙏
@user-uj1nm5rh1q3 ай бұрын
Amen mtumishi najifunza
@elizanyarusi61545 ай бұрын
Amen sana Mtumishi wa Mungu, Mungu awe nawe siku zote za maisha yako azidi kukutumia sana nakutakia maisha mema yenye baraka tele daima dumu.
@winfridamahali6349 Жыл бұрын
Amen. Naendelea kubarikiwa sana. Mungu akubariki mtumishi wa Mungu
@teresaarama8452 Жыл бұрын
May God bless you too much for your teachings ❤❤❤❤
@lilianmwamdanga97265 ай бұрын
Bless you man of God!!
@neemamakando1250 Жыл бұрын
Hakika nina mbariki sana Mungu kwaajili yako Pastor George.Wewe ni mwalimu haswaa.Yaani najifunza mnoo.Sifa na utukufu kwa Mungu juu
@marymassawe8655 Жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe mchungaji.mchungaji ninaombi. Naomba kwenye mafundisho yako utoe Flash ili na wasio na simu wapate mafundisho yako mazuri sana yanatubariki sanasana. Tupate na huku mikoani watu wazidi kumjua huyu mungu na kumuishi.UBARIKIWE SANA MCHUNGUJI.UTUNZE NA MUNGU.
@christinechambuni90603 ай бұрын
Munguakubariki sana mtumishi wa mungu nimebarikiwa
@zakwetustudiosАй бұрын
Amen 🙏 Amen 🙏
@evamusuruve3196 Жыл бұрын
Amen umenitia Nguvu ya kuomba sana ,, MUNGU akubariki ,,wengine tumefungwa na Damu ya uko ,,so nilazima Damu ya YESU iniokie
@leahpeneti7599Ай бұрын
Amen 🙏
@leaherasto9293 ай бұрын
Damu ya Yesu iniwakilishe
@juhudijotham888 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mtumishi,hakika ninabarikiwa sana na mafundisho yako.
@user-xd8mb1gd6f9 күн бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@user-fp4zy2st5p10 ай бұрын
Ubarikiwe sana Baba
@jb-6519Ай бұрын
Amen
@user-xy8pv6pp8b2 ай бұрын
Asante Sana pastor umefungua akili yangu
@user-ee1rq2fv4t3 ай бұрын
Yesu akulinde mtumishi
@reenyaysher7639 Жыл бұрын
Am in Dar, i have never been in your church but am very blessed through your chanel🙏 Mafundisho mazuri mno
@joyceonzere6206 Жыл бұрын
Hakika nabarikiwa sana kwa mafundisho yako mchungaji n Joyce kutoka Kenya
@elizabethisack1158Ай бұрын
YESU NAOMBA DAMU YA YAKO INITETEE
@peterkaji75525 ай бұрын
Asante sana Mchungaji, kwa kunijulisha na kunifanya nimjue Yesu na thamani ya Damu ya Yesu ilivyo na nguvu ya ukombozi hata kwa maisha yangu ya kila siku. Barikiwa mtumishi na endelea kumtangaza Kristo na nguvu zake na pia kuibomoa kambi ya adui, Asante sana.
@JidithaJustine2 ай бұрын
Nabarikiwa sana
@user-rn7ui4pp9fАй бұрын
Amen 🙏 nashukuru pastor kwa mafundizo, damu ya yesu itirike maishani mwangu
@elizabethisack1158Ай бұрын
Ninaamuru DAMU YA YESU iniondolee magonjwa yote, na iponye uchumi wangu.
