"Mhe.Rais lakini huyu usimuache ondoka nae... ataniua wanambinu,".Mfungwa-Karikenya.

  Рет қаралды 233,248

ITV Tanzania

ITV Tanzania

Күн бұрын

Пікірлер: 121
@susanlazaro7492
@susanlazaro7492 5 жыл бұрын
Alieona huyu Askari anafanana na Idd Amin Dada Apite hapa😒😒
@georgemhalla3515
@georgemhalla3515 5 жыл бұрын
Haaaaaaa!!!!!!! Umetisha
@seth9japheth488
@seth9japheth488 5 жыл бұрын
@@georgemhalla3515 we unamuonaje
@blackmaradona1891
@blackmaradona1891 5 жыл бұрын
Ila kweli
@blackmaradona1891
@blackmaradona1891 5 жыл бұрын
Susan Lazaro ila kweli
@lucyzakaria4258
@lucyzakaria4258 5 жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
@TALLUBOY
@TALLUBOY 5 жыл бұрын
Ameniliza sana uyu albinise
@leonardmrope9528
@leonardmrope9528 5 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀😀😀kweli uyu wakimuacha wtamua😀😀😀 duuh,,uyo Askal apo Anahasira nae 😀😀😀😀
@pascalpembamoto8172
@pascalpembamoto8172 5 жыл бұрын
Daa!! Kweli duniani kuna mambo.mungu tenda kwa wenye haki.
@hassanjuma2688
@hassanjuma2688 5 жыл бұрын
DUH INAUMA SANA
@mohaz612
@mohaz612 5 жыл бұрын
lakini magufuli mheshimiwa Ondoka nae huyu mtu ama utaskia mauwaji woiiiiiiiiiii🙆🙆😂😂askari askia kupiga mtu😂
@rhodarularula2055
@rhodarularula2055 3 жыл бұрын
Utacheka hata kwa matanga
@mohaz612
@mohaz612 3 жыл бұрын
@@rhodarularula2055 hili ilikuwa kabla kufariki kwake mheshimiwa magufuli acha kutafta kiki oe
@petermshikilwa4541
@petermshikilwa4541 5 жыл бұрын
Ni kweli inauma sana
@phedriclhusna3949
@phedriclhusna3949 5 жыл бұрын
Mama wew mzunguu!!
@lucasmdudaevarst7633
@lucasmdudaevarst7633 5 жыл бұрын
Duuuuuh hatari fire
@christianchazinho4104
@christianchazinho4104 5 жыл бұрын
Hahahhaha nooomaaaa...ondoka nae
@ashab2537
@ashab2537 5 жыл бұрын
Huyo askali sura yake tu inaonyesha jeuri, sura mbaya, unyanyasaji tu kwa wafugwa
@selemanhasan7529
@selemanhasan7529 5 жыл бұрын
Mungu wasaidie ndugu zetu wanateseka magerezani
@gonjadunus8000
@gonjadunus8000 5 жыл бұрын
midomo inamtetemeka uyo asikari magereza kama sharubu za panya 😂😂😂😂
@elizabethchurichurielizabe7328
@elizabethchurichurielizabe7328 5 жыл бұрын
ha ha haaaaa
@mandymdemu7271
@mandymdemu7271 5 жыл бұрын
Hahahaha
@gonjadunus8000
@gonjadunus8000 5 жыл бұрын
Mandy mdemu 😂😂
@mayco-channel__1
@mayco-channel__1 5 жыл бұрын
Daah aisee inauma xana
@lilianmasea9249
@lilianmasea9249 5 жыл бұрын
kalikenya alikuwa anatafuta nafas yakumzodoa yan anamuita Uyu eti ebu angalia Magufuli😀😀😀😀😀uwiiiii jaman
@afandehassan1
@afandehassan1 5 жыл бұрын
Angalia hiyo sura ya Mwasifika vile ana roho chafu na katili
@priscaandrew554
@priscaandrew554 5 жыл бұрын
Anasinzia tuu kwenye benchi...duuh albino kachafukwaaa....safi sana......ondoka nae baba atatuua
@batoolawadh
@batoolawadh 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@maxmaizer4631
@maxmaizer4631 5 жыл бұрын
😁😁😂😂uyo askari kwl anavoo mpimia albino amtaman balaaa
@halfanmundo282
@halfanmundo282 5 жыл бұрын
jamaa kaonge point sana yaan ukimuacha na taarifa ya huyo ofisa unayo hahafu mtoa taarifa akauawa mbingun itahesabika mh.Maguful kaua, mwenye masikio asikie na mwenye macho aone
@salimmohamed694
@salimmohamed694 5 жыл бұрын
Iyo point imeniigia daaah
@mossesmuumba412
@mossesmuumba412 5 жыл бұрын
nalia mimi
@johnnonyarungwa255
@johnnonyarungwa255 5 жыл бұрын
DUU KUMBE KARIKENYE WETU WA SIRARI MARA YUKO BUTIMBA. MWENYEZI MUNGU AMFANYIE WEPESI NDUGU.
