No video

MIAKA 16 YA NDOA NA MZUNGU NI MATESO MAKUBWA | STRESS NA KUFUNGIWA NDANI | SIRUHUSIWI KUFANYA KAZI

  Рет қаралды 60,240

Official Dating Assistance

Official Dating Assistance

Күн бұрын

Ester ambae anaishi Milano - Italy, ameolewa na muitaliano ambaye alitoka jela bila ya yeye kujua na akamchukua kuishi Italy ambapo ndani ya miaka 16 ni mateso juu ya mateso, amekua akipitia kukabwa, kutishiwa kifo na kutoruhusiwa kufanya kazi wala kuchukua watoto wake waliopo Tanzania.
Amekua akikaa ndani tu na haelewi ni wapi aanzie ili kupata msaada.
Thanks Ester for allowing this to be online
www.Oda.international

Пікірлер: 1 000
@perucebuhomaosward8512
@perucebuhomaosward8512 10 ай бұрын
Ester Shogaangu pole sana, lkn umepambana vya kutosha. Rudi nyumbani kumenoga tuendeleze maisha yetu kama zamani. Mambo ni 🔥🔥 Najua hutarudi kuanza utarudi kuendeleza. Wewe ni mpambanaji, Mzungu asikupotezee muda.❤❤
@mwanasitidettwiler9254
@mwanasitidettwiler9254 11 ай бұрын
Uko na busara na Akili ndefu ..kujenga nyumba pole pole si kitu rahisi.ongera👏👏👏👏
@mikemlay2297
@mikemlay2297 10 ай бұрын
Pole Dada Esta, najiuliza kama hamuendi Kanisani hata Siku moja. Mwombe Mungu awape Neema ya Wokovu.
@neemalema2545
@neemalema2545 9 ай бұрын
Ushaskia mtu ni mvuta UNGA hapo Kuna kanisani kweli😢😢😢
@annamussa185
@annamussa185 11 ай бұрын
Shena Mungu akuinue juu zaidi ya hapo,zamani watu wenye KZbin channel walikuwa wanaongea tu kuhusu Visa maisha mazuri lakini wewe Shena umeleta kitu watu wanafunguka kabisa yani mpaka mtu anaelewa yani hata kama mtu hajuwi kusoma basi picha anaona Yani kama Kuna mtu haelewi basi hatokaa aelewe maisha yote🙌
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 11 ай бұрын
Ahsante sana Dhumuni ni kusaidiana na kufunguana upeo Shout out kwa wageni wetu ambao wanakuja kutuambia Situation zilivyo
@amanimyolo1478
@amanimyolo1478 11 ай бұрын
​@@OfficialDatingAssistance..African we are beautiful
@thomasmuzuma2381
@thomasmuzuma2381 10 ай бұрын
Yes
@thomasmuzuma2381
@thomasmuzuma2381 10 ай бұрын
Dada umewahi kukutana na watanzania au Wakenya?
@Brightnessyohana
@Brightnessyohana 11 ай бұрын
Huyu dada yuko depressed I can understand her feelings, ukiwa unaishi ugenini halafu mtu wako wakaribu anakutreat kama mzigo hata psychological amekuwa affected. Ningeshauri tu arudi nyumbani halafu asilimia kubwa wanawake wengi walioolewa na waitaliano wanateseka sana especially sicily tribe wabaguzi sana aisee
@neemalema2545
@neemalema2545 9 ай бұрын
Mnoo Jamani yaan niejikuta naogopaaaa,😢😢😢😢😢😢
@cleopatrahenry7541
@cleopatrahenry7541 2 ай бұрын
Sishauri arudi nyumbani ili asaidie kuachana na huyo bwana ila aende mbali naye kabisa atafute ka,I hukohuko apate hata mtaji ili akisema kurudi asirudi mikono mitupu
@ongowi5701
@ongowi5701 11 ай бұрын
Rudi Tanzania my dear Ester. Huyo mzungu mvuta unga ipo siku atakuua ondoka kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.
@annamussa185
@annamussa185 11 ай бұрын
Da Estar shukrani sana yani umenifunza vitu nilikuwa nina maswali mengi sana kwenye kichwa changu nakushukuru yote umenipa majibu kupitia story yako Mungu akubariki sana na atakuvusha kwenye hilo
@user-wp3wd9dx8z
@user-wp3wd9dx8z 5 ай бұрын
Mbona ma sley Queen hawalet story kama hizi jamn
@sophiarwehumbiza209
@sophiarwehumbiza209 11 ай бұрын
POLE SANA Dada ila dada ESTER ungemshilikisha Mungu angekupa majibu mazuri muombe Mungu akuepushe na haya magonjwa iliuzidi kuishi miaka mingi
@sistersade9039
@sistersade9039 11 ай бұрын
Pole sana kwa matatizo yasio na mfano. Lakini hongera kwa ustahamilivu mkubwa na akili uloiweka juu yakujijenga ki maisha nyumbani. Mie naona nikuondoka Italy kama unakwenda likizo tu alafu usirudi tena kwa huyo mume. Anaweza kukudhuru apo atakapoona unataka divorce. Ni bora kuepukana nae kwa haraka. Mungu akulinde na kila baya. 😢
@user-sg5jl3cg2b
@user-sg5jl3cg2b 10 ай бұрын
Mungu amekusaidia sana Ester. Mshukuru sana umuombe akupe jinsi ya kurejea kwenu kwa amani. Hao wenzetu hawajawahi kuwa wazuri. Ni waongo wanafiki nawauaji kiuhalisia. Mungu na akutetee Ester
@ashaidei5680
@ashaidei5680 8 ай бұрын
Miaka ni mingi sana sepa hata nchi nyingine Ila ulipochapia kutokupata uraia,dada chukua uraia ni rahisi kuishi nchi nyingine.kama utaweza pata uraia😊
@sialuke9955
@sialuke9955 11 ай бұрын
Kuna dada apa kwenye interview na Shena sikumbuki jina lake, alisema wazungu wengi wanaokuja Africa kutafta wake huwa wanakuwa wana matatizo uko kwao… hasa criminal record, na hakuna watu wanaotaka kuolewa nao huko kwao, so the easiest way huwa wanaona bora kuja Africa, sab wanajua waafrica ni wakarim… girls be careful…
@teddyhenry2579
@teddyhenry2579 11 ай бұрын
Tunamsikia
@teddyhenry2579
@teddyhenry2579 11 ай бұрын
Aendelee tunamsikia
@user-oc7ur4ob1e
@user-oc7ur4ob1e 5 ай бұрын
Hapana dada endelea tu tunataka live tunajifunza mengi
@user-oc7ur4ob1e
@user-oc7ur4ob1e 5 ай бұрын
Je kwa nini usichike ujitegemee
@ibrahimmarwa7599
@ibrahimmarwa7599 5 ай бұрын
Story huwezi kuifupisha. Kazi iendelee
@adoranancy9093
@adoranancy9093 11 ай бұрын
Sana sana dada zetu wa bongo kuolewa na mzungu sio kushinda lotto...mnachukuliwa tu virahisi sana....
