KIMENUKA: ZARI NA MUMEWE KUACHANA, CHANZO NI DIAMOND? LOKOLE AFICHUA YOTE

  Рет қаралды 23,166

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 139
@esthermramba9395
@esthermramba9395 4 ай бұрын
DIDA ANAONGEA POINT 💯
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 4 ай бұрын
Dida apewe mauwa yake kaongea point🌹🌹🌹🌹
@SamweliHozza
@SamweliHozza 4 ай бұрын
Juma sijui malezi yake kalelewa wap, ungekua wew juma Kuwezaa
@zm4006
@zm4006 4 ай бұрын
Juma apana
@teedullah5708
@teedullah5708 4 ай бұрын
Hajielewi juma mwenyewe ni mke mwenzetu
@jtheophil5499
@jtheophil5499 4 ай бұрын
Juma nilijua umeendelea kumbe bado sana.Mzungu yupi uje kwake kienyeji ivyo kama hajakufyatulia risasi.Hakuna b.ness kama hizo.Haijarishi nani anaishi kwa nani.Hapo zali hajafanya Utu kabisa.
@idrissansereko6403
@idrissansereko6403 4 ай бұрын
Huyo lokole amesoma au Nasibu anamuweka hapo kama shoga wake akili za huyo lokole hazina akili mwehu kabsaaaaa
@Ramadhansuleiman-wz9jg
@Ramadhansuleiman-wz9jg 4 ай бұрын
Wewe juma unaishi kimasilai simama kwenye ukweli kama wenzio
@AkleyBernard-g9o
@AkleyBernard-g9o 4 ай бұрын
Juma lokole iv unajielewa kweli yule mke wamtu lazima ambiwe acha kutetea ujinga kwani diamond Nan
@ZuhooraSalim
@ZuhooraSalim 4 ай бұрын
Kweri
@luendosabah2047
@luendosabah2047 4 ай бұрын
Leo Juma anamusemea Zari 😁❤️🙏
@tumainiellyimo4657
@tumainiellyimo4657 4 ай бұрын
Kifupi mume lazima aambiwe,pili anaweza kataa kama mazingira siyo safi.Huyo Juma hajelewi
@missmannydxb
@missmannydxb 4 ай бұрын
Juma mshenzi! Mumu wa mtu ni kichwa cha nyumba awe nani au nani!
@niwaelally1579
@niwaelally1579 4 ай бұрын
Anajua juma kama ni kosa ila njaa inamfanya awe hana akili
@officiallnobystar
@officiallnobystar 4 ай бұрын
Ndio Mana Anawekwa
@nicholausmbilinyi3587
@nicholausmbilinyi3587 4 ай бұрын
Wanafanya kipindi kichangamke..wakikubaliana wote ina maana watakosa cha kuendelea kuongea
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 4 ай бұрын
Juma acha za onyoo sasa ndo waimbe iyena inayosema mwenye nyumba kaja ndani? That was very disrespectful to shakib
@hashilalkharusi4680
@hashilalkharusi4680 4 ай бұрын
Heshima kutu cha bure lazima apeleke habari ile ni nyumba ya mke na mume
@iam_sami
@iam_sami 4 ай бұрын
Chawa kazin unaupga mwing jumaa njoo nkufokoe
@davidsibejo4916
@davidsibejo4916 4 ай бұрын
Mke wa mtu kama unajua unaugeni lazima utoe talifa
@violetcarroll4930
@violetcarroll4930 4 ай бұрын
Dada umenichekeshaaaaa, wapeleke kwengineee😂
@ShabaniBizimana-f7v
@ShabaniBizimana-f7v 4 ай бұрын
Aaahhh😅shida kukakwamwanamke anakuzidipesa l'arma utapigwa zakichwa
@FATMA-k1b3f
@FATMA-k1b3f 3 ай бұрын
Dida unaogea mambo ya haki
@t.jsaidia2047
@t.jsaidia2047 4 ай бұрын
Uyoo Lokole Ndonga zishamzuruga ktk Utumbo hanafikilia 2 kugingwa
@happysanga6846
@happysanga6846 3 ай бұрын
Shida ya juma umama mwingi ushamba mwingi Kwan hoyo daimond ni kitu Cha ajabu mpaka afanye anayo yataka bila utalatubu pumbavu kweli juma
@silvergold5855
@silvergold5855 4 ай бұрын
Mpambe wa boss mishipa inatoka
@KassimMohammed-h2n
@KassimMohammed-h2n 4 ай бұрын
Yote Tisa. kumi huyu dida anaongea pwent. Ila hili jamaa marasta halijui Sheria za mume na mke. Shezi kabisa