@charlesmataba8344
@charlesmataba8344 5 жыл бұрын
duh.
@Peterson__J
@Peterson__J 5 жыл бұрын
Daah Maisha haya inauma inasikitisha inaumiza. Sana
@Africa96tv
@Africa96tv 5 жыл бұрын
Daaaaa
@kassimjuma8713
@kassimjuma8713 5 жыл бұрын
kalikenye umenikunbusha mbali xana. maana mtu ambae hajaingia jera hawezi. kukuelewa
@barakaelia1962
@barakaelia1962 5 жыл бұрын
Da
@mjaluomweusi7686
@mjaluomweusi7686 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂karikenya bhana dah
@victorcephas3618
@victorcephas3618 5 жыл бұрын
Inauma kwa kweli wafungwa wanamaswahibu mengi
@petermpemba7948
@petermpemba7948 5 жыл бұрын
utaletewa maelezo ya mauhaji Duuuh 😁😁😁😁
@saidibadawi469
@saidibadawi469 5 жыл бұрын
Daaa inasikitisha sanasana.
@ramadhanihassani256
@ramadhanihassani256 5 жыл бұрын
afisaaa usalama antetemeka midomo kibury saaaana usoni jeury
@salestinengina294
@salestinengina294 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣hondoka nahuyu hataniua
@leonardjanuary4400
@leonardjanuary4400 5 жыл бұрын
😄😄😄😄...... Ondokaa naee ana mbinu uyuuu ataniuwa
@maufundi5037
@maufundi5037 5 жыл бұрын
Umeongea ukwel ata mimi kaka yangu kauliwa magereza na sumu
@petermpemba7948
@petermpemba7948 5 жыл бұрын
kazi anayo Hyo police Duuh
@wisehekima3973
@wisehekima3973 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣 Wanambinu nyingi
@maulidimtondoo4555
@maulidimtondoo4555 5 жыл бұрын
msamahaa ulikufikia kaka
@mardinhalfany1413
@mardinhalfany1413 5 жыл бұрын
🙆🙆🙆 kaka usalama wako unaniginia kama Antena!
