MGOMBEA |24| MKOJANI,SAMOFI,HAJIADAM

  Рет қаралды 33,396

MKOJANI GANG

MKOJANI GANG

Күн бұрын

Пікірлер: 95
@ezrafrancis9519
@ezrafrancis9519 8 ай бұрын
Kiukweli movies zako bro mkojani nazipenda kwa sababu story ni nzuri na matukio hayajirudii ya movies zilizopita hata kama wahusika ni wale wale ubunifu ni mkubwa sana🎉🎉🎉
@cyprianyinnocenty2002
@cyprianyinnocenty2002 7 ай бұрын
Afu kweliii ume0ngea kitu Sijawahi 0na st0r zimejirudia aseee h0ngera kwake
@fayojarso3777
@fayojarso3777 8 ай бұрын
Hi movie ni tamu sana walai, mkojani samofi kijiko asante sana, congratulations mimi kutoka kenya,
@rehemakatundu7027
@rehemakatundu7027 8 ай бұрын
Mke wa haji anajuwa sana 🥰
@saddiqmageta7904
@saddiqmageta7904 8 ай бұрын
Pesa ni adui wa maadili ..pesa anatutesa mnoo ..hayo ni maisha halisi tunayoishi mtaani
@rukiaabdul7191
@rukiaabdul7191 7 ай бұрын
Kweli kabisa wanawake wengi tunadhalilika kwa ajili ya pesa.Kujiweka rahisi kwa wabunge na kadhalika juu ya tamaa..Allaah atunusuru na uzinifu..
@AffectionateCoconut-qc2tb
@AffectionateCoconut-qc2tb 7 ай бұрын
Fact
@Awoshy
@Awoshy 8 ай бұрын
Leo hii mnamuona mgombea sio mtu mzuri eeeh😂😂😂kijiko na samofi yamewakuta sasa🤣🤣🤣
@djaahdjaah3658
@djaahdjaah3658 8 ай бұрын
😅😅😅kijiko wew na samofi muwe maadui
@abuuqamar58
@abuuqamar58 8 ай бұрын
Mgombea amegombea mpaka wake za watu😂😂😂
@jaimessimeone6750
@jaimessimeone6750 7 ай бұрын
Msimwache mgombeaa😂😂😂😂
@iddi29
@iddi29 8 ай бұрын
Mgombea Dunia imemuandama duh😢😢😢
@Sheikhmadaba-cm2hw
@Sheikhmadaba-cm2hw 8 ай бұрын
Kwa nn mnatuachia patamu jaamannnnnnn jamn mkojaniiii
@HassanHassan-ix7cj
@HassanHassan-ix7cj 8 ай бұрын
Wahhhhhh ni kumoto Mgombea mavi kitambarani
@LovelyCows-dq2uv
@LovelyCows-dq2uv 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂akiri yamqombeya anaijuwa mwenyewe😂😂😂😂😂
@AmosJacksonJackson
@AmosJacksonJackson 8 ай бұрын
Dah!!! Hapa mmmh watu watakuja uwana, sipati picha uko mbele
@ChibaruwaWanii
@ChibaruwaWanii 8 ай бұрын
From kenya mombasa mkojani nakukubali sana🎉
@YUSSUFVUAIMKANGA-kr8on
@YUSSUFVUAIMKANGA-kr8on 8 ай бұрын
Safi sana Mkojani tupo pamoja
@AbelFrancis-ww7cb
@AbelFrancis-ww7cb 8 ай бұрын
Mugombea unaupiga mwingi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤ mkojani
@KassimKhalaid
@KassimKhalaid 8 ай бұрын
Malaya wamekutana Leo noma
@InnocentArmadillo-do9vm
@InnocentArmadillo-do9vm 8 ай бұрын
Team mkojani. Mgombea. Wewe hatari. Sana 💥💥
@jaimessimeone6750
@jaimessimeone6750 7 ай бұрын
Mke wa Haji "kilio kiliooo utamliliaa nanii" 😂😂😂😂
@Mzuri_002
@Mzuri_002 8 ай бұрын
Nilishasema mwanzoni tu kwamba ipo cku samofi nakijiko watamuelewa hajji😅
@Awoshy
@Awoshy 8 ай бұрын
Wanawake wanamgombea Mgombea😂😂😂😂
@Asma-m1j
@Asma-m1j 8 ай бұрын
Wanamgombea Mgombea😂😂😂 hii imeenda
@Awoshy
@Awoshy 7 ай бұрын
@@Asma-m1j 😂😂
@KlSd-y8x
@KlSd-y8x 8 ай бұрын