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 4 ай бұрын
Hilo nalo Dume jinga Mnoo, Sari anamoenda Diomond anajifanya tu ,zari hawezi kuishi na mtu yyte ,
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 4 ай бұрын
Ukiishi kwa mwanamke mwenye pesa zake heshima hakuna. 😢😢
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 4 ай бұрын
😂😂😂hmna kweli
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 4 ай бұрын
Shakib alijuwa BD Yaa T lazma. Big D aweee ......ndio akawa hayupo
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 4 ай бұрын
Mna kelele tu ni lzm mwanamke awe chini ya mwanaume kuomba ruksa ni lzm kwa mwanamke kumjuza mwenzake ima anataka toka au kuja mgeni
@RukhaiyaNassir
@RukhaiyaNassir 4 ай бұрын
Juma hujielewi kabakwe mbele ya safari tunaangalia ela tu msenge
@omanmct135
@omanmct135 4 ай бұрын
Juma hanakili
@sarahkeivaly3351
@sarahkeivaly3351 4 ай бұрын
Huenda Zari anatamani sana kurudiana na Mond, lkn Zuch smart sana kichwani
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 4 ай бұрын
Msibishane na KAKA MKUBWA AU MTOTO SIO RIDHIKI
@FarzanaKhan-z1j
@FarzanaKhan-z1j 4 ай бұрын
Mum's ni lazima aishimiwe. Wakati akiolewa na shakinb alikuwa najua ni maskini
@vincej9275
@vincej9275 4 ай бұрын
Juma Lokole anajua sio sawa lakini njaa !
@vickynyakio7346
@vickynyakio7346 4 ай бұрын
Zari ni mjinga sana na ataishi upweke sana hata awe tajiri atabakua pekee yake na huzuni....ajifunze kuheshimu watu😊
@juliuskessy7616
@juliuskessy7616 4 ай бұрын
😂
@taturajabukhalfani7953
@taturajabukhalfani7953 4 ай бұрын
Mwanamke akiwa na pesa wengi wetu heshima Kwa mume hatuna labda awe mwanamke mcha Mungu!!!
@allahisone6386
@allahisone6386 4 ай бұрын
​ TI UPO SAHIHI KBSAAAAAA
@BizzyLizer-j3o
@BizzyLizer-j3o 4 ай бұрын
We tako umekosa cha kuandika
@salimsaleh6587
@salimsaleh6587 4 ай бұрын
​@@taturajabukhalfani7953true sis
@FarzanaKhan-z1j
@FarzanaKhan-z1j 4 ай бұрын
An zari got married to shakib. She knew that shakib. Alikuwa anajua shakib ni.maskini. hapo hakuna cha Lakini. Mwanamke hata kwa na pesa inafaa kumueshimu mumewako. Hapo duni ndio hakuna
@hakiiki1767
@hakiiki1767 4 ай бұрын
Nyumba ya mondi ne zari shakibu nmgenyi
@luendosabah2047
@luendosabah2047 4 ай бұрын
Diamond ilikuwa surprised kufika kwa Zari.kama hafike mutamulaumu Diamond
@idrissansereko6403
@idrissansereko6403 4 ай бұрын
Huyo juma lokole mjinga sana akili zake hazina akili
@purityhoeger655
@purityhoeger655 4 ай бұрын
surprise ni surprise hamna anajua
@12345678938129
@12345678938129 4 ай бұрын
Watu musiskilize Juma Lokole kwa lolote kwanza mwenyewe hana ndoa na ajawahi kua na ndoa official . Sikilizeni Idris na Dida. Thamani ya mwanaume sio kua na nyumba tu ao pesa ndani ya masha ya mwanamke. Zari hana chochote cha kumdharau aliyekuwa mumewe kwasababu she makes bad decisions going for young men and then she end up justifying like she is always right , that is avoid accountability. She will continue failing in relationships because she avoids accountability for her poor and wrong decisions . She loves men she can control and manipulate 😢😢😢. Shakib stands on your ground , let her go
@mubatsievonne4649
@mubatsievonne4649 4 ай бұрын
Okay, mayi be she is a narcissist.