@lucasjoseph1407
@lucasjoseph1407 11 ай бұрын
Hongera dada Ester kwa kutuwakilisha maana cc wengine tunaogopa kutoka hadharani kuongea yanayotukuta km yako ijapokuwa hali ni mbaya. Hongera tena kwa ujasiri wako Umetuwakilisha....!!!👏👏👏
@HopeMasika-es3ik
@HopeMasika-es3ik 5 ай бұрын
Hapana
@veronicajustus4507
@veronicajustus4507 2 ай бұрын
kabisaaa
@renaminamina1240
@renaminamina1240 11 ай бұрын
Hilo ni kweli kabisa wako hivyo wataliani huwa wanajifanya wazuri wakiwa kwetu lakini mdaa tu ukifika kwao ndio wamekugeuka pia mimi naishi roma Italy hali ni hiyo dada pole sana kwetu nikuzuri tupambane tu kwetu africa ❤❤
@user-ig1ds2eq4d
@user-ig1ds2eq4d 5 ай бұрын
This woman is very wise all she needs is spiritual strength
@user-hz5nf8qp5w
@user-hz5nf8qp5w 5 ай бұрын
Ester nimesikia maneno yko umenifunza kitu masha allah mungu akupe nguvu❤❤❤
@marthageorge5043
@marthageorge5043 11 ай бұрын
Nampa Pole dada Ester,ila nimependa alivyo jenga nyumba nyumbani,alafu ninaomba umtafute tena ili tujue amefikia wapi atua zake za kurudi nyumbani
@markmushi8940
@markmushi8940 11 ай бұрын
Mimi naishi italy nina miaka 20 huku.dada esther ana moyo sana anastahili pongezi.mimi miaka 20 yenyewe nimeowa mtanzania mwenzangu mke wangu ni mchagga. Maisha huku ni magumu nyumbani ni bora kuliko huku tu.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 11 ай бұрын
Hongera sana, natamani nipate interview na wewe Tupate kusikia maisha ya Ughaibuni na wote mkiwa watanzania Kama hutojali Naomba tuwasiliane +4367764790884
@badruahmad4277
@badruahmad4277 2 ай бұрын
Safi
@bettyruhaza2856
@bettyruhaza2856 Ай бұрын
Pole Mark
@mafrikanws
@mafrikanws 11 ай бұрын
Dada assistance msaidiye uyo Dada ni vizuri Sana nyinyi ndio watu ambao mnaishi uko mumushauri na kumsaidia vingi Sana sabu naona Dada naye piya akujiongeza njo tatizo naye piya ALICHANGIYA kuwa Katika iyo Ali
@adrianochieno6131
@adrianochieno6131 3 ай бұрын
Sisi wengine tunapenda sana video zako zikiwa ndefu. We get the whole story and we are very happy to listen up to the end🤣🤣🇰🇪
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 3 ай бұрын
Thanks Jirani 🥰🥰
@user-zo2jw7zo2m
@user-zo2jw7zo2m 11 ай бұрын
Rudi dada Tanzania pazuri njoo tupambane wanawake tunaweza
@elizabethbiseko4882
@elizabethbiseko4882 11 ай бұрын
Vipi usafiri mnao
@ladymacollection
@ladymacollection 11 ай бұрын
Kwenye haya maisha ... uki lose time ukaja ku stuka una 45 halafu umetoka kwenye ramani ni ngum mno ... unazidi kufa kiundani... yaaani Maisha haya ni kuwa na akili na kusoma kujifunza kujichanganya tu
@veronicankenja9061
@veronicankenja9061 9 ай бұрын
Dada Ester kwanza nakupa hongera kwa ujasiri. Ila naomba urudi kwetu Tanzania usije akakuua Bure.
@swahiliwithZita
@swahiliwithZita 11 ай бұрын
Nimesikiliza interview yote, nimeogopa sana. Kuna ukweli mwingine hausemwi. Dada Esther amefunguka mno sasa vipi huyo mzungu wake akiona hii interview anaweza kumfanya chochote. Inabidi dada Esther aondoke kabisa kwenye hiyo nyumba yake maana naona mzungu atakuwa mwekundu mno. Pole sana dada Esther na Mungu akusaidie ila ondoka tu. Wewe si wa kwanza wala wa mwisho, utashake kidogo but utaweza tu. Amani ya moyo muhimu mnooooo!
@ashleybeby111
@ashleybeby111 11 ай бұрын
😊😊😊😊p Ppp P Pp Pp
@pelagiahaule7241
@pelagiahaule7241 6 ай бұрын
Dada Ester pole mpendwa. Ushauri wangu kipenzi rudi tu nyumbani kwetu ni kuzuri sana tu. Ila nimekupenda sana kwa ujasiri.
@GiantPaul
@GiantPaul 11 ай бұрын
Sometimes money is nothing kama huna amani ya moyo. Imagine 16 years na mtu anataka kurudi nyumbani.
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 11 ай бұрын
Ni kweli kabisa Hakuna kitu kizuri kama kuwa na Amani ya moyo
@jeniferlubonja6844
@jeniferlubonja6844 11 ай бұрын
Y
@jeniferlubonja6844
@jeniferlubonja6844 11 ай бұрын
Tumesikia
@rutahalima1400
@rutahalima1400 4 ай бұрын
Pole ndugu yetu ila ningekushauri umuone social worker akupe msaada
@RoseMalamala-vu9rd
@RoseMalamala-vu9rd 8 ай бұрын
Kwa vitisho hivo mpendwa Bora urudi nyumbani ndugu yangu huyo bwana atakuzuru siku Moja, mwenyezi mungu akutetee
@angelmashauri6961
@angelmashauri6961 3 ай бұрын
Pole sana da Esther kwa unayopitia…Mungu atafanya njia yatapita tuu na kila kitu kitakuwa sawa tena.
@evelyinipaja7022
@evelyinipaja7022 11 ай бұрын
Dada Esther amesema kweli maisha mazuri yapo popote pale.
@user-yo3yy7fx1i
@user-yo3yy7fx1i 11 ай бұрын
Basi Rudi chanika kuna Maisha MAzuri... Huyu Mjinga 16yrs angejifunza chochote hata ususi WA nywele😢
@africanpolarbear4044
@africanpolarbear4044 11 ай бұрын
Pole sana dada ester 😢 Rudi nyumbani usiogope kuanza upya
@marywangari1120
@marywangari1120 11 ай бұрын
Mimi niko rome najua africans wameolewa na wazungu maskini ni rangi wanafuata hapa wengi wanaunza drugs wakitoka jela kupata kazi ni ngumu
@user-yo6kf1ve9i
@user-yo6kf1ve9i 10 ай бұрын
Mungu akufungulie mlango urudi nyumban
@estherriley982
@estherriley982 9 ай бұрын
Hongera sana kwa kujiongeza umejenga nyumba na biashara kidogo. Mwanaume humuelewielewi Dai talaka rudi nyumbani uangalie watoto wako.
@paulalove1223
@paulalove1223 11 ай бұрын
Kuna mtu alisemaga sometimes wazungu waloshindikana kwao au ana historia ya matukio hakuna anaetaka kuolewa nao wanakuja huku kutafta sijui nikweli 😢 Mungu akusimamie dada
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 11 ай бұрын
Nikweli
@sinzannenmisquee1425
@sinzannenmisquee1425 10 ай бұрын
Hii ni kweli wa nakuja huku kujifanya wazuri
@MolelUpendo
@MolelUpendo 9 ай бұрын
mungu akutoe huko dada ester
@zuenajohn8325
@zuenajohn8325 9 ай бұрын
Aise rudi nyumbani, kikubwa umesha chuma.
@evalynembuna4867
@evalynembuna4867 5 ай бұрын
Dada Esther pole sana. Heri urudi nyumbani tu. Maisha ni popote.
@mamalaocruz9616
@mamalaocruz9616 11 ай бұрын
Dada mbona sheria zipo ? Mim niko italy miaka 27? Kuna ubalozi na vyama va watanzania wanasadia ujui nitafute nikupe sheria za italy wanawak awateseki
@gladiesgtv2473
@gladiesgtv2473 11 ай бұрын
God bless you my dear msaidie mwenzetu awe free na atafute pesa kurendeleza home.🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@NaumiBaya-wr7ri
@NaumiBaya-wr7ri 11 ай бұрын
Y
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 11 ай бұрын
Tuelekeze hapa
@danielkipeta2355
@danielkipeta2355 10 ай бұрын
Dada huko ni Italy ogopeni warabu waisram hao namanyag,ao
@danielkipeta2355
@danielkipeta2355 10 ай бұрын
Nchi za Kiarabu na na waisramu niwakuogopa sana Nenda UK hapo sawa
@annastaziamsasamazu2926
@annastaziamsasamazu2926 11 ай бұрын
Wazo la kwanza siku zote huwa sahihi-nafsi ikiwaaza kituu hata ukiipotzea hutokea tu.Nakumbuka nilichowaza pindi naanza mahusiano nilimweleza mpenzi wangu but miaka mitatu badae kilinitokea
@user-hu5qi4nl1i
@user-hu5qi4nl1i 3 ай бұрын
Asante shena hakika unatufunza mengi change changamoto za maisha ni nyingi mno
@friesmillermashimba8782
@friesmillermashimba8782 5 ай бұрын
Pole sana... Mimi Nashauri uondoje hapo kwake ukaanzishe maisha sehemu Yako. Utafute kazi upate kipato chako.😊
@emmatryphone6921
@emmatryphone6921 4 ай бұрын
Nenda ustawi na asome kwenye motandao na aingie kwenye magroup y watanzania huko
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 11 ай бұрын
Never ever take medication without drs advice
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 11 ай бұрын