@hemedmnyambwa5502
@hemedmnyambwa5502 5 жыл бұрын
Mpaka machozi yamenilenga jamaa kaaaeleza kwa uchungu mkubwa sanaaa
@edwardsichilengwe2330
@edwardsichilengwe2330 5 жыл бұрын
Hemed Mnyambwa sana
@guccij3549
@guccij3549 5 жыл бұрын
😂 jmaa ktoboA ukWel
@gorgonusshayo920
@gorgonusshayo920 5 жыл бұрын
Dah
@daudkhatib5090
@daudkhatib5090 5 жыл бұрын
Kwa wanayofanyiwa Wala wafungwa sishaangai
@blackmaradona1891
@blackmaradona1891 5 жыл бұрын
Jamaa anasema kweli
@nelsongerion2864
@nelsongerion2864 5 жыл бұрын
Kumewaka moto jera
@peterelias1374
@peterelias1374 3 жыл бұрын
Dah fact ila uyu afisa usalam angebaki sijui ingekuaje
@KelvinLokota
@KelvinLokota 6 ай бұрын
Bahati buku
@dinijuma9713
@dinijuma9713 5 жыл бұрын
nenda nae
@zeidavhich4035
@zeidavhich4035 5 жыл бұрын
Atalala kwa mang'amnga'am jamb kaka wawatu
@dadakijembe3706
@dadakijembe3706 5 жыл бұрын
Waaa wanafanana na askar jela wa kenya
@salimmohamed694
@salimmohamed694 5 жыл бұрын
Hahhaha kwan uko kenya askari wapoje
@dadakijembe3706
@dadakijembe3706 5 жыл бұрын
@@salimmohamed694 wapo jeuri kama huyu apa yani ufisadi kwenda mbele
@samsonezekiel970
@samsonezekiel970 5 жыл бұрын
Mh Huyo sijui ataishi vp
@pendomwakalobo1298
@pendomwakalobo1298 5 жыл бұрын
Samson Ezekiel Mungu ajusaidie
@geofreyanderson9291
@geofreyanderson9291 5 жыл бұрын
karikenya
@angelanyaulingo9856
@angelanyaulingo9856 5 жыл бұрын
Hahaha nmecheka mpaka nmejamba et,uyu kaka s mzm.eti nikiondoka ondoka nae ataniua
@afandehassan1
@afandehassan1 5 жыл бұрын
Angela haya aliyoyasema mheshimiwa Albino sio ya kuchekesha ni machungu. Tumuombee asidhuriwe na kiumbe chechote humo Mungu ampe amani.
@hellenmgungus1979
@hellenmgungus1979 5 жыл бұрын
Yaani ukiondoka ondoka naye
@hassanmirambo564
@hassanmirambo564 5 жыл бұрын
Angela Nyaulingo kucheka mpaka kujamba mmh
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 5 жыл бұрын
Kwa jina la YESU upo huru.
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 5 жыл бұрын
Inahuzunisha Sana mlemavu huyu angesamehewa tu
@Muba3304
@Muba3304 5 жыл бұрын
Dah hata sitamani kucheka maana hapa tulipo kwa wakati huu tulionao unaezajikuta unakufia jela mika 60 unafungwa na ukijichek mpaka sasa unamiaka 25 😭
@seth9japheth488
@seth9japheth488 5 жыл бұрын
Huy askar han cv za juajiriwa
@yusufally6853
@yusufally6853 5 жыл бұрын
Askar rushwa nwisho wenu 40 zimetimia...mmekwisha
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 5 жыл бұрын
mh
@wilsonkimaro6375
@wilsonkimaro6375 5 жыл бұрын
HUYU ALBINO AKIPATA TATIZO LOLOTE ITAHESABIKA VIBAYA KWAHIYO NASHAURI HUYU ALBINO KESI YAKE ICHUNGUZWE UPYA KAMA NIKWELI HANA MAKOSA AACHIWE HURU KABISA NA APEWE ULINZI WAKUTOSHA NAHUYO ASKARI AHAMISHWE KITUO CHAKAZI NA AONYWE AKAE NAWAFUNGWA VIZURI MAANA NAO NI BIN ADAM KAMA YEYE
@georgeswai7248
@georgeswai7248 5 жыл бұрын
Hyu amezinsia kwenye penji tu ajui chochote
@masarukaswalala8089
@masarukaswalala8089 5 жыл бұрын
Kaka magufuli tunaomba uwasaidie hao wanyonge ila tembelea na magereza zote
@khadijak3065
@khadijak3065 5 жыл бұрын
Jamani msije mkamuuwaa huyo mlemavu Wa gozi maana gerezani kunaunyanyasaji viba mno askari hao sukuma ndani valisha bangili haoo
@zenombele7588
@zenombele7588 5 жыл бұрын
hatar
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 4 жыл бұрын
Nimecheka kweli akukabidhi mihuli ya IKULU sasa wewe utatumia nini
@filbertnashon7160
@filbertnashon7160 5 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁😁😁
@samwelmwinyi1893
@samwelmwinyi1893 5 жыл бұрын
Cjui kaondoka nae?