@amirinestory
@amirinestory 4 ай бұрын
Hilo ndo tatizo la kuoa mtu mwenye mtoto...unakua umeoa mke wa mtu aliyaganyaga shakib... atakufa na presha akimuona diamond tu anajua kaja kumshenyenta Zari😂😂😂😂
@jumasaid6073
@jumasaid6073 4 ай бұрын
Sijapenda utaratibu wenu wa mazungumzo, mnapayuka, hampeani nafasi ya kuongea, kila mtu anataka kuongea yeye kwanza, kitu ambacho kinasababisha makelele !! Hiyo ni media kubwa, jaribuni kuwa na utaratibu mzuri wa kujadili mambo kwenye vipindi vyenu ili kukuza brand !!
@SalmaAthuman-hp3en
@SalmaAthuman-hp3en 4 ай бұрын
Huyu shoga ni mnafiki sana anapayuka tu zari amekosea sana alijua hana anachoweka mezani ilikuaje akaolewa nae 😂😂
@JeannedarcUWIMANA-d2h
@JeannedarcUWIMANA-d2h 4 ай бұрын
Mario anapashwa kuzaririka shakib mario
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp 4 ай бұрын
Sasa angelimwambia wakati Zari yeye hakujua kama Diamond atakuja pale kwa Zari
@Dalaman10
@Dalaman10 4 ай бұрын
Yeye mume ana hadhi yake. Wewe juma unajua usenge tuu adabu za ndoa huzijui. Heshima hata Diamond angempigia shaking akamwambia nakwenda kufanya surprise. Ni heshima tuu
@zhooshchindogote9939
@zhooshchindogote9939 4 ай бұрын
Banaa diamond hana hatia,,,nyumba ni ya kwake😂
@JackKanyigo
@JackKanyigo 4 ай бұрын
Xaxa mnabishana na huyu wa kuleft mnapoteza mda hapo hakuna mwanaume ndo maana anamtetea mwanamke mwenzie
@teammovietmdurbacinema8284
@teammovietmdurbacinema8284 4 ай бұрын
Suggar Mum Zari , kuna mwanawake na bi bibi, watu kama ZARI ni bi bibi tu, hakuna muke apo, washaa zoeya maisha ya Mitando na hana muda wakufikiria mwenzake kinacho mu fanya ni aonekane pita mitandaoni, awa ni kulà. tu Ila usi mu wekeya moyoni kwani utaumiya bure
@happysanga6846
@happysanga6846 3 ай бұрын
Unamtukana ata anko shamte anaishi kwa mama yenu
@MartinBarunga-jb2ri
@MartinBarunga-jb2ri 4 ай бұрын
Sema nilijuwa juma amesha kuwa mume ila bado shong😢😢😢😢😢
@allahisone6386
@allahisone6386 4 ай бұрын
USHAHIDI?
@officiallnobystar
@officiallnobystar 4 ай бұрын
​@@allahisone6386Wanini Sasa Mwanaume Ataongea Hivyo
@diana.j.clement
@diana.j.clement 4 ай бұрын
Juma ananitia hasira uyu
@sylivanusbernard3325
@sylivanusbernard3325 4 ай бұрын
Pole,nahisi Hana mke yule
@doricedeluxe9486
@doricedeluxe9486 4 ай бұрын
Mwaga makopa kopa hapa kama unamkunari shackib kwanza handsome pili mpole mm namkubari xana shackib.harafu penye miti hapana wajenzi shackb nimwanaume wa shoka utamkumbuka.
@HabibaNgonyani-d2g
@HabibaNgonyani-d2g 4 ай бұрын
Ili lijuma jinga kabisa.....akili zake ziko mkunduni
@thuraiyathuraiya401
@thuraiyathuraiya401 4 ай бұрын
Juma eee juma Juma nakwitwa mara 3 punguza uchochezi looooo
@kichefuchefu2382
@kichefuchefu2382 4 ай бұрын
Ukiow mwanamke aliezaaa namwanaume mwengne hivo ndoinavo kuwa ssa
@purityhoeger655
@purityhoeger655 4 ай бұрын
nyumba ya Diamond Zari na Watoto Shakib ni Mngeni 🤚🏽🏠
@SeverinoLuis-j1h
@SeverinoLuis-j1h 4 ай бұрын
Ndio ni mgeni tena kaolewa ata simba akitoa uduma naye anakula
@josephinegravasiano8860
@josephinegravasiano8860 4 ай бұрын
Dida Dida ndoa hutaki kuambiwa, hahahaha
@mutungi93
@mutungi93 4 ай бұрын
Zari amtaka diamond but ni Mzee sana
@Bravo-or8oy
@Bravo-or8oy 4 ай бұрын
Diamond alivyozaa nae hakujua kama anazaa na mzee?