Leoooo....Motoooo Shwaaaaaaa 🎉🎉🎉😂😂
@kajairolancaster7028
@kajairolancaster7028 8 ай бұрын
Aki kijiko weeh unavuruta nare kuliko Samofi 🎉..... macho yenu yamerudi sasa😅
@AbelFrancis-ww7cb
@AbelFrancis-ww7cb 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂wake siowatu wazur 🎉🎉🎉🎉kwasababu wte wameolewa
@avocadomatala2883
@avocadomatala2883 8 ай бұрын
Sasa huyo aliyebeba Kuni ndio kuvaa Gani huko hiyo kaptula mpaka anaacha matako wazi ahahahaha na cameraman nae akaamua kumuacha dah jamaa ametisha Sana
@rukiaabdul7191
@rukiaabdul7191 8 ай бұрын
Haya ni mafunzo.Wanawake hutumiwa sana na hawa wagombea na kudhalilisha waume zao.Tamaa ya pesa mwisho ni mzito usioelezeka.
@harokai4310
@harokai4310 8 ай бұрын
hizi vitu huwa zinafanyika waeza pata mke wako anatembea na rafiki yako. Muchunge wake zetu wasiwe na mazoea na marafiki wenu😂😂😂😂. LAKINI MKOJANI WE KIBOKO WOTE WATATU UMECHANGANYA😂😂😂😂
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 8 ай бұрын
Hivi haya mambo yanakuaga kweli!, yaani wanawake wana waume zao wanapigana kwa ajili ya malaya fulani hivi. Dah wanawake wajifunze kwa kweli.
@Asma-m1j
@Asma-m1j 8 ай бұрын
Haya mambo yapo kila siku kilakukicha kaka na hayataisha adi kiama apo anaekti tu pengine kiukweli kila mtu apo anayo kama hayo kabisa🤣🤣🤣🤣🤣🤣weeeeee kwakweli kazi ipo
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 7 ай бұрын
@@Asma-m1j dah! Sasa wanawake kwanini wanataka kuolewa hali washajijua hawawezi mwanamme mmoja?. Hii maana ya ndoa haitambuliki. Mwanamke kama huyo ata akiuwawa kwa Mungu huna dhambi.
@dullysmart9560
@dullysmart9560 7 ай бұрын
M nkiona tuu moves z mkojani basi huag na like kabla ya kutizama story 😅😅
@allybin08
@allybin08 8 ай бұрын
Mgombea anaupiga mwingi 😂😂😂
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 8 ай бұрын
Hanifa hapa angeuwa sana..mrejesheni pls
@tusmokinana3836
@tusmokinana3836 8 ай бұрын
Flora ana confidence
@Mcfloramakolo-xv2fu
@Mcfloramakolo-xv2fu 7 ай бұрын
Mnoooo
@antonioconstanciongomua4055
@antonioconstanciongomua4055 8 ай бұрын
From Moçambique
@dotoomary6889
@dotoomary6889 8 ай бұрын
Sema kimeumanaa
@mohdazad1696
@mohdazad1696 8 ай бұрын
😂😂Kazi nzuri sana
@winniesidi4608
@winniesidi4608 8 ай бұрын
Game is over😄😆😂🤣🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@jaimessimeone6750
@jaimessimeone6750 7 ай бұрын
I say hii moto balaa bin kifaru kinakuumania babanguu😂😂😂
@enockmwilongo5771
@enockmwilongo5771 7 ай бұрын
Kimewalambaaaa machawa wa mgombea 😂😂😂😂😂😂
@jumasalim1373
@jumasalim1373 8 ай бұрын
Big up team mkojs
@FahadAli-ni5eu
@FahadAli-ni5eu 8 ай бұрын
My best comedian always
@Sarah-tq2vc
@Sarah-tq2vc 8 ай бұрын
Mgombea dunia itakuelemea ndugu yangu ohoo😅😅😅😅
@vistonyoni
@vistonyoni 8 ай бұрын
mgombea n mgombea wa wake za watu
@abuuqamar58
@abuuqamar58 8 ай бұрын
Pesa ni adui mkubwa.
@godfreymghamba
@godfreymghamba 8 ай бұрын
Sema sasa huo uchoyo wakutufanya roho juu juuu mtatuuuaa toeni zote😅
@DicksonRevelian
@DicksonRevelian 8 ай бұрын
mgombea ni mtu wa mana kabisa
@emmalyanga3726
@emmalyanga3726 8 ай бұрын
Final episode 😢😢😂
@felixochiengomondi6189
@felixochiengomondi6189 8 ай бұрын
😅😅 mkojani umeyaanzisha wewe 😅 mwishoe utashindwa kuyamaliza wewe 😅.
@sadihamis2050
@sadihamis2050 8 ай бұрын
Jamani narejea tena me wa kwanza mkojoani gang fans here 😂😂🎉🎉
@husnabilali3099
@husnabilali3099 8 ай бұрын
Good job🎉🎉🎉🎉🎉
@sidebraizoy2070
@sidebraizoy2070 8 ай бұрын
Itakuje hapo marafiki wafumaniana😂😂😂
@NellyDibaling
@NellyDibaling 8 ай бұрын
Mrs haji anajua kupitiliza
@onesmusfondo7679
@onesmusfondo7679 8 ай бұрын
Naona ssa baba mlezi kala wanawe wa Kambo...
@AbelVictor-r6k
@AbelVictor-r6k 8 ай бұрын
Mkojani unatisha!
@MubarakaAbdallah
@MubarakaAbdallah 8 ай бұрын
Mgombea kayakanyaga
@halfanndaruke6642
@halfanndaruke6642 2 ай бұрын
Frola anaongea vizuri sana.........
@onesmusfondo7679
@onesmusfondo7679 8 ай бұрын
Haya ssa,naona Hadji ameshinda.....
@Wisefolktale
@Wisefolktale 8 ай бұрын
Saaafi
@ommary75
@ommary75 8 ай бұрын
Kumeanza kuchangamka huku
@husnabilali3099
@husnabilali3099 8 ай бұрын
Naona maneno ya hajji yanaanza kuwatafuna kijiko na samofi😂😂😂😂
@gayanestory4357
@gayanestory4357 8 ай бұрын
❤❤❤
@sidebraizoy2070
@sidebraizoy2070 8 ай бұрын
Vilio pande zote 😂😂😂
@saidmohd2931
@saidmohd2931 7 ай бұрын
Tunaishi😂kwenye dunia ambayo mchepuko anauma kushinda mke/mime wa ndoa,,, na hvi ndivyo kulivyo huko mtaani 😢
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 8 ай бұрын
Tunako elekea mgombea kajilipa harama zake zote alo toa haha nlisema kitambo mgombea kajilipa
@giftgeza3662
@giftgeza3662 8 ай бұрын
Mgombea hatari
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 8 ай бұрын
Nice
@AzizaJuma-p7x
@AzizaJuma-p7x 8 ай бұрын
@saidilome-ue2df
@saidilome-ue2df 8 ай бұрын
Kisha Chandimu alalamike halipwi na Mkojani eti ataka kutoka atoke tu Mkojani geng utaendelea km kawa.alitoka Mambwende,Chumvi nyingi,Chado,mjeda,Mwaluvanda,Anifa na woote tumewasahau maana vipaji huzalishwa na Mkojani.
@BMFURAHAKWANZA
@BMFURAHAKWANZA 8 ай бұрын
Leo n'a mimi ni wa 72 like tano tu ...mimi tujuwane vema wanao fwatilia kwa umakini séries hii
@YUSSUFVUAIMKANGA-kr8on
@YUSSUFVUAIMKANGA-kr8on 8 ай бұрын
Nipo hapa
@WasilaRajab
@WasilaRajab 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@iscofootballer06
@iscofootballer06 8 ай бұрын
Hii series haifik ata 50
@jerryanton9224
@jerryanton9224 8 ай бұрын
kama amli yangu haji asiwepo sioni anachofanya
@NellyDibaling
@NellyDibaling 8 ай бұрын
Wewe ni mgonjwa wa akili😂
@JohnNsyenge
@JohnNsyenge 8 ай бұрын
Unaumwa wewe eti haji asionekane
@ngoshaog1255
@ngoshaog1255 7 ай бұрын
🔥🔥🔥
@nduwayofaustinfofo9450
@nduwayofaustinfofo9450 8 ай бұрын
Wakwanaza like zangu jamani
@Twilumba
@Twilumba 8 ай бұрын
Mkojan kichwa kina moto
@Jacklinejohn7
@Jacklinejohn7 7 ай бұрын
Wee nae kilasiku kulia kwani huna kwenu
@DanverDanny
@DanverDanny 8 ай бұрын
Mkojani hapo unajitoaje?pande zote vyuma vimekaza hehe
@EvalineDaniel-l5m
@EvalineDaniel-l5m 8 ай бұрын
Mkojani unakaribia kukamatika
@Twilumba
@Twilumba 8 ай бұрын
Kumamake chuma imeanza kunoga
@NellyDibaling
@NellyDibaling 8 ай бұрын
Mke wa haji ni mtu na nusu anajua kupitiliza
@افلينافلين-ي9ك
@افلينافلين-ي9ك 5 ай бұрын
Walio ona iyi sem kwa tik tok likes. Ata 50
@RashidKidume-w8e
@RashidKidume-w8e 8 ай бұрын
Nilisema mgombea huna muda utashikwa kwani maovu hayana siri
@KoreanDramaMoviesKiswahili
@KoreanDramaMoviesKiswahili 7 ай бұрын
❤❤❤
@abdallahshaally17
@abdallahshaally17 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
MGOMBEA |25| MKOJANI,SAMOFI,HAJIADAM
11:02
MKOJANI GANG
Рет қаралды 33 М.
MGOMBEA |23| MKOJANI,SAMOFI,HAJIADAM
11:19
MKOJANI GANG
Рет қаралды 33 М.
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
MWANAFUNZI WA AJABU Full Movie /Bongo Movie
4:14:23
BabaJoan
Рет қаралды 1,1 МЛН
FAMILIA TATA :[1] MKOJANI, NGOMA NAGWA, OCHU KIOTA, TUMAIN ABDALAH
24:55
Mkojani Amvunja mbavu Mkurugenzi wa ZOI
1:47
ZOI MEDIA
Рет қаралды 21 М.
KOLO 3! UTACHEKA MKOJANI NA RINGO KIMEUMANA
10:04
Ringo Sabufa
Рет қаралды 39 М.
HUKUMU |1|
15:53
CHUMVINYINGI GANG
Рет қаралды 49 М.
CHA 2000  Full movie  STARING MKOJANI SAMOFI GALASA KISOSEG MBEMBE
1:18:57
INÉDIT ! CHEZ COCO SAISON 03 ÉPISODE 06
47:10
TOSALA FILMS TV
Рет қаралды 26 М.
MGOMBEA |12| MKOJANI,SAMOFI,HAJIADAM
11:53
MKOJANI GANG
Рет қаралды 36 М.
MGOMBEA |22| MKOJANI,SAMOFI,HAJIADAM
15:58
MKOJANI GANG
Рет қаралды 35 М.