MIGUU ILIYOHAMISHWA (II) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

  Рет қаралды 23,735

Pastor Sunbella Kyando

Pastor Sunbella Kyando

Күн бұрын

Пікірлер: 46
@SarahKahindo-y8j
@SarahKahindo-y8j 29 күн бұрын
Baba mtumishi wa Mungu mimi ni Sarah kutokeya Congo .. Nime mchuku Mungu kwa kunipa kibali ya kufata mafundisho hiyo ... Mungu akubariki sana
@jefrineliaselias691
@jefrineliaselias691 2 жыл бұрын
Amina Napokea kwajina la YESU Jina lenye nguvu 💪🙏🕊️🕊️
@caroouma3885
@caroouma3885 2 жыл бұрын
Asifiwe Yesu , kwa majina naitwa Caroline Adhiambo natoka Mombasa , Kenya. Nimeokoka na nampenda bwana kama mokozi wa maisha yangu. Huwa natazama Reality of Christ kupitia KZbin na nabarikiwa sana , ningependa kufika huko ila nimeshindwa , naomba mchungaji haweze kuniombea Kila sehemu ya maisha yangu kwa sababu hakuna kinacho Songa mbele , niko stagnant hata kwenda bara kumuona mama inakuwa shida. Asante.
@angeljoseph4666
@angeljoseph4666 2 ай бұрын
Amen, Asante Yesu wangu nakupenda sana
@dorothyshiyyo3370
@dorothyshiyyo3370 Жыл бұрын
Masomo mazuri sana. Nitakutembelea mtumishi wa Bwana.
@ndohoriomsacky445
@ndohoriomsacky445 2 жыл бұрын
Nimelia sana nimelia sana unachosema nikweli nashindwa kusema kutuma meseji huku
@GraceJovit
@GraceJovit 7 ай бұрын
Ameeeeeeen,nimebarikiwa na mafundisho na maombi,,naaamini nimefunguliwa,naangalia kutokea Comoro,nikija Tz natamani nije hapo kanisani maana mimi nafatilia mafundisho ya mtumishi Sanbela kupitia Yu tube,naomba kibali nikija Tz nimuonane na mpakwa mafuta Sanbela
@rizikisospeter1686
@rizikisospeter1686 2 жыл бұрын
Somo limekuja kwawakati,Asante Mungu,niliota mguu wangu umefungwa hirizi inamafundo nikafungua matatu baada ya hapo Ile hirizi ikatoweka
@jamesokothmiyumo4890
@jamesokothmiyumo4890 2 жыл бұрын
Somo limekuja kwa wakati ubarikiwe mtumishi
@ilynnkawa4038
@ilynnkawa4038 Жыл бұрын
I connect to the altar in Jesus name🙏
@julietnkoyo2329
@julietnkoyo2329 7 ай бұрын
Kumbe Mungu ananena kweli kupitia watumishi aliyowamwagia mafuta. Nimebarikiwa Sana. Juliet nikiwa Kenya. God bless you Pastor.
@GraceOngaji
@GraceOngaji Ай бұрын
Kuna mambo ambayo nimejifunza hapa nimeshukuru sana pst
@julietnkoyo2329
@julietnkoyo2329 7 ай бұрын
Ujumbe wa Mungu huja Kwa wakati.
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
Ahsante YESU WANGU
@bettysoi6696
@bettysoi6696 2 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana Mtumishi.Mungu akubariki sana-Kenya
@jacquelinengamilaga4475
@jacquelinengamilaga4475 2 жыл бұрын
Asante Yesu.
@julietmateru5789
@julietmateru5789 2 жыл бұрын
Amina.Asante YESU kwa zawadi ya mtumishi huyu.
@nancyosoro7153
@nancyosoro7153 Жыл бұрын
Nimebalikiwa kweli na haya mafunzo, dhuu yanasikika vizuri unatani niyaleo❤ AMEN.
@tumpedaudi6681
@tumpedaudi6681 2 жыл бұрын
Ooh haleluuuuuya Utuzwe YESU wangu milele na milele Amina
@danielkyalo5666
@danielkyalo5666 2 жыл бұрын
Feeling blessed in Qatar Amen!
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
Sauti jmn😢
@lilianwaddo3220
@lilianwaddo3220 2 жыл бұрын
Nimefunguliwa Asante Yesu
@tumpedaudi6681
@tumpedaudi6681 2 жыл бұрын
UBARIKIWE SANA MTU WA MUNGU ALIYE JUU
@nelsonmpolochacha5035
@nelsonmpolochacha5035 2 жыл бұрын
NABARIKIWA SANA UTOKA CHINA 🇨🇳
@kyakosmumbere5681
@kyakosmumbere5681 2 жыл бұрын