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 4 ай бұрын
Zari amekosea , mwanaume kukata Kwa Mwanamke ni kawaida Ila pawe tu heshima ,Dida umeongea ukweli
@Ramadhansuleiman-wz9jg
@Ramadhansuleiman-wz9jg 4 ай бұрын
huyu jamaa nichokoo nimeamini sasa
@KhadijaSalum-nf5mf
@KhadijaSalum-nf5mf 4 ай бұрын
Dida swadakta
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 4 ай бұрын
Hili choko Sijui Kwa Nini halipigwi matukio liko kwa ajili ya unafki tu ,pesa nini bwana,Shakib nae aondoke tu atateseka utadhani sii dume
@FATMA-k1b3f
@FATMA-k1b3f 3 ай бұрын
Kumuheshimu mume ni muhimu bwana
@sarahsaimon4095
@sarahsaimon4095 4 ай бұрын
Zari anakosea yeye ndio amemfanya dai kuwa km kwake apo nyumbani. Kwani ukiweka mipaka baina ya mzazi mwenzio kuna shida? Km kweli ana, Mume lazima amuheshim Mume wake.
@DelightfulFish-ps8ny
@DelightfulFish-ps8ny 4 ай бұрын
Hakuna mzungu anaweza kufanya hivyo never juma hujuwi kitu im tell you
@msafiriomary893
@msafiriomary893 4 ай бұрын
Ukioa mwanamke arie zaa ujuwe umeoa mke wa mtu
@Floribert5
@Floribert5 4 ай бұрын
Juma sema ukweli huwezi kukubali uzarauliwe juma wewe kibaraka wa boss na Diamond alifanya makosa angemwambia mume mwenzako siyo zarau ile ukiona kichwa chamwenzio kina nyolewa cha kwako tiamaji na yeye boss wenu atafanyiwa asicheze ana watu wa Uganda
@karimmakweta3530
@karimmakweta3530 4 ай бұрын
Juma yupo Sahihi Nyumba ya Nani inakuwaje utoe Taarifa Kuja kwako
@Rose-ue2ho
@Rose-ue2ho 4 ай бұрын
Kutowa taarifa ni si kumshauri mtu akubali au si akuabali.. Mtu kama mume au mke wako lazima umwambie. Si kuomba ushauri ni kumpa mtu taarifa hio ni heshima
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 4 ай бұрын
That's was disrespectful sasa wacheze iyena inayosema mwenye nyumba kaja ndani hata ww ukifanyiwa ivo hutapenda acha uongo
@Pendomamafay
@Pendomamafay 4 ай бұрын
Juma huna akili mbwa ww
@kichefuchefu2382
@kichefuchefu2382 4 ай бұрын
Hiyo ndomanaake
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du 4 ай бұрын
Mwambino anaadabu yule nimume anapoenda awe na adabu na zali nae ajierewi
@janethsamwel8457
@janethsamwel8457 4 ай бұрын
Kwani alio olewa ni nani shakibu Hana chake ndio maana kazalilishwa mwanaume msipende kuolewa ukiolewa lazima usikilize matakwa ya baba mwenye nyumba Sasa kaka yetu yeye kaolewa akae Kwa kutulia
@renatuswilson1577
@renatuswilson1577 4 ай бұрын
Shamte na Shakibu wanatofauti??? Mbna kama mna mnanga mama wa boss wenu???. Hahaaa.
@Gudowabazoba
@Gudowabazoba 4 ай бұрын
Nyinyi wote ni diamond hapo
@hassansingano1150
@hassansingano1150 4 ай бұрын
Kisheria watoto wa Zari sio wa Diamondi. Zari ni mkosaji kwa mumewe kama ni kweli walifunga ndoa.