Ndio funzo hilo Kuna watu wanawaamini wapenzi wao mpaka wako tayari kwa lolote Kumbe ndio mtihani mkubwa wallah
@user-wz9uf8yd1w
@user-wz9uf8yd1w 11 ай бұрын
Daaaah nimeumia, imenikumbusha story yangu, acheni tu anayoyasema huyu dada ni ukweli na unaweza dhani labda anatunga au labda hayuko making kutafuta solution ila ni mjanja kwani amejijenga ,wengine hata kujijenga hatukuweza, ila Mungu alituponya kama Daniel kwenye Tundu la simba
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 11 ай бұрын
Pole sana, Naomba nifanye interview na wewe tupate somo.. ni wengi wanateseka lakini hawajui pa kuanzia wala kumalizia +4367764790884
@gloriamwanjali9371
@gloriamwanjali9371 11 ай бұрын
High level of GBV. Welcome home
@eliyanyuteni1276
@eliyanyuteni1276 10 ай бұрын
Habari​@@OfficialDatingAssistance
@faustahaule2293
@faustahaule2293 8 ай бұрын
53:07
@veronicajustus4507
@veronicajustus4507 2 ай бұрын
yaan dada ester hii ni story yangu kabisaaa😂😂😂😂
@loycep7785
@loycep7785 11 ай бұрын
Pole sana Ester Mungu mwema umevumilia Sasa mimi kwa mawazo yangu Muombe huyo mme wako hela ya nauli mwanao akimaliza form six utasema unaenda kwenye Graduation ukirudi Tz hawezi kukuweza ukiweza fanya mchakato hapo Tzili akirudi ukute umejiandaa ndoa yenye shida na hivi mlifunga serikalini serikali inaruhusu kuachana Ungekuwa umefungia huko ltaly angeweza kukuwekea ngumu Omba Mungu tu atakusaidia Pole pia kwa uongo tubu kwa Mungu akurehdmu
@rogerssimon9517
@rogerssimon9517 10 ай бұрын
Dadangu ester mungu anakupenda sana pia alikupa taarifa kuhusu huyu jamaa ilitakiwa ufanye maombi Kwanza ila ukatumia akili yako mwenyewe huyo mtu sio ni shetani msaada mkubwa na wakweli upo kwa mungu so piga goti fanya maombi ya siku 3 mugu atakufanyia njia na majibu pia majibu yote ya maswali yako atakupa mludie mungu bado anakupenda.
@doramkolo1745
@doramkolo1745 11 ай бұрын
What I like about shena video unagonga pote yani unaelimisha watu kabisa kila mtu mwenye akili ataelewa ...sio tu ulaya pazuri wazungu ..
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 11 ай бұрын
Kila kitu Kina uzuri na ubaya Ni bora watu wajue ili wakiingia waingie na plan nzuri tusaidiane
@fatmaalbeity9097
@fatmaalbeity9097 11 ай бұрын
Tafauti ya wa Kenya na Tanzania wakipata fursa za kuishi ughaibuni wakenya huchukuwa fursa ya kujiendeleza kimasomo na kujiendeleza kimaisha kwa kufanya kazi iliajitegeme tofauti na watanzania japo siote wao hutafuta tuu hela ya mzungu ... sasa kisa cha huyu dada nitchakusikitisha nikama anaujinga nauoga mana anatumiwa tu na hao waume alio wapata hakupata funzo akiwa zanzibar sasa baada ya kujulishwa kuwa huyu bwana ni muhuni jambazi vipi hutafuti njia yakujitowa kwenye mahusiyano ya vitisho kama hivyo ..huyu bwana keshamsoma kuwa nimuoga ndio anastasia hivyo niafanye tuu marina ya kumrekodi pale anapo mtishia huko niuwe naushahidi tuu utasaidika akienda polisi huko ni bora uwe na ushahidi wakutosha napia atafute watanzania kwenye mtandao walioko huko italia.
@abdifaraji2883
@abdifaraji2883 11 ай бұрын
Malaya wengi kutoka Tanganyika wanakwenda Zanzibar kutafuta kuolewa na Wazungu.
@gladiesgtv2473
@gladiesgtv2473 11 ай бұрын
Wewe nawe boga hata wakenya wengi tu wapo hivyo ndio maana wanadhalilika mitandaoni. Umesikia Ester amesoma huko na anatafuta kazi mume anazuia una masikio kweli na unamsikiliza huyu dada vizuri? Kwa maelezo yake amepoteza fursa ya kazi zaidi ya mara tatu mwanaume amem cage she is not free at all. Watanzania sio wavivu ni hard workers sio ofisini wala mashambani. Fuatilia chanel yangu. Utajifunza sasa mtu alishafungwa ni mwenzio huyo? Mmezoea kushambulia watanzania wakenya mbadilike.🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@EDWARDELIABAGWIZA
@EDWARDELIABAGWIZA 11 ай бұрын
@@allthingdranabeauty Edward elia. ni kweli dada ester. kwa nini asingeweza kujifunza kutoka na tikio la Zanzibar?ila pia mapenzi hayana macho.vumilia hayo ni majaribu katika ndoa
@valenakomba9218
@valenakomba9218 10 ай бұрын
Eti miaka yoote hiyo mtu hujuongexii?.😂😂😂. Watakutisha mpakaa usiogope tenaa.