@innocentmuly5801
@innocentmuly5801 5 жыл бұрын
HII DUNIA BALA KWELI
@jaffaryramadhan3701
@jaffaryramadhan3701 5 жыл бұрын
Yukosaw
@wasafitv2423
@wasafitv2423 5 жыл бұрын
😂😂😂😂Leo n zam ya askar kua wanyonge 😂
@samanthaali873
@samanthaali873 5 жыл бұрын
Duh askari jela bana 😂😂ondoka nae atanidhuru mm
@davidricharddavid1969
@davidricharddavid1969 5 жыл бұрын
Uyo afande afai sura tu inatixha duh uyo ksma ningekuwa raisi ningehenda nae
@simoncharles4031
@simoncharles4031 5 жыл бұрын
Hotuba ya rais
@euniceezekiel6072
@euniceezekiel6072 5 жыл бұрын
sura kama idiamin
@beatriceannamaria8106
@beatriceannamaria8106 5 жыл бұрын
Eunice Ezekiel ha ha ha haaa teh
@beatriceannamaria8106
@beatriceannamaria8106 5 жыл бұрын
Eunice Ezekiel hata haeleweki anachozungumza
@troubleboy2590
@troubleboy2590 5 жыл бұрын
My president 💕💕
@alihijiiddi8977
@alihijiiddi8977 5 жыл бұрын
WEWE MAKUFULI UNAFAHAMISHWA YA KWELI UNASEMA ETI HAWA NDIOWALIOKUPIGIRA SASA MAKUFULI ULIKUWA MCHUKUWE HUYO AKUELEZEE YOTE YANAYOTENDEKA JELA HUKO NIJUKUMULAKO WANAYOYAFANYA HAWA NDIO WANAHARIBU BWAO WENYEWE MAPOLISI WANAKUWA MAGANGWE NA KUWAGENGI HAO WAFUNGWA HAIWEZEKANI WATU WANAKUFA NA KUULIWA KWA UJANJA ALAFU ETI UNASEMA HANDIO WALIOKUPIGIYA KURA NI WAZIMU WA MADIKTETA WA CCM AU MCC WANAUWA WATU KWA NJIYA NYINGI TU 🇹🇿👹🇹🇿👹👹🇹🇿👹👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹👹👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹👹👹🇮🇱👹🇹🇿👹👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹👹🇹🇿
@ayubsalim6174
@ayubsalim6174 5 жыл бұрын
Allah awafanyie wepec dah inauma sana
@hassanmirambo564
@hassanmirambo564 5 жыл бұрын
Ali hiji iddi mbona maelezo marefu halafu hayaeleweki?
@alihijiiddi8977
@alihijiiddi8977 5 жыл бұрын
HAWA WANAFANYA KAZI ZA EUROPE HUKO WAJINGA HAWAJAIMIKA MAASKARI HAWA WAMO WAMO TU WAMEWALAWITI MASHAA WA UWAMSHO KIKWETE ANAULIZA KATIBAGANI INASEMA KUWA TU TOCHWE WANANCHI HAKUJIBU NA WANASHIKILIWA MPAKALEO KWS KUDAI MCHIYAO ZNZ IWE NA MAMLAKA KAMILI AU MUUNGANO WISHE TUMESHA CHOKA KUKSLIWS KIJESHI NA TANGAYIKA KWA KUSINGIZIYA MUUNGANO KWA NINI MTOTO KAWA HANA ADABU KWA MAMAAKE NA KALELEWA VIZURI KUPSTIWA HURU NA KITI MBALI KUTUUWA WENGI WAISILAMU NA KUUCHUKIYA UISILAMU NA KUTAKA BABAYAO WATAIFA ATUTAFUNE TAFUNE ANATAMANI WAZANZIBARI NA UISILAMU NYERERE LANATULLAHI SASA 👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👹🇹🇿🇹🇿👹🇹🇿🇹🇿🇮🇱🇹🇿🇮🇱🇹🇿🇮🇱🇹🇿🇮🇱🇮🇱🇹🇿🇮🇱🇹🇿🇮🇱🇹🇿
@belthamwakatage3355
@belthamwakatage3355 5 жыл бұрын
ukimuacha atanidhuru
@godfreymollel6903
@godfreymollel6903 5 жыл бұрын
Sijui huko aliko ana hali gani.