@rebeccamuhonja-xo7xf Жыл бұрын
This teachings have moved me to another level thank you pastor be blessed
@gracedouglas60094 ай бұрын
Asante Bwana Yesu mtakatifu kwa neno lako uendelee kunena NAMI na kuniongoza
@levinajackson2773 Жыл бұрын
Amen! Amen! Ameeeeeeeeeen! Asante sana mtumishi wa Mungu nimevuka Kwa damu ya Yesu ya thamani
@rosekeruboonchiri27892 ай бұрын
Am blessed 🙌
@mercymsanzu6944 Жыл бұрын
Amen hii neno niyangu ak😭😭😭 ubarikiwe sana
@user-ov8xp3zq9u4 ай бұрын
Damu ya Yesu kwa maisha yangu na watoto wangu wote
@euniceshayo58736 ай бұрын
Mungu Akubariki pastor George umenifanya namfurahia Yesu .
@christinaenock69885 ай бұрын
Amina mchungaji ubarikiwe kwa SoMo la kutumia damu ya Yesu.
@user-ed2jz5ym9u4 ай бұрын
Ubarikiwe ninayo mengi takupataje ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
@elizabethisack1158Ай бұрын
Naomba DAMU ya YESU inikonecti na MUNGU
@user-xo4vl5ry8k5 ай бұрын
Mungu akuongoze na kukubariki, mtumikie thawabu yako utaikuta mbinguni.
@JacklineAkinyi-kg8zb4 ай бұрын
I love the way God is using you to help us and enlighten us about God be blessed pastor always
@monicanyangwe410211 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe mtumishi ninaomba kama naweza kupata vitabu vya masomo uliyofundisha barikiwa
@annambwilo51019 ай бұрын
Asante mtumishi Nimefanyika huru kwa mafundisho yako.
@Grace-ts2rf4 ай бұрын
This man preaches the word of God not his own words. He always read a verse (s). Be blessed man of God,
@magrethmkemwa92874 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu Ubarikiwe Sana Kwa somo hili
@user-qk7zi9cw6w8 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumshi wangu kwa mafundisho mazuri yaani nilikufa kiroho lakin now nimefunguka.
@MAG-yb5ez6 ай бұрын
Barikiwa sana Mtumishi nimepokea kitu kikubwa sana.japo napitia maisha magumu madhabahu za giza zinanitesa sana
@ndinahkibona25467 ай бұрын
Mungu akubariki sana Mch.kwa fundisho hili hakika ni Mungu amekutuma kwangu.
@davidmghanga8502 Жыл бұрын
Ubarikiwe mwalimu sana neema ya kufundisha uko nayo kweli
@user-nd3hy7ot4w Жыл бұрын
Ameni pastor mafundisho yako yamenivusha mbali kiimani mungu akubariki mno
@LawrenceLeoMalawa4 ай бұрын
Asante kwa neno lako la kutumia damu ya Yesu kutuponya.
@user-ed2jz5ym9u3 ай бұрын
Amina amina kubwa ni kweli Hiyo ni mungu
@nancykagwima95164 ай бұрын
Amen pastor huwa nabarikiwa sana wakati unahubiri
@mariadagobert24068 ай бұрын
Barikiwa sana. Ujumbe mzito na umenibariki sana
@edinahmasea1603 Жыл бұрын
Asante sana pastor umeninenea kweli asante Yesu naitisha hii damu itutetee. Amen Amen ❤
@alexandermajula72686 ай бұрын
Asante sana mtumishi wa mungu
@EvelinaMahenge-xi8fp9 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu
@salimajosephine16734 ай бұрын
Damuya yesu haleluya❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ziporadaffa79885 ай бұрын
Ninàvuka kwa jina la Yssu asante kwa mafundisho
@schilasalim Жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mafundisho yako najifunza natatumia Nazidi kuinuliwa
@tinakatana4513Ай бұрын
🙏🙏🙏🙏👏
@MarianaMajenga-uu2wj Жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mafundisho haya,uko wapi pastor,mkoa ,wlaya na enjoy,mie niko mza.
@janethyangi99863 ай бұрын
Nimeteseka sana kwa muda mrefu lkn Leo nimesikiliza neno la kusimamia damu ya Yesu nimefunguliwa,nimepona.
@janethyangi99863 ай бұрын
Mungu akubariki pastor,wish to see you. Lkn niko dar