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 10 ай бұрын
@@EDWARDELIABAGWIZA kwa kazi Tanzania sio wavivu kwanza ulaya kam ulaya huwezi kukaa kam ni mvivu atakama ni ndoa lazima ujishulishe kinachofanya watanzania wengine wanaofu ya uoga na dini nikimwacha mume itakuwaje ndoa tunaeshim sana
@kassiannyamba805
@kassiannyamba805 14 күн бұрын
Hongera sana kwa kujenga Dada
@sophiamatonya6067
@sophiamatonya6067 10 ай бұрын
Dada pole mimi nimeolewa Italy kwa MDA miaka 30 lakini shda sijazipata siyo wazungu wote wana mateso maisha ni magumu kila mahali mimi nilijiingiza kwenye makundi ya kanisa nikapokelewa vizuri tu,na ninakazi nzuri tu
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 10 ай бұрын
Woow hongera sana
@anifasingh3320
@anifasingh3320 11 ай бұрын
Kwa mala ya kwanza acha ni coment apa dada ester pia ulikua mzembe sorry kusema ivi. Mimi pia naishi nje huu mwaka wa tatu. Ila mwanaume. Hawez kunizuia mimi kuijua nchi ninayo ishi not matter what kama anaweza kwenda kazini ule mda unashindwa kwenda kuzulula yani kutembea kuona nchi ilivo ulikua mzembe kwenye hiyo ndoa miaka 16 ni mingi sana umepoteza mda mwingi sana kama una nauli rudi bongo kajipange upya. Kashakupa na tatizo la kushika mimba. Unakunywa dada huumwi unawezaje? Yani anipe Dawa tu bila sabbau na siumwi ninywe ? Lol hapana. Ila hamna shida. Bado unauwezo wa kusimama tena. Mungu akutangulie.
@berthatz
@berthatz 11 ай бұрын
Nakubaliana na wewe kabisa.Kwanza mtu anakupaje dawa tu unakunywa hujui za nini??Pili miaka 16 kweli umestuck tu hapana…Sema watu tunatofautiana sana..Mwanaume kama huyo hata kulala ndani unaogopa unahisi atakunyonga..Weee..Mungu ampe ufahamu na ujasiri wa kutoka hapo..😢
@anifasingh3320
@anifasingh3320 11 ай бұрын
Makosa ni me gi sana kafanya dada etu ila ndo ivo hatuwez kumhukumu. Aazne upya maana umri unaenda sana. Angekaa kwa mpango. Mwanaume ambae hataki ufanye kazi kwanza iyo ni red flag ya kwanza kwenye ndoa .
@talhiyaibrahim1074
@talhiyaibrahim1074 11 ай бұрын
Nakupenda Sana ❤❤
@veronicajustus4507
@veronicajustus4507 2 ай бұрын
dada ester umenigusa sana wewe ni strong woman
@yvonnematinyi1376
@yvonnematinyi1376 5 ай бұрын
This is very interesting to listen and watch. Have learnt a lot from these videos. Kudos to you and these brave ladies🧡
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 5 ай бұрын
So glad!
@missbena9452
@missbena9452 11 ай бұрын
Pole dada Esta karibu nyumbani na hongera kwa kujiongeza
@HopeMasika-es3ik
@HopeMasika-es3ik 5 ай бұрын
Anaingia na kutoka na hasikiki vizuri
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 11 ай бұрын
Hello My dear.Huyo MTU NI narsisti mbaya sana.Inabidi kuwafuata watu wa social.Huenda Dawa hizo zilikuwa contraceptives.😢
@user-vk4vj3fj6e
@user-vk4vj3fj6e 8 ай бұрын
Ester rafiki yangu pole na changamoto unazo pitia. Mbona ujaniambia ndugu. Si uje hata kuniona kubadilisha mawazo ndugu tuongee. Usikubali kua mwenye kwenye izi nchi
@lidyateddy6950
@lidyateddy6950 11 ай бұрын
Dada nyumba 2 umejenga ,watoto umesomeshewa na biashara umefungua.sasa si utulie uendelee kula na kipofu😮mi sioni inacholalamika hapo,ukija nyimbani miezi 8 hiyo simamia mambo yako ukirudi italy kusanya kidogo kidogo hivo hivo maisha yaende.ukiona umechoka mwambie unarudi kusalimia hapo ndo moja kwa moja haurudi.shukuru tu hakupigi na unakula na watoto wako anasomesha.
@chekachuma2252
@chekachuma2252 3 ай бұрын
Dada usijikakamue kuwàpa.pesa au kujitahidi kumaliza kila tatizo la nduguzo. Fanya kwa kiasi jijenge zaidi. Kubali ubali ubaya kuliko fedheha. Utapofilisika HAWATAKUJALI NA WATAKUCHEKA SAANA. Kama unabisha utayaona japo sikuombei baba.
@marrypius576
@marrypius576 11 ай бұрын
Dada usirud home wew chukua uraia alafu tafut divorce
@marywangari1120
@marywangari1120 11 ай бұрын
Am a citizen not easy kama huyu mzungu wake alikua hata jela ni ngumu kapata good conduct yake itaonyesa na kama ufanyi kazi uwesi pata nilipata sababu nilikua nafanya kazi na ni karudi kenya kuchukua good conduct
@kissanjulumi-vt3yl
@kissanjulumi-vt3yl 11 ай бұрын
Nimejifunza mengi kwakweli pole sana Dada yangu mungu akusimamie
@estakapufi7582
@estakapufi7582 11 ай бұрын
Amina kipenzi changu
@munirahassan5969
@munirahassan5969 11 ай бұрын
Wazungu wambea watanzania tunq subiri
@nishamwenendi-vh4wk
@nishamwenendi-vh4wk 11 ай бұрын
Mh pole sana jamn mungu akusaidie tu dada urudi nyumbni tz binadamu wapo tofauti wazungu nao ni watu kama sisi
@user-jv4bj5ji8f
@user-jv4bj5ji8f 9 ай бұрын
Wataliano Wana hizo tabia I have a friend also who was treated the same. Phyllis from Kenya
@ummumohd18
@ummumohd18 10 ай бұрын
Mm cjaona tatizo cos mwanamme anampenda na anapenda atokea nae maana ni km wanawake tu wakizanzibar kwa waume hauruhsiiwi kufanya kaz km umepata mume mwenye dini saana au anawivu lkn mm cjaona shida,bt km unauwezo wa kurud tz unakaa mda mref mwanaume anakuachia why umerud tena uko uko,na ukifika sehem km izo kuna wtz why ulipata mda kufanya interview ukose kuwasiliana na wenzako walioko uko,wakakupa ushaur km unahitaji divorce,m2 akusomeshee watoto ambae sio wake uku tz nani anafanya ivo? Tunapenda attention sisi wanawake sometimes,cos km ww umeshaona anashida why usirud home?