@ZaiMwarab
@ZaiMwarab 4 ай бұрын
Hiy n kwel kw nn asimuambiee mumewk sio vizur
@SmilingBoardGames-jm4sj
@SmilingBoardGames-jm4sj 4 ай бұрын
Wamuwacezari atakikucezewa
@theresedusabe6056
@theresedusabe6056 4 ай бұрын
Stop talking for our Queen zari surprise its means ata zari hanujuwq kama baba tee adafika iyo njo surprise manayake so stop tallking nosense about that dai and zari it was noma for them to show love together with their daughter birthday,s
@petroniesindarubaza2420
@petroniesindarubaza2420 4 ай бұрын
Zari ni pumbafu sanaa kbs mwanamke anabaki anajibebi kwa ex atoke apoo ndio ni baba watoto wake ila.sio kwa ivyo ww
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 4 ай бұрын
Wewe shoga kama daimond awe na mke halafu × wa mke wake Awe hayupo asikie kuna mwanaume sio heshima juma mmbeya mara zari mtu mzima kwani zari kwani mwanzo hukumuona hana kitu sasa zari bado anamtaka bado
@WahidaHaji-e9t
@WahidaHaji-e9t 4 ай бұрын
Lokole njaa inamsumbua
@hamisimwinzagu6624
@hamisimwinzagu6624 4 ай бұрын
We bwege Una mke au uchawa umekujaa
@juliuskessy7616
@juliuskessy7616 4 ай бұрын
Mwanaume unakaaje Kwa Mwanamke? Alafu Kuna wanaume wanatetea kmmk 🗑️🚮🚮
@thuraiyathuraiya401
@thuraiyathuraiya401 4 ай бұрын
Jamani mume ni mume tu angepewa heshima yake kweli kabisa hata kama daimond baba watoto ila mume ni mume
@AffectionateCap-fk8tx
@AffectionateCap-fk8tx 4 ай бұрын
Shamte atulie anajitetea yasimkute ya Shakib
@jumannejuma7432
@jumannejuma7432 4 ай бұрын
dida uposawa ila huyu jamaa
@FarzanaKhan-z1j
@FarzanaKhan-z1j 4 ай бұрын
Dida nomber yenu ni gani. Nataka niambie kitu
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 4 ай бұрын
Kwaufupi demu alozaa na Diamond mwimbaji wa tz hata kwa bilioni hafai hasa wakiwa bado wapo karibu
@MwanaidiRulimbiye-y7q
@MwanaidiRulimbiye-y7q 4 ай бұрын
Inabidi atoe taarifa na yule ni mume
@SaidMohamed-j2v
@SaidMohamed-j2v 4 ай бұрын
zari alikusudia tu yatokee yaliyotokea . huenda kamchoka shakibu
@salimsaleh6587
@salimsaleh6587 4 ай бұрын
Wale wanashngaa na maongezi ya juma lokole,ni shoga haezi kuelewa uchungu wa Shakib na pia anamtetea boss wake akitetea kibarua chake
@officiallnobystar
@officiallnobystar 4 ай бұрын
Juma Kweri Chokara Kwaiyo Unaona Yupo Sahihi Zari?
@jtheophil5499
@jtheophil5499 4 ай бұрын
Kama Ulaya tunatoa taharifa ije kuwa south.?Ndio kama angekataa kakataa kafanyie hotelini je?hpo kakosea bhana hata kama uyo kaka hana kitu alimpenda ivyo ivyo sio muhujiza.Zari kakosea tena sana.
@zhooshchindogote9939
@zhooshchindogote9939 4 ай бұрын
Mzee, nyumba yenyewe ni ya diamond platinumz kumbuka
@rogeradonis1956
@rogeradonis1956 4 ай бұрын
Kosa niyamwanamke ww juma lokole
@umfahad2609
@umfahad2609 4 ай бұрын
Hili Juma lina shobo saana na Diamond. Neno likiwa kwa Diamind anapenda sana kimbele mbele. Juma punguza shobo. Acha macfa.
@DavidNdaha
@DavidNdaha 4 ай бұрын
Wakati d akiwa Tanzania yule shaibu alikua anatembeanae
@Prophetelian
@Prophetelian 4 ай бұрын
Ukiamua kuoa mwanamke mwenye mtoto ujiandae kwa yote
@AltamimSoud
@AltamimSoud 4 ай бұрын
Hata wewe juma kwa huyo basha wako lazima uage msenge wee hii kufirwa inakufanya mpaka akili huna
Жездуха 42-серия
29:26
Million Show
Рет қаралды 2,6 МЛН
-5+3은 뭔가요? 📚 #shorts
0:19
5 분 Tricks
Рет қаралды 13 МЛН
«Жат бауыр» телехикаясы І 26-бөлім
52:18
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 434 М.
USITAZAME VIDEO HII KAMA UPO PEKEAKO
23:51
TALIKISIO Tv
Рет қаралды 269 М.
WALIMDHARAU KWASABABU YA KINYAGO KUMBE NI MTOTO WA MFALME | MOVIE KWA KISWAHILI
28:46
GENIUS SWAHILI MOVIES
Рет қаралды 1,2 МЛН