@mawazomawazo959
@mawazomawazo959 5 жыл бұрын
Alibino ahamishwe gereza watamutesa
@rosemarymsulwa203
@rosemarymsulwa203 5 жыл бұрын
Atakuwa keshahamishwa.
@kachawakikazi1217
@kachawakikazi1217 5 жыл бұрын
naomba kuuliza uyu albino ni mchaga au maana dah ni shida sema uyo askali ni inaonyesha kbs ni ndugu wa iddi amin 😂😂😂😂😁
@jamesjames4239
@jamesjames4239 5 жыл бұрын
Kacha Wakikazi mkurya uyo
@edwardsichilengwe2330
@edwardsichilengwe2330 5 жыл бұрын
huyu soja bora angesajiliwa kenya, akapambane na jagwa 😬😬😬😬😬😬 prisoners wetu hawana amani kabisa
@ericwanjala3408
@ericwanjala3408 5 жыл бұрын
edward sichilengwe ata mm ak rais afanye jambo bure huyu janaa mausha yake iko danger sana
@edwardsichilengwe2330
@edwardsichilengwe2330 5 жыл бұрын
ERIC WANJALA daa inauma sana jamaa kaeleza kwa uchungu sana
@gorgonusshayo920
@gorgonusshayo920 5 жыл бұрын
Kiukweli mi ni mwanaume lkn nmejikuta natokwa na machoz kama mtoto , watu wanaonewa sana . kila lenye marefu na mapana huwaga halikos mwisho .
@ibraringi8072
@ibraringi8072 5 жыл бұрын
Ase jamaa gupo sahihi ila kwa anavyo mpimia ase sijui km wiki atatoboa huyu
@shamsakimaro7133
@shamsakimaro7133 5 жыл бұрын
Ahahaaa
@pastorraymondsanga4531
@pastorraymondsanga4531 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂sikiliza HAPA 👉👇 kzbin.info/www/bejne/pZSaeH6Qhr-mhK8
@magengekovu2947
@magengekovu2947 5 жыл бұрын
Hyu kadata miaka 30 kazi ya askari magereza ngumu sana maana unaishi na watu wenye akili nusu
@hassanmirambo564
@hassanmirambo564 5 жыл бұрын
Magenge kovu tatizo unaongea halafu maisha ya jela huyajui
@magengekovu2947
@magengekovu2947 5 жыл бұрын
@@hassanmirambo564 sawa wewe umekaa jera za dar
@shedrackbryson6797
@shedrackbryson6797 5 жыл бұрын
Adi huruma mwanang
@bernadmligo9475
@bernadmligo9475 5 жыл бұрын
Hatar
@lucyedgar4869
@lucyedgar4869 5 жыл бұрын
Jamani nimejisikia vibaya sana huyo mlemavu wa ngozi machozi amelia kwa uchungu sana,mungu mlinde huyo baba ameniliza mno
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI,  JANUARI 15, 2025
30:34
ITV Tanzania
Рет қаралды 3,2 М.
Хаги Ваги говорит разными голосами
0:22
Фани Хани
Рет қаралды 2,2 МЛН
LIVE: MFUNGWA AMCHOMA AFISA MAGEREZA KWA MAGUFULI "ONDOKA NAE ATANIUA"
1:02:53
MAGUFULI Akutana na MFUNGWA Aliyemuua MKEWE, Amwaga MACHOZI "Niachieni"
3:26
#MIZENGWE  Ujana una mwisho.
17:18
ITV Tanzania
Рет қаралды 94 М.
Хаги Ваги говорит разными голосами
0:22
Фани Хани
Рет қаралды 2,2 МЛН