@RoseMalamala-vu9rd
@RoseMalamala-vu9rd 8 ай бұрын
Pole sana Da Esta mwenyezi mungu akupe wepesi
@nkonoki7993
@nkonoki7993 5 ай бұрын
Ila umesema ukweli. Miaka 16? Bado upo tu?😂
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 11 ай бұрын
Bora hukuchukua uraia wa huko dada angu, maana kama hukufanya kazi ulaya uzee wako utakuwa wa shida sana kumbuka hautopata Rente,nyumbani wanasema pensheni sijui,ungeishi kwa aibu sana,sema una watoto na huyo bwana unge divorce ukapata Uhuru wako wa kufanya kazi na kuendeleza maisha yako,wazungu pia wako wabaya sana na wazuri sana,raha ya ulaya hata ukipata mzungu tajiri ufanye kazi ndiyo utaipenda ulaya,kitu anachokifanya mumeo ni kukutengenezea uoga kichwani, na kwa hali hiyo unatakiwa upate msaada wa haraka maana ukianza kupata Depression kali wataweza kukufunga kwenye hospital wakijua wewe ni mgonjwa wa akili😢😢.
@aminathaabubakarmasoud565
@aminathaabubakarmasoud565 10 ай бұрын
True!!
@daimavlog
@daimavlog 9 ай бұрын
Kabisa umesema yote.
@hawasaid7151
@hawasaid7151 7 ай бұрын
Ushauri mzuri Sana, inabidi a divorce ili awe na Uhuru wa kufanya kazi
@SuzanneMyles
@SuzanneMyles 4 ай бұрын
Italy 🇮🇹 kuna redflags nyingi😢dears lets learning through those lessons from their sister's
@deomajiji1789
@deomajiji1789 10 ай бұрын
Ssiyeweza kusikiliza simulizi ndefu Yeye skalale...simulizi za kukatishs di nzuri, hazileti Raha au kukizi kiu... Wabongo kuwa ugaibuni ni pia, an experience...!!
@aysheraden7718
@aysheraden7718 11 ай бұрын
Mefanya makosa kukataa kuomba uraia ikiwa anaweza kwa sasa na aombe tu kisha amkimbie bila talakaaje hata uingereza
@mafrikanws
@mafrikanws 11 ай бұрын
Na piya ukiona auta ishi Italy unafanya process za kuamia inchi nyingine ya yurope acha Woga Dada yangu pambania family yako
@noelanyamiti2596
@noelanyamiti2596 9 ай бұрын
Tunafurahi sana kwa kupata historia za maisha,ili sisi wanawake tujifunze
@jennytugara9470
@jennytugara9470 2 ай бұрын
Jamani hii clip ilinipita sijui Dada Ester yuko salama? Na Talaka yake ilipita. Kwa kweli mateso alipitia na maumivu kapitia kweli lakini ukitaka cha uvunguni shuti uiname. Mungu amlinde na familia yake. Wazungu wengine sioooo!!
@doramkolo1745
@doramkolo1745 11 ай бұрын
Dada esta chukua uraia fastaaa alafu omba talaka then hamia sehemu nyingine hata u.k au schengen country yoyote
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 11 ай бұрын
Ushauri mzuri
@mamalaocruz9616
@mamalaocruz9616 11 ай бұрын
Inategemea uraia kupata km mume akikataa upati?na uraia unapata km unafanya kazi na resident miaka Kumi
@user-ek1gv3ip2i
@user-ek1gv3ip2i 10 ай бұрын
Naitwa Catherine ngeleja natamab Cna kuja ulaya Ila dada ester kaniogopesha
@user-ek1gv3ip2i
@user-ek1gv3ip2i 10 ай бұрын
Hatumsikii
@vivianmahoo8611
@vivianmahoo8611 11 ай бұрын
Watanzania mlioko Itali tunaomba mumsaidie dada Ester
@mukeshimanataussi6939
@mukeshimanataussi6939 11 ай бұрын
Mimi nzpenda iwe ndefu story ndio unaelea ntu
@usindemdamo5299
@usindemdamo5299 11 ай бұрын
Sawa nitamcheki
@ladymacollection
@ladymacollection 11 ай бұрын
Mimi Nipo Milan but mbona kuna changamoto za watu zinaogopesha mno 😢 Yaani Mungu aniepushe
@usindemdamo5299
@usindemdamo5299 11 ай бұрын
@@ladymacollection yaan mwenyezi mungu atuepushie mitihani kwakweli
@hamoudsalim26
@hamoudsalim26 10 ай бұрын
​@@mukeshimanataussi6939😮
@noelanyamiti2596
@noelanyamiti2596 9 ай бұрын
Asante sana dada Esta kwa fundisho kubwa,
@angeladegens7139
@angeladegens7139 11 ай бұрын
nikweli Kabisaaaa ndivyo wanavyotuona hivyooo,Wajameni me nimeolewa na Mwingereza nimajanga🙌 me hadi watu wa Social worker waliingilia kati ndio naishi kwa Amani, ila namshukuru mwenyezi Mungu ninafanya kazi
@Fabulousmom509
@Fabulousmom509 11 ай бұрын
Ukiolewa na wazungu jiongeze especially sisi waafrica jiongeze
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 11 ай бұрын
Hata ukiwa DSM watu wa mikoani hufikiria kuwa una hela 😢
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 9 ай бұрын
Miaka 16 mungu uwiiiiiiii KHEIR ulivyo jiongeza hata kujenga nyumban sivyo ingekula kwako dada estar yaaaan umenifanya niusikilize mbaka mwisho WA interview zako dada SHENA
@miriamkwembe
@miriamkwembe 11 ай бұрын
Shoga angu msimuliaji utakonda kwa kukosa upendo. Embu jiangalie vizuri aisee! Muda nawe hana! Hayo malengo yako haujafikisha bado huko nyumbani? Nice video @Shena
@mountaincrystal1630
@mountaincrystal1630 11 ай бұрын
Dada ulaya wanawake wanatetewa sana na serikali, kutokana na kutokukupa uhuru wa kufanya kazi ulaya lazima kila mtu afanye kazi.kufungiwa ndani kunyanyaswa Na serikali inamtambua kuwa alikuaga jela kwa makosa mengine, kama alikuwa muhalifu kwa serilali mpaka serikali kumfunga hiyo ni ushahidi tosha, wewe nenda karipoti polisi watamshika na kumuweka ndani wewe utapewa nyumba na serikali ya kuishi kwa ajili ya usalama wako na pesa ya matumizi na utatafutiwa wakili na serikali kuendesha kesi na polisi watafanya envestigation, kwa mungu kuna ukweli na kwa sababu we ni mke wa miaka mingi hivi utapewa haki zako zote na yule bwana kwa amri ya mahakama ndiyo hapo uamue kukaa italy au uhame mji au urudi tanzania acha ushamba.
@naimarishedy1523
@naimarishedy1523 11 ай бұрын
Y
@safianamani1375
@safianamani1375 11 ай бұрын
Duniya hiyi lazıma uwe macho... Usimpe mtu ata second ya kukutesa
@valenakomba9218
@valenakomba9218 10 ай бұрын
Mi ninavyoona Italia hawaheshimu waafrika kabisaa. Inabidi uwe mjanja . Tatizo sidi watanzania tunapenda kuitwa mama wa nyumbani. Na tukiwa Back Afrika tunazani kila mzungu ni Tajiri. Tunasahau kuwa tofauti yetu sisi na wazungu ni rangi tuu.
@susanwangare3620
@susanwangare3620 9 ай бұрын
kukukaba koo ama kukusukuma iyo tayari ni physical abuse . Dada Esther uki report police sema ungependa Shemenji asaidiwe kupata therapist waakili mdio awache kukunyanyasa kiakili na kisaikolojia
@marykatunzi2613
@marykatunzi2613 6 ай бұрын
Tafadhali Esther fuata ushauri hwa @mountaincrystal1630 na utafanikiwa na kusahau mateso yote unayoyapitia. Endelea kumwomba Mungu akuongoze usifanye hasira japo kweli unasurubika ila kumbuka iko siku yote yatapita.
@ALESIACHIJOKA
@ALESIACHIJOKA 10 ай бұрын
Mtangazaji hongera kwa kazi mzuri ubarikiwe sana .
@user-wm5lg8xg1c
@user-wm5lg8xg1c 4 ай бұрын
Afadhali Esther arudi home...akibaki hko eti afanye kazi akiwa kando nae..anaeza mfanyia kubaya.
@selinpareso137
@selinpareso137 2 ай бұрын
Pole sana karibu nyumban
@user-up7eo1rr6s
@user-up7eo1rr6s 11 ай бұрын
Uyu mimi kabisa. Sema yake yamezidi ni fundisho tosha.
@SalimaNzeyimana
@SalimaNzeyimana 11 ай бұрын
Nimeipenda sana
@theresiafrancis1693
@theresiafrancis1693 4 ай бұрын
Ndoa kama umefungia Tz sehemu sahihi ya kuivunjia hiku huku. Pole sana.
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 11 ай бұрын
Dada huyo Mume hahusiani na Mungu toka muombe Mungu akupe njia ya kutoka hapo
@bintalmasi2393
@bintalmasi2393 11 ай бұрын
Jifunze kutengeneza batiki hata online uuze huko
@magrethpeter6049
@magrethpeter6049 11 ай бұрын
Story ndefu ndiyo mzuri
@user-zj3pt7ph2j
@user-zj3pt7ph2j 11 ай бұрын
Dada wavuta unga siku hizi wanatoa tumbaku kwenye sigara wanaweka unga then juu wanarudishia tumbaku , ukimuona unajua anavuta sigara, kumbe unga , na hii stlye ndio imevafanya vijana wengi waingie kunye madawa bila ya ridha yao
@LucasMetili
@LucasMetili 2 ай бұрын
I like this, big up Shena
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 11 ай бұрын
Huyu dada anasema ukweli.ulays siyo paradiso.Tanzania kunamaisha mazuri kuliko Ulaya
@user-nv8pv2hu6m
@user-nv8pv2hu6m 6 ай бұрын
Ndefu ndio unapata kumuelewa mtu vizuri Dada shine
@upendogreutert199
@upendogreutert199 11 ай бұрын
Kufungiwa ndani Tena jamaniii, huyu Mwitaliano Tena huyu Waaa, Dada Pole na hekaheka
@klaussteiner94
@klaussteiner94 11 ай бұрын
ongeza muda wa video ziwe ndefu aisee dadaa,woi mi nikikosa live nasubiri rekodedi halafu kunapahala huwa naenda sehem kama tatu hivi nimehack wifi nainyonya nikimaliza naangalia nikiwa nimetulia😅
@angelinakakulu1615
@angelinakakulu1615 4 ай бұрын
y
@angelinakakulu1615
@angelinakakulu1615 4 ай бұрын
Namuuliza Dada Ester kwani na huyo mwenzake naye anateseka kama wewe?
@angelinakakulu1615
@angelinakakulu1615 4 ай бұрын
Kwani hawezi kupata usaidizi ubalozini?
@ghelimafilemon9653
@ghelimafilemon9653 11 ай бұрын
Wazungu wazuri wapo ila siyo rahisi kuwa nao sababu wanatuona wagonjwa. Wazungu wanaokuja kuoa Africa wengi wana matatizo kiafya, wanatafuta kampani.
@estakapufi7582
@estakapufi7582 11 ай бұрын
Nimeamini hilo kabisa na sio wote wakorofi
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 11 ай бұрын
Ndio wengine sio wakolofi
@fettyrashid9042
@fettyrashid9042 11 ай бұрын
😂😂😂
@ghelimafilemon9653
@ghelimafilemon9653 11 ай бұрын
@@fettyrashid9042 wao si wanapimwa akiwa mdogo hivyo anajijua kama ana autism, bipolar, diabetic, sasa akikuangalia usoni tu anagundua huyu mgonjwa sitaki mzigo,
@janetmwikali5477
@janetmwikali5477 4 ай бұрын
Wengine wanatafuta caregivers wakuwatunza uzeeni coz hawataki kupelekwa nyumba za wazee😂it has happened to Kenyan girls wenye wanaolewa na tubabu twa German 😅
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 11 ай бұрын
Jamani wazungu sio wanachowapa mnakula . Namshukuru Mungu kwakweli kwa nchi ya Ujerumany bado hapa hizo balaaa. Huku ni kazi tu
@helentelemla5623
@helentelemla5623 10 ай бұрын
Nimeipenda hii story sana hongera kwa namna ulivyoweza kupangua matatizo lkn ukaweza kusonga mbele
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 11 ай бұрын
Ndio wazungu wana hasira wanapenda kutupa vitu wakiwa na hasira
@MamaSean07
@MamaSean07 11 ай бұрын
This is a Human Trafficking case. Hii inaweza kuingia Kwenye kesi ya human Trafficking !!! Kwa huku ulaya kufungiwa ndani kunaleta msongo wa mawazo “ depression “ akipata human right Lawyer watamsaidia
@mamalaocruz9616
@mamalaocruz9616 11 ай бұрын
Ndio sheria hipo ? Hyu mtaliano kwangu wangefurahi sheria zoote najua ? Nitafute
@marigiretongora7889
@marigiretongora7889 11 ай бұрын
Tunamsikia vizuri
@blandinamollo699
@blandinamollo699 11 ай бұрын
Yes
@kalunde6253
@kalunde6253 5 ай бұрын
Nashauri huyu Dada Esther akipata kazi arudi Bongo kwanza then anavyorudi Italy ahamie sehemu ingine na afanye kazi.
@AnnaLambert-xn1ye
@AnnaLambert-xn1ye 5 ай бұрын
Pole sn dada Esta,rudi nyumbani kaa na wanao uzur ushajijenga kwenu
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 11 ай бұрын
Tupe uhondo.,hakuna cha video ndefu. Wasio na bando wasituvuruge. Story ziendelee,asiye na mda ajigawie mwenyewe mda wakuangalia roborobo.
@cathypeter
@cathypeter 11 ай бұрын
😢leo adi nimejikuta nalia wanaume awa hapana kwakweli Shena ama umtafute Hani labda atamsaidia
@emilyanamnyakongo4378
@emilyanamnyakongo4378 11 ай бұрын
kwa noni usitafute watu milano wako wangi sana
@gracenkembo8318
@gracenkembo8318 11 ай бұрын
DADA ESTA HUYO BWANA NI MZUR SANA.MPAKA ANA KUSOMESHEA WATOTO.MANENO YA MAMA YAKO MZAZ YANA UKWELINDOA NI UVUMILIVU.
@kashindesalha8107
@kashindesalha8107 9 ай бұрын
Pole sana mmy mungu atakusimamia kila kitu kitakaa sawa
@user-mw5xs2wx8n
@user-mw5xs2wx8n 5 ай бұрын
Bora ss unaongea ukweli maana watu wanahisi maisha ni mazuri ughaibuni
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 11 ай бұрын
Video ziwe ndefu ili tupate story yote tuzidi kujifunza
WAJERUMANI WABARIDI | SIO KILA MZUNGU NI TAJIRI | NI BORA KUKUTANA ONLINE DATING
1:12:55
Official Dating Assistance
Рет қаралды 23 М.
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 2,2 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 40 МЛН
Look at two different videos 😁 @karina-kola
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 15 МЛН
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 3,7 МЛН
NDOA NYINGI ZA INTERRACIAL ZINAVUNJIKA |NIMESOMA SHERIA MAREKANI | UTAMADUNI NI CHANGAMOTO
1:45:16
UADUI WA FAMILIA KISA MZUNGU | NILIKUA NABANDUKA NGOZI | NIMEBAKI NALEA MTOTO MWENYEWE
45:45
'Nilishtuka na mwili kufa ganzi nilipohukumiwa kunyongwa'
37:06
BBC News Swahili
Рет қаралды 22 М.
RAFIKI AKAWA ADUI BAADA YA KUJUA MUME YUPO UK |MTANDAO UNAVYOSAIDIA KUANZISHA MAHUSIANO
1:35:30
WANAUME WA KISWAHILI WANAMAISHA MAZURI ULAYA KULIKO WAZUNGU
40:31
Official Dating Assistance
Рет қаралды 8 М.
MAISHA YA MAREKANI NI YA MADENI | WENGI WANAKUFA KWA STRESS YA PESA | ELIMU YA FEDHA
1:20:10
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 2,2 МЛН