Asante sana kwa somo, mimi ni mu congomani nakaa Butembo nabarikiwa sana na somo , naomba number ya mchungaji kwa mambo mengine
@zipporahm8154
@zipporahm8154 2 жыл бұрын
Jambo. Nabarikiwa sana kutoka Kenya. Naomba kujua masiku na masaa yapi mtumishi anakua live ili nisikose
@mary-stellapetertemba7746
@mary-stellapetertemba7746 2 жыл бұрын
Shalom! Ratiba za Ibada Monday 0900pm - Online Service Tuesday 1600pm - Arusha Service Wednesday 1700pm - Dar Es Salaam & Dodoma Service Friday 1700 - Dar Es Salaam Service Sunday 0900am - Main Service @Dar Channel ni hii na ya REALITY OF CHRIST Karibu sana!
@raymondbudodi4766
@raymondbudodi4766 2 жыл бұрын
@@mary-stellapetertemba7746 naomba kuuliza kwa habari ya Appointment na Mtumishi kwa MTU aliyeko mkoani
@angeljoseph4666
@angeljoseph4666 2 жыл бұрын
Asante Mungu, amen 🙏🙏🙏🙏
@roseissack7767
@roseissack7767 2 жыл бұрын
Ameen
@tumpedaudi6681
@tumpedaudi6681 2 жыл бұрын
AMEN 🙏 🙏 🙏
@veronicanyalinga2845
@veronicanyalinga2845 2 жыл бұрын
🙇🏻‍♀️🙇🏻‍♀️🙇🏻‍♀️🙇🏻‍♀️🙏
@paulineonkoba1196
@paulineonkoba1196 2 жыл бұрын
Powerful!
@gemamwakyusa6100
@gemamwakyusa6100 2 жыл бұрын
Amen
@heriethkitururu4401
@heriethkitururu4401 2 жыл бұрын
Somo zuri
@consolataishengoma757
@consolataishengoma757 2 жыл бұрын
Amen 🙏
@bennamuchau6487
@bennamuchau6487 2 жыл бұрын
Amina.
@mwasaelias3646
@mwasaelias3646 2 жыл бұрын
Mwenye namba ya huyu mtumishi anisaidie plz🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@sarahwawuda5164
@sarahwawuda5164 2 жыл бұрын
AMEN
@happyjordan7838
@happyjordan7838 2 жыл бұрын
Asante sana ubarikiwe mtumishi kwa huduma ya maarifa
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
Amen amen amen
@jaychagagaltv659
@jaychagagaltv659 7 ай бұрын
AMEN
@angeljoseph4666
@angeljoseph4666 Жыл бұрын
Amen
@mercynadia3140
@mercynadia3140 2 жыл бұрын
Amen and Amen
@angeljoseph4666
@angeljoseph4666 3 ай бұрын
Amen
@JoyceSuiyanka
@JoyceSuiyanka 2 ай бұрын
Amen
MATEKA WA KIROHO(I) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:09:26
Reality of Christ Church
Рет қаралды 19 М.
MIGUU ILIYOHAMISHWA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
58:50
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 43 М.
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
UMETEGWA KWAAJILI YA KUSUDI LA MUNGU - PASTOR SUBELLA KYANDO
25:03
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 8 М.
SHULE YA ROHO MTAKATIFU-PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:08:35
Reality of Christ Church
Рет қаралды 20 М.
JINSI YA KUSHINDA HILA ZA SHETANI - PASTOR SUNBELLA KYANDO
19:41
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 13 М.
Maombi ya kufunguliwa  - Mwl.Davidney kaale
18:03
Davidney Kaale
Рет қаралды 564
KUREJESHEWA HAKI - MCHUNGAJI MAGDALENA JOACHIM -JPMC
42:08
Meggy Valentine
Рет қаралды 54
UFAHAMU WAKO JUU YA MUNGU - PASTOR SUNBELLA KYANDO
26:28
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 24 М.
SOMO : JITAMKIE MEMA KILA SIKU By PASTOR NATHAN MWAKABANA.
2:39
LGC SEMTEMA - IRINGA
Рет қаралды 3,2 М.
NAMNA NGUVU ZA GIZA ZINAVYOFANYA KAZI - PASTOR SUNBELLA KYANDO
52:58
Reality of Christ Church
Рет қаралды 36 М.
ROHO ZINAZOZUIA ONGEZEKO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:12:39
Reality of Christ Church
Рет қаралды 26 М